acwc-injili
acwc-injili
Untitled
16 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
acwc-injili · 11 months ago
Text
Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. Yohana 3:30
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano; lakini nimekuombea wewe ili imani yako isitindike; nawe utakapoongoka waimarishe ndugu zako. Luka 22:31, 32
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Na yule asiyejua, naye amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo. Na kila aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi; naye waliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi. Luka 12:48
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba; Mathayo 7:24
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vikuukuu; na kama wakitia, vile viriba hupasuka, divai ikamwagika, na viriba vikaharibika; bali hutia divai mpya katika viriba vipya, vikahifadhika vyote. Mathayo 9:17
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Je! Moyo wako waweza kuvumilia, au mkono wako waweza kuwa hodari, katika siku zile nitakapokutenda mambo? Mimi, Bwana, nimenena neno hili, tena nitalitenda. Ezekieli 22:14
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule mfinyanzi, alikifanyiza tena kuwa chombo kingine, kama alivyoona vema yule mfinyanzi kukifanya. Yeremia 18:4
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Kwa kuwa Bwana ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye. Mithali 3:12
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. Kutoka 14:13
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. Kutoka 14:13
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. Kutoka 14:13
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
1 Yohana 2 :¹⁵ Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. ¹⁶ Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. ¹⁷ Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye. — 1 Yohana 5:1
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Warumi 1:18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Text
Isaya 28:22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; MAANA NIMESIKIA KWA BWANA, BWANA WA MAJESHI, HABARI YA HUKUMU ITAKAYOTIMIZWA, NAYO IMEKUSUDIWA, ITAKAYOIPATA DUNIA YOTE PIA.
0 notes
acwc-injili · 11 months ago
Photo
Tumblr media
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
1 note · View note