Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
Halmashauri toeni Mikopo kwa vikundi vinavyolima Mwani’ Prof. Shemdoe
Halmashauri toeni Mikopo kwa vikundi vinavyolima Mwani’ Prof. Shemdoe Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe ameuelekeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kuhakikisha wanaviwezesha vikundi vya Wanawake wanaojishughulisha na Kilimo cha mwani Wilayani humo. Prof. Shemdoe ametoa agizo hilo wakati alipotembelea visiwa na Chole na Juwani kujionea bidhaa mimea bahari…

View On WordPress
0 notes
Text
WAZIRI MKUU| Ahimiza kila mtoto aende shule, aonya wasipewe biashara
WATOTO NI WAO LAKINI KWENDA SHULE NI LAZIMA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ni jukumu ya kila mzazi kuhakikisha anampeleka shule mtoto kwa kuwa Serikali imeweka mazingira bora na wezeshi katika Sekta ya Elimu “Tulishasema, mtoto wa Kitanzania kwenda shule ni lazima. Watoto ni wao, lakini kwenda shule ni lazima. Ndiyo maana Serikali ilifuta ada katika shule zote.” Alitoa kauli hiyo jana…

View On WordPress
0 notes
Text
NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KUAGWA JPM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo ametembelea katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na kukagua maandalizi ya tukio la kuagwa kwa mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, litakalofanyika Jumamosi Machi 20 na Jumapili, Machi 21, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo ametembelea katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam na kukagua maandalizi ya tukio la kuagwa kwa mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli, litakalofanyika Jumamosi Machi 20 na Jumapili, Machi 21, 2021. Mhe. Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi yanayofanywa chini ya usimamizi wa Kamati ya Kitaifa ya Maafa ambayo yeye mwenyewe ndiye Mwenyekiti wake…

View On WordPress
0 notes
Text
Hayati Dr John Pombe Magufuli Kuzikwa Machi 25 Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Miwili wa aliyekuwa Rais Dr John Pombe Magufuli utazikwa Machi 25 mwaka huu nyumbani kwake Chato, mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Miwili wa aliyekuwa Rais Dr John Pombe Magufuli utazikwa Machi 25 mwaka huu nyumbani kwake Chato, mkoani Geita. Ameeleza hayo wakati alipohutubia taifa punde baada ya kuapishwa Ikulu Dar es salaam Rais Samia amesema kuwa kesho Machi 20, 2021 mwili wa Hayati Rais Dk John Magufuli utatolewa Hospitali ya Jeshi Lugalo na…

View On WordPress
0 notes
Text
Mwarobaini wa Makanpuni ya Simu Janja Janja Wakaribia
Naibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Andrea Mathew (MB) akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na viongozi wa makampuni ya Mawasiinao ya simu ya Airtel, Halotel, TiGo, TTCL na Vodacom, amefanya ziara ya kutembelea maeneo yenye changamoto za mawasiliano ya simu na redio katika wilaya ya Urambo.
Naibu waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Andrea Mathew (MB) akiwa ameambatana na wataalamu kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari pamoja na viongozi wa makampuni ya Mawasiinao ya simu ya Airtel, Halotel, TiGo, TTCL na Vodacom, amefanya ziara ya kutembelea maeneo yenye changamoto za mawasiliano ya simu na redio katika wilaya ya Urambo. Ziara hiyo…

View On WordPress
0 notes
Text
AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KUMUUA KAKA YAKE:
Katika hati ya maelezo ya onyo ya mshitakiwa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamhuri, Gladness Senya iliyotolewa na shahidi mmoja kati ya mashahidi kumi, mshtakiwa alibainisha kuwa alimuua ndugu yake huyo Julai 23, 2014 kwa maelekezo ya baba yake mzazi ikiwa ni imani za kishirikina 'NDAGU' au 'KAFARA' ya kutaka utajiri wapate mifugo mingi zaidi ndani ya familia yao.
Mahakama Kuu kanda ya Tabora imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Ntuluwambula Ukenyenge almaarufu Abasi Charles Mkazi wa Kata ya Usinge wilayani Kaliua baada ya kutiwa hatiani kwa kumuua ndugu yake Masayu Salum na kisha kumfukia kwenye shimo. Katika hati ya maelezo ya onyo ya mshitakiwa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamhuri, Gladness Senya iliyotolewa na shahidi…

View On WordPress
0 notes
Text
RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi “Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Badilikeni”
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kubadilika kwani hariziki na jinsi sekta ya Utalii inavyoendeshwa hasa ikizingatiwa kwamba uchumi wa Zanzibar unategemea sekta hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kubadilika kwani hariziki na jinsi sekta ya Utalii inavyoendeshwa hasa ikizingatiwa kwamba uchumi wa Zanzibar unategemea sekta hiyo. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokutana na uongozi wa Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale pamoja na…

View On WordPress
#AFRIKA#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAMBO YA KALE#TANZANIA#UTALII#WIZARA YA MALIASILI NA UTALII#ZANZIBAR
0 notes
Text
Klabu ya Dar Young African Imepata Kocha Bora atangaaza vita kwa Mtani
Velud ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya Sudan amekubaliana kila kitu na uongozi wa klabu ya Yanga na atajiunga na klabu hiyo mwisho wa msimu huu (July) ili kuanza maandalizi ya msimu ujao. Kocha huyo atakuwa analipwa mshahara wa dola 20,000 kwa mwezi (Milioni 46.3 za Kitanzania).
Kamati ya Ufundi ya Timu ya Dar Young African Imemchagua Hubert Velud Kuwa kocha Mkuu wa Klabu hiyo inayoshikiria nambari moja kwenye Ligi Kuu ikiwa tayari imepoteza matumaini ya kutwaa Kombe hilo baada ya kuwa na mwendelezo wa kufanya vibaya Hubert Velud Hubert Velud ni Kocha mzoefu kwa Bara la Afrika ambaye amewahi kuzifundisha vilabu vya ES Setif, US Alger, JS Kabylie na CS Constantine za…

View On WordPress
#AFCON#AFRIKA#DAR ES SALAAM#EPL#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#LIGI KUU#MAGEZETI YA TANZANIA#MICHEZO#SIMBA#TANZANIA#YANGA
0 notes
Text
Makamu wa Rais |Rais Magufuli anawasalimia sana
Amesema kuwa rais Magufuli anawasalimia sana Watanzania na anawasihi waendelee kuchapa kazi.
“Katika wakati muhimu wa Watanzania kushikamana ni wakati huu, wakati wa kujenga umoja ni huu, sio wakati wa kusikiliza maneno ya kutoka nje yakatuparaganisha, tuchape kazi, tujenge umoja ili Tanzania iwe Taifa imara”-Mama Samia Suluhu, Makamu wa Rais wa Tanzania akiwa ziarani Tanga“Niwahakikishie Wananchi, Tanzania tuko salama, chapeni kazi ili kuleta maendeleo, uimara wa Taifa letu unaleta…

View On WordPress
#AFRIKA#AMERIKA#DAR ES SALAAM#HABARI KUU#KIMATAIFA#KITAIFA#MAGEZETI YA TANZANIA#MAREKANI#MICHEZO#TANZANIA
0 notes
Text
Familia ya George Floyd Kulipwa USD 27 Milion kama Fidia ya Kifo chake
Mawakili wa Familia hiyo wamesema jiji litailipa USD Milioni 27, ambazo ni nyingi zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya Marekani kama fidia kwa kifo kilichotokea kwa njia za kihalifu.
Jiji la Minneapolis katika Jimbo la Minnesota nchini Marekani limefikia makubaliano ya kuilipa fidia Familia ya George Floyd, Mwanaume mweusi aliyefariki akiwa mikononi mwa Polisi Mzungu mwezi Mei mwaka jana. Mawakili wa Familia hiyo wamesema jiji litailipa USD Milioni 27, ambazo ni nyingi zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya Marekani kama fidia kwa kifo kilichotokea kwa njia za…

View On WordPress
0 notes
Text
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) umefikia asilimia 70.9
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu. Urefu wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2 za watembea kwa miguu.

View On WordPress
0 notes
Text
Kipa chaguo la kwanza katika kikosi cha Tanzania Prisons, Jeremia Kisubi anahesabu siku tu kabla ya kutua Jangwani ili kuitumikia Yanga
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ambazo tulizipata jana asubuhi ni kwamba meneja wa mchezaji huyo alikutana na uongozi wa Yanga.Meneja wa Kisubi asubuhi ya leo, alikwenda katika ofisi za GSM na kufanya kikao kilichokuwa kirefu juu ya mazungumzo ya kumuachia mchezaji wake.“Muda huu hapa ndio wametoka kuzungumza meneja wa Kisubi pamoja na Injinia Hersi Said jinsi ya kumpata kipa huyo ili…
View On WordPress
0 notes
Text
Waziri Mkuu Awahakikishia Watanzania Hari ya Ukimya Rais Magufuli ni Mzima Wa Afya
Serikali ya Tanzania imeweka bayana kwamba Rais John Magufuli yu mzima bukheri wa afya hivyo Watanzania wapuuze taarifa zinazoendelea kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kwamba wale wanaoendelea kuzusha hayo lengo lao ni chuki na kuzua taharuki miongoni mwa wanajamii. Taarifa ya Serikali imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya Swala ya Ijumaa huku akikemea tabia ya baadhi ya…

View On WordPress
0 notes
Text
Mtakatifu Francisca alizaliwa mwaka 1384, huko Roma. Alizaliwa katika familia yenye uwezo na kuheshimika.
Mtakatifu Francisca Wa Roma, Mtawa. Mtakatifu Francisca alizaliwa mwaka 1384, huko Roma. Alizaliwa katika familia yenye uwezo na kuheshimika. Akiwa umri wa miaka 11 alitaka kuwa mtawa, lakini alipofika umri wa miaka 12, aliozeshwa kwa Lorenzo Ponziani, ambaye alikuwa kamanda katika jeshi la Papa. Ndoa yake ilikuwa nzuri, na alitumia muda ambao aliupata kwenda kuwatembelea maskini na wagonjwa,…

View On WordPress
0 notes
Text
Rais wa CAF Ahmad Ahmad kuachia Madaraka Baada ya Rufaa yake Kutupiliwa mbali na Mahakama ya CAS
Rais wa CAF kuachia Madaraka Baada ya Rufaa yake Kutupiliwa mbali na Mahakama ya CAS
Patrice Motsepe anatarajiwa kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (Caf) wiki hii, baada ya baada mahakama ya kusuluhisha migogoro ya michezo (Cas) hii leo kupunguza adhabu ya marufuku ya kujihusisha na mpira kwa rais wa zamani wa Caf Ahmad Ahmad kutoka miaka mitano hadi miwili. Safari ya bilionea huyo raia wa Afrika Kusini kuchukua hatamu ya uongozi wa Caf ilinyooka mwishoni mwa juma…

View On WordPress
0 notes
Text
KENYA WAENDELEA KUISHIKA 'PABAYA' TANZANIA
Kwa maoni yako unadhani hatua iliyochukuliwa na nchi hiyo jirani ni sahihi hususani kwa bidhaa ambayo ilishazoeleka kuingizwa nchini humo kwa miongo kadhaa au nini kingefanyika kama suluhu?
Msemaji mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali ya Tanzania na Kenya zinaendelea na mazungumzo ili kufahamu kiini cha kuzuiwa kwa Shehena ya Mahindi kutoka Tanzania kuingia nchini Kenya yakiwa kwenye magari eneo la Namanga Arusha pamoja na Holili na Tarakea Kilimanjaro mpakani mwa Tanzania na Kenya lakini katika maeneo mengine ya mpakani ukiwemo mpaka wa Horohoro Tanga hakuna zuio…

View On WordPress
0 notes
Text
Tanzania 'kuchunguza wizi wa kikombe cha Ekaristi'. Kikombe cha Ekaristi Takatifu kutoka kanisa moja la katoliki nchini Tanzania kimeibiwa, kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi.
Polisi bado wanachunguza jinsi kikombe hicho kilivyotoweka kutoka kanisani. Polisi bado wanachunguza jinsi kikombe hicho kilivyotoweka kutoka kanisani Kikombe cha Ekaristi Takatifu kutoka kanisa moja la katoliki nchini Tanzania kimeibiwa, kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi. Wizi wa kikombe hicho cha Ekaristi kilicho na thamani ya dola 2,150 ulitokea Jumapili iliyopita katika Parokia ya Mkoka,…

View On WordPress
0 notes