Tumgik
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Be humble, make money, be smart/romantic afu kula nyama kwa nyama sio kula kwa macho 😂😂😂. Cc @jihandmack https://www.instagram.com/p/CDMasRfgckU/?igshid=1ij5d1cfhlxun
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Nitafurahi kuitwa wako, hata kama hutonipa mtoto, ila nitafurahi kuitwa ANKO!! https://www.instagram.com/p/CDE1FrdAAcr/?igshid=v583g68bzqus
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
If you want to make everyone happy, don't be a leader! Sell ice cream. #afroeast (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDEol2FgZ1L/?igshid=6c83bupt7vka
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
What you think, you become. What you feel, you attract. What you imagine, you create. Cc @lizz_jahsolja (at Tabata Relini (mwananchi)) https://www.instagram.com/p/CDEGBjcgEw9/?igshid=o9fxfi0o89fz
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Jaribu kuacha kuutaabisha moyo wako. Wewe si mtu wa kwanza kumpenda mtu asiye sahihi kwako na nina habari mpya kwamba hautakuwa wa mwisho pia. Unaweza ukajifunza kutokana na hali iliyokutokea au ukaendelea kuishi na maumivu hivyo hivyo ila utambue unajizibia baraka ambazo maisha yanataka kukupa. Wengi wetu tumejikita kung'ang'ania vile ambavyo vimeshatuacha na tumesahau kabisa mambo mazuri ambayo tunaweza tukayapata kama tutasonga mbele na maisha. Unaonaje nikikwambia kwamba maisha hukupa yule mtu sahihi anayefanana nawewe? Unaonaje nikikwambia kwamba maisha yanakufanya uumie leo kwa huyo unaempenda sana, ili baadae utabasamu milele baada ya mtu sahihi kuja katika maisha yako? Kurasa zikifungwa haimaanishi kwamba usomaji wa vitabu umeahirishwa, mwenda tezi na omo, marejeo ngamani. Unaweza ukawa unaumia hivi sasa, ila taratibu maumivu yatapona na utasahau na moyo wako utakuwa jasiri kuhimili vishindo vya kihisia vyovyote vile Jipende, jijali, jishughulishe, nyakati njema kabisa zinakuja haraka, ndiposa utakaa chini na kutafakari, kwanini nilikuwa mpumbavu kuutaabisha moyo wangu kwa mtu ambaye hakuona umuhimu wangu? Utatabasamu, utakumbuka na kujisemea YES Dr. Love alikuwa sahihi, na utamwambia mumeo/mkeo mpenzi akumiminie juice ya matunda na mgonge cheers! Umeumizwa, umeachwa, una dharauliwa? Mambo mazuri yaja, jipe ujasiri. Better days are coming quicker than you think! (at Tabata Relini (mwananchi)) https://www.instagram.com/p/CDDfAEgguqn/?igshid=1ad1mtg2wr1fm
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Jumaa qareem. Cc @princetarique255 https://www.instagram.com/p/CCvWaDEgGqr/?igshid=19qar7zgrb7al
0 notes
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
My baby @zeyn___n (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCrP8hYg9XO/?igshid=1evpk9oaf20f
1 note · View note
princetarique255 · 4 years
Video
From my baby sis @haithamkim #utamu feat @younglunya link on her bio. Enjoy good music (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCrNVl2gCpv/?igshid=1us0kifyoxcqn
1 note · View note
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
There’s a difference between somebody who wants you and somebody who would do anything to keep you. Ireen @officiallyyn (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCjP8s4A-CY/?igshid=ivcfmespmlcf
1 note · View note
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Lengo la mahusiano sio kutembea mmeshikana mikono, ama kujipiga selfie pamoja ama kuvaa nguo za kufanana. Hayo mambo ni ya vijana wadogo. Hebu komaeni muwe na magari ya kufanana, hebu komaa mjenge nyumba nzuri, muwe na date nights, msafiri pamoja around the world. Na njia pekee ya kufanikiwa hayo ni kama wewe na mwenzi wako mtaamua kufanya kazi kwa bidii huku mkimtegemea Mungu. Tengenezeni hizo hela, Mpendeni MUNGU, Komaeni na Maisha Kimya kimya ili mng'ae hadharani. Yaani wewe na Mpenzi wako tu against the World. Oa ama olewa na mtu ambaye atatamani mjijenge zaidi. Ndoa ni moja ya njia ya kujijenga pamoja, kupeana muda wa kuwa na ndoto kubwa ya pamoja na kutimiza yale ambayo yalidhaniwa yanashindikana. Maisha ni mafupi mno kuishi na mtu ambaye anaridhika kimaisha mapema.💓💓💓😝😘😘✔✔✔ (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CCio5-rAkFM/?igshid=jaz377syx4st
1 note · View note
princetarique255 · 4 years
Photo
Tumblr media
Catch My Beautiful Sis @haithamkim On #fridaynightlive From Now Till 23:00 At @eatvtz (at Tabata Relini (mwananchi)) https://www.instagram.com/p/CCeLKERg75c/?igshid=i9cs8lwthclk
1 note · View note
princetarique255 · 4 years
Video
Sema Mwanangu @haithamkim Hili Goma La Kinyama Sana #utamu ft @younglunya inapatikana YouTube link kwenye Bio Ya @haithamkim https://www.instagram.com/p/CCGTmL_ATjA/?igshid=kn2psuz82z93
2 notes · View notes