frontlinetv
frontlinetv
Untitled
90 posts
Last active 60 minutes ago
Don't wanna be here? Send us removal request.
frontlinetv · 7 months ago
Text
Hii kweli ni Makondafication, wananchi wa dini zote wameitika
Mkuu wa Mkoa wa Arusha @baba_keagan amefanya tukio kubwa na laina yake mkoani humo la kuwakutanisha viongozi mbalimbali wa dini na kufanya maombi ya pamoja na kwaajili ya kuuombea mkoa huo pamoja na Taifa.
Maombi hayo yalianza kwa matembezi ya amani kutoka Round About ya Impala mpaka mnara wa saa.
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
Baada ya Rapa #JayZ kutajwa kushirikiana na #Diddy Kumbaka Binti wa Miaka 13 Mwaka 2000, #JayZ amejitokeza na kukanusha madai hayo na kumkosoa Wakili #TonyBuzzbee ambae anasimamia kesi hiyo.
.
Mshtaki anayejulikana kama "Jane Doe," anadai kisa hicho kilitokea baada ya kupelekwa kwenye hafla ya baada ya hafla ya Tuzo Video za MTV mnamo 2000, kulingana na habari za NBC.
.
Kesi hiyo pia inaeleza kuwa wakati Jay-Z na Diddy wakimbaka kwa zamu, kuna mwanamke mashuhuri ambaye hakutajwa jina alikuwepo.
.
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Meneja wa @diamondplatnumz @sallam_sk amefunguka kuwa swala la Diamond Kutoimba kwenye tamasha la #FurahaFestival usiku wa jana ni maswala ya WCB na waandaaji wa show sio sababu kuwa #WillyPaul alilazimisha kupanda kabla ya Diamond
.
Sallam anasema kuwa Willy Paul anatafuta kiki. Willy Paul alikuwa anabishana na Zuchu alimzuia asipande
Tumblr media
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
happyindependenceday
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
Mhariri, Dawati la Uchumi wa gazeti la Mwananchi, Ephrahim Bahemu amesema usafiri wa anga ni miongoni mwa sekta muhimu za kiuchumi kwa watumiaji na wasioutumia huduma hizo moja kwa moja, lakini unawanufaisha.
Bahemu amesema sekta hiyo ndiyo usafiri wa haraka hivi sasa kuliko mwingine unaowezesha kutoka eneo moja kwenda jingine.
Amesema usafiri wa anga unasafirisha mizigo haraka, hivyo unabaki kuwa kiungo muhimu katika uchumi.
“Usafiri wa anga ni miongoni mwa sekta zilizofungamanishwa kwa ukaribu na sekta za utalii. Kwa sehemu kubwa utalii unachangiwa na uwepo wa huduma za usafiri wa anga. Mtu anaweza kutoka Uingereza, kesho yupo Kilimanjaro, au yuko Seoul (Korea) akaja Tanzania kwa urahisi,” amesema.
Bahemu amesema hayo leo Ijumaa Desemba 6, 2024 akichangia mada kwenye mjadala wa Mwananchi X-Space (zamani twitter), uliondaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa ushirikiano na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), ukijadili maadhimisho ya miaka 80 ya usafiri wa anga duniani.
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
Ukifika saa 4 usiku leo, wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga watakuwa uwanjani kuvaana na MC Alger mchezo utakaochezwa Uwanja wa 5 July 1962.
Ni mchezo wa kujiuliza kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mjerumani, Sead Ramovic ambaye ataiongoza timu hiyo kwa mara ya tatu tangu atambulishwe Novemba 15, 2024, akichukua nafasi ya Muargentina, Miguel Gamondi.
Ramovic anavaana na MC Alger akiwa ametoka kupata ushindi wa mabao 2-0 ugenini katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, kabla ya hapo alipoteza nyumbani mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Hilal kwa kichapo cha 2-0.
Soma kwa undani kwenye tovuti ya Mwananchi.
#frontsportz
#frontnewz
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
#HABARI Wasiwasi kwamba serikali ya China inaweza kupata data nyeti ya mtumiaji kupitia app ya video fupi ya TikTok, ambayo inamilikiwa na kampuni ya Kichina ya ByteDance, imesababisha serikali ya Marekani kupitisha sheria ya kupiga marufuku mitandao ya kijamii isipokuwa iuzwe kwa mnunuzi aliyeidhinishwa na Serikali.
Rais Biden alitia saini kuwa sheria ya sheria ambayo inatoa ByteDance hadi mwaka kujiondoa kutoka kwa TikTok. Kampuni ilipoteza jitihada zake za kwanza za kisheria za kubatilisha sheria mnamo Desemba 6, wakati jopo la majaji watatu wa shirikisho kwa kauli moja lilikataa hoja ya TikTok kwamba sheria ilikiuka Marekebisho ya Kwanza. Kampuni hiyo iliahidi kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo kwa Mahakama ya Juu.
TikTok, ambayo ina watumiaji milioni 170 nchini Marekani, inaweza kupigwa marufuku mara tu katikati ya Januari, isipokuwa itapokea amri iliyoamriwa na mahakama ambayo itasitisha sheria kuanza kutumika wakati rufaa inaendelea. Pia kuna nafasi kwamba Rais mteule Donald J. Trump atajaribu kuokoa zuio la App hiyo nchini humo. #frontlinetv
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
Mkurugenzi Mtendaji wa UnitedHealthcare #BrianThompson, 50, alipigwa risasi na kuuawa Jumatano asubuhi nje ya Hilton katikati mwa jiji la Manhattan, ambapo alipangwa kuhutubia wawekezaji.
.
Msako sasa unaendelea kumtafuta mtu aliempiga risasi ambaye polisi wanaamini kuwa alimlenga Thompson katika kumpiga risasi, ingawa nia bado haijafahamika, kulingana na New York Times.
.
#Thompson, mkazi wa Minnesota, alichukua usukani wa kitengo cha bima cha UnitedHealth Group, mojawapo ya mashirika makubwa zaidi Nchini Marekani, mwaka wa 2021.
.
Alikuwa akiingia hotelini kwa ajili ya mkutano wa kila mwaka wa wawekezaji wa UnitedHealth Group alipopigwa risasi kifuani na mtu aliyejifunika uso, kisha akakimbia kwa baiskeli, CNN iliripoti. Thompson alipelekwa katika hospitali ya Mount Sinai, ambapo alitangazwa kuwa amefariki.
.
Mkutano wa wawekezaji ulighairiwa ghafla baada ya kupigwa risasi.
.
Powered By @joackcompany

#SportsHub Follow @joackcompany
kauli iliyomponza Afisa Habari wa Klabu ya #SimbaSc #AhmedAlly kwa Yanga ambapo wanamtaka awalipe bilioni 10 na kuomba radhi hadharani ndani ya siku Tano.
.
Mbali Na hivyo #AhmedAlly amekiri kupokea barua kutoka Klabu ya #Yanga kuhusu deni la Tsh Bilioni 10 na kutakiwa kuomba radhi.
.
Powered By @joackcompany
.
#frontsportz
#frontlinetv
0 notes
frontlinetv · 7 months ago
Text
Tumblr media
Adalas Mwijagege, baba mzazi wa Michael Kalinga ali, mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Chunya mkoani Mbeya amesema anaviachia vyombo vya dola kubaini waliohusika na mauaji ya mwanaye.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wa kijana huyo umekutwa katika Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Mwijagege ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha TLM Kata ya Makongorosi amesema, Jumatatu saa 3:00 usiku kijana huyo alipigiwa simu na watu wasiojulikana ambao walimweleza wanauza mbuzi na aliwaaga wafanyakazi wake na kuondoka na binti mmoja (jina limehifadhiwa) kwa pikipiki yake.
Mwijagege amesema walipofika kwenye eneo la Mianzini kuna pori la miti mirefu, kijana huyo alijisikia haja ndogo, aliposimama kujisaidia ndipo walipo jitokeza watu wasiojulikana na kumshambulia kwa vitu vyenye ncha kali na kusababisha umauti.
Soma zaidi kwenye tovuti ya Mwananchi.
(