Tumgik
baraka-gerald255 · 3 years
Photo
Tumblr media
Mwenyekiti wa Jumuiya leo ameendesha Jumuiya kifanisi mno hajagusia mada za Vijana kuoa kabisa.. Nadhani akiendelea hivi atafika mbali.. Hivi ndo inatakiwa iwe sasa! Follow 👉 @baraka_gerald255 #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQTVLDGLt8u/?utm_medium=tumblr
1 note · View note
baraka-gerald255 · 3 years
Photo
Tumblr media
Yule Jamaa Aliyesema Ukipata Mke Umepata Kitu Kizuri, Ameomba Msamaha.!🚶 🤣🤣🤣 #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQJrqi-rtdw/?utm_medium=tumblr
1 note · View note
baraka-gerald255 · 3 years
Video
instagram
Watu ambao ni marafiki na matajiri wana kiburi zaidi kuliko matajiri wenyewe #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQJmkFlHGOH/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Video
instagram
Hahahahaha we sister @smoter__ usinunue tena hawa mbwa wako wa online watakuja kufa kwa presha 🤣🤣🤣 #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQJgKOanA9p/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Video
instagram
POPO (BAT)⠀ ⠀ Popo ni wanyama warukao na ndio wanyama pekee wenye uwezo huu (yaani ananyonyesha na uwezo wa kuruka),⠀ kuna species zipatazo 1300 za popo⠀ ⠀ Popo ni kiumbe kisichoweza kusimama na kutembea hivyo hulazimika kulala huku akiwa kichwa chini na miguu juu⠀ ⠀ Popo pia huruka na kuongozwa na mwangwi maalumu uitwao echolocation ambao humsaidia kujua aina ya kitu kilichopo mbele yake⠀ hali hii hutumiwa pia na kundi la nyangumi na dolphin, nao hutoa sauti ambao huwajuza mbele kunani?⠀ ⠀ Popo wanakula wadudu kama chakula japo kuna popo wapo marekani wanaitwa vampire bats hao hunywa damu tu na Popo wanakula mbu zaidi ya 1000 kwa muda wa saa moja wakari wa usiku (hivyo ukifuga popo utasahau kuhusu mbu😀 japo chamoto utakiona)⠀ ⠀ Baada ya kupiga menyu digestion hufanyika kwa dakika 20 tu tumboni (sisi masaa mawili )⠀ ⠀ Popo ni nocturnal animals yaani mchana hawaoni na hupumzika ila usiku ndo huwa active, na wanauwezo wa kuona mbali sana wakati huo wa usiku⠀ ⠀ Wanaishi miaka 40 na wanashika mimba kuanzia siku 40-mpaka miezi 6⠀ japo inategemea na jamii,⠀ huzaa mtoto mmoja kwa mwaka⠀ Wanaishi kijamii sana wanaweza wakawa kumi mpaka 50 eneo moja⠀ ⠀ Video⠀ kama inavyosemekana kwamba mwana ndio chanzo kikuu cha huu ugonjwa unaotusumbua hapa duniani wa corona⠀ ⠀ Sasa popo kitaalam ni mnyama anayeweza kukaa na ugonjwa bila yeye kudhuruka ila unapotoka kwenda kwa wanyama wengine ndipo balaa huanza, na hawa wanyama huitwa "carrier" ⠀ Huu mchezo pia unaweza kuukuta kwa nyani na sokwe, wanaweza kuwa na ugonjwa na usiwape tabu ila sasa ukijisogeza wakakupa collabo basi jiandae kwenda kumlaki izraili 😀⠀ ⠀ #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQJdqWqn-NE/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Photo
Tumblr media
Unawafahamu? #baraka_gerald255 (at +255 On Level) https://www.instagram.com/p/CQI6j07LTUr/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Photo
Tumblr media
Unawafahamu? #baraka_gerald255 (at +255 On Level) https://www.instagram.com/p/CQI6j07LTUr/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Video
instagram
Daaa😢😢😢 #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQF_G7vnP72/?utm_medium=tumblr
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Text
Follow me on instagrab @baraka_gerald255
0 notes
baraka-gerald255 · 3 years
Video
instagram
Nilitaka kushangaa maajabu 🤣🤣🤣 #baraka_gerald255 https://www.instagram.com/p/CQEepuPHdMU/?utm_medium=tumblr
1 note · View note