jamiidiary
jamiidiary
jamiidiary
3 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
jamiidiary · 4 years ago
Text
TAHADHARI YA MVUA
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANIKIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANIAthari zinazoweza kujitokeza;Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji.Tafadhali zingatia na ujiandae.……………………Jumapili 04-04-2021ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na Lindi.UWEZEKANO…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
jamiidiary · 4 years ago
Text
NJIA 6 ZA KUBANA MATUMIZI YA DATA
NJIA 6 ZA KUBANA MATUMIZI YA DATA
VIFURUSHI NI VYA MOTO LAKINI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU TUSIACHE KUPEANA MBINU ZA KUPUNGUZA MATUMIZI YA MB ILI TUISHI NAO. 1.  Ondoa (Unistall) Google play/Usi-jisajili playstore.Ina kero sana mimi ni miaka sina.. Kama ni apps dowload kwenye website kwa kutumia browser nzuri km kama “Puffin browser” au Uc browserPlaystore+Googleplay  zinatafuna data kwenye background app settings mara nyingi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
jamiidiary · 5 years ago
Text
JE WAJUA WIMBO ULIOSABABISHA WATU ZAIDI YA 100 KUJIUA !?
Tumblr media
Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake.
❇Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana, kilimfanya apatwe na huzuni kali na msongo wa mawazo, na katika kipindi hicho…
View On WordPress
0 notes