#konkimaster
Explore tagged Tumblr posts
Photo

• • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • Follow @yasuke_musashi • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • #mma #karatetanzania #tanzaniankarate #tanzaniakarate #silat #karate #freeerickkabendera #training #oldtimersday #capoeira #changetanzania #hardtraining #tutaelewanatu #aikido #martialartist #aikidotanzania #konkimaster #tanzania🇹🇿 #jfleo #martialart #shilawadu #udaku #wemasepetu #jokatemwegelo #hamisamobetto #washikajizangu #taido #idrissultan #ChangeTanzania #nanenane #tanzaniakaratefederation (at Karate-Do Tanzania) https://www.instagram.com/p/B1LKFlLDQZh/?igshid=jvc5dam0s2tx
#mma#karatetanzania#tanzaniankarate#tanzaniakarate#silat#karate#freeerickkabendera#training#oldtimersday#capoeira#changetanzania#hardtraining#tutaelewanatu#aikido#martialartist#aikidotanzania#konkimaster#tanzania🇹🇿#jfleo#martialart#shilawadu#udaku#wemasepetu#jokatemwegelo#hamisamobetto#washikajizangu#taido#idrissultan#nanenane
0 notes
Photo

#HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, #CHIFU WA KWANZA MWANAMKE - Alikuwa Kiongozi wa #Jamii ya Heru huko #Kasulu, #Kigoma na aliweza kushika wadhifa mkubwa ambapo alikuwa ni Mkuu wa Machifu wote #Tanganyika, alipokea kijiti kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 katika shule ya #Mzumbe - Inaelezwa kwamba #Mwami #Thereza Ntare alitawazwa uchifu baada baba yake Mwami Ntare kukosa mtoto wa kiume - Alipata nafasi ya kwenda kusoma #Ulaya enzi za ukoloni na alihitimu mafunzo ya sheria na kuwa mmoja ya Wabunge wachache wa Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika kabla ya Uhuru - Zama hizo jamii nyingi za Kiafrika zilitajwa kuwaweka nyuma wanawake katika masuala ya Uongozi lakini hilo halikumfanya Mwami Theresa Ntare asiweze kuongoza vizuri na kishupavu - Aliendelea kuwa Mbunge mpaka miaka ya #1980, kabla ya hapo aliachia Uchifu #1962, Katika Uwanja wa #Uhuru - Malkia huyo wa Heru alifariki mwaka 1999 na matukio mawili yaliyowatokea yeye na Baba wa Taifa ni walizaliwa mwaka mmoja #1922, na wote kufariki #1999 • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • Follow @yasuke_musashi • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • • #tutaelewanatu #karatetanzania #tanzaniankarate #tanzaniakarate #silat #uhuruwakujieleza #istandwithcag #mjenzihuru #mma #changetanzania #hardtraining #tutaelewanatu #martialartist #konkimaster #tanzania🇹🇿 #jfm (at Kasulu, Kigoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B2dVlD_DXQs/?igshid=6c2c4f6n7zh
#historia#chifu#jamii#kasulu#kigoma#tanganyika#mzumbe#mwami#thereza#ulaya#1980#1962#uhuru#1922#1999#tutaelewanatu#karatetanzania#tanzaniankarate#tanzaniakarate#silat#uhuruwakujieleza#istandwithcag#mjenzihuru#mma#changetanzania#hardtraining#martialartist#konkimaster#tanzania🇹🇿#jfm
0 notes