Don't wanna be here? Send us removal request.
Text






Kitu gani kilichosababisha hadi Mimi kufanyiwa hivi! Kutolewa kafara !
0 notes
Text




People were very surprised that I was getting fat and good looking( beautiful)
Also know how tumors started appearing in my mouth .
0 notes
Text





'' Ukimwi wa siku hizi tofauti na zamani mtu haukondi kondi ,unanenepa na kupendeza, hautokwi na vipele Pele wala nywele kunyonyoka''
Maneno hayo nilimsikia mtu mmoja akimwambia mwenzake wakati Mimi nilipokuwa napita!?
Wakati Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kutibu matatizo mengine na wala sio Ukimwi !?
Hata huku Dar es salaam hali kama hiyo ilitokea mwaka 2016 Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kwa ajili ya kuua FUNZA mwilini mwangu na nyinyi mkaniletea taharuki !?
0 notes
Text





'' Ukimwi wa siku hizi tofauti na zamani mtu haukondi kondi ,unanenepa na kupendeza, hautokwi na vipele Pele wala nywele kunyonyoka''
Maneno hayo nilimsikia mtu mmoja akimwambia mwenzake wakati Mimi nilipokuwa napita!?
Wakati Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kutibu matatizo mengine na wala sio Ukimwi !?
Hata huku Dar es salaam hali kama hiyo ilitokea mwaka 2016 Mimi nilikuwa natumia DAWA za asili kwa ajili ya kuua FUNZA mwilini mwangu na nyinyi mkaniletea taharuki !?
0 notes
Text





Watu hawa kuamini macho yao ! Jinsi dawa za asili zilivyonifanya nipendeze( kunawili) sana na kunenepa( kuwa kibonge)!
Pia fahamu jinsi vivimbe vilivyoanza kutokea mdomoni mwangu.
0 notes
Text






WATU WALISHANGAA SANA MIMI KUPENDEZA _ KUNAWILI SANA NA KUNENEPA !!!
Nilikuwa napenda sana kusikiliza Clouds FM, kipindi cha njia panda cha Dokta Issac Maro , nakumbuka alikuwa na Daktari mmoja kipindi hicho akiongelea kuhusu vivimbe vya fibroids.
Nilikuwa kazini mwishoni mwa mwaka 2013 vilitokea vivimbe vitatu (3) kwenye koo langu tu , Nilienda hospitali ya wilaya , Daktari aliniandikia dawa nilitumia mpaka zilipomalizika lakini vivimbe havikuondoka.
Ndipo mwezi wa sita ( June) mwaka 2014 ,ilipokuwa likizo ilibidi nije Dar es salaam kuja kumuona Daktari niliyemsikia redioni kwenye njia panda, ili nimuonyeshe koo langu na anitibie tatizo la kutokupata usingizi, Daktari alinipima mwili mzima.
Baada ya vipimo vya mwili mzima Daktari alinipa dawa za asili ( mitishamba) za kutumia miezi mitatu (3) ,baada ya hapo natakiwa nirudi tena lakini sikurudi hilo ndio kosa langu
CHA AJABU Nilipoanza kutumia zile dawa nilianza KUPENDEZA_ KUNAWILI SANA na KUNENEPA, zilikuwa dawa nzuri sana , kwani kila Nina popita watu wananiuliza uliza sana mbona siku hizi unapendeza na KUNENEPA !!!
Wengine nilipokuwa nikichemsha DAWA Zangu wanakaa hapo hapo wanaangalia!!!
KUHUSU UTOKEAJE WA VIVIMBE( TUMOURS)
Vivimbe katika mashavu yangu vilianza kutokea mwaka 2015 nilipoletwa huku Dar es salaam
Na vivimbe katika ulimi wangu vilianza kutokea mwaka 2016 huku huku Dar es salaam , kilianza kutokea kivimbe kimoja (1) na kuongezeka taratibu taratibu hadi kufikia vivimbe vinane (8) katika ulimi wangu na kutengeneza herufi W''
KUSIKIA SAUTI YA MTU( WATU) ZIKITOKEA KATIKA MTI NA NDANI YA NYUMBA
Siku moja mwezi wa Desemba mwaka 2014 nilipokuwa nafanya kazi zangu chini ya mti mkubwa nilisikia mti ukitoa sauti zikinitaja jina langu na kuelezea mambo yangu, nilihisi kama mambo ya kichawi kuna Mtu ananichezea, moyo wangu ulilipuka sana !!!
Pia sauti hizi zilianza kutokea hadi katika nyumba tunayoishi watu wakiwa wanaongea live live ( laivu laivu)
MIAKA KUMI (10) SASA IMETIMIA
Asanteni.
0 notes
Text





Dar es salaam secondary in teaching practice in 2007 , from morogoro teachers college.
0 notes
Text






Dar es salaam secondary in teaching practice in 2007, from morogoro teachers college.
0 notes
Text






WHAT DO YOU UNDERSTAND ABOUT NUCLEAR WEAPONS AND DEVICES.
Humans develop nuclear devices and weapons.
Nuclear weapons such as powerful and explosive bombs that are very dangerous , just a few bombs are enough to destroy the whole world.
Nuclear devices that emit various types of radiation that pierce ,cut and tear any organ in the body.
GOD does not make mistakes in creating things that emit radiation ,He has his reasons in the secrets of creation, but humans make mistakes by misuse.
4 notes
·
View notes