Don't wanna be here? Send us removal request.
Text

TUNAUZA VYUNGU (MAJIKO YA VIFARANGA) VYA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA | KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA
WhatsApp/Call/Text: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Faahamu kuhusu vyungu vya kulea vifaranga kwa lengo la kuokoa gharama za kutumia umeme au gesi.
Umuhimu wa vyungu.
1�� Vyungu hivi vinauwezo wa kutoa joto kwajili ya vifaranga na hata kuku wakubwa.
2• Vyungu vinauwezo wa kutoa joto zaid ya masaa kumi na mbili ( 12hrs)
3• Ukiweka mkaa asubuhi ni hadi jioni ndio utaongeza tena.
4• #Chungu kimoja kinauwezo wa kuhudumia vifaranga 100 ndani ya bruda
5• Kama hauta tumia bruda chungu kimoja kitaweza kutoa joto LA kulea vifaranga 80 hadi 90.
6• Chungu hutumia mkaa mchache sana hivyo hupunguza gharama za matumizi ya umeme au gesi
7• Vyungu vinauwezo wa kukuza vifaranga vizuri na hukua kwa afya njema.
Sifa za vyungu kutoka @mifugo_tz
a. Udongo wake ni mfinyanzi asilia kwa 100%
b. Vyungu ni vizito
c. Vina ukubwa wa kutosha
d. Vina matundu ya kutoa joto la kutosha
f. Vinauimara wa kutosha
Vyungu hivi unapata ukiwa mkoa wowote tunakutumia ulipo.
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
Website
http.//www joack.co.tz
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #vyungu #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #vyunguvyavifaranga #daressalaam #morogoro #tanzania #tanzania🇹🇿 #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #vunguvyajoto #vifaranga #daktariwamifugo #vyunguvyajotokwavifaranga #majikoyavifaranga #uleajiwavifaranga
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text

TUNAUZA DISEL ENGINE NA PETROL ENGINE KWAAJILI YA MASHINE MBALIMBALI
Hizi ni engine ambazo zinafungwa kwenye mashine mbalimbali kwaajili ya kuwezesha mashine kufanya kazi.
Kama upo sehemu kuna changamoto ya umeme au shambani hizi ndio engines nzuri za kutumia kwenye mashine zako.
Engines tunzo za uwezo tofauti tofauti, hivyo unaweza kupiga simu kwa maelezo zaidi..
Pia tunauza motor za uwezo tofauti tofauti kuanzia HP 2.5 hadi 50HP.
#mashine #engine #enginezajoack #enginezadisel #enginezapetrol #injini #injinizamashine #enginezamachine #vifaavyangombe #ringzangombe #joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimo #ngombe #ringizangombe
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#tanzania #daktariwamifugo #daressalaam #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #mbwa #pwani #kibaha #madawa #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo #dodoma #morogoro
JOACK Vet Center JOACK Company Limited
0 notes
Text

TUNAUZA WATER SPRINKLER | VIFAA VYA KUMWAGILIA MAJI | VIFAA VYA KURUSHA MAJI | VIFAA VYA UMWAGILIAJI
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackvetclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo
WATER SPRINKLER ni kifaa maalumu chenye uwezo wa kurusha maji katika mtindo wa matone matone.
Vifaa hivi vinatumika katikati shughuli mbalimbali za uwagiliaji wa mimea kwenye kilimo na majumbani.
Watu wenye bustani/garden za majani au maua majumbani wanapenda sana kutumia hivi vifaa kwajili ya kurahisisha kazi ya uwagiliaji.
Ukiwa na sprinklers huna haja ya kuajiri watu wengi kwajili ya kuwamwagilia bustani au mimea yako.
Faida ya hivi vifaa ni kwamba vinarahisha sana kazi lakini kubwa zaidi vinaokoa gharama.
Faida nyingine ni kwamba vifaa hivi vinapunguza upotevu wa maji usio na msingi, ni tofauti kama ytatumia mpira tu, maji mengi hupotea.
JOACK Company LTD tunauza sprinklers za aina mbalimbali na zenye uwezo tofauti tofauti.
#watersprinkler #vifaavyakumwagiliamaji #vifaavyakurushamaji #vifaavyaumwagiliaji #umwagiliaji #kifaachakumwagilia #splinkler #kumwagilia #kilimochaumwagiliaji #irrigation #sprinklerirrigation #mifumoyaumwagiliaji
Office zetu zipo @TegetaWazohill ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #micheyamipera #micheyapapai #maembe #limao #ndimu #kilimotz #tunauzamiche #migomba #ndizi #komamanga #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania #mbogamboga #bustani #garden
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text

TUNAUZA PAMPU ZA MAJI ZA KUTUMIA MAUTA (PETROL AU DIESEL) | WE ARE SELLING FUEL WATER PUMP.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo.
BEI NA UWEZO WA PUMP
2 inch 300,000Tsh - Petrol
3 inch 320,000Tsh - Petrol
4 inch 480,000Tsh - Petrol
Hizi pump zinaweza kuvua maji yaliyopo umbali mita 5 hadi 6, na inaweza kupeleka maji umbali wa mita 300 kutoka kwenye pump.
Pump inatumia kiasi cha lita 1 ya mafuta ya petrol ndani ya masaa mawili na nusu (2hrs 30minite.)
Uwezo wa hizi pampu ni horse power tano point tano (5.5HP).
Hizi ni pampu zenye uwezo wa kuvuta maji kutoka sehemu moja hadi sehemu nyingine.
Hizi pampu zinaweza kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au kisima na kupandisha kwenye matank.
Watu wengi wanaofanya kilimo cha umwagiliaji hutumia hizi pump ili kuvuta maji kutoka kwenye bwawa au mto.
Pamp hizi zinapatikana JOACK Company LTD, Tegeta Dar es salaam lakini pia kwa wateja wa mikoani mtatumiwa mizigo kwa gharama nafuu sana.
#pampu #pump #pampuzamaji #pampuzakuvutamaji #pumpuzamafuta #pampuzapetrol #electricpump #waterpump #pampuzaumwagiliaji #dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
#joackcompany #Kilimo #mifugo #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #morogoro #tango #tikiti #karoti #farming
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text

TUNAUZA NYAMA KWAJILI NYA MBWA | CHAKULA CHA MBWA | NYAMA FRESH | DSM | NYAMA ZA KUKU
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Tunauza nyama fresh kabisa kwajili ya mbwa, nyama zilizopo ni KUKU, NG'OMBE, MBUZI, KONDOO, nk.
Nyama hizi ni nzuri na zinatunzwa vizuri kwenye deep-freezer baada ya kutengeneza, Karibu sana.
#nyamazambwa #chakulachambwa #nyamayangombe #nyamayakuku #nyamakwajiliyambwa #nyamayambuzi #freshmeat #dogfood #mbwawaulinzi #tunauzambwa
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompay #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #ufugaji #kuku #mabandayambwa #tanzania #morogoro #mwanza #mbeya #daktariwamifugo #dodoma #tanzania🇹🇿 #securitydogs #ufugajiwambwa #germanyshepherd #mbwawakisasa
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes
Text

TUNAUZA MICHE YA MINAZI MIFUPI FUPI MINAZI YA KISASA INAYO KUWA NA KUZAA NDANI YA MUDA MFUPI. WE ARE SELLING DWARF COCONUT TREE.
Bei ni 7,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: 0655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Kwa mahitaji ya miche ya minazi mifupi, hii ni miche ya kisasa inayokuwa ndani ya muda mfupi, yaani miaka 3 tu.
@joackcompany tumezalisha miche mingi sana, na tunayouza kwa bei nafuu, bei inaweza kupungua kulingana na idadi ya miche unayohitaji.
Bei ya mche mmoja ni 7000/= na bei ya Minazi ya asili ni 5,000/= tu.
Ekar moja inauwezo wa kubeba minazi 37, hiyo ni chotara ya Zanzibar, lakini zipo aina tatu ya minazi:
1. Minaz ya asili mirefu kwa mwaka huzaa naz 40 long life miaka 60+ na kupanda mpaka kuvuna inachukua miaka 6-8.
2. Minazi mifup (dwaf) huzaa Nazi nying long life miaka 40 ,Nazi zake ni ndogo kwa ajilli ya Madafu na pambo na aina ya mwisho.
3. Minaz chotara hii long life miaka 70+ kwa mwaka huzaa nazi 100+ nazi kubwa sana hupatikana Zanzibar na unavuna baada ya miaka 3
#minazi #nazi #minazimifupi #micheyaminazi #tunauzamiche #minazichotara #sokolanazi #minaziyakisasa #minaziyakienyeji #coconut #coconuttree
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
#joackcompany #kilimotz #kilimo #mifugo #parachichi #kilimotz #tunauzamiche #strawbery #micheyafenesi #migomba #ndizi #micheyamigomba #komamanga #micheyamiti #mitiki #miche #tanzania🇹🇿 #dodoma #tanzania
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text

TUNAUZA FEEDER ZA BATI KWAJILI YA KUKU / VYOMBO VYA CHAKULA CHA KUKU
Call/Text/WhatsApp: 0655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo ...
Vyombo vingine vya kuku tunavyouza ni:-
Bei kuanzia pc 0-9
1. Small feeder Vyombo vidogo vya chakula 5,000Tsh
2. Large feeder Vyombo vikubwa vya chakula 8,500Tsh
3. Small Drinker Vyombo vidogo vya maji 5,000Tsh
5. Large Drinker Vyombo vikubwa vya maji 8,500Tsh
6. Long feeder Vyombo vidogo vya chakula kwa vifaranga 4,500Tsh
7. Plate Chicken feeder Sahani za chakula za vifaranga 5,000Tsh
8. New Small Drinker Kibuyu kidogo 6,500Tsh
9. New Big Drinker Kibuyu Kikubwa 8,500Tsh
10. Keni za kumwagilia 14,000Tsh
Bei kuanzia pc 10
1. Small feeder Vyombo vidogo vya chakula 4,500Tsh
2. Large feeder Vyombo vikubwa vya chakula 8,000Tsh
3. Small Drinker Vyombo vidogo vya maji 4,500Tsh
5. Large Drinker Vyombo vikubwa vya maji 8,000Tsh
6. Long feeder Vyombo vidogo vya chakula kwa vifaranga 4,000Tsh
7. Plate feeder Sahani za chakula za vifaranga 4,500Tsh
8. New Small Chicken Drinker Kibuyu kidogo 6,000Tsh
9. New Big Chicken Drinker Kibuyu Kikubwa 8,000Tsh
#feeder #drinker #vyombovyakuku #vyombovyabati #feederzabati #chickenfeeder #chickendrinker #vyombovyachakula #vyombovyamaji #vifaavyaufugaji #vyombovyaufugaji #chakulachakuku #broiler #kukuwamayai #kukuwanyama #kukuchotara
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #joackvetcenter #mayai #mayaiyakisasa #mayaiyachotara #tanzania🇹🇿 #kukuwamayai #layers #kukuchotara #tunauzamayai #tanzania #mifugo #mifugotz #dodoma
Welcome JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text

TUNAUZA MASHINE YA KUKAMULIA NG'OMBE MAZIWA | WE ARE SELLING COW MILKING MACHINE
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackvetclinic @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
COW MILKING MACHINE ni aina ya machine inayotumika kukamulia maziwa kwa Ng'ombe.
Hizi mashine zipo za uwezo tofauti, zipo za ng'ombe mmoja hadi ng'ombe wa nne na kuendelea.
Uzuri wa COW MILKING MACHINE ni kwamba zinauwezo wa kukamua maziwa yote bila kubakisha maziwa kwenye chuchu, na hii husaidia kulinda chuchu isipate magonjwa.
Milking machine inakuwa pamoja na tank ambalo ni stainless steel au aluminium, maalumu kwajili ya kuifadhi maziwa yasiharibike.
Kama unahitaji hii mashine wasiliana na JOACK Co LTD, pia utapata vifaa vingine vingi vya mifugo, hivyo usisite kuwasiliana nasi muda wote unapohitaji bidhaa zetu za mifugo.
Na kwa wateja wa mikoani, msihofu kampuni inaweza kukutumia bidhaa mkoa wowote ulipo, iwe ndani au nje ya Tanzania kampuni unatuma mzigo vizuri.
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabar ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#mashineyakukamuliamaziwa #vifaavyakukamuliamaziwa #milkingmachine #maziwa #ngombewamaziwa #dairycattle #mashinezamifugo #vifaavyamifugo #matankyakuifadhimaziwa #matankyamaziwa
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
#joack #joackagrovet #joackvetcenter #joackcompany #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #dawazamifugo #dawazakilimo #pembejeozakilimo #dodoma #tanzania🇹🇿 #tanzania
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text

MAMBO MUHIMU KUHUSU UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA
Ng'ombe wa maziwa ni ng'ombe wanafungwa maalumu kwajili kuzalisha maziwa na wanauwezo wa kutoa maziwa kuliko ng'ombe wengine.
Ng'ombe huwa anashika mimba baada miezi 12 ila muda sashihi wa kupandisha ni miezi 18- 24 na jamii ya ng'ombe , chakula pamoja na mazingira.
Ng'ombe huwa anaingia joto mara moja kwa mwezi (Kila baada ya siku 18 hadi 21)
Mkulima anatakiwa kufahamu ishara/dalili zote za ng'ombe mwenye JOTO.
Ng'ombe anatakiwa kupandishwa masaa 12 baada ya kuonesha dalili za joto.
Kama Ng'ombe atashika mimba hatarudi kwenye joto baada ya siku 21, hivyo unakuwa matumaini kuwa ng'ombe wako ana mimba.
Ukaguzi wa mimba unafanyike miezi mitatu tangu siku aliyopandishwa.
Kipindi cha ujauzito kwa ng'ombe ni siku 275-285.
Ng'ombe huingia joto tena baada ya kuzaa ni siku 30-55, na anatakiwa kupandishwa tena baada ya siku 60 tangu kuzaa.
Ng'ombe anapo zaa anatakiwa kukamuliwa kwa miezi 10 (sawa na siku 305).
Ng'ombe anaekamululiwa na ana mimba, unatakiwa kuacha kumkamua huyo ng'ombe pale tu mimba yake inapofika miezi 7.
Muda mzuri wa kumwachisha ndama kunyonya ni miezi 2-4.
Hayo ni machache tu kuhusu ng'ombe wa maziwa, ila kama unahitaji elimu zaidi usisite kuwasiliana nasi, ila usiache kufatilia page zetu uweze kujifunza mengi zaidi.
#elimuyaufugaji #elimuyaufugajiwangombe #ngombewamaziwa #Friesian #elimuyangombe #maziwa #ngombe #dairycattle #milk #dairycow #wauzajiwangombe #wazalishajiwamaziwa #maziwafresh #mtindi #ngombewakisasa #wauzajiwamifugo
Ofisi zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya Wazo kiwanda cha TWIGACEMENT, karibu na kanisa la KKKT - WAZO, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa:
Simu
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #ufugaji #tanzania #daressalaam #morogoro #ufugajiwakisasa #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #dodoma #tanzania🇹🇿
JOACK company LTD | DSM BAGAMOYO
0 notes
Text

Kama una ng'ombe wa maziwa na unapata changamoto ya homa ya machuchu (Mastitis) kwa ng'ombe wako usiache kutumia hiki kifaa.
Hiki kifaa kinaitwa TEAT DIP CUP.
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA KIWELE (MASTITIS)
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Ugonjwa wa Kiwele ni maambukizi unao sababishwa na vijidudu kama bakteria, virusi au fangasi, ugonjwa huu husabisha maumivu, uvimbe, muwasho au joto kwenye kiwele cha mnyama, hizo ni dalili za mwanzoni lakini baade hupelekea tishu kufa na kiwele kushindwa kuzalisha maziwa.
Ugonjwa huu unaharibu maziwa ya ng'ombe maana husababisha maziwa kuwa na damu, usaa, au maji maji na mgando (clot).
Huu ni ugonjwa unao watesa sana wafugaji wa ng'ombe wa maziwa, na kama hatuta tibiwa vizuri chuchu inaweza kufa na kuacha kutoa maziwa kabisa.
Yawezekana umesha kutana na hii changamoto lakini imekuwa ngumu kuitatua ni muhimu kuwasaliana na wataalamu wetu wa mifugo ili waweze kukusaidia.
#mastitis #ugonjwawakiwele #ugonjwawachuchu #maziwayenyedamu #maziwayenyeusaa #kuvimbachuchu #magonjwayachuchu #TeatDipCup #maambukiziyachuchu #ugonjwawamaziwa #ngombewamaziwa #magonjwayangombe #matibabuyachuchu
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimo #mifugo #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #daktariwambwa #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #dodoma #animalhospital #tanzania🇹🇿 #mikocheni #masaki
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text
TUNAUZA MICHE YA MATUNDA AINA ZOTE MICHE YA MUDA MFUPI MICHE YA KISASA HYBRID
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Aina ya #miche ya matunda inayopatikana @joackcompany :
1. Miembe
aina za embe ambazo tunazo
a. Tommy
b. Indian Red
c. Apple Mango
d. Dodo
e. Bolibo
f. Alphonso
g. Maya
2. Papai
Aina za papai amabazo tunazo
a. Malkia
b. Calphoni
3. Chenza
4. Ndimu
5. Limao
6. Chungwa
7. Parachichi
8. Strawberry
9. Pera
10. Pomero
11. Komamanga
12. Pesheni
13. Ndizi Migomba
Aina za ndizi tulizonazo:
i. Ndizi malindi (Tunda + Kupika)
Aina za ndizi malindi
a. Malindi ndefu.
b. Malindi fupi
ii. Ndizi mzuzu (Za kupika)
iii. Ndizi kisukarii (Tunda)
iv. Ndizi bukoba (Za kukaanga maranyingi wauza chipsi au kwenye mabar wanazitumia)
v. Ndizi mshale (Zakupika)
vi. Ndizi mkono wa tembo
vii. Ndizi Jamaica
viii. Ndizi FHIA
x. Ndizi Mtwike
xi. Ndizi Jamaica
xii. Ndizi Uganda Nk.
#micheyamichungwa #micheyandimu #micheyamatunda #micheyapapai #malkiaF1 #micheyalimao #micheyapesheni #micheyaparachichi #embe #pera #limao #ndimu #chungwa #parachichi #tunauzamiche #strawbery #micheyastroberi #micheyafenesi #komamanga
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 102 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #kilimo #mifugotz #kilimotz #dodoma #tanzania #tanzania🇹🇿 #kilimochakisasa #kilimochamatunda
Welcome JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO



0 notes
Text
FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA KOROSHO | TUNAUZA NA MICHE YA KOROSHO YA KISASA.
Korosho ni zao ambalo chimbuko lake ni Portuguese na baadae katika karne ya 16 ndipo lilipofika africa katika nchi ya msumbiji na baadae likafika nchini #Kenya na Tanzania.
Kwa hapa Tanzania korosho hulimwa na kustawi vizuri katika mikoa ya kusini Mtwara, lindi, na maeneo kama Mafia, bagamoyo na Rufiji.
Korosho ni zao la biashara lenye kuleta tija na faida kubwa kama utalima kwa kuzngatia taratibu sahihi za kilimo hiki.
Mikorosho ya kisasa, iliyobebeshwa (Grafting) ndio yenye ubora wa kuleta #mavuno mengi #shambani, hivyo zingatia Mikorosho ya kisasa. Na hii Mikorosho inapatikana #JOACK Company LTD | Simu: 0712 253 102
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Korosho hufika hatua ya kuzaa #matunda pale inapo kua na umri wa miaka 2.5 hadi miaka 3.
Pia matunda ukomaa pale inapo kua na miaka 9 hadi 10.
Uwezekano wa mkoroso kuishi ni miaka 30 hadi 40.
Lakini pia kuvuna hua kunaanza mwezi october hadi mwezi december
Korosho hutumika kwa matumizi yafutayo;
1. Chakula
2. Hutumika kutengeneza rangi
3. Hutumika kama zao la biashara
4. Miti yake hutumkia kama kuni
5. Kutengeneza dawa
6. Korosho inamatumizi mengi viwandani
Endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi kuhusu #Kilimo.
Na kwa mahitaji ya miche bora ya kisasa ya korosho unaweza kuzipata kwetu.
#korosho #kilimochakorosho #cashewnut #cashewnuttress #sokolakorosho #micheyakorosho #zaolakorosho #mbeguzakorosho #cashewnuttree #wakulimawakorosho #bodiyakorosho #mikoroshoyakisasa #kiwandachakorosho #mafutayakorosho
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/u2szG8izfqU
Website link: https://www.joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #kilimotz #tanzania🇹🇿 #dodoma #migomba #mifugo #rufiji #mifugo #bagamoyo
0 notes
Text



MBEGU ZA BAMIA | ROYAL SEED | OKRA - CLEMSON SPINELESS
Call/Text/WhatsApp: +255 712 253 102
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Bamia ni kiswahili kwa kingereza inaitwa Okra.
Bamia ni zao zuri la kibiashara na pia linafaa kulimwa kama sehemu ya bustani kwajili ya matumizi nyumbani.
SIFA ZA HIZI MBEGU
1. Ukuaji ni mzuri
2. Huzaa bamia nyingi
3. Hukomaa kwa siku 45
4. Hustahimili baadhi ya wadudu
Wastani kwa heka 1kg 60cm x 40cm, na zinafaa kwa wakulima wote wakubwa na wadogo
Na wale wanaopenda kulima kwa ajili ya mbogamboga za nyumban ni nzuri kwa kuanzia
Hizi bamia zinapatikana kwa kuanzia gram 5gm, 10gm, 25g, 50gm, 100gm, 250gm na 500gm.
Mikoani tunatuma kwa usalama mkubwa sana na uhakika.
#mbeguzabamia #okra #okraseed #kilimochabamia #micheyabamia #zaolabamia #bamiazakisasa #bamiaF1 #kilomochambogamboga #sokolabamia
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 712 253 102
(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://www.joack.co.tz
#joackcompany #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #kampuniyakilimo #tanzania #nyanya #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #farming #viazilishe #dodoma
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
Text



TUNAUZA MBEGU ZA MAHINDI MBALIMBALI MAHINDI YA KISASA SIKU 75 TU UNAVUNA.
Call/Text/WhatsApp: +255 655 057 323
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo
Aina mbegu tulizonazo ni kama:-
1. SC 719 Tembo.
2. SC 403 Tumbili
3. SC 419 Tumbili
4. SC 513 Pundamilia
5. SC 627 Simba
6. Pioneer
7. Panda
8. Mkulima, et
FAHAMU kidogo kuhusu mahindi aina ya tembo sc 719
Tembo SC 719 mavuno ni uhakika 100% penye mvua nyingi.🌽🌽🙌🙌
✔Inastawi maeneo ya ukanda wa juu (penye mvua juu ya wastani)
✔Inakomaa kwa siku 150
✔Ina shina pana/nene lenye nguvu kuhimili upepo mkali. Mimea hainguki hovyo
✔Ina majani mapana, hivyo hufaa sana kwa malisho ya mifugo.
✔Ina punje nene sana. Hupendwa sokoni
✔Inakupa muhindi mkubwa sana, wenye mistari hadi 18 ya mahindi kwa gunzi moja.
✔Kipato cha gunia 50-55 kwa ekari kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo.
Unakubaliana na hili?
Kwa mahitaji ya #mbegubora za #mahindi 🌽🌽 wasiliana nasi kupitia 0655 057 323
#mbegubora #kilimobora #mbinuzakilimo #kilimobiashara
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
#mbegu #mbeguzamahindi #tumbili #pundamilia #mahindichotara #seedco #mbeguzanafaka #mahindiyamudamfupi #mahindi #mahindiyanjano #mahindiyasiku75
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 430 263
Email:
YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw
Website link: https://joack.co.tz
#joackcompany #mifugo #kilimo #kilimochaumwagiliaji #kilimochanafaka #dawazakilimo #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text

TUNAUZA MASHINE YA KUPANDIA MBEGU KAMA MAHINDI, MAHARAGE, KUNDE
Call/Text/WhatsApp: 0655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Seed Planter hii ni mashine za kupandia mbegu za punje kama mahindi, maharage, kunde, njegere karanga nk.
Hii mashine inauwezo wa kupanda mpaka heka 5 kwa siku moja, na pia zinaweka mbolea na mbegu Kwa Wakati mmoja.
Matumizi ya hii mashine yanaokoa muda wa kufanya kazi na inapunguza gharama za uendeshaji.
#mashineyakupandia #mashineyakupandiambegu #mashineyakupandiamahindi #kupandambegu #kupandamahindi #mashineyambegu #mashineyakupanda #mashineyambolea #mahindi #kilimochamahindi #nafaka #mchele #mpunga
Office zetu zipo @tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/u2szG8izfqU
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #tanzania #bananatree #dodoma #migomba #micheyamigomba #vuazilishe #mbogamboga #kilimo #tanzania🇹🇿 #daressalaam #masaki #mbezibeach #africana #mbzei #mbweni #bunju
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
Text
TUNAUZA MBWA WA MAPAMBO/UREMBO AINA YA MALTESE MBWA WA NYUMBANI #PETDOGS
WhatsApp/Call/Text: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
#Maltese hili ni kabila la mbwa wenye mauombo madogo yaani toy breed. Mbwa hawa hufugwa kama sehemu ya pambo ndani ya nyumba lakini pia kwajili ya kampani hasa kwa wapenzi wa mbwa au mtu mwenye upweke.
Asili ya hawa mbwa ni south-central Europe na asili yaoo imetokea kwa aina ya mbwa wamanaoitwa spitz type.
Mbwa hawa wanaweza kuishi mika kumi na mbili (12) hadi kumi na tano (15). Tabia: wapole, sio waoga, wanauelewa mzuri, ni rahisi kuwa nao karibu.
Wanafikosha uzito wa kilo 3–4 kwa dume na jike nae hufika kilo 3–4.
Dume anakuwa na urefu wa 21–25 cm na jike pia huwa na urefu wa 20–23 cm.
#maltese #toybreed #dog #mbwawakisasa #petdogs #mbwawamapambo #mbwa #mbwawaurembo #smallbreed #dogs #mobilepetclinic
Office zetu zipo @Tegetawazohill Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa.
Simu:
+255 655 057 323(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #paka #cathospital #doghospital #dogclinic #tanzania🇹🇿 #tanzania #madawayamifugo #dodoma
JOACK Company LTD DSM & Bagamoyo
0 notes
Text
TUNAUZA MASHINE YA KUPALAZA / KUSAGA NAFAKA KWAJILI YA MIFUGO | CEREAL MILLING MACHINE
WhatsApp/Call/Text: +255 655 057 323
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku.
Hii ni mashine maalumu inayotumika kusagia mahindi na nafaka nyingine kwajili ya chakula cha mifugo.
Kwa kifupi ni mashine ya kubalaza, yaani kutengeneza palaza.
Mashine hii inatumia umeme wa njia tatu (three phase) na hata wa njia moja (single phase) - umeme wa nyumbani
Pia ukiitaji mashine kama hii inayotumia mafuta ya petrol utaipata kwa bei sawa na hii.
Uwezo wa Mashine
1. Inasaga kilo 300 kwa saa 1 (300Kg/hr)
2. Ukubwa wa Mashine ni 4.5Kw
3. Ukubwa wa volt ni 380V au 220V
Mashine hii inapatikana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani, mizigo tunatuma katika mkoa wowote.
#mashine #mashineyakusagiaunga #mashineyakusagiamahindi #kusagamahindi #kukoboamahindi #kubalazamahindi #mashineyakusaganafaka #maizemillingmachine #mashineyakusaga #mashineyakupalaza #mashineyachakulachamifugo #broiler #kukuwanyama #kukuwakisasa #paraza #kukuwakisasa #mashineyakubalaza
Office zetu zipo Tegeta, @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha TWIGACEMENT, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 057 323 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joack.co.tz
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimotz #ufugaji #sasso #daressalaam #dodoma #tanzania🇹🇿 #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza
JOACK COMPANY LTD | DSM NA BAGAMOYO
0 notes