Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo

#EPUKANA -NA-ATHARI YA KITAMBI# Kuongeza uzito au kunenepa na Kuwa na Kitambi, Haswa kwa wanaume, kunasababisha mwili ushindwe kupata sehemu ya kutosha ya kuhifadhi mafuta na hivyo kuanza kuyatunza mafuta hayo kwenye sehemu za ndani ya mwili, kuuzunguka moyo na ndipo matatizo yanapoanza. Mwisho wa Siku Hupelekea kusababisha Mathara makubwa ya mwili, Kama Presha, Sukari, Kukosa Nguvu, Mifupa Kuuma na Pia Kwa wanaume Kushindwa Kutumikia Kwa usahihi Tendo la Ndoa!!! #USHAURI Jinsi ya kuondoa Sumu na kupunguza kitambi chako kwa njia salama na ya Afya Ndani ya siku 9.. Wasiliana nasi kwa namba 0715815826 // 0762352360 Au comment namba yako na sisi hatutasita kuwasiliana na wewe kwa ajili ya maelezo zaidi na jinsi ya upatikanaji wake ulivyo... LookBetter..FeelBetter..LiveBetter
0 notes
Photo

KUTOKWA NA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI Hili ni taitizo ambalo huwakumba wanawake wengi katika nyakati tofautitofauti. Mwanamke hutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi pia inaweza kudumu kwa wiki moja na zaidi. Hali hii isipopatiwa ufumbuzi huweza kuleta madhara makubwa sana kwa mwanamke ambayo hupelekea vifo. Katika hali fulani sababu ya kutokwa na damu nyingi inaweza isijulikane. . . Zipo sababu kuu zinazosababisha hali hii.Sababu hizo huweza kutofautiana kati ya Mtu mmoja mpaka mwingine kutokana na kiwango cha lishe na virutubisho alivyonavyo mama huyo. Zifuatazo ni sababu kuu ambazo huchangia tatizo hilo. 1.Kutokuwepo kwa usawa wa vichocheo (Hormonal imbalance ) Vichocheo vya oestrogen na progesterone hutakiwa kuwa katika usawa ili viweze kufanya kazi yake ipasavyo. Matumizi ya vichocheo katika kupanga uzazi(vijiti/contraceptive pills) huweza kubadili Hali ya vichocheo na kusababisha hali hiyo kutokea, Kama hali hii itatokea ukuta wa mfuko wa mimba hutoa damu nyingi isiyokawaida. 2. Matatizo ya ovari . Ovari ni sehemu muhimu sana katika katika kuandaa na kukuza yai na badae kutolewa likiwa kamili kuingia katika mirija ya fallopia tayari kwa safari kuelekea mfuko wa kizazi. Kama ovari zitashindwa kutoa mayai basi tatizo huwa ni upingufu wa kichocheo kiitwacho progesterone hivyo yai haliwezi kutoka kwenye ovari na hali hii husababisha damu nyingi kutoka wakati wa hedhi. 3. Uvimbe kwenye shemu ya kizazi (Fibroids ) Fibroids siyo saratani bali huwa ni uvimbe wa kawaida ambao hubaki sehemu moja (benign), ambayo hutokea katika umri wa uzazi. Na hii husababishwa na vichocheo kutokuwa katika usawa na huweza kusababisha damu nyingi kutoka wakati wa hedhi. 4. Vimbe ndogondogo kwenye kizazi . Huwa ni vimbe ndogo sana katika mfuko wa uzazi. Hutokea kwa wanawake katika umri wa kuzaa kutokana na vichocheo kuongezeka. 5. Magonjwa ya kurithi. Matatizo ya damu kutoganda kutokana na hii husababishwa na ukosefu wa vigandishi vya damu. 6. Matatizo ya kiafya. Maambukizi katika njia ya kizazi kama Pelvic Inflammatory Diseases(PIDs) Je nani yuko hatarini kukumbwa na hali hii ? Makundi yafuatayo yako katika hatari ya kukumbwa na tatizo hili.. 1. Wale waliovunja un
0 notes
Photo
You may contact with us through Email [email protected]




Tatzo la kuwa na uzito uliozidi (0verweight), linawakumba watu wengi sanaa ,,,
Hiii ni kutokana na vyakula tunsvyokula vya kila siku ambavyo vinakua na mafuta mengi
Pia ni vyakula ambavyo asilimia tisini ni vyakusindikwa kutoka viwandani
Sasa CLEAN 9(C9) Ni program ya siku tisa ambayo itakusaidia kutoa sumu mwilii na kujisikia mwepesi,mwenye nguvu na afya
Ni program rahisi kufuatisha na itakupa nyenzo unazoziitaji kkuanza kuubadiliaha mwili wako
Tutafute kupitia +225 715815826 (pia unaweza tupata whatsaap), /+225 762352360 Kwa maelezo zaidi na namna gani utazipata bidhaa zetu popote pale ulipo
2 notes
·
View notes
Photo




Tatzo la kuwa na uzito uliozidi (0verweight), linawakumba watu wengi sanaa ,,, Hiii ni kutokana na vyakula tunsvyokula vya kila siku ambavyo vinakua na mafuta mengi Pia ni vyakula ambavyo asilimia tisini ni vyakusindikwa kutoka viwandani Sasa CLEAN 9(C9) Ni program ya siku tisa ambayo itakusaidia kutoa sumu mwilii na kujisikia mwepesi,mwenye nguvu na afya Ni program rahisi kufuatisha na itakupa nyenzo unazoziitaji kkuanza kuubadiliaha mwili wako Tutafute kupitia +225 715815826 (pia unaweza tupata whatsaap), /+225 762352360 Kwa maelezo zaidi na namna gani utazipata bidhaa zetu popote pale ulipo
2 notes
·
View notes
Photo

NI NAMNA GANI UTAWEZA KUIMARISHA AFYA YAKO NA AFYA YA MTOTO PIA FOREVER KIDS #Inawapa watoto virutubisho na vitamin ,chuma na fito-lishe ambavyo hawana naniyakutafuna ARCTIC SEA # ni bidhaa yenye mchanganyiko wa DHA Na EPA kwa ajili ya afya na ustawi halisi. Arctic sea inasaidia katika kujenga seli za ubongo,retina,moyo,na sehemu zingine za mfumo wa fahamu FOREVER ALOE BITS N' PEACHES Huongeza mapichi ya kutoa caratenoids inayotoa sumu na kwa kuimarisha utendaji kazi wa mfumo na kinga katika mwilii FOREVER LITR ULTRA Ikiwa tayari na maziwa kwa ajili ya vitamini na madini kwa ajili ya kusambaza amino asidi 18 muhimu . Kwa maelezo zaidi tutafute kwa /+225 715815826 (whatssap) ,,/ +225 762352360
1 note
·
View note
Photo
Kwa watu wenye uvimbe tumboni karibu jipatie virutubisho ambavyo vitakufanya uyeyushe mafuta yaliyoko ndani ya mwilii na matokeo yake kuimarisha kizazi kisicho cha kusuasua









Tutafute kupitia +225 715815826(whtsap), /+225 762352360..kwa maelezo zaidi na pia uweze kuokoa kizazi chako
2 notes
·
View notes
Photo









Tutafute kupitia +225 715815826(whtsap), /+225 762352360..kwa maelezo zaidi na pia uweze kuokoa kizazi chako
2 notes
·
View notes
Video
instagram
Punguza tumbo ,mapaja ,mkono na pia minyama uzembe kwe mwili wako kiafya , Punguza uzito kwa kutumia bidhaa za asili na kukusaidia kurudi katika uzito wako wa kawaida kabisaa bila kuwa na minyama uzembe Utapata bidhaa popote ulipo haijalishi uko wapi , Tuwasiliane kwa namba /+225 715815836 / +225 762352360 kwa maelezo zaidi na jinsi gani utapata bidhaa bora ya kupunguza nyama uzembe na uzito pia
0 notes
Photo










Karibu flp kwa afya bora ,,kaka ,dada,mama,baba ,bila kujali umri wako njoo jipatie bidhaa bora ambazo zitakusaidia kutatua matatizo yako ya mda mrefu kwani zimetengenezwa kiasili zaidi hazina madhara yoyote yale mwilini ,..tutafute kwa /+225 715815826 / +225 762352360 Upate bidhaa na namna gani itakufikia ulipo . # bidhaa za meno kuuma na fizi kutokwa na damu #bidhaa za kutoa sumu mwilini kutokana na vyakula tunavyokula na kuufanya muzunguko wa dam na mmeng'enyo wa chakula kuwa safii # bidhaa za kupunguza uzito na kutoa mafuta mwilin kiafya na kuufanya mwili kuwa mwepesii # bidhaa za kutoa sumu kwa watu walio na arlegy yoyote ile na matikeo yake hautakuwa na dot tena katka ngozi ako #bidhaa za kutatua magonjwa ya ngozi Pia jipatie deodorant kwa ajili ya kusafisha kwapa lako ,,bila kusahau lips nzurii itakayofanya mdomo wako kutokukauka .... Karibu sana na utapata bidhaa zetu popote pale ulipo
0 notes
Photo

Tumekuletea sabuni nzuri na after shaver ambazo zitakusaidia kuosha mwili wako na kutoa mafuta na magonjwa ya ngozi .. kuufanya mwili wako kuwa soft .
Pia aftter shaver ambayo haina alcohol ambayo inatoa vipele vyotee kwenye ngozi ako baada ya kunyoa. Kwa maelezo zaidi na namna gan utapata bidhaa zetu tutafute kwa /+225 715815826 /+225 762352360
0 notes
Photo


Punguza uzito wa mwili wako kiafya kwa kutumia bidhaa asili ,,tutafute kwa /+225 715815826 /+225 762352360 kwa maelezo zaidi na namna gani utapata bidhaa popote pale ilipo
0 notes