Tume andikiwa vijana kwakua tunayo nguvu ya kumshinda shetani.
Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
POKEA NGUVU
” 8 Lakini mtapokea nguvu akishawajilia Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu na Yudea yote na Samaria, hadi mwisho wa dunia.” (Matendo 1:8)
Ni wengi katika Kristo wanao jua kuhusu Roho mtakatifu, lakini ni wachache walio mpokea. Na ni kwasababu hawakuweza kukaa uweponi na kumsubiri awajilie juu yao na wengine wanaamini tu kuwa Roho mtakatifu yupo lakini hawaamini…
View On WordPress
0 notes
Text
NYAMAZA KIMYA
13 Ndipo pilato akamwambia, Husikii ni mambo mangapi wanayokushuhudia ? 14 Asijibu hata neno moja, hata liwali akastaajabu sana. (Mathayo 27: 13-14)
Kuna wakati unaweza ukapitia wakati mgumu (kama Yesu) ambao kila mtu akawa na neno baya juu yako na wala wasijue kwanini yamekupata hayo unayopitia, binadamu kusema ni jadi yetu lakini kuwa na kiasi sana katika kujibu wanayosema juu yako kwani…
View On WordPress
0 notes
Text
MUHIMIDI MUNGU
“Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu, wala kuniondolea fadhili zake.” (Zaburi 66:20)
Ni maneno mafupi mno ya kumtukuza Mungu ambaye kila kukicha unamweleza hoja zako ili upate kupewa haki yako. Nakutia moyo Mungu ni mwaminifu yeye achelewi wa hawai bali atakujibu kwa wakati sahihi.
View On WordPress
0 notes
Photo

ISHI MILELE "35 Baba anampenda Mwanae na amempa mamlaka juu ya vitu vyote. 36 Ye yote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatauona uzima bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake daima.” (Yohana 3:35-36)
0 notes
Text
USIMSULIBISHE MARA YA PILI.
“Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtkatifu, 5 na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu ya zamani zijazo, 6 wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwa fanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.” ( Waebrania 6:4-6).
View On WordPress
0 notes
Photo
NIMEKUWA KIUMBE KIPYA "Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya." (I Wakorintho 5:17).
0 notes
Text
KIUMBE KIPYA
“Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.” (I Wakorintho 5:17). Kuna nguvu kubwa sana ndani ya Kristo na endapo ukipata bahati ya kuingia ndani yake basi inakubadili kisawasawa, inakufanya kuwa kiumbe kipya yaani kiumbe ambacho hakina dhambi wala uharibifu. Fanyika kuwa kiumbe kipya kwa kumpokea Yesu moyoni mwako na atakufanya kuwa…
View On WordPress
0 notes
Photo
NIKUMBUSHE MAMBO YAKO Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako. (Isaya 43:26). Mungu ni wa haki na mwaminifu kwakweli anakuambia umkumbushe na umweleze mambo yako ili akupe haki yako.
0 notes
Text
MIMI NI NURU YA ULIMWEN
MIMI NI NURU YA ULIMWEN
Rafiki kumbe siyo Yesu pekee aliye nuru ya ulimwengu bali mimi na wewe pia, kazi ya nuru ni kuangaza, na palipo na nuru– giza aliwezi likawepo Mathayo 5:14 (a)Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Je nuru yako inaonekana au giza limeishinda?, je maisha unayoishi leo yanaile nuru ya kweli kutoka Mbinguni?, yatafakari maisha yako mpendwa na kama nuru yako imefifia kumbuka ulipo anguka ukatubu, pia kama nuru…
View On WordPress
0 notes
Photo
YEYOTE ANIPENDAE Kumpenda Mungu ni jambo lisilohitaji nguvu yeyote sasa kwanini ukose mambo mema kutoka kwake?. Aujachelewa huu ndiyo wakati sahihi wa kurudisha pendo lako kwake kama ulishampenda na ukarudi nyuma na anza kumpenda sasa kama haukuwai kumpenda.
0 notes
Text
POKEA JIBU KWA KILA OMBI
POKEA JIBU KWA KILA OMBI
Watu wengi wamekata tamaa katika kuomba kwasababu kila wakiomba hawapati majibu. Ili kupokea jibu hakikisha uhusiano wako na Mungu upo vizuri yaani uwe umezaliwa mara ya pili ( Johana 3:3), kwa maana ameahidi kukusikia na kukujibu ( I Nyakati 7:14)
Mungu anakupenda kwa kiwango ambacho atakama ungekua mwenyewe duniani bado angemtuma Yesu afe kwa ajili yako. Alisema ombeni nanyi mtapewa, tafuteni…
View On WordPress
0 notes
Text
SABABU MBILI (3) ZA YESU KUJA DUNIANI
SABABU MBILI (3) ZA YESU KUJA DUNIANI
1. KUOKOA WENYE DHAMBI
Yesu alikuja ili kuokoa wenye dhambi waishio duniani, hii ni baada ya Mungu kuona ya kua yule mwanadamu aliye muumba kwa mfano na kwa sura yake ameihasi sheria yake. Mungu akaamua kuleta suluhisho la uhasi wa mwanadamu ambao ulimfanya akahesabiwa makosa. ukipitia maandiko yanasema. “Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja…
View On WordPress
0 notes
Text
Nguvu iliyopo katika wazo au fikira
Wazo ni picha fulani ambayo mtu huwa nayo kichwani na kutembea nayo katika maisha yake, na huwa na matokeo makubwa juu ya maisha ya nje ya mtu husika kwani matunda yake ni matendo au mwenendo wa mtu.
Kila kukicha Mungu hutamani kuweka wazo lake ndani ya fahamu zetu, lakini na shetani pia hufanya juhudi zote ili kuweka wazo lake kichwani(moyoni) mwa mwanadamu.
Isaya 65: 2. Nitazameni, nitazameni.…
View On WordPress
0 notes
Text
Fikra za maamuzi na maisha
Fikra ni mtiririko wa mpangilio wa mawazo ndani ya mtu.
Mithali 23 : 7 Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Tunaona wazi wazi kabisa mahusiano kati ya mawazo ya mtu moyoni mwake na maisha yake ya nje, tujaribu kuangalia mambo matatu hivi:-
Fikra
Maamuzi na
Maisha.
Fikra huonesha na kuratibu misimamo ya mtu katika maisha…
View On WordPress
0 notes
Text
Kataa kua kikwazo.
Mungu anataka kutuondolea shida zetu zote, ila hawezi kufanya yote hayo bila kuwa na imani naye. Nivyema tukaifahamu kweli ili tuwe huru siku zote.
Luka 17:
1. Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake!
Ni ngumu sana kuishi bila makosa zaidi sana katika dunia hii ya sasa aijalishi upo katika njia sahihi ama njia potovu. Lakini…
View On WordPress
0 notes
Text
Amini tu!
Marko 5
1. Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi.
2. Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu; 3. makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo; 4. kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunja-vunja zile pingu;…
View On WordPress
0 notes
Text
Tuimbe zaburi katika roho na kweli.
Zaburi 23
1.Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
2.Katika malisho ya majani , Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3.Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4.Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5.Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi…
View On WordPress
0 notes