Tumgik
soccernewszone · 3 years
Text
ENGLAND YAICHAPA UJERUMANI 2-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020
ENGLAND YAICHAPA UJERUMANI 2-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020
ENGLAND imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ujerumani leo Uwanja wa Wembley Jijini London.Pongezi kwa wafungaji wa mabao hayo, Raheem Sterling dakika ya 75 akimalizia pasi ya Luke Shaw na Harry Kane dakika ya 86 akimalizia pasi ya Jack Grealish na sasa Three Lions itakutana na mshindi kati ya Sweden na Ukraine.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI
KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI
  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia atatetea nafasi yake bila upinzani katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agosti 7 Jijini Tanga.Hiyo ni baada ya wapinzani wake wote wawili waliobaki kuenguliwa katika usaili uliofanyika Juni 25. mwaka huu Dar es Salaam.
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
MESSI BADO BAO MOJA TU AMFIKIE MAREHEMU MARADONA ARGENTINA
MESSI BADO BAO MOJA TU AMFIKIE MAREHEMU MARADONA ARGENTINA
NYOTA wa Barcelona, Lionel Messia juzi amefunga mabao mawili kuiwezesha Argentina kuichapa Bolivia 4-1 katika mchezo wa mwisho wa Kundi A Copa America huko Brazil na kubakiuza bao moja kumfikia gwiji wa Argentina, Diego Maradona.Messi mwenye umri wa miaka 34 sasa, amefikisha mabao 31 katika mechi 148, wakati marehemu Maradona alifunga 32 katika mechi 87, zikiwemo za ushindi wa Kombe la Dunia…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
TANZIA: Mhandisi Patrick Mfugale afariki Dunia
TANZIA: Mhandisi Patrick Mfugale afariki Dunia
Mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne Juni 29, 2021 jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi Digital katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Joseph Malongo amesema Mfugale atakayekumbukwa  kwa kusimamia ujenzi wa barabara na madaraja zaidi ya 1000 nchini amefariki dunia leo saa 5 asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini…
Tumblr media
View On WordPress
1 note · View note
soccernewszone · 3 years
Text
IGP Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda watatu wa Polisi
IGP Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda watatu wa Polisi
 
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Wabadilishana Wake Zao Kumaliza Skendo ya Uzinzi Vichakani
Wabadilishana Wake Zao Kumaliza Skendo ya Uzinzi Vichakani
WANAUME wawili kutoka Uganda wameamua kubadilishana wake zao ili kumaliza sakata ya uzinzi kwa amani, hii ni baada ya mmoja wao Ali Mudde, mkazi wa kijiji cha Musoma katika kisiwa cha Jagozi kufahamishwa kuwa Bryan Masaba alikuwa anafanya mapenzi na mke wake katika kichaka kilichoko karibu.   Kwa mujibu wa Daily Monitor, Mudde akiwa na hasira za mkizi aliripoti suala hilo kwa mwenyekiti wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
TANZIA: Mhandisi Patrick Mfugale afariki Dunia
TANZIA: Mhandisi Patrick Mfugale afariki Dunia
Mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne Juni 29, 2021 jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi Digital katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Joseph Malongo amesema Mfugale atakayekumbukwa  kwa kusimamia ujenzi wa barabara na madaraja zaidi ya 1000 nchini amefariki dunia leo saa 5 asubuhi katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
IGP Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda watatu wa Polisi
IGP Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda watatu wa Polisi
 
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Matumizi ya bangi Rwanda yanapaswa kuidhinishwa na mtaalam
Matumizi ya bangi Rwanda yanapaswa kuidhinishwa na mtaalam
Agizo la wizara ya haki nchini Rwanda limetoa muongozo kuhusu matumizi ya bangi nchini humo . Katika agizo la Jumatatu bangi sasa inaweza kutumika tu inapoagizwa na mtaalamu. Linasema wawekezaji wanaweza kuomba kupewa leseni ya kufanya kilimo, kuagiza na usafirishaji wa bangi nje ya nchi kwa madhumuni ya matibabu au utafiti. Amri ya Waziri wa Sheria ilianza kutumika Jumatatu, akielezea jinsi ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
TFF Yatoa Tamko Mechi ya Simba na Yanga, Jumamosi Hii
TFF Yatoa Tamko Mechi ya Simba na Yanga, Jumamosi Hii
  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC na Yanga utakaochezwa Julai 3, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewashusha pumzi mashabiki na wadau wa mpira wa miguu nchini juu ya namna ya kupata fursa ya mara nyingine kuingia katika mchezo huo.   Awali mchezo huo ambao ni kiporo ulitakiwa kuchezwa Mei 8 lakini ukasogezwa mbele baada ya kutokea…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF
Wallace Karia Mgombea Urais Pekee TFF
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Rais wa shirikisho hilo, baada ya kukidhi vigezo vyote. Karia anawania nafasi hiyo kwa awamu ya pili baada ya kuongoza kwa miaka minne.   Katiba ya TFF inasema “kama ikitokea mgombea wa Urais amebaki peke yake na amekizi vigezo basi hatopigiwa kura na badala…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
BREAKING NEWS!! Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) linaangalia uwezekano wa kufanya mabadiliko ya uwanja wa Fainali ya Li...
BREAKING NEWS!! Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) linaangalia uwezekano wa kufanya mabadiliko ya uwanja wa Fainali ya Li…
BREAKING NEWS!! Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) linaangalia uwezekano wa kufanya mabadiliko ya uwanja wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) iliyopangwa kufanyika mnamo Julai 17, 2021. CAF inakagua uamuzi wa mamlaka ya Moroko ya kutoruhusu mashabiki wa mechi hiyo kutokana na kuenea kwa Maambukizi ya Corona na watafikiria Uwanja wa Reunification Stadium uliopo huko…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Zuma atupwa jela kwa kuipuuza mahakama
Zuma atupwa jela kwa kuipuuza mahakama
Hukumu hiyo iliyotolewa na kaimu jaji mkuu wa Afrika Kusini  Sisi Khampepe bila ya Zuma mwenyewe kuwepo mahakamani ni ya kwanza katika hisotria ya taifa hilo kwa rais mstaafu kuhukumiwa kifungo gerezani. Jaji  Khampepe amesema kwamba Zuma ametiwa hatiani kwa kosa la kutoheshimu na kuipuuza mahakama baada ya kushindwa kutii amri ya kufika mbele ya tume ya mahakama inayochunguza madai ya rushwa,…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Mawaziri wa Mambo ya Nje na Maendeleo wa nchi za G20 wakutana nchini Italia.
Mawaziri wa Mambo ya Nje na Maendeleo wa nchi za G20 wakutana nchini Italia.
Mawaziri wa mambo ya nje pamoja na wa maendeleo wa mataifa yenye ushawishi mkubwa ulimwenguni wanakutana kwenye mji wa Matera, kusini mwa Italia kujadili mikakati ya kupambana na COVID 19 na wakati huo huo kutafuta mbinu za kuharakisha kuufufua uchumi wa ulimwengu. Je! Mawaziri wa G20 wanapanga nini juu ya COVID? Mawaziri hao wanajadili njia za kuratibu jinsi dunia inavyolishughulikia swala la…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Uhuru atangaza sheria mpya kudhibiti corona kanda ya Ziwa na Bonde la Ufa
Uhuru atangaza sheria mpya kudhibiti corona kanda ya Ziwa na Bonde la Ufa
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alisema kuanzia Jumanne (29.06.2021) muda wa kutotoka nje usiku saa moja utaendelea kudumishwa hadi tarehe 31 mwezi wa Julai 2021. Maeneo mengine ya nchi ambako muda huo huanza saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri yataendelea na utaratibu huo kwa siku 60 zijazo. Idadi ya wanaohudhuria ibada iko pale pale kuwa ni thuluthi moja ya watu wote. Uhuru aliongeza kusema kuwa…
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
Israel imefungua ubalozi wake mjini Abu Dhabi
Israel imefungua ubalozi wake mjini Abu Dhabi
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Israel Yair Lapid amefungua ubalozi wa kwanza wa Israel katika nchi za Ghuba mjini Abu Dhabi siku ya Jumanne wakati akianza ziara ya kihistoria katika umoja wa falme za kiarabu. Akiwahutubia mabalozi wa nchi za kigeni waliohudhuria sherehe hizo amesema huu ni wakati wa kihistoria na kwamba Israel inahitaji kuwa na amani na majiani zake wote kwani Mashariki ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
soccernewszone · 3 years
Text
LIVE : ADHUHURI LIVE AZAM TV - 01/04/2021
LIVE : ADHUHURI LIVE AZAM TV – 01/04/2021
Read More
Tumblr media
View On WordPress
0 notes