kasheshemashariki-blog
kasheshemashariki-blog
KASHESHE MASHARIKI
674 posts
EAST AFRICAN ENTERTAINMENT NEWS CHANNEL
Don't wanna be here? Send us removal request.
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
What God told Prophet OWOUR will leave JCC’s ALLAN KIUNA and his followers shocked
What God told Prophet OWOUR will leave JCC’s ALLAN KIUNA and his followers shocked
Controversial Prophet, Dr. David Owour, of Repentance and Holiness Church, claims that he recently had a one on one conversation with God and He gave him a message to deliver to Pastors like Allan Kiuna of Jubilee Christian Centre (JCC), who only preach about money and have no time to lead the lost flock back to the kingdom.
  While preaching during a conference that was aired on KTN, the ‘Mighty…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Next Week Marks The 'End' of Humanity If This Happens!
Next Week Marks The ‘End’ of Humanity If This Happens!
A research expert says the world could still end within the next few weeks – despite NASA’s claims to the contrary. With just over a week to go until the first rumblings of the end of days – it could be time to hone those contingency planning skills just in case you’re the last man standing – after all Earth has had a catastrophic impact before!
As a plethora of horrors are expected to rain down…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Video:Man vs Lions. Maasai Men Stealing Lion's Food Without a Fight
Video:Man vs Lions. Maasai Men Stealing Lion’s Food Without a Fight
Documentaries have made us believe that lions and lionesses are invincible, hunting down wild animals as they wish. Perhaps that’s true to some extent, but this lioness at the Governors Camp in Maasai Mara has a story to tell.
Siena was injured badly on her left lower flank on Friday by a buffalo horn. The wound was deep with the skin sheath being fleeced but luckily no perforations to the…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Raha ya Mja kunena, Kwa Muungwana ni vitendo!Ushahidi tosha kuwa Mgombea wa CCM anakubalika na Ni
Raha ya Mja kunena, Kwa Muungwana ni vitendo!Ushahidi tosha kuwa Mgombea wa CCM anakubalika na Ni
Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika ‘Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni vitendo ushahidi tosha kuwa mgombea wa CCM anakubalika na ni bora kwa kazi’
Kwenye page yake ya Instagram aliweka video hiihii akaandika ‘Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Ni dhahiri kuwa Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho alimtukana tusi Balaa Daktari wa klabu hiyo, Eva Carneiro
Ni dhahiri kuwa Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho alimtukana tusi Balaa Daktari wa klabu hiyo, Eva Carneiro
Hayawi hayawi, mwishowe huwa, Ni dhahiri kuwa Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho alimtukana tusi kubwa Daktari wa klabu hiyo, Eva Carneiro.
Video iliochiwa na Sky Sports imeonesha Mourinho alivyomchukia na kumtukana Eva kwa maneno ya kireno ‘filho da puta’ (ambayo tafsiri yake ni mtoto wa mbwa).
Chanzo cha Mourinho kumtukana Carneiro ni kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard wakati wa dakika za…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Wanafunzi 5 Wafariki Baada ya Kupigwa na Radi
Wanafunzi 5 Wafariki Baada ya Kupigwa na Radi
WANAFUNZI watano walifariki baada ya kupigwa na radi karibu na kituo cha kibiashara cha Lumakanda, Kaunti ya Kakamega walipokuwa wamejikinga mvua chini ya mti baada ya mvua kubwa kunyesha.
Wanafunzi hao wa shule ya msingi wa kati ya umri wa miaka 7 na 14 walikuwa wakicheza kabumbu katika uwanja wa shule ya upili ya Lumakanda pale mvua ilipoanza kunyesha.
Mwanafunzi mmoja alipata majeraha mabaya…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
October 25,Watanzania (waliojiandikisha kupiga kura) Ni Lowassa Ama Magufuli?
October 25,Watanzania (waliojiandikisha kupiga kura) Ni Lowassa Ama Magufuli?
Tanzania haijawahi kuwa na mchakato wa siasa mkali kushinda mwaka huu, vyama na wananchi pia, wamechangamka na msisimko ambao haujaonekana kwa miaka mingi.October 25,watanzania (waliojiandikisha kupiga kura) watajipanga mistari katika sehemu mbalimbali nchini kuchagua Rais na wawakilishi wao Bungeni(wabunge) na wawakilishi wa maeneo yao ya makazi (madiwani). Chama Cha Mapinduzi(CCM) watamsimamisha…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Picha Nilizopiga Nikiwa Mja mzito Zilikua Kionjo, Nipiga Za uja uzito ujao Nikiwa uchi wa Myama!Zari Hassan
Picha Nilizopiga Nikiwa Mja mzito Zilikua Kionjo, Nipiga Za uja uzito ujao Nikiwa uchi wa Myama!Zari Hassan
Mitandao habari sasa hivi ni kuhusu Diamond Platnumz na mkewe Zari Hassan na mtoto wao Latiffa. Imeakua gumzo Africa Mashariki,na wawili hao wamehakikisha wanachokifanya mwao ndani, dunia imejua, sina issue na hilo.
Nchini Uganda atokako Zari, watu wamemponda Diamond Platnumz wakisema kuwa ni fala sana, amezuzuliwa na mapenzi, na pia mtoto huyu hafanani, mmoja kati ya wachumba wake Zari wa zamani…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
'Wakati nyie Watanzani Mnaongea Upuuzi, yangu Yaninyookea, Alhamdulillah'
‘Wakati nyie Watanzani Mnaongea Upuuzi, yangu Yaninyookea, Alhamdulillah’
Wema Sepetu bado yupo gangari katika ulingo wa siasa hata baada ya kushindwa kwenye kura za maoni.Yaliyo fuata ni matusi baada ya Wema kuwasemea hawajielewi wanaokipa chama cha UKAWA shavu, ameonekana katika picha na Rais Jakaya Kikwete, hivi kuna nini?walikua katika mchongo na waigizaji, na wema amewarushia maneno makali wanaochukia, ‘wakati nyie mnaongea upuuzi, yangu yaninyookea, Alhamdulillah’
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
RAIS wa Baraza la Mataifa Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)Bw Sidiki Kaba, yumo nchini Kuna Nini?
RAIS wa Baraza la Mataifa Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)Bw Sidiki Kaba, yumo nchini Kuna Nini?
RAIS wa Baraza la Mataifa Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu Bw Sidiki Kaba, yumo nchini kwa ziara ya siku mbili, Wizara ya Mashauri ya Kigeni imetangaza.
Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Waziri wa Mashauri ya Kigeni Amina Mohamed, kupitia kwa mtandao wa kijamii wa Twitter.
“Leo (Jumanne) nilifanya mazungumzo na Mheshimiwa Sidiki Kaba, Rais wa Baraza la Mataifa Wanachama wa Mkataba…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Photo
Tumblr media
Sheria Mpya Kuhusu “maneno ya uchochezi” Kwenye “TANURU LA FIKRA”(Facebook) Mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam yamepokea mashtaka kutoka kwa jeshi la polisi nchini baada ya kupata "maneno ya uchochezi" yaliyotolewa na kundi lililoundwa na watu wa kwenye mtandao wa kijamii (facebook), liitwalo "TANURU LA FIKRA"....
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
'Chama Cha Mapinduzi Ni Wakali wa Kuiba Kura' Lowassa!Watanzania, Ni Kweli?
‘Chama Cha Mapinduzi Ni Wakali wa Kuiba Kura’ Lowassa!Watanzania, Ni Kweli?
Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameituhumu CCM kuwa ni hodari wa kuiba kura hivyo akawataka wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura ili hata sehemu ya kura hizo ikiibiwa, Ukawa ishinde kwa kishindo.
Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani aliuambia umati wa wafuasi wa Ukawa uliojitokeza jana kumpokea katika ofisi za makao makuu ya CUF yaliyopo Buguruni kuwa ili kufanikisha…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Nick Mbishi Na Kampuni ya Mdundo.com Kuna Nini?Issue Nzima Tunayo
Nick Mbishi Na Kampuni ya Mdundo.com Kuna Nini?Issue Nzima Tunayo
Swala la mziki na wasanii kutopata marupurupu ya kazi zao za sanaa, kutoka kwa wahusika, limekua donda Kenya na sasa, balaa imevuka boda Tanzania.
Msanii Nick Mbishi amewalaumu Mdundo.com kwa kuwazungusha kuhusu maslahi..wamekuwa na sababu zisizo na maana na kuamua kufanya utapeli.
Amesema wasanii waliofaidika na kupataa pesa nyingi kupitia Mdongo ni Songa,Jux, Barakah Da Prince na wengine…lakini…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
‘Imebaki Story‘ Star wa filamu na muzuki, Hemedy PhD Atoa Namba Na Majina ya Mademu Alioenda Nao Kimapenzi
‘Imebaki Story‘ Star wa filamu na muzuki, Hemedy PhD Atoa Namba Na Majina ya Mademu Alioenda Nao Kimapenzi
Star wa filamu na muzuki kutoka Tanzania, Hemedy PhD ana hit mbichi kwa jina la ‘Imebaki Story‘… YES YES, hataki kulaza mambo aisee, anasema mipango yake ni kwamba hits nyingine haziko mbali sana kuachiwa… iko ambayo pia anatarajia kuiachia soon, unaambiwa humo ndani kaitaja list ya warembo wote aliowahi kuwa nao, duh.. Tutaisubiri hii !!
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Hatua ya Jeshi la Uganda kumchezea Rais Kenyatta wimbo wa “Ooh Kanu yajenga nchi” iimeibua hisia
Hatua ya Jeshi la Uganda kumchezea Rais Kenyatta wimbo wa “Ooh Kanu yajenga nchi” iimeibua hisia
Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) Jumatatu lilicheza wimbo wa kusifu chama cha Kanu wakati Rais Uhuru Kenyatta alikuwa akikagua gwaride la heshima kabla ya kuhutubia bunge la nchi hiyo jijini Kampala.
Wimbo wa “Ooh Kanu yajenga nchi” ulikuwa maarufu wakati wa utawala wa chama cha Kanu ambacho idadi kubwa ya Wakenya wanahusisha na udikteta.
Utawala wa chama cha Kanu ulifikia kikomo mwaka wa 2002…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Seneta wa Mandera Billow Kerrow 'Serikali inabagua maeneo ya Kaskazini Mashariki' Uhondo Wote Huu
Seneta wa Mandera Billow Kerrow ‘Serikali inabagua maeneo ya Kaskazini Mashariki’ Uhondo Wote Huu
SENETA wa Mandera  Billow Kerrow amepinga hatua ya Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) kuhamisha zaidi ya walimu 800 kutoka maeneo ya Kaskazini Mashariki kutokana na ukosefu wa usalama.
Bw Kerrow alisema kuwa hatua hiyo ni ishara tosha kuwa serikali inabagua maeneo ya Kaskazini Mashariki.
Seneta alisema kuwa walimu pamoja na watumishi wengineo wa serikali wanaenda kinyume na sera za serikali kwa kukataa…
View On WordPress
0 notes
kasheshemashariki-blog · 10 years ago
Text
Mwanamziki Kutoka Marekani Ne Yo Safarini Kuja #CokeStudioAfrica
Nguli maarufu anayefanya mtindo wa RnB kutoka Marekani, Neyo, yupo mbioni akipakia mabegi yake ya nguo tayari kwa safari ya kuja Kenya kwa ajili ya mchakato wa kurekodi kwenye Coke Studio.
Neyo ambaye majina yake kamili ni Shaffer Chimere, ameratibiwa kuja Kenya baadaye mwaka huu wakati wa fainali ya kurekodi kwa kipindi hicho ambacho amepangiwa kutumbuiza.
“Ndiyo mikakati na michakato yote ya…
View On WordPress
0 notes