Tumgik
#nikipita
rwizakakiza · 29 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 13: SADAKA YA UREJES...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 13:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
5. JE, MAJIRA NA NYAKATI ZINABEBAJE MAISHA YAKO? Au KUNA UMUHIMU GANI WA MAJIRA NA NYAKATI KWENYE MAISHA YAKO?
5. 1. UNACHOKITAFUTA KIPO KWENYE MAJIRA NA NYAKATI.
Kila hitaji la Mwanadamu limefungamanishwa kwenye majira na wakati wa huyo mtu. Ndio maana tunaambiwa kila jambo lina majira yake ya kutimia, na kinachotimizwa kimefungwa kwenye muda maalum.
Hakuna unachokitafuta hapa duniani ambacho hujapangiwa, kama huna uhitaji nacho usingekitafuta. Na unachokitafuta unajua hakika ni chako yaani una haki zote kukipata. Na Kwanini unakitafuta? Kwa sababu ulikipoteza kwenye majira na nyakati ulizopoteza kwa kujua ama kutokujua.
Daima tunatafuta kilichopotea au kupungua kwako, hautafuti ulichonacho tayari. Tunamtafuta MUNGU kwa sasa kwa sababu tulipoteza Mahusiano na MUNGU kwa sababu ya dhambi, ikatupelekea macho yetu kufa, tukabaki kumtafuta kwa kupapasa papasa, kuangaika na kumtafuta hata sehemu ambapo hayupo, na kisha kuangukia miungu mingine. Wengine kubaki kudai MUNGU hayupo kwa sababu hajulikani.
......Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye ambaye ninyi mnamwabudu bila kumjua. Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha KUWAWEKEA NYAKATI ALIZOZIAMURU tangu zamani, na mipaka ya makazi yao; ili WAMTAFUTE MUNGU, ingawa ni kwa KUPAPASA-PAPASA, WAKAMWONE, ijapokuwa HAWI MBALI na KILA MMOJA wetu.
.......Mdo 17:23-27.....
Kumpoteza MUNGU yaani kuvunja mahusiano naye, inasababisha kuvuruga majira na nyakati na kushindwa kuzitambua na kutokutambua huko utaanza kuishi kwa kupishana na majira na nyakati, kwa sababu umempoteza MUNGU ambaye ulipaswa kuishi ndani yake na kuwa hai ndani yake
......Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.
......Mdo 17:28.....
Kwa kupoteza mawasiliano na MUNGU, tuliwekewa mipaka na kikomo yaani hapo ndipo tulipowekewa kila kitu kikabebwa ndani ya majira na nyakati. Na majira hayo yakipita yamepita na baraka zake. Majira yaliamriwa yabebe kila kitu chako baada gharika, alipofutilia watu na kubakiza kizazi cha Nuhu.
......Muda nchi idumupo, majira ya kupanda, na mavuno, wakati wa baridi na wakati wa hari, wakati wa kaskazi na wakati wa kusi, mchana na usiku, havitakoma.
......Mwa 8:21-22......
Kama umesoma vizuri Nuhu alichokifanya ili majira na nyakati ziendelee kuwepo ingawa kwa kufungamanishwa na maisha ya mtu, Nuhu alimjengea MUNGU Madhabahu na akatoa sadaka ya KUREJESHA mahusiano na mawasiliano na MUNGU na MUNGU akaridhia sadaka yake ndio maana akaweka majira na nyakati zibebe maisha ya mtu.
......Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu. BWANA akasikia harufu ya kumridhisha; BWANA akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya.
.....Mwa 8:20-21.....
Kwa hiyo namna bora ya KUREJESHA uwapo wa MUNGU kwenye maisha yako, pamoja na kufanya maombi, Unahitaji KUMJENGEA MUNGU MADHABAHU KWA SADAKA. Ukweli ni kwamba Mwanadamu yoyote anatoa matoleo, ila Matoleo yanageuka sadaka yanapounganika na sadaka kuu ya YESU KRISTO msalabani.
BWANA YESU alifanyika Madhabahu na wakati huo huo akawa sadaka ya kuteketezwa afanyike KIPATANISHO kati ya mtu aliyepotea mawasiliano na MUNGU wake.
.....Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda MUNGU, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa KIPATANISHO kwa dhambi zetu.
......1Yoh 4:10......
Kujitoa Sadaka na kuunganika na YESU kutakusaidia kutopoteza majira na nyakati na kurejeshewa baraka zilipotea wakati wa ujinga kwa sababu kila unachokitafuta kipo kwenye majira na nyakati na mwenye majira na nyakati ni YESU mwenyewe ukiwa naye umepata vyote, Amina.
5. 2. KUSUDI LIMEFUNGWA KWENYE MUDA
....Tutaendelea....
Rejea
“‭We have CONFIDENCE and FULL FREEDOM to ENTER the HOLY PLACE [the place where GOD dwells] by [means of] the blood of JESUS".
......Hebrews 10:19.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
1 note · View note
mackdizzo · 2 years
Text
https://www.quora.com/profile/Mackdizzo/Mackdizzo-kula-na-watu-relyrics-first-time-mi-kukuja-Nairobi-walai-kila-mtu-akua-ananitaka-sai-nikipita-mack-ata-salam?ch=18&oid=67933719&share=3aa63181&srid=u8XidE&target_type=post
View On WordPress
0 notes
tanzaniampyanews · 4 years
Photo
Tumblr media
-Kwa mujibu wa Kamanda wa kikosi cha Tanzania kinacho linda aman huko DRC, Luteni Kanali John Ndunguru katika mazungumzo na afisa wa jeshi la DRC, FARDC huko Beni, DRC, Ametoa pongezi kwa wasanii wa Tanzania haswa waimbaji wa Muziki wa Kizazi kipya na Mziki wa injili kwa Kusaidia kuena Kwa lugha ya Kiswahili katika Nchi wanazolinda amani chini ya Umoja wa Mataifa 'UN na kutaja nyimbo za #AliKiba na #diamondplatnumz Kwa upande wa mziki wa Kizazi kipya ,na Wasanii kama #RoseMuhando na #Christina Shusho upande wa nyimbo za injili Kuchangia kwa Kiasi kikubwa kuenea kwa Lugha ya kiswahili nchin DRC, tofauti na lugha nyingine. - "Kuna suala moja ambalo kwa kweli naomba nilizungumze nitoe pongezi zangu za dhati kwa wasanii wetu wa Tanzania waimbaji wa nyimbo za injili na vile vile hata waimbaji wa hizi nyimbo za kizazi kipya nao wamechangia sana katika kueneza hii lugha ya Kiswahili katika nchi hii. Utasikia nyimbo za injili kama vile za Rose Mhando, na Christina Shusho na vile vile za kizazi kipya kama vile za Ali kiba. na Diamond Platnumz Sasa hivi nikipita huko mitaani huona sisi tunapita kuzungumza nao na hasa hasa wakizisikiliza zile nyimbo na kutuona sisi wanaona kwamba sisi ndio wale ambao tumekuwa tukiziimba zile nyimbo"- Kepteni Salum Lihega, TANZBATT 7, DRC https://www.instagram.com/p/CCV0R3qgrI3/?igshid=z5rt31v3217q
0 notes
obakeband · 6 years
Text
Maua Sama – Iokote Ft. Hanstone Lyrics
youtube
[MAUA SAMA]
Hey heey….
Oh uuuh yeah
Oh baby, niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day, utanioa aah
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwaga kitutu ng’ag’a
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby
kati nakutunuku mia mia
Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande Tuwe wote eeh
Aah come baby come babe
Msumali kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday I love you
[HANSTONE]
Mmmh oh basii (lokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
[MAUA SAMA]
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby … baby
[HANSTONE]
Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge totoke mtoko (aaah!)
Boda kwa boda tutembee  (Chocho kwa choko)
Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto)
Aiye eh Rafudhi ya Pemba rangiani hai (hai)
Nywele kihindi chambi chambi (nai)
Cheza rafu kona bambii, Mpoko mpoko
Heeeii Refa katupa penatii (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako Piga shuti nikudalie
Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nikugande Tuwe wateee (eeh)
Uhuu yeeeeh
[HANSTONE]
Aah come baby come baby Msumali kwa nyundo nigonge Ohh Monday to Sunday I love you
Mmmh oh basii (lokote)
Sio kwa beds kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby … baby
The post Maua Sama – Iokote Ft. Hanstone Lyrics appeared first on Obake Band.
0 notes
samuelgathaga · 8 years
Photo
Tumblr media
FENAMENAL CHALLENGE 1.Push ups in the middle of traffic 2.Gate crash a kid's birthday party 3.Mess up a meal delivery 4.Hit the strip in your onesie Tuna dance twende juu FENAMENAL Tuna dance twende chini FENAMENAL Tunadance tunaruka FENAMENAL ....sema NG'WE Nikipita unasema NG'WE Nikifika unasema NG'WE Ukipita tunasema NG'WE #SunshineRally2017 #MrTheSMG
0 notes
valuepress · 1 year
Link
0 notes
valuepress · 1 year
Link
0 notes
valuepress · 1 year
Link
0 notes
mackdizzo · 2 years
Text
Mackdizzo song kula na watu lyrics
first time mi kukuja Nairobi walai kila mtu akua ananitakasai nikipita mack ata salamuNairobi ilinifunza kuka nawatuju rafiki pia anaeza kua adui yakoakutakina akikuuja kwako anadai“mack pia Mi nakuombea akitu upate”maombi Mi hua sikatai mi husema Asantewatu watu watuNairobi wekula tu nawatuwatu watuNairobi wekula tu nawatu First club nipate naivashaMi u role na madem wasupa kama kina…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes