Tumgik
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
🗣“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni lini wanatarajia kuwasili nchini (Nigeria) lakini tumejipanga kuwapokea kama walivyotupokea.” - Afisa habari wa Rivers United, Charles Mayuku https://www.instagram.com/p/CTy7i6yqjn5/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
🗣“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni lini wanatarajia kuwasili nchini (Nigeria) lakini tumejipanga kuwapokea kama walivyotupokea.” - Afisa habari wa Rivers United, Charles Mayuku https://www.instagram.com/p/CTy7i6yqjn5/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
-Kabla ya kumlaumu kocha Nabi mnatakiwa kujua wale makocha wake wasaidizi ambao alikuja nao mwanzo waliondokaje Yanga. https://www.instagram.com/p/CTy59P5KtS_/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
Mapumziko https://www.instagram.com/p/CTuaLe6q0zS/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
#DarDabi Mechi za @azamfcofficial kubwa kali za jijini Dar es Salaam dhidi ya Simba na Yanga, kama zilivyopangwa kwenye ratiba mpya ya msimu huu 2021/2022. #WeAreAzamFC #TimuBoraBidhaaBora #KimyaKimya #AzamEnergyDrink #SARAFU #AzamUngaNambariMoja #AzamUkwaju #AzamIceCream #AzamMangoCrush #AzamStrawberry #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited https://www.instagram.com/p/CTuUNISqvni/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
🚨 M A T C H D A Y 🚨 🆚 Kagera Sugar 🌐 National Friendly Match 🏟 Kaitaba Stadium 📆 12-09-2021 🕓 10.00 PM (E.A.T) 📺 Haitooneshwa na TV yoyote 📻 Haitotangazwa na redio yoyote 👩‍💻 Fuatilia matokeo kupitia kurasa rasmi za Geita Gold FC 💎Geita Gold FC, The pride of Geita. #WeAreGeitaGoldFC💙💛 #WeAreGolds💪 #PiraKarasha #PiraElution #PiraDhahabu💎 https://www.instagram.com/p/CTtn-YCqipa/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
KIKOSI CHA CONGO DHIDI YA TANZANIA 23 Joël Kiassumbua 5 Marcel Tisserand (c) 15 Christian Luyindama 12 Mukoko Amale 3 Glody Ngonda 8 Moutoussamy Samuel 22 Chancel Mbemba 7 Chadrac Akolo 17 Cedric Bakambu 9 Dieu Merci Mbokani 11 Yannick Bolasie https://www.instagram.com/p/CTUc3enqZP7/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
Rais Samia Suluhu Hasaan atoa dola laki moja (100,000) kudhamini mashindano ya CECAFA https://www.instagram.com/p/CTUCaTyKuPu/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
Ronaldo ameisaidia timu yake ya taifa ya Ureno kupata ushindi wa goli 2-1 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. mpaka dakika ya 88 Ureno walikuwa nyuma kwa goli 1 baada ya hapo alifunga goli 2 na kuweka rekodi ya kuwa mfungaji wa muda wote timu za taifa akiwa na magoli 110 https://www.instagram.com/p/CTS2abjKu6k/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
🚨 Golikipa Metacha Mnata amejiunga na Polisi Tanzania kwa Mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga https://www.instagram.com/p/CTS1jgVqsHj/?utm_medium=tumblr
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Photo
Tumblr media
NUGAZ 'OUT' YANGA ... https://www.instagram.com/p/CTSFHl_KqTu/?utm_medium=tumblr
0 notes