Tumgik
#Muuza Chips
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (107)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA SABA ILIPOISHIA... Sasa Sarah kuangalia umbo la mama yake, kiukweli lilikuwa linaita, yaani yeye na mama yake wana maumbo yasiozeheka, hivyo mama yake alikuwa bado anaita tu, japo ana umri.. Sar
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA SABAILIPOISHIA… Sasa Sarah kuangalia umbo la mama yake, kiukweli lilikuwa linaita, yaani yeye na mama yake wana maumbo yasiozeheka, hivyo mama yake alikuwa bado anaita tu, japo ana umri.. Sara akitabasamu kwa kuona umbo la mama yake bado bichi, hivyo hakuwa na kosa kutembea na chidi.. “hivi mama, kama chidi angenioa.. Ivi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (106)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA SITA ILIPOISHIA... "twende tukamsalimie basi" "achana nae" Mariamu alikazania mpaka chidi akakubali kwenda kukutana na sarah "sarah, we sarah we" Sarah kugeuka anakutana na chidi uso kwa uso
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA SITAILIPOISHIA… “twende tukamsalimie basi” “achana nae” Mariamu alikazania mpaka chidi akakubali kwenda kukutana na sarah “sarah, we sarah we” Sarah kugeuka anakutana na chidi uso kwa uso,.. KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEAKAMA UPO NJE YA…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (105)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA TANO ILIPOISHIA... Lakini nikamwambia kuwa, ukishamtoa, nataka ununue pete kisha akuvishe pete hio na upige picha misha umtumie Mariamu wangu,.. Na hio pesa ya pete nilimtumia mimi pamoja na pes
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA TANOILIPOISHIA… Lakini nikamwambia kuwa, ukishamtoa, nataka ununue pete kisha akuvishe pete hio na upige picha misha umtumie Mariamu wangu,.. Na hio pesa ya pete nilimtumia mimi pamoja na pesa ya kumpatia mana mi najua rashidi na sarah ni ndugu wawili mtoto wa mama mkubwa kwa mama mdogo hivyo kunichezea action kama hio nilijua…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (104)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA ILIPOISHIA... Heeeeeeee watu wote walishangaa na kuamka kumwangalia huyo mwenye kipingamizi na ndoa hio, sii mwingine bali alikuwa ni sarah, tena alikuwa kashika mkanda wa video kumaanisha kiwa
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA ILIPOISHIA… Heeeeeeee watu wote walishangaa na kuamka kumwangalia huyo mwenye kipingamizi na ndoa hio, sii mwingine bali alikuwa ni sarah, tena alikuwa kashika mkanda wa video kumaanisha kiwa ana ushahidi wa kuipinga ndoa hio… Mama sarah haamini kitu anachofanya mtoto wake, mama miriam hata yeye haamini macho yake.. KAMA UNATUMIA APP…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (103)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA TATU ILIPOISHIA... Ikiwa ni mida ya mchana miriam na kijana chidi wakiwa katika jukwaa maalum la mabwana harusi, wakati huo shekhe akiwa pembeni tayari kwa kuwafungisha ndoa,… "tuna furaha sana
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA TATUILIPOISHIA… Ikiwa ni mida ya mchana miriam na kijana chidi wakiwa katika jukwaa maalum la mabwana harusi, wakati huo shekhe akiwa pembeni tayari kwa kuwafungisha ndoa,… “tuna furaha sana juu ya tukio hili kwa watoto wetu kufunga ndoa” Aliongea shekhe huyo aliokuwa kashika vitabu vya mungu na kutaka kuwafungisha ndoa,.. KAMA…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (102)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILI ILIPOISHIA... "saida mwanangu, sisi hatuna nia mbaya na wewe, tunataka tujue huyo kijana ni nani" Aliongea mama yake saida huku akimwomba mtoto wake aseme kijana mwenye hio mimba… "na us
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA MBILIILIPOISHIA… “saida mwanangu, sisi hatuna nia mbaya na wewe, tunataka tujue huyo kijana ni nani” Aliongea mama yake saida huku akimwomba mtoto wake aseme kijana mwenye hio mimba… “na usiposema uhame nyumbani kwangu, pumbavu wewe” KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (101)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA MOJA ILIPOISHIA... Wakati huo kijana chidi wanamaliza kuchagua suti kali mana kwenye harusi kaka mtu anatakiwa kupendeza kwenye harusi ya mdogo wake,… Na huku kwa akina miriam nao walishamaliza
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA NA MOJAILIPOISHIA… Wakati huo kijana chidi wanamaliza kuchagua suti kali mana kwenye harusi kaka mtu anatakiwa kupendeza kwenye harusi ya mdogo wake,… Na huku kwa akina miriam nao walishamaliza japo walikuwa wanaulizana maswali mengi juu ya chidi….. Wanakutana kwenye gari lakini miriam alikuwa hana raha tena, chidi alijua tu miriam hakuwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (100)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJA ILIPOISHIA... "vipi broo,… Afu shem yupo wapi.. Aahhh mbona yupo mbali hivi" Sasa chidi kumuangalia vizuri huyo shemeji yake,.. Alishikwa na butwaa, lakini sasa hilo ni dogo, kumbe huku miriam na
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA MIA MOJAILIPOISHIA… “vipi broo,… Afu shem yupo wapi.. Aahhh mbona yupo mbali hivi” Sasa chidi kumuangalia vizuri huyo shemeji yake,.. Alishikwa na butwaa, lakini sasa hilo ni dogo, kumbe huku miriam na Ibrahim nao pia wanafahamiana, hivyo walikuwa nao wanashangaana, kwahio kila mmoja alikuwa akimshangaa mwenzie… Salma na chidi, afu miriam na…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (99)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TISA ILIPOISHIA... "nilijua bado upo na mawazo ya kuwa na sarah, binafsi pia sitaki uendelee kuwa na sarah" "sio sarah tu, ni mtu yeyote yule kuanzia wewe" "we mshenzi nini wewe… Unaongea ujinga
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TISAILIPOISHIA… “nilijua bado upo na mawazo ya kuwa na sarah, binafsi pia sitaki uendelee kuwa na sarah” “sio sarah tu, ni mtu yeyote yule kuanzia wewe” “we mshenzi nini wewe… Unaongea ujinga gani uo” KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEAKAMA UPO…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (98)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA NANE ILIPOISHIA... "poa nambie" "safi tu… Yaani hata kuja kumsalimia mtoto wako hutaki" Sabra anachomaanisha ni mtoto wake kweli yaani ni mtoto wake kabisa na sii mtoto wa kaka yake, sasa chidi
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA NANEILIPOISHIA… “poa nambie” “safi tu… Yaani hata kuja kumsalimia mtoto wako hutaki” Sabra anachomaanisha ni mtoto wake kweli yaani ni mtoto wake kabisa na sii mtoto wa kaka yake, sasa chidi yeye akiambiwa mtoto wako anajua ni mtoto wake lakini ni mtoto wa kaka yake… KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (97)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA SABA ILIPOISHIA... Pale pale chidi akamsomba miriam mpaka kwenye ambulance,… Ukumbuke kuwa mama miriam aliifuata ambulance kwa nyuma akiwa na vogue yake… Sasa huku ndani ya ambulance chidi anajua
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA SABAILIPOISHIA… Pale pale chidi akamsomba miriam mpaka kwenye ambulance,… Ukumbuke kuwa mama miriam aliifuata ambulance kwa nyuma akiwa na vogue yake… Sasa huku ndani ya ambulance chidi anajua kufungua lock iliopo kwenye simu ya miriam,… Chidi alipofungua tu ile simu, alikutana na picha za kumvisha pete sarah,.. Hivyo hapo hapo ndio akajua…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (96)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA SITA ILIPOISHIA... Sasa pale pale wakachukuana mpaka kwenye sebule ambayo ilikuwa ni kubwa sana, yaani ilikuwa ni kama sherehe ya kifamilia tu,.. Basi wale ndugu waalikwa walipiga vijiukelele vya
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA SITAILIPOISHIA… Sasa pale pale wakachukuana mpaka kwenye sebule ambayo ilikuwa ni kubwa sana, yaani ilikuwa ni kama sherehe ya kifamilia tu,.. Basi wale ndugu waalikwa walipiga vijiukelele vya hapa na pale baada ya kumwona mchumba wa mtoto wao,.. Yaani mama sarah alikuwa akitetemeka kwa hasira, yaani kaliwa yeye na mtoto wake tena mwanaume…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (95)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TANO ILIPOISHIA... "Enheeeee nataka miri aje ashuhudie kuwa chidi ni mpenzi wangu na sio wake" Sarah alikusudia kabisa na miriam awepo katika swala hilo la kuvishana pete, Yaani sipati picha itak
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TANOILIPOISHIA… “Enheeeee nataka miri aje ashuhudie kuwa chidi ni mpenzi wangu na sio wake” Sarah alikusudia kabisa na miriam awepo katika swala hilo la kuvishana pete, Yaani sipati picha itakuwaje hapo,.. Sarah alichukuwa simu yake na kumpigia miriam. Simu ikiwa inaita ghafla mama yake sarah kaingia chumbani kwa sarah, KAMA UNATUMIA APP…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (94)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA NNE ILIPOISHIA... "mmmhhhhh siingilii mambo yenu bwana" Basi chidi alichukuwa taulo na kuingia bafuni, lakini ile kufika tu bafuni anakutana na chupi za miriam.. Kwa hasira alizitoa na kwenda kuz
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA NNEILIPOISHIA… “mmmhhhhh siingilii mambo yenu bwana” Basi chidi alichukuwa taulo na kuingia bafuni, lakini ile kufika tu bafuni anakutana na chupi za miriam.. Kwa hasira alizitoa na kwenda kuzichoma yaani hakutaka hata kuziona katika macho yake,.. KAMA UNATUMIA APP WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (93)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TATU ILIPOISHIA... Sasa tukija huku katika nyumba ya akina miriam wakiwa wamekaa kikao baada ya ile simu kupigwa na miriam, siku ile akiwa kafungiwa ndani,.. Sasa miriam keshafunguliwa siku ile il
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA TATUILIPOISHIA… Sasa tukija huku katika nyumba ya akina miriam wakiwa wamekaa kikao baada ya ile simu kupigwa na miriam, siku ile akiwa kafungiwa ndani,.. Sasa miriam keshafunguliwa siku ile ile lakini leo ndio kikao cha familia akiwemo dada yake wa mama, na dada wa baba, pamoja na dada yake miriam aitwaye neema, ambae ni mtoto wa mamkubwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (92)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA MBILI ILIPOISHIA... Alivyotoka alitoka kama mtu anekwenda mjini na kurudi hivyo hakuna aliomtilia mashaka japo wengi wa familia hiyo hawapendi mtoto wao Jackson aoe mwanamke ambae tayari keshazali
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA TISINI NA MBILIILIPOISHIA… Alivyotoka alitoka kama mtu anekwenda mjini na kurudi hivyo hakuna aliomtilia mashaka japo wengi wa familia hiyo hawapendi mtoto wao Jackson aoe mwanamke ambae tayari keshazalishwa na mijidume mingine,.. Salma akiwa mtaani kuelekea stendi ili akapande gari, lakini kwanza alikaa mahari na kuanza kukumbuka maisha aliyokuwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes