Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo

Mjadala wa kujua au kutokujua lugha naona umefika mwisho. Hapa tatizo ni nani? Mwandishi au Mmiliki wa biashara? Je kwa wahitaji wa hili huduma kuna tatizo kwani? "Kiingereza waachie British Council bwana" Nakutakia Jumamosi yeye Amani tele. (at St. John's University of Tanzania) https://www.instagram.com/p/BptxTmcAorQ/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=z4ak10vqax2n
0 notes
Photo

Ni wakati muafaka kwa wakazi wa Dodoma na viunga vyake kufuatilia kitakachofanyika pale Mipango; aidha ni muda muafaka kwa watanzania kufuatilia matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia runinga. "Nchi hii ni yetu sote; tushirikiane kuijenga" https://www.instagram.com/p/BohFvIrAsCD/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=b1eayhkhrtog
0 notes
Video
Hahahaaaaa https://www.instagram.com/p/Bodkh3sguWD/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1uh64ukbafpps
0 notes
Photo

#MaadiliEthics Ndg. Davis Makundi kutoka MED akichangia mada katika semina ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyoandaliwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Semina hiyo iliyotolewa kwa wawakilishi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali ilitoa mwanga kwa wawakilishi hao kuielewa sheria ya Maadili na suala la uwajibikaji wao kwa Umma. Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya mwaka 1995 inatoa fursa kwa mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka Elimu kwa Umma juu ya sheria hiyo. https://www.instagram.com/p/BoVgTqiAcFa/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1niept3v3xhz1
0 notes
Photo

Jamani nasaidia tu kushare (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BoTiFiUABYJ/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=191xd8hna41f6
0 notes
Photo

#MaadiliEthics SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA INA JUKUMU LA:- Kupokea tamko la rasilimali na madeni ya viongozi wa Umma; Kuhakiki taarifa za Mali na madeni ya viongozi wa Umma; Kupokea malalamiko na tuhuma za ukiukwaji wa Maadili kutoka kwa Umma; Kufanya uchunguzi wa awali wa malalamiko; Kutoka Elimu kuhusu Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma; Kutunza daftari la Mali na madeni ya viongozi, na kuratibu shughuli za Baraza la Maadili. "Timiza wajibu wako" https://www.instagram.com/p/BoOlTRYAAmT/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=ypyngklcvvy
0 notes
Photo

#MaadiliEthics Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 (1995), Maadili maana yake ni Maadili ya Viongozi wa Umma yaliyowekwa na Sheria hiyo. Pasipo Maadili Taifa haliwezi kufikia malengo lililojiwekea katika nyanja mbalimbali. Kwa ajili hiyo uadilifu sharti ujengwe ndani ya jamii ili uwe sehemu sehemu ya utamaduni wa nchi. https://www.instagram.com/p/BoMgi1EgwB9/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1n1xkcktdop9q
0 notes
Photo

#SheriaYaMaadili13(1995) SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA INAKUPA NAFASI WEWE KUSIMAMIA MAADILI YA VIONGOZI NA WATUMISHI WA UMMA KWENYE JAMII YAKO. https://www.instagram.com/p/BoJ8TDmgu9I/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=xtikww6d68wz
0 notes
Photo

Viongozi na Watumishi wa Umma wanapaswa kuwazilisha Tamko la Rasilimali na Mali wanazomiliki wako, wenza wao na watoto chini ya miaka 18 si zaidi ya Dwsemba 31! "Viongozi au Mtumishi wa Umma, wajibika sasa" https://www.instagram.com/p/BoJM4geg0s7/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=chi4hxz2j7oj
0 notes
Photo

ASASI ZA KIRAIA DODOMA ZAPIGWA MSASA KUHUSU MAADILI. Asasi za kiraia 20 zinazojihusisha na Maadili na Utawala Bora Mkoani Dodoma zimepatiwa mafunzo kuhusu Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya mwaka 1995. https://www.instagram.com/p/BoJAcDfgKUz/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=11uxg4wak2map
0 notes
Photo

#KuwaNaAmani Vijana ni kundi kubwa katitika taiga letu. Kundi hili lisipojengwa ki maadili, kisaikolojia na kijamii linaweza kuwa kundi hatari sana katika Amani ya nchi yetu. Tuwape vijana nafasi wajiamini na kuipenda Amani ya nchi yao. "Wewe ni kijana, jiamini" Taifa linakutegemea sana. https://www.instagram.com/p/BoI6Qroghf1/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1w3ju3b9y67nd
0 notes
Photo

Ni Tsh. 16,500/= Baby anatoka na saa ya kiwanja inayo muongezea umaridadi lolote alipo! Pia 0625466937 au 0710432333. Mzigi umetua leo na tayari zimesalia dahhhh. https://www.instagram.com/p/BoBfYi6gB1v/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=aywe50hrgmeh
0 notes
Photo

MZIGO MPYA WA SAA ZA KIJANJA UMEINGIA. Baada ya King and Queen na Couples Watch; sasa tumekuletea Stylish Watch za kisasa kabisa. Wahi sasa ni chache sana! 0625466937/0710432333 bei ni 16,500/- https://www.instagram.com/p/BoBeT_WA65o/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=dwqpk1cwk465
0 notes
Photo

#KuwaNaAmani. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Bw. Patrobas Katambi amewataka wananchi wote kutambua thamani ya Amani na kuilinda. Amesema chanzo kikuu cha uvunjifu wa Amani ni ubinafsi kwa baadhi ya Watu kuwa na tamaa na kufanya dhuluma. Amesisitiza kila mtu amjali mwenzake ili kila upande uridhike na kuidumisha Amani ya Tanzania. https://www.instagram.com/p/Bn-4uRVgHUY/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=9l7qun7ukghy
1 note
路
View note
Photo

#KuwaNaAmani Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Be. Patrobas Katambi ambaye pia ni mgeni rasmi katika Siku ya Amani akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi. Maadhimisho ya siku ya Amani duniani yanafanyika katika Hoteli ya Morena Jijini Dodoma. https://www.instagram.com/p/Bn-335BgjWa/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=m7dpluyz6bhz
1 note
路
View note
Photo

"Nothing is hopeless; we must hope for everything" Nawatakia wahitimu wote wa darasa la saba maandalizi mwema ya Pre-form One! (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/BnZBaKqg3JX/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=fuevadbgxn5o
0 notes