Tumgik
#rachelsiwa
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
“Beloved, I now write to you this second epistle (in both of which I stir up your pure minds by way of reminder), that you may be mindful of the words which were spoken before by the holy prophets, and of the commandment of us, the apostles of the Lord and Savior, knowing this first: that scoffers will come in the last days, walking according to their own lusts, and saying, “Where is the promise of His coming? For since the fathers fell asleep, all things continue as they were from the beginning of creation.” For this they willfully forget: that by the word of God the heavens were of old, and the earth standing out of water and in the water,” ‭‭II Peter‬ ‭3‬:‭1‬-‭5‬ ‭NKJV‬‬ “Wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya. Napenda mkumbuke maneno yaliyosemwa na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi mliyopewa na mitume wenu. Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho watakuja watu ambao mienendo yao inatawaliwa na tamaa zao mbaya. Watawadhihaki nyinyi na kusema: “Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale tangu babu zetu walipokufa; hali ya vitu ni ileile kama ilivyokuwa mwanzo wa ulimwengu!” Watu hao, kwa makusudi, husahau kwamba zamani Mungu alinena, nazo mbingu na dunia zikaumbwa. Dunia iliumbwa kutoka katika maji na kwa maji;” ‭‭2 Petro‬ ‭3‬:‭1‬-‭5‬ ‭BHND‬‬ #nenolajumapili #wordoftheday #biblia #bible #cupoftea #rachelsiwa🙏🏽❤️☕️ https://www.instagram.com/p/Co1-Mrit7aQ/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes · View notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
@heavenlydesserts 🥰 #dessert “Then a herald cried aloud: “To you it is commanded, O peoples, nations, and languages, that at the time you hear the sound of the horn, flute, harp, lyre, and psaltery, in symphony with all kinds of music, you shall fall down and worship the gold image that King Nebuchadnezzar has set up; and whoever does not fall down and worship shall be cast immediately into the midst of a burning fiery furnace.” So at that time, when all the people heard the sound of the horn, flute, harp, and lyre, in symphony with all kinds of music, all the people, nations, and languages fell down and worshiped the gold image which King Nebuchadnezzar had set up.” ‭‭Daniel‬ ‭3‬:‭4‬-‭7‬ ‭NKJV‬‬ 4 Mpiga mbiu akatangaza kwa sauti kubwa, “Enyi watu wa makabila yote, mataifa yote na lugha zote, mnaamriwa kwamba 5 mkisikia sauti ya baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, lazima mwiname chini na kuiabudu sanamu ya dhahabu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza. 6 Na yeyote ambaye hatainama chini na kuiabudu, atatupwa mara moja katika tanuri ya moto mkali.” 7 Kwa hiyo, watu wote, mara waliposikia sauti za baragumu, filimbi, kinubi, zeze, santuri, zumari na sauti za ala nyingine za muziki, walianguka kifudifudi na kuiabudu ile sanamu ya dhahabu ambayo mfalme Nebukadneza aliisimamisha. (‭‭‭Danieli‬ ‭3‬‬:‭4‬-‭7‬ ‭BHND‬‬) #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration #shalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 # chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CkTItVqNjUK/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Good morning 🇹🇿🇬🇧🌏#cupoftea☕️ “Nebuchadnezzar the king made an image of gold, whose height was sixty cubits and its width six cubits. He set it up in the plain of Dura, in the province of Babylon. And King Nebuchadnezzar sent word to gather together the satraps, the administrators, the governors, the counselors, the treasurers, the judges, the magistrates, and all the officials of the provinces, to come to the dedication of the image which King Nebuchadnezzar had set up. So the satraps, the administrators, the governors, the counselors, the treasurers, the judges, the magistrates, and all the officials of the provinces gathered together for the dedication of the image that King Nebuchadnezzar had set up; and they stood before the image that Nebuchadnezzar had set up.” ‭‭Daniel‬ ‭3‬:‭1‬-‭3‬ ‭NKJV‬‬ “Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo mita ishirini na nane na upana mita tatu. Aliisimamisha katika sehemu tambarare ya Dura, mkoani Babuloni. Kisha mfalme akaamuru maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wahudhurie sherehe ya kuzindua rasmi sanamu aliyoisimamisha. Basi, maliwali, wasimamizi, wakuu wa mikoa, washauri, watunza hazina, majaji, mahakimu na maofisa wote wa mikoa wakakusanyika tayari kwa uzinduzi wa sanamu aliyosimamisha mfalme Nebukadneza.” ‭‭Danieli‬ ‭3‬:‭1‬-‭3‬ ‭BHND‬‬ #PraisetheLord#WordofGod#wordoftheday#versesoftheday#bibleverses#biblestudy#qoutesoftheday#prayernetwork#dailyinspiration #shalom#anzanamiBwanaYesu#biblia#NenolaMungu#Nenolaleo#barikiwa🙏 #eastafrica#tanzania🇹🇿 # chai#Coventry🇬🇧 #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CkIZ6A-tacs/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 4 years
Photo
Tumblr media
Maisha-Lifestyle;Kwenye Dawati Langu Leo...... Monday, 4 May 2020 Maisha-Lifestyle;Kwenye Dawati Langu Leo-Imani,Sala/Maombi na Rachel siwa.. Asanteni kwa kunisikiliza... Tukutane kwenye Dawati langu lijalo sijui atakuwa nani labda ni wewe unayesoma hapa... Mungu akitubariki tutakuwa na mahojiano/maongezi/video[sauti] si kuandika tuu... Muwe na wakati mwema.. wenu; Da'Rachel siwa.. "Swahili Na Waswahili"Pamoja daima. #stayhome#prayfortheworld #lockdown#covi̇d19 #lifestyleblogger #Rachelsiwa 🙏🏽❤️ https://www.instagram.com/p/B_xY-DPHjyw/?igshid=srq33ic5r9rl
0 notes
rachelsiwafan · 4 years
Photo
Tumblr media
“Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu, lilimjia Elia: “Ondoka uende mjini Sarefathi, karibu na Sidoni, ukae huko. Nimemwamuru mwanamke mmoja mjane akupatie chakula huko.” Basi, Elia akaondoka, akaenda Sarefathi. Alipofika penye lango la mji, alimkuta mwanamke mmoja mjane anaokota kuni. Elia akamwita mwanamke huyo na kumwambia “Niletee maji ninywe.” Yule mwanamke alipokuwa anaondoka, Elia akamwita tena na kumwambia, “Niletee na kipande cha mkate pia.” Huyo mwanamke akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wako aliye hai, sina mkate hata kidogo. Nilicho nacho ni konzi ya unga katika chungu na mafuta kidogo katika chupa. Nimefika hapa kuokota kuni, kisha niende nyumbani kupika chakula hicho, mwanangu na mimi tule, kisha tufe.” Elia akamwambia, “Usiogope. Nenda ukafanye kama ulivyosema. Lakini nitengenezee mimi kwanza na kuniletea andazi dogo, kisha jitengenezee wewe na mwanao chakula. Maana, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, asema hivi: ‘Unga ulioko chunguni mwako hautapungua wala mafuta yaliomo ndani ya chupa hayataisha, mpaka hapo mimi Mwenyezi-Mungu nitakaponyesha mvua nchini.’” Basi, huyo mwanamke mjane akaenda akafanya kama alivyoambiwa na Elia hata mama huyo, jamaa yake na Elia wakapata chakula kwa siku nyingi. Unga chunguni haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakwisha sawa kabisa na neno la Mwenyezi-Mungu alilomwambia Elia aseme.” ‭‭1 Wafalme‬ ‭17:8-16‬ ‭BHN‬‬ #ukame:ujumbe wa Mungu watekelezwa-1-7 #Elia na Mama Mjane wa Serefathi;8-16 #Elia amfufua mtoto wa Mama mjane;17-24 #1wafalme17 #wakatiwamunguniwakatisahihi🙏🏽❤️ #stayhome#prayfortheworld #lockdown#covi̇d19 #lifestyleblogger #Rachelsiwa 🙏🏽😔 https://www.instagram.com/p/B-w97JOHVHH/?igshid=15mgoe61f4gsa
0 notes
rachelsiwafan · 5 years
Photo
Tumblr media
Happy Birthday to me😊 I give all glory to God..!! Thanks to my parents, relatives, family, friends and workmates for the prayers and good wishes🙏🏽 I love you all❤️ #psalm91 #1Timothy2 : : Sifa na utukufu Namrudishia Mungu... (mimi nitoe nini ambacho cha thamani kwako Mungu?) Asante kwa Wazazi,Familia,Ndugu,Jamaa,Marafiki,Wafanya kazi wenzagu na wengine wote kwa sala/maombi na mengine yote... Nawapenda kwa kumaanisha❤️ : Ikikupendeza soma#Zaburi91 na 1Timotheo 2 #happybirthday#Life#prayer#blessings#baraka#furaha#sala#Munguyumwema#Godisgood #lifestyleblogger #vlogger #CoventryUk🇬🇧#mswahili🇹🇿 #Rachelsiwa🍰❤️ https://www.instagram.com/p/B0n5oHBHe-0/?igshid=xriurkfdnqae
1 note · View note
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Dinner plates, soup bowls, coupe plates, side plates, tea/coffee cups, Chafing dish,Cutlery all available to hire. Refundable deposit required Collection available Delivery/collection at cost #eventplanner #eventhire #happybirthday #lifestyle #eventagency #eventservices #childrenparties #coventry #daressalam @rahelfoodproducts #lifestyleblogger #vlogger #CoventryUk🇬🇧#mswahili🇹🇿 #Rachelsiwa🍰❤️ https://www.instagram.com/p/CeqMiDANSJ5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
We rent out chairs and tables for celebrations and organise parties / activities for both children and adults, depending on your budget. You are all welcome tunakodisha viti na meza na kuandaa sherehe/shughuli za watoto na watu wazima, kulingana na bajeti yako, wote mnakatibishwa #eventplanner #eventhire #happybirthday #lifestyle #eventagency #eventservices #childrenparties #coventry #daressalam @watotonajamii #lifestyleblogger #vlogger #CoventryUk🇬🇧#mswahili🇹🇿 #Rachelsiwa🍰❤️ https://www.instagram.com/p/CdtFzast_rR/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
We rent out chairs and tables for celebrations and organise parties / activities for both children and adults, depending on your budget. You are all welcome tunakodisha viti na meza na kuandaa sherehe/shughuli za watoto na watu wazima, kulingana na bajeti yako, wote mnakatibishwa #eventplanner #eventhire #happybirthday #lifestyle #eventagency #eventservices #childrenparties #coventry #daressalam @watotonajamii #lifestyleblogger #vlogger #CoventryUk🇬🇧#mswahili🇹🇿 #Rachelsiwa🍰❤️ https://www.instagram.com/p/CdtEWUcN-1g/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
rachelsiwafan · 2 years
Photo
Tumblr media
Jikoni Leo Uji wa OATS : 🙏🏽🇹🇿 🇬🇧Kitchen today Porridge #Ujiwaoats #porridge #oatsforbreakfast #oatsporridge 11 Katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya Mgiriki na Myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote. 12 Nyinyi ni watu wake Mungu; yeye aliwapenda na kuwateua. Kwa hiyo, basi, vaeni moyo wa huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. 13 Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe nyinyi. 14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo, kwani upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili. 15 Nayo amani ya Kristo itawale mioyoni mwenu; maana kwa ajili hiyo nyinyi mmeitwa katika mwili huo mmoja. Tena muwe na shukrani! 16 Ujumbe wa Kristo na ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. Fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. Imbeni Zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni Mungu mioyoni mwenu kwa shukrani. 17 Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake. (‭‭Wakolosai‬ ‭3‬‬:‭11-17‬ BHND) “where there is neither Greek nor Jew, circumcised nor uncircumcised, barbarian, Scythian, slave nor free, but Christ is all and in all. Therefore, as the elect of God, holy and beloved, put on tender mercies, kindness, humility, meekness, longsuffering; bearing with one another, and forgiving one another, if anyone has a complaint against another; even as Christ forgave you, so you also must do. But above all these things put on love, which is the bond of perfection. And let the peace of God rule in your hearts, to which also you were called in one body; and be thankful. Let the word of Christ dwell in you richly in all wisdom, teaching and admonishing one another in psalms and hymns and spiritual songs, singing with grace in your hearts to the Lord. And whatever you do in word or deed, do all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God the Father through Him.” ‭‭Colossians‬ ‭3:11-17‬ ‭NKJV‬‬ @rahelfoodproducts #tanzaniafoodfestivaluk #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/Cb9w96Rtou4/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years
Video
instagram
Pitapita za Mswahili Madukani … Harakati za Christmas 🎄 🎅 zimeaanza huku #christmasshopping #christmasdecor #christmas2021 #christmascoventr #kitchenshopping #kitchendecor #tabledecor #tablesetting #tableware #tabledecoration @primark #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/reel/CV3MNxZg5On/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years
Video
instagram
Jikoni leo Kitchen today Pitapita za Mswahili Madukani Ndoto za Nyumba /jiko lako zikoje? #kitchentoday #kitchendesign #kitchenshop #kitchendecor #kitcheninspiration #jikoni #Nyumba #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CUcjMqcAww4/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years
Video
instagram
Pitapita za Mswahili Madukani Mapambo ya Nyumbani Ndoto ya Nyumba yako ikoje 😉 #housedecor #homedecor #homedecoration #homedesign #homeinterior #homestyling #homeinspiration #homeideas #nyumbani #nyumbamapambo #NyumbanaRachelsiwa #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/reel/CUNzszeAnRN/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years
Video
instagram
Jikoni leo Kitchen today Pitapita za Mswahili Madukani #kitchentoday #kitchendesign #kitchenshop #kitchendecor #kitcheninspiration #jikoni #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CUCxjxiga4D/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 3 years
Photo
Tumblr media
Pitapita za Mswahili Madukani … Harakati za Christmas 🎄 🎅 zimeaanza huku #christmasshopping #christmasdecor #christmas2021 #christmascoventry #lifestyleblogger#vlogger #mswahili🇹🇿#rachelsiwa🙏🏽 ❤️ https://www.instagram.com/p/CT7LPu2tlCX/?utm_medium=tumblr
0 notes
rachelsiwafan · 6 years
Photo
Tumblr media
Hello 👋 1/08 was my birthday 🍰 I want to Thank God for everything🙏Thanks to my Family,Relatives and Friends for Prayers🙏May God continue to bless you all🙏 I love you all❤️ #Luke1:1-80🙏 Habari👋1/8 ilikuwa kumbukumbu ya kazaliwa kwangu 🙏Sifa na utukufu namrudishia Mungu 🙏 Asanteni sana wote kwa Maombi,Sala/dua zenu🙏Mungu aendelee kuwabariki🙏 #Nawapenda❤️ Ikikupendeza soma#Luka1:1-80🙏 #happybirthday#Life#prayer#blessings#baraka#furaha#sala#Munguyumwema#Godisgood #lifestyleblogger #vlogger #CoventryUk🇬🇧#mswahili🇹🇿 #Rachelsiwa🍰❤️
1 note · View note