4shizo12
4shizo12
Untitled
347 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
4shizo12 · 8 years ago
Video
instagram
Inaitwa the villainess
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Video
instagram
Comming soon
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
Tumetoka Osterbay kumjulia hali Mh. *Mdee* nasikitika kuwafahamisha kuwa hali yake sio nzuri maana tangu jana anakataa kula chakula mpaka pale watakapo mpeleka mahakamani
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
#PICHA Mbunge wa Mikumi, Prof Jay akiwa kwenye Send Off ya mkewe mtarajiwa. Mheshimiwa anatarajiwa kuuaga ukapera hivi karibuni. Una neno gani kwake ?
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
Ikitokea umepata nafasi ya kusafiri kwenda kwenye nchi yoyote unayoipenda kwa mapumziko utaenda na nani? 1. Rafiki 2. Wazazi 3. Mpenzi
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
nani kapendeza zaidi 1. Alikiba 2. Nedy 3. dimpoz
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
Mwanasaikolojia mmoja nchini Afrika Kusini amesema wanawake wengi hukosa ndoa kutokana na mavazi yao wanayovaa. Hili lina ukweli wowote?
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Video
instagram
Pale dume zima unapokimbia mende mbele ya mwanamke @thebesthitkdramas
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
DAWA LISHE: Fahamu asili ya komamanga na matumizi yake Komamanga ni tunda lenye asili ya India na kisayansi linaitwa Punica Granatum, lakini lililetwa Marekani na wawekezaji wa Kihispania na kwa sasa limejulikana dunia nzima. http://www.mwananchi.co.tz/DAWA-LISHE--Fahamu-asili-ya-komamanga-na-/1596774-4005208-12ffpumz/index.html
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
*_Loooooooooh! kali ya wiki, Mke alikufa, akakutana na mumewe mbinguni, akamwambia; 'Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu. Mume akajibu: " Weee! Weee! Ishia hapohapo, tuliapa KIFO ndicho kitakacho tutenganisha, huku mbinguni nipo single, kuna Malaika namfukuzia usije ukaniharibia bure_* 😂😂😂😂😂😂😂
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
Haya new brand in town, #comingsoon ,kwa mahitaji unaweza wasiliana hapa 0712162840, email denisbenard5gmail.com instagram @jembestory255
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Video
instagram
Kweli hali ngumu
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Video
instagram
Digital vs analog
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
*Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela ni ya nini? Nikamwambia ni kifupi cha 100,000.* _*Na hii ni mpaka afunge shule🤣*_ _Mambo ya kataka vitu kiufupi ufupi hayamuachi mtu salama_
0 notes
4shizo12 · 8 years ago
Photo
Tumblr media
UJINGA NI KITU KIBAYA SANA KWA SABABU; UJINGA - Uliwafanya Simba Wang'oe Viti Uwanja Wa Taifa UJINGA - Uliwafanya Simba Waheshimu Bendera Na Nyimbo Ya Taifa La DRC Na Kudharau Taifa Lao Wakati Yanga Ikicheza Na Tp Mazembe Mechi Ya Kombe La Shirikisho Uwanja Wa Taifa UJINGA - Uliwafanya Simba Wale Pesa Za Rambi Rambi Ya Msiba Wa Marehemu Mafisango UJINGA - Uliwafanya Simba Waombe Kibali Cha Maandamano Kwa Madai Ya Kwamba Wanaonewa😂😂 UJINGA - Uliwafanya Simba Walilie Point 3 Za Dezo Katika Mchezo Wao Na Kagera Sugar Wakati Wao Ndo Walifungwa 2 - 1 😂😂 UJINGA - Unawafanya Simba Waamin Kwamba Bado Bingwa Wa Vpl 2016 /2017 Hajapatikana Had Pale Rufaa Yao Isikilizwe Na FIFA UJINGA - Uliwafanya Simba Wasusie Zawadi Ya Mshindi Wa Pili UJINGA - Uliwafanya Simba Waongoze Ligi Kwa Point 8 Halafu Ubingwa Akabeba Yanga UJINGA - Unawafanya Simba Waone Kichuya Ni Bora Kuliko Msuva UJINGA - Unawafanya Viongoz Wa Simba Watupwe Lupango UJINGA unawafanya mashabiki na wanachama wa simba waliobiwa fweza zao wawatetee wezi wao KWANINI WASIITWE MBUMBUMBU FC!! IKIKUUMA NJOO NYUMBANI KIBITI UNIPIGE!!!!😜😜😜
0 notes