Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo

“Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma chafanyika 10/03/2018 leo.” (at Dodoma, Tanzania)
0 notes
Photo

“Biashara za hovyo hovyo hazina nafasi tena,someni alama za NYAKATI” (at Dodoma, Tanzania)
0 notes
Video
Biashara za hovyo hovyo hazina nafasi tena,someni alama za NYAKATI” (at Dodoma, Tanzania)
0 notes
Photo

Epuka matapeli, Laini za TTCL ni BURE kabisa, HAZIUZWI.
0 notes
Video
instagram
“Kuna watu wanataka kila siku tuandamane. Tukifikiria maendeleo, wao wanawaza maandamano. Sasa acha waandamane wataona, kama kuna watu wanawatuma watakwenda kusimulia"- Rais Dkt @jpjm_ #JPMChato (at Chato District)
0 notes
Photo

Hon Dr Jakaya Kikwete - ENJOYING THE BEAUTY OF LIFE AFTER PRESDENCY ! Having lunch with kith and kin at the Uncle Said Lumaliza's (1917-2018) funeral at Msigi Village near hometown Msoga.
0 notes
Photo

#NiFurahaTu: Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani - Tukiwa na Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli, mapema leo katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City. #Hapakazitu. @CloudsMediaLive @swahilitimes @ccm_tanzania @MichuziJr @TimesFMTZ #KauliMBIU. (at Mlimani City Conference hall)
0 notes
Video
instagram
“Mke Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Akiwa Mgeni Rasmi Kwenye Sherehe Za Siku Ya Wanawake Duniani ambapo Kimkoa wa Dar es Salaam imefanyika katika Ukumbi wa Mlimani City.” (at Mlimani City Conference hall)
0 notes
Video
“Mama Janeth Magufuli mgeni rasmi kwenye sherehe za Siku ya Wanawake Duniani ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo” (at Mlimani City Conference hall)
0 notes
Photo

TulipoToka Na Tulipo Sasa Hakika Serikali Inayoongozwa Na Chama Cha Mapinduzi Inahitaji Pongezi Sana Kwa Hatua Kubwa Iliyopiga Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿. #WenyeWivuMkajinyonge @miaka 50 ya Uhuru hakujanyika lolote 🙈🧐👁Ulitaka ikakutandikie kitanda ⁉️⁉️🤣🤣🤣😂😂 Piga kazi JPM 💪🏼💪🏼 @iambaraka @issamichuzi @gersonmsigwa
0 notes
Photo

Serikali imezuia mnada wa mitambo ya mgodi wa Buzwagi uliokuwa ufanyike leo kutokana na mgodi huo kutokamlisha taratibu. Mgodi wa Buzwagi unaomilikiwa na kampuni ya ACACIA ambayo inaendelea na mazungumzo na Serikali kufuatiwa tuhuma za kukwepa kodi tangu kuanza kwa shughuli zao takriban miongo miwili sasa.
0 notes
Video
instagram
@salim_kikeke hii nayo vunja mbavu behind the scenes “😂😂😂 Hata picha HALIJAANZA nshadata! #behindthescenes #rehearsalstudio #bongoflava #zigo”
0 notes
Photo

At first glance I thought this was Miami beach only to realize its #Tanzania stunning view.
0 notes
Photo

SUGU KITANZINI: Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamekutwa na hatia katika ya kesi kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli na kuhukumiwa kwenda jela miezi mitano. (at Mbeya)
0 notes