Tumgik
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Burudani zilitawala katika siku ya Mwanamke duniani. by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Kila burudani na vionjo vyake nyoka alivyogeuka kivutio katika siku ya mwanamke duniani. by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
ilikuwa siku ya mwanamke duniani. by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Harusi ya Adela na Fracens ilikuwa ni Fullshangwe. by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: Jifunze Jinsi ya Kufanya Collor Grade kwa kutumia Adobe Premier Pro CC https://www.youtube.com/watch?v=ivoZC8zw5iw
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA 31 WA APRM https://www.youtube.com/watch?v=ZWm8_uYMTwo
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania itaendelea kutoa mchango wake kwenye Mpango wa Nchi za Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) ili kuziwezesha nchi wanachama kujifunza kwake na yenyewe iweze kujifunza kutoka kwao. “Tutaendelea kuungana na nchi wanachama kwenye mpango huu wa APRM ili tuweze kuwa sehemu ya mchango wa maendeleo ya nchi nyingine na sisi pia tuweze kujifunza kupitia nchi hizo katika maeneo ya kuimarisha demokrasia na utawala bora, usimamizi wa uchumi na maendeleo ya jamii.” by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: WALIOVAMIA KARANTINI YA MIFUGO WATAKIWA KUONDOKA https://www.youtube.com/watch?v=9zqItvBly0E
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka Wananchi wakiwemo Wafugaji waliovamia eneo la kuhifadhia na kuiangalia kwa muda Mifugo inayosafirishwa kwenda nje ya nchi kuondoka katika eneo hilo kwa hiyari huku akionya kuwa atakayekaidi Serikali itatumia nguvu kuwaondoa. Waziri Ndaki alitoa wito huo alipotembelea eneo la Karantini ya Kwala iliyopo katika Wilaya ya Chalinze, Mkoani Pwani Disemba 23, 2021. Alisema kuwa eneo hilo lina maslahi mapana kitaifa na hivyo wananchi kuvamia na kufanya shughuli zao katika eneo hilo linafanya karantini hiyo kupoteza sifa ya kibiashara kimataifa. "Hili eneo lina maslahi ya kitaifa hivyo wananchi walioingia na kukaa huku bila utaratibu wowote tuwaambie waondoke kwa hiyari, wale tutakaowakuta wakati tutakapoanza kazi ya ujenzi wa Karantini ya kisasa basi tutatumia nguvu kuwaondoa", alisema Mhe. Ndaki by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: WANYIRAMBA HATARI https://www.youtube.com/watch?v=A6YYLs6IC2A
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
NGOMA HALIZA YA WANYIRAMBA WA MKOA SINGIDA IRAMBA MAGHARIBI. by Mtazamo news Tv
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: Dk majuto afanya sherehe za matambiko https://www.youtube.com/watch?v=qbDMSc8meJk
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: hasili ya kizigua tambimbiko https://www.youtube.com/watch?v=irk3EaT8p2M
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: Ngoma Za kizigua ni raha sana https://www.youtube.com/watch?v=iO1scHwG4jE
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: How to Create Student ID Card Design in Illustrator cc 2018|School Id Card Design in Illustrator cc https://www.youtube.com/watch?v=BvyxPClvE1c
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
Liked on YouTube: Print Ready Business Card Design in Illustrator | Create visiting card die cut line & bleed section https://www.youtube.com/watch?v=-K6_QWNSvpo
0 notes
mazallaposts · 2 years
Video
youtube
by Mtazamo news Tv
0 notes