Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo
Kama vile samaki alivyomtapika Yona kutoka tumboni mwake vivyohivyo adui akutapike Leo utoke katika maficho yake kwa jina la Yesu Uliyemezwa na magonjwa Uliyemezwa na shida mbalimbali Uliyemezwa na ufukara Uliyemezwa na kunyanyaswa Uliyemezwa na madeni Uliyemezwa na roho za usaliti Na kila Aina ya ubaya toka kwa adui ukakutapike kuanzia Leo Nyangumi wa maisha yako akutapike Leo Kwa jina la Yesu Mwachie uwe huru kuanzia Sasa Pokea sasa https://www.instagram.com/p/B45KDPCFvEC/?igshid=8au8357bah8t
0 notes
Photo
Msifadhaike mioyoni mwenu mnamwamini mungu niaminini na Mimi nyumbani MWA baba yangu kuna makao mengi la sivyo ningali waambia maana naenda kuwaandalia makao nilipo Mimi nanyi Muwepo Amen Kisha share tafadhali https://www.instagram.com/p/B42EOvnlzKg/?igshid=13tgnr7uj64az
0 notes
Photo
Mwanamke alitokwa na Damu Muda mrefu Kama miaka 18 umri wa mtu mzima siajabu alitengwa na ndugu kutokana na tatizo Hilo alienda kwa waganga wa kienyeji hakupona, akaenda hospital kamaliza akakata tamaaa kutokana na kuugua Muda mrefu aliposikia habari za Yesu Aliazimu moyoni mwake nikigusa pindo la vazi lake nitapona! Biblia inasema alijipenyeza Kati ya makutano wengi maelfu mpaka kumkaribia Yesu alipogusa TU Kama alivyoamin moyoni mwake akapona Muda ule ule (mathayo 9:18-38,Marko 5:25-34) (unaelewa maana ya kutokwa damu wanawake wanaelewa ifululize mwezi TU ushachanganyikiwa Sasa huyu miaka 18 vuta pita ) Hata wewe Leo haijalishi jaribu lako limekaa Muda mrefu kiasi gani Hakika linaenda kuondolewa kwa jina la Yesu Haijalishi uchumi wako umeyumba kiasi gani Leo ukaanze kustawi kwa jina la Yesu Hata Kama umeumizwa na Magonjwa kiasi gani Hakika Mungu Anakwenda kukutokea kwa jina la Yesu kila Magonjwa yanayokusumbua kwa mamlaka niliyopewa ninayaamuru na kuyaharibu kea jina la Yesu Ewe pepo uliyetumwa kumtesa huyu ndugu naalika Moto ukateketeze mazalia yako kea jina la Yesu Haijalishi umekaa kwenye ndoa au mahusiano Muda mrefu Bila Aman Bwana wa aman Akakupe Aman kwa jina la Yesu mafarakano uozo wa kipepo ushindwe tokaaaaa!!! Kwa jina la Yesu muachie huyu awe huru kuanzia sasa Haijalishi umekaa Muda Mrefu Bila kupata mtoto Bwana akakupe faraja ya moyo upate mtoto Sasa kila kamba zilizofunga Kizazi chako za kipepo kijini wachawi haya tokaa kwa jina la Yesu ukawe huru Bwana Mwandalie huyu asomaye hapa mguse kuanzia Muda huu Pokeaaaa kwa jina la Yesu Inawezekana umekosa Mchumba hata wa kukusemesha nakutangazia kutakasika Sasa wachumba wakakuone na kukuoa au kuolewa kupitia jina la Yesu Pokeaaaa Sasa Shida zozoote zilizokuzonga nawe Muda mrefu zikakuache kwa jina Yesu pokeaaa Sasa kea jina la Yesu zikakome kuanzia sasa Amen Share tafadhali https://www.instagram.com/p/B4kNpgZFK4c/?igshid=1iehbrxika9vc
0 notes
Photo
Ezekiel aliulizwa Je mifupa hi mikavu yaweza ishi akajibu wewe Bwana Ndiwe Wajua Akamwambia itabirie mifupa hi naye akafanya hivyo likatokea jeshi kubwa Haijalishi Kuna mambo unayaona hayawezekani kufanyika Lakini Leo habari njema NI kwamba hata ugonjwa wako uwe mgumu umeshindikana kwa Madaktari kiasi gani Amin Leo mifupa mikavu inayokusumbua inakwenda kuota nyama Sasa Biashara yako inakwenda kustawi kwa jina la Yesu Usiyeolewa Amin Mungu anakwenda kukutokea Tena baada ya kusoma ujumbe huu Pia kwa yule ambaye analemewa na madeni hakika Bwana amesikia kilio chako anakwenda kukufuta MACHOZI yako nawe unaenda kuwa huru Uliyefungwa Kizazi Amin Mtu bado NI yeye yule Jana Leo hata milele anakwenda kukufuta MACHOZI nawe unaenda pata mtoto baada ya kusoma ujumbe huu Pokea Sasa Baraka zako Sasa kwa jina la Yesu Pokea kila hitaji likusumbualo likapotee na kuharibiwa kabisa mkono wa Bwana nauarika uambatane nawe kea damu ya Yesu Kama upo online na unayoimani Seema amen kea ushindi kea jina la Yesu Pokeaaaa!!! https://www.instagram.com/p/B4hMu6qFKvE/?igshid=ciwo1v69ngtl
0 notes
Photo
Kama vile samaki alivyomtapika Yona kutoka tumboni mwake vivyohivyo adui akutapike Leo utoke katika maficho yake kwa jina la Yesu Uliyemezwa na magonjwa Uliyemezwa na shida mbalimbali Uliyemezwa na ufukara Uliyemezwa na kunyanyaswa Uliyemezwa na madeni Uliyemezwa na roho za usaliti Na kila Aina ya ubaya toka kwa adui ukakutapike kuanzia Leo Nyangumi wa maisha yako akutapike Leo Kwa jina la Yesu Mwachie uwe huru kuanzia Sasa Pokea sasa https://www.instagram.com/p/B4ePsAnn-2_/?igshid=1l3fokatdal3q
0 notes
Photo
NAKUOMBEA WEWE AMBAYE MKONO WAKO UTAANDIKA AMEEEN 1.Naomba Mungu akuponye usiku huu wa leo 2.Mwenyezi Mungu akisikie kilio chako 3.unapo amka kesho kutana na Habari njema 4.Unapo share iwe kwako Ameeeeeen SHARE https://www.instagram.com/p/B4ck8G-nbqK/?igshid=1xmudqorymxw7
0 notes
Photo
Nakuombea Mungu atibu majeraha yako arudishe Tena furaha yako Kwenye ndoa Kwenye kazi Biashara Uchumba Mafanikio Kwa jina la Yesu pokea hitaji lako Sasa ninavunja na kuharibu kila Aina za mikosi balaa laana mitego yoote naikata kwa jina la Yesu Pokea sasa https://www.instagram.com/p/B4Z6YsDnn4-/?igshid=lo97raedeh1l
0 notes
Photo
Tunaendelea kumaliza kamba za adui zilizofunga maisha yako toka unazaliwa walikuweka kwenye chupa,makaburini, kwenye mti mkubwa,mapangoni mitoni baharini Naikata kamba iliyokufunga kwa jina la Yesu toka huko uliko njoooooooo!!!! Kwa jina la Yesu https://www.instagram.com/p/B4Z5u2EnG7u/?igshid=14ffr81xk3i05
0 notes
Photo
Miezi hii miwili Nakuombe kwa Mungu upate neema machoni pake Bwana na kisha utembee pamoja naye na upate kibari kwake Mungu na kila unachokihitaji ukapokee katika Jina la Yesu Kristo imekua (Mwanzo 6;8) https://www.instagram.com/p/B4Z44rxHyE3/?igshid=16vy2ufbtyiwg
0 notes
Photo
Nilienda kwa Mfalme nikamuuliza "Yesu ni nani?" Mfalme akajibu Yesu ni Mfalme wa Wafalme. Nikaenda kwa fundi umeme nikamuuliza Yesu ni nani? akajibu Yesu ni taa ya ulimwengu. Nimeenda kwa mwindaji nikamuuliza Yesu ni nani? akajibu Yesu ni Simba wa Yuda. Nilienda kwa muoka mikate nikamuuliza Yesu ni nani? akanijibu Yesu ni mkate wa milele. Mtu pekee ambaye sijakutana naye ni wewe ila kwa bahati nzuri tumekutana humu facebook nakuuliza Yesu ni nani? Weka jibu lako, like na share ujumbe huu mzuri ili nipate majibu mengi. Hakikisha ume #LIKEPAGE https://www.instagram.com/p/B4Vi3eKlJiR/?igshid=10hmzs57sx5vy
0 notes