Tumgik
#vunjambavu_tanzania
jlubegas · 5 years
Photo
Tumblr media
Bira shaka huyu ni #mchaga #vunjambavu_tanzania https://www.instagram.com/p/B8dcTjYl1GX/?igshid=dpbljr1ikc5
0 notes
jlubegas · 4 years
Photo
Tumblr media
RONSIEN TUISILA KISHINDA 🇨🇩 Uchambuzi: Tuisila Kishinda au kwa jina la utani (aka) “TK MASTER” |29| Huyu ni raia wa Kongo mwenye kasi katika uchezaji wake, pia Tuisila ni mchezaji ambaye anacheza akitokea upande wa kushoto yaani namba 11 mwenye kutumia mguu fasi wa kushoto. Tuisila ni aina ya wachezaji wachace ambao wanauwezo wa kutumia miguu miwili kwa usahihi mfananishe na Santi Carzola wa Arsenal kwa matumizi ya miguu lakini wako tofauti kiuchezaji. Tuisila Kishinda, ni mchezaji ambaye amewafanya mashabiki wengi wa YANGA ku msahau Morisson kwa aina ya uchezaji wake na umahiri wake wakiwa na mpira. Tuisila ni mchezaji mtukutu sana ambaye kila anapopata mpira lazima utegemee kitu kitamu kwake. Tuisila hana papara anapokua uwanjani anatulia na mara zote huonekana mwenye madhara kwenda mbere kila ashikapo mpira. Tuisila kishinda ni mchezaji ambaye anaweza kukupa burudani muda wote anaposhika mpira kwa machachali yake. Tatizo lake: Tuisila anacheza sana mpira wa show na burudani ambao hauwapi matokeo YANGA pale wanapo hitaji matokeo kitu ambacho anaweza kukihepuka kabisa, Tuisila siku akiamua kucheza mpira wa biashara (BUSINESS FOOTBAL) nakuhakikisha atafunfa sana na kuwapa matokeo wana YANGA. Tatizo lingine: Tuisila ni mchoyo sana, na anachelewa sana kuamua, kitu ambacho kinawasababisha Yakouba na Sarpong kukabwa pindi anapo achia mpira anakuta nafasi zinezibwa!!! Afanye nini? 1. Acheze show game pale Yanga anapokua na magoli mawili, hapo aanze show zake. 2. Acheze Business football kama alivyokua Ac Vita kwenye champions league. 3. Atoe mpira mapema asifanye mambo mengi sana katika kipindi cha utaftaji matokeo. 4. Atumie kasi yake kuwapa taabu walinzi wa timu pinzani. Asante @vunjambavu_tanzania (julius) https://www.instagram.com/p/CFSaHeXF8eA/?igshid=khgsd4xi1dj8
0 notes
jlubegas · 4 years
Text
0 notes
jlubegas · 5 years
Photo
Tumblr media
I pray for #corona victims #coronavirusitalianews #coronavirüsü #coronamemes #coronavirusespaña #coronaoutbreak #coronavictims #coronachina #coronaprayers #coronajulius #coronavunjambavu #coronaafrica #coronaasia #coronaeurope #coronausa #coronatanzania #coronakenya #coronauganda #coronaeastafrica #coronarwanda #coronafight #coronaprevetion #instacoronavirus #coronainstagram #vunjambavu_tanzania #tanzania #daressalam #who #un https://www.instagram.com/p/B9tMcvXFnje/?igshid=3phfspfbn5ok
0 notes