Tumgik
sariaisrael · 2 days
Text
VILABU VYA MICHEZO VINAHITAJI VIONGOZI VIJANA..
Uongozi ni daraja muhimu kwenye maendeleo ya taasisi yote duniani. Vilabu vya michezo ambayo vimekuwa vina uongozi imara wenye maono ndivyo vimekuwa hai na endelevu katika mafanikio ya kimichezo na kibiashara. Kwa siku za hivi karibuni vilabu ambavyo vimekuwa bina viongozi vijana ndio vimekuwa na mafanikio kwa Zaidi kuliko vyenye viongozi wa makamo. Kwa kipindi cha nyuma katika nchi ya Tanzania…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 3 days
Text
PAMBA INAWEZA IKAWA NI LEICESTER CITY YA BONGO?
Klabu ya Pamba imefanikiwa kupanda daraja na kuingia ligi kuu ya Tanzania bara na kupanda kwao kwa ligi kuu ni baada ya zaidi ya miaka 20 toka waliposhuka daraja na kasha kurudi katika madaraja ya chini. Mara ya mwisho klabu hiyo kushiriki ligi kuu illikuwa mnamo mwaka 2001 ambapo ndipo waliposhuka daraja. Miongo miwili imepita toka mamlaka ya pamba kushuhudia klabu ambayo wanaimiliki ikicheza…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 4 days
Text
FAIDA NA HASARA KWENYE BIASHARA YA MICHEZO ..
Mdhamini mkuu wa klabu ya Simba bwana Mohammed Dewji amekuwa mara kwa mara ananukuliwa kulalamika hadharani hususani kupitia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii juu ya kwamba hapati faida katika kuiendesha klabu ya Simba na amekuwa anatishia mara kadha kwamba iko siku ataacha kuendesha klabu hiyo. Hajawahi kutoa kauli hadharani inayoonyesha kwamba anapata faida na wala hajawahi kutoa kauli…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 11 days
Text
JIPYA GANI KEN GOLD ITAKUJA NALO LIGI KUU?
Hivi karibuni klabu ya KEN GOLD kutoka katika jiji la Mbeya imekuwa ni klabu ya kwanza kutoka katika ligi ya Championship kufuzu na hatimaye kuingia katika ligi kuu ya Tanzania bara kwa msimu huu. Walifanya hivyo baada ya kuifunga klabu ya FGA talents ya Songea. Katika mwanzo wa msimu klabu ya FGA talents makazi yake yalikuwa mjini Morogoro lakini ikahamia mjini Songea katika mechi za katikati ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 12 days
Text
ALPHONCE SIMBU SHUJAA ASIYEIMBWA KWENYE MICHEZO
Bendera ya Tanzania imetangazika tena hivi karibuni katika mchezo wa riadha nchini Korea Kusini. Kutangazika huko kumefanywa na mwanaridha Alphonce Simbu ambaye ameibuka kidedea kwa kushinda mbio za barabarani au maarufu kama Marathon ambazo zimefanyika hivi karibuni katika jiji la Daegu. Aliibuka mshindi wa medali ya fedha  katika mashindano ya Daegu International Marathon. Ameshinda medali hiyo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 19 days
Text
MANDONGA MTU KAZI AMEKWISHA KAZI?
Mjini Morogoro katika usiku wa sikukuu ya Eid pili ya mwaka huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite wapenzi na mashabiki wa ngumi walikusanyika kwa ajili ya kuangalia mapambano mbalimbali ya ngumi ambayo yalipiganwa siku hiyo. Pambano kuu lilikuwa pambano la bondia Twaha Kiduku dhidi ya bondia kutoka taifa la India. Pambano lingine ambalo lilikuwepo lilikuwa pambano la bondia toka mji kasoro bahari…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 20 days
Text
IMEFIKA MWISHO WA DULA MBABE KWENYE NGUMI?
Ukizungumzia mabondia ambao wenye majina makubwa katika ardhi ya Tanzania basi hauwezi kuacha kumtaja bondia Abdallah Pazi au maarufu kama Dullah Mbabe. Bondia huyu kutoka kwenye kitongoji cha Mwananyamala jijini Dar es salaam amejizolea umaarufu mkubwa katika siku za huko nyuma. Dullah kwanza husifika kwa kujivunia asili yake uzaramo na pia huuna misemo ya mapambano yake kwa kutumia misamiati ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 29 days
Text
AL HILAL KUCHANGAMSHA SOKA LA TANZANIA
Hivi karibuni kumesambaa taarifa za klabu kongwe na yenye mafanikio makubwa katika soka la Sudan ya Al Hilal Omdurman kwamba itahamia kwa mda nchini Tanzania na itashiriki ligi kuu ya soka ya tanzania bara. Taarifa hiyo ilitolewa rasmi kwa umma mnamo tarehe 18 mwezi 3 mwaka 2024 na afisa habari wa shirikisho la soka nchini Tanzania bwana Clifford Ndimbo. Alitoa taarifa kwama klabu hiyo imetuma…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
AZIZ KI AMEKUWA NI 'GAME CHANGER' WA YANGA ..
Kutolewa kwa Yanga katika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika imekuwa ni jambo ambalo linajadiliwa sana kuliko kwa Simba. Kutolewa na klabu ya Mamelodi Sundowns hakujawa jambo kubwa ila  Mjadala mkubwa ni juu ya goli ambalo alifunga mchezaji wa kimataifa toka Burkina Faso  Stephane Aziz Ki alilofunga mnamo dakika ya 58 ambalo lilikataliwa na refa. Goli hilo alilifunga katika mchezo wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
MASHUJAA WAMEENDELEZA USHUJAA WAO KWA SIMBA
Klabu ya Mashujaa wa Lake Tanganyika wameendeleza ushujaa wao kwa kuitoa klabu ya Simba katika kombe la CRDB federation cup. Wameitoa katika mechi ambayo iliishia katika mikwaju ya penati. Klabu ya Mashujaa ilishinda mechi hiyo na hatimaye na kuitoa klabu ya Simba. Mechi hii imeibua hisia kubwa sana kwa washabiki wa klabu ya Simba kwani wengi wameona kwamba kutolewa huko kunatokana na madhaifu ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
NI NGUMU KUMZUIA DJIGUI DIARRA ASIONDOKE..
Yanga imetolewa kwenye hatua ya robo fainali ya klabu bingwa ya afrika na klabu ya Mamelodi Sundowns. Imetolewa katika hatua ya mikwaju penati baada ya kumaliza dakika zote 180 bila ya kufungana na hivyo kupelekea kwenda kwenye hatua ya matuta. Hakika kila mchezaji wa Yanga anastahili pongezi kwa matokeo na hatua ambayo klabu hiyo imefikia. Katika mechi zote mbili za robo fainali ambazo klabu ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
WATOTO WA KARIAKOO KATIKA KLABU BINGWA AFRIKA
WATOTO WA KARIAKOO WAHESHIMISHA NCHI KATIKA KLABU BINGWA AFRIKA Kariakoo ni maarufu sana kwa Tanzania kama ndio soko kubwa la kibiashara kwa nchi yetu na kwa namna Fulani soko hilo limekuwa linahudumia hadi nchi jirani kwani wafanyabiashara wa nchi jirani nao wamekuwa wanakuja katika soko hilo kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali hususani kununua bidhaa ambazo nao wanazichukua na kuzipeleka…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
YANGA YAKUTANA NA UCHUNGU WA VAR
Mechi za mzunguko wa hatua ya robo fainali ya klabu bingwa ya soka barani afrika zimeisha huku zikiwa zimeacha hisia tofauti kwa wadau wengi wa soka na michezo kwa ujumla barani Afrika. Wafuatiliaji wengi walishangazwa na mechi nyingi za awali kuisha huku zikiwa na matokeo ya kutokufangana na hata zilipochezwa mechi za marudiano matokeo hayakuwa makubwa sana. Tanzania kwa mara ya kwanza ilikuwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
Jitihada zifanyike kukuza mchezo wa Bao…
UMEFIKA MUDA SASA KUBIDHAISHA MCHEZO WA BAO KIMATAIFA Hakika ni wazi kabisa kwamba mchezo wa bao ni mchezo maarufu sana miongoni mwa wakazi wa miji ya ukanda wa  Pwani ya Tanzania. Mchezo huu umekuwa unachezwa sana na watu wenye umri wa makamo ambao wamekuwa wanaucheza katika vijiwe vya kahawa ambapo wamekuwa wanakutana na kupiga stori na kubadilishana mawazo mbalimbali juu ya masuala ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 month
Text
AGENDA 10 ZA JULIO NDANI YA SINGIDA ZITATIMIA?
Hivi karibuni klabu ya Singida Fountain Gate ilihamishia makazi yake kwenda katika jiji la mwanza na hazikupita siku nyingi wakatangaza kwamba wameamua kuachana na benchi lao la ufundi amalo pia lilijumuisha moja ya wachezaji magwiji nchini Tanzania ambaye aliwahi kucheza soka katika klabu kubwa ya Vancouver whitecaps aitwaye Nizar Khalfan. Kabla watu hawajakaa sawa klabu hiyo ilitangaza kwamba…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 2 months
Text
KANUNI ZA KIFEDHA KWENYE SOKA LETU....
“FAIR PLAY” KATIKA SOKA LETU…. Imekuwa ni kawaida sana katika soka la Tanzania kukuta klabu inafungiwa kusajili wachezaji kwa makosa yanayotokana na kushindwa kutekeleza mkataba wa mojawalpo ya wachezaji ima anayeendelea kuitumikia klabu au ambaye ameitumikia klabu hiyo huko nyuma. Hii inatokana mara nyingi na ima dharau au wachezaji hususani wa kigeni kutambua nguvu waliyonayo kupitia mikataba…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 2 months
Text
CHANETA IJIFUFUE UPYA KUENDANA NA WAKATI
Kwa sasa chama hicho bado kipo hai ila kuna uwezekano umaarufu wake umepungua kidogo tofauti na huko nyuma Chaneta ni mojawapo ya vyama vikongwe vya michezo nchini Tanzania. Chama hichi kilianzishwa mnamo mwaka 1966. Chama hichi kipo kwa ajili ya kusimamia, kuendesha na kusambaza mchezo wa Netiboli ama mpira wa pete nchini Tanzania. Mchezo huu ulitambulishwa nchini Tanzania wakati wa utawala wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes