Tumgik
#watu wote
joackanimalclinic · 9 hours
Text
ANIMALS ARE SENTIENT BEING | WANYAMA NI VIUMBE WENYE HISIA
Kama ilivyo kwa binadamu wanyama ni viumbe vinavyo upendo, na wanajua kama unaupendo nao au la.
Wanyama nao wanahisia kama ilivyo kwa binadamu, wanahisi maumivu kama tunavyohisi sisi.
Kama ilivyo kwa binadamu, tunahitaji mahitaji muhimu hivyo hivyo kwa wanyama, wanahitaji kula na sehemu nzuri ya kulala pia.
Zipo sheria nyingi zinazo linda haki za wanyama, wanyama wana haki kama ilivyo kwetu, hawapaswi kuteseka kwa jambo lolote la maumivu au njaa.
Unaweza kufungwa jela kisheria kabisa, hasa kama utakiuka haki za wanyama au kuwatendea ukatili.
Ni kinyume na sheria kama utakaa na mnyama alafu haumjali yaani haumpi mahitaji yake muhimu.
Tunaamini mtu yeyote aliye na upendo kwa wanyama na kuwajali, basi mtu huyu atakuwa na upendo kwa watu pia.
JOACK Animal Clinic ni waamini katika haki za wanyama, na lengo letu kuu kama wataalamu wa mifugo ni kuhakikisha tunawapunguzia maumivu na mateso wanyama wote wenye changamoto bila kujali maslai binafsi.
Endelea kufatilia zaidi page zetu, ili uweze kujifunza zaidi kuhusu wanyama.
#upendokwawanyama #animalsaresentient #hakizawanyama #animaltreatment #animalwelfare #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #kutembeleawafugaji #uchunguziwavifokwakuku
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/WAduXTp3sNw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #paka #mbwa #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackagrovet · 2 days
Text
TUNAUZA MASHINE YA KUKATIA NYASI | WE ARE SELLING POTABLE GRASS CUTTER MACHINE.
Bei ni 450,000Tsh
Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
POTABLE GRASS CUTTER MACHINE ni mashine maalumu inayotumika kukatia nyasi ndefu na fupi.
Mashine hii ni ya kuvaa begani (sio nzito) kipindi unaitumia kukata nyasi.
Mashine hii ni ya kutumia petrol na two stroke oil, unachanganya zote kwa pamoja.
Mashine inatumia mafuta kidogo sana kwa saa, hivyo lita 1 ya mafuta unaweza kutumia kukata nyasi katika eneo kubwa.
Faida ya hii mashine ni kwamba inaokoa muda wa kufanya kazi, lakini pia inapunguza gharama za uendeshaji badala ya kulipa watu wengi kusafisha eneo hii mashine moja na mtu mmoja inatosha.
Maeneo mengi ya jeshini na makampuni yaliochukua tenda ya kufyeka nyasi za barabarani hutumia aina hii ya mashine, wengi wamenunua hizi mashine hapa kwetu JOACK Company LTD.
Ukihitaji hii mashine usisite kuwasiliana nasi wakati wote, na kwa wateja wa mikoani mkihitaji hii mashine tunawatumia kokote mlipo.
#mashine #mashineyakukatianyasi #grasscutter #kukatanyasi #bustani #maguu #grasscutterngmachine #mashineyakukatanyasi #grasscuttingmachine #kukatanyasi #mashineyakufyekeanyasi #mashineyakukatamajani #kufyekamajani #mashineyakufyekea
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu
+255 714 636 375
+255 737 35 86 89
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #furmigation #bedbug #tanzania #sisimizi #mbu #mbuzi #daressalaam #tanzania #arusha #waduduwaharibifu #dodoma #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
rwizakakiza · 18 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 17: KIBALI) Share a...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 17:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
7. HITIMISHO.
Hapa tutaangalia mambo mawili yaani:- (Faida na namna bora ya kutambua majira na nyakati kwenye maisha yako yote)
7. 1. FAIDA /UMUHIMU WA MAJIRA NA NYAKATI.
Zipo faida nyingi, lakini sehemu hii tunaangalia faida kuu ya majira na nyakati kwenye maisha yako ambayo ni
KIBALI KWA MUNGU NA KWA WATU.
......Kibali ni upendeleo, kibali ni kupewa nafasi, kibali ni kukubalika kwa MUNGU na kwa watu. Kabla ya kupata kibali ipo NEEMA ya MUNGU kwanza inayokubeba, alafu ukifanya vizuri kupitia neema hiyo unapata kibali.
Wote mnaweza kuwa na huduma moja, lakini KINACHOWATOFAUTISHA ni BIDII /JUHUDI BINAFSI, unavyojibidiisha na kujitoa kwa ajili ya Neema MUNGU aliyokupa (Yaani huduma), Jitihada zako ndizo zinazojenga nafasi ndani ya moyo wa MUNGU au ndani ya mioyo ya watu, na Nafasi hiyo ndiyo kibali.
Mfano.
Kaini na Habili wote wawili, MUNGU aliwapa neema ya kumjua MUNGU na huduma yao kuu ilikuwa ni UTOAJI. Kilichotokea ni Habili kujiongeza /kujibidiisha /kufanya cha ziada. Ndio maana MUNGU alipomtokea Kaini alimuuliza ukijibidiisha /ukitenda mema hautapata kibali?. Lakini Kaini akaona Wivu na wivu ukajenga Chuki na Chuki ikazaa mauaji kwa nduguye.
......Je Kaini UKITENDA VYEMA, hutapata KIBALI? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
.....Mwanzo 4:7....
Wote mmebarikiwa kupata kazi, Je unatambua kwanini umebarikiwa? Je MUNGU aliyekubariki unatambua ndiye mwenye vyote?, hata ukimpa vyote ni vyake ila juhudi za KUMPENDA katika kile ninachokitoa ndizo zitanipatia kibali. Usimwonee mwingine wivu, bali Ongeza bidii katika kutenda.
Majira na nyakati zinakupatiaje kibali, Kumbuka majira na nyakati ni kutambua cha kutenda ndani ya muda sahihi kulingana na kusudi lililoko kwenye muda huo. Usipofanya kwa majira na nyakati sahihi utapata hasara.
Mfano
Ni wakati wa kuvuna, Wewe ndio unapanda, Wakati wa kufunga Wewe ni chakula muda wote, Mahitaji ya lazima kwenye familia unakimbilia kununua nguo, Wakati wa mshahara, Unafanya anasa na Matumizi yasiyo lazima, badala ya KUWEKEZA kwa ajili ya uzeeni, usiwasumbue watoto wako.
......Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
......Hagai 1:6.....
Ukitambua uko kwenye majira na nyakati gani na unapaswa ufanye nini UTAPATA KIBALI KWA MUNGU, NA KWA WATU (Tena kwa watu wakuu yaani wenye vyeo, na wadhifa kubwa).
Mfano. YUSUFU
Yusufu alikuwa na ndoto na ili ikamilike ndoto yake, alitambua majira na nyakati cha kufanya, hakubaki na MALALAMIKO kwamba Kwanini ndugu zangu waliniuza kwa Wamisril?. Kwanini MUNGU ameniacha mpaka nikasingiziwa na mke wa Potifa kwamba nimebaka?. Siri ya Yusufu ni HAKULALAMIKA bali ALINYENYEKEA na unyenyekevu wake MUNGU akampenda akawa pamoja na Yusufu, hata kwenye Gereza, MUNGU akampa kibali.
.....‭BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.
......Mwanzo 39:21....
Pamoja na kibali, Yusufu analenga kutimiza ndoto yake ambayo imempitisha kwenye majira hayo. Hivyo aliangalia ANAPOELEKEA hakuangalia ANAPOPITIA. Kupitia ROHO MTAKATIFU, Yusufu anajulishwa majira na nyakati zinazokuja juu ya nchi yote ya Misri kwa kutafsiri ndoto ya Farao ambayo hata wakuu wake hawakuelewa na hatimaye bidii ya kuangalia anapoelekea inamsaidia kumpa kibali kwa wakuu mpaka anapewa Uwaziri mkuu.
......Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye ROHO ya MUNGU ndani yake? Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe. Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Mimi ni Farao, na bila amri yako (Yusufu), Mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
......Mwanzo 41:38 - 44.....
Ukielewa vizuri Habari ya majira na nyakati, utafika mahali ambapo hukutarajia. Watu wengi wanatamani kujua maisha yao ya kesho itakuwaje, Biashara /kazi zao zitakuwaje, Ndoa /familia zao zifanye nini nk. Majibu yote yapo kwenye majira na nyakati, ukitambua utapata kibali na kibali hicho kitakufikisha kwenye ndoto zako, Amina.
7. 2. NAMNA BORA YA KUTAMBUA MAJIRA NA NYAKATI MAISHA YAKO.
....Tutaendelea....
Rejea
So Pharaoh said to his servants, “Can we find a man like this [a man equal to Joseph], in whom is the DIVINE SPIRIT [of GOD]?”
......Genesis 41:38.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
joackcompanytz · 2 months
Text
Tumblr media
DRIVER 500EC | SUMU YA KUPULIZA KWAJILI YA KUUWA WADUDU MAJUMBANI
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
DRIVER 500EC ni kiuadudu kinachoangamiza upesi wadudu kwenye maghala ya vyakula na pia huangamiza mende, mbu, inzi, na kunguni kwenye majumba.
Hii DRIVER ndio kiboko ya wadudu wote warukae na watambaao kwenye maghaka ya chakula na majumbani.
Hii simu imekua ikifanya vizuri sana kwa miaka mingi, watu wamekuwa wakiitumia sana kwenye furmigation.
DRIVER 500EC utaipata JOACK COMPANY LTD katika ujazo tofauti tofauti, kwa bei ya jumla na rejareja.
Hayo ni machache tu, endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi .....
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Matibabu ya Mifugo follow @joackanimalclinic
#DRIVER500EC #DRIVER #kiuadudu #sumuyambu #sumuyamende #sumuyawadudu #pesticide #dudukiller #sumuyambu
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackagrovet #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #ufugajiwakuku  #dawazamifugo #dawazakilimo  #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
mateoshija · 8 months
Text
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu. Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu. Wafilipi 4:4-7
View On WordPress
0 notes
mnaasilveira · 9 months
Link
0 notes
maxnate-africa · 9 months
Text
WhatMax APP NI NINI?
Hii ni aplikesheni ya simu za android itakayokuwezesha wewe mfanyabiashara, muandaa matukio, semina na mikutano kuweza kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi na kuimarisha mahusiano yenye tija kupitia mtandao wa whatsapp.
INAFANYAJE KAZI?
A: MOJA
Ina uwezo wa kuchukua namba za simu za biashara ama watu waliojisajili katika mitandao ya wazi ya kijamii mfano Google, facebook na kadhalika kwa urahisi kabisa mfano:             Wewe ni mmiliki wa duka la nguo na unauza nguo zako kwa jumla na unahitaji wateja wenye maduka ya nguo wauzao kwa rejareja wa mikoa mbalimbali na nchi mbalimbali ili wanunue nguo kutoka dukani kwako,
utakachotakiwa kufanya katika application ya whatmax ni
i) Hatua ya Kwanza: kuandika aina ya biashara ambayo kwa hapa ni "Duka ya nguo" au "Clothing Store" au "Nguo" na neno lolote linalofanana au kuendana na huduma ya nguo
i) Hatua ya pili: Kuandika eneo la kijografia ambalo unataka kupata namba za simu mfano: kampala, Dodoma, Kisumu nk.
Hatimaye utapata namba zenye mahusiano na ulichoandika na utaweza kuwaweka katika aplikesheni na kuwatumia meseji za whatsapp wote pamoja bila kusevu namba katika simu yako, lakini pia utaweza kuwapigia simu ya kawaida mtu mmoja mmoja kama itakufaa kufanya hivyo..
B: MBILI
WhatMax in uwezo wa kuchukua namba zaidi ya 1000 ndani ya dakika tano tu kutoka katika kundi la whatsapp lolote hata yale makundi ambayo ni kiongozi wa kundi pekee ndiye anaruhusiwa kutuma ujumbe ,
Hivyo kupitia WhatMax utaweza kuwatumia watu wa kwenye kundi meseji, Picha na video kwenye inbox zao bila hata kusevu namba zao
Kumbuka: meseji zinazotumwa kwa mtu binafsi zina uwezekano mkubwa sana wa kusomwa tofauti na meseji zinazotumwa kwenye makundi ya whatsapp.
C: TATU WhatMax ina uwezo wa kuyaweka makundi ya whatsapp unayoweza kuyatumia ujumbe unaofanana yakawa katika kundi moja hivyo utakapotuma meseji moja kutpitia whatMax itaingia kwenye makundi yote yaliyo katika orodha.
Kumbuka: huduma hii ni tofauti kabisa na WHATSAPP COMMUNITY kwani hakuna kundi litalojua kama limeunganishwa pamoja na kundi lingine na meseji au chochote utakachokituma kitakwenda kwenye kundi husika kana kwamba ulituma ujumbe huo kwa kulenga kundi hilo tu. D. NNE WhatMax inakuwezesha kuchukua namba za whatsapp ambazo uliwahi kuchat nazo na hukusevu katika simu yako na kisha kuzitumia meseji.
E. TANO WhatMax ina imewekewa uwezo wa kuwatoa kwenye makundi watu ambao ulikwisha watumia meseji lakini hawakupenda kuendelea kupokea meseji kutoka kwako wakati ujao, na hili linawezekana baada ya kuruhusu mtu aandike  "Unsubscribe" pindi anapopata meseji na kwa namna moja ama nyingine asingependa kupata tena meseji wakati mwingine na hivyo kupunguza kuchukiza watu
F. SITA Kupitia WhatMax utaweza kuwahudumia wateja kulingana na hatua ya uhusiano uliyo nayo inayojulikana kama Customer Journey. Hatua hizo ni kama ifuatavyo;
1. Awareness Katika hatua hii inatakiwa kila mmoja ajue kuhusu bidhaa au huduma yako bila kujali kama atanunua ama hatanunua, na ili huduma yako istawi unatakiwa kuhakikisha kila siku watu wapya wanajua kuhusu biashara yako
2. Consideration Katika hatua hii wale watu ambao walikuwa katika hatua ya kwanza, wakajua biashara yako au huduma unazotoa na wakaonesha kuvutiwa ama kuhamasika na kutamani kujua bei zako, mahali ofisi zilipo, muda wako wa kazi, nk hawa utatakiwa kuwaweka katika kundi tofauti na kuwatumia meseji tofauti na kundi la kwanza
3. Sales
Wale ambao walikuwa katika hatua ya pili lakini wakanunua huduma au bidhaa yako, hawa watatakiwa kutengenezewa kundi lao na watatumia meseji tofauti na kundi la pili
4. Leads Hawa ni wale wateja wa kujirudi hawa watatakiwa kutumiwa meseji za salaamu, heri ya kuvuka mwezi, meseji kuhusu ofa na zawadi kwa kadri ya mpangilio wa huduma yako.
TUMIA WHATMAX APP
Pakua sasa
Tumblr media
1 note · View note
ps-thom1 · 1 year
Text
kusimamisha imani potofu kwa kusimamia Biblia .
“Mungu”ni akiwa mmoja katika wale watatu 1yoh 5:8,”MUNGU” ni wote vivyo ivyo kwa Bwana ni mmoja na BWANA ni wote watatu kwenye mwanzo 18 unaona wakimtokea Ibrahim wote watatu na tena ni watu kabisa lakini tunaona akimuadress mmoja “Bwana” hivyo MUNGU na BWANA ni nafsi tatu ambapo akiwa mmoja ni Bwana au Mungu.MUNGU ni moyo wa mwanzo na aliumbwa na CHANZO HALISI hivyo MUNGU ni mwana pia…
View On WordPress
0 notes
joackcompany · 1 year
Text
TUNAUZA PAKA CHOTARA | FRIENDLY CAT | FELINE SPP | PAKA WA NYUMBANI | HOME CAT
Bei ni: 20,000/=
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackbagamoyo @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Paka ni kati ya wanyama wanaofugwa kama Pet's, yaani kwajili ya mapenzi tu.
Paka ni mnyama anaeweza kuishi miaka 12 kwa wastani, ingawa wapo wanaofika Mika 20 hadi 30 na zaidi.
Aina hii ya paka inapenda sana kuwa karibu na watu, ni paka wapole sana na wasafi lakini pia nirahisi kuwatumza.
Baadhi ya watu hufuga paka, ikiwa ni kama sehemu ya kudhibiti panya, hii ni sahihi na ni kwali husaidia.
Panya huwa hakai kabisa kwenye nyumba yenye paka, na mara nyingi panya akisikia harufu ya mkojo wa paka hata asipo muona lazma ahame hilo eneo.
Kuna baadhi ya tafiti zilijaribu kutengeneza bidhaa inayotoa harufu kama ya mkojo wa paka kwa lengo na kufukuza panya.
Shida ya panya ukitumia sumu au mitego bado watatoka kwa majirani na watakuja tena hutaweza kuwamaliza, ila ukiwa na paka ndani wote lazma wakimbie.
Pia paka ni wasafi na hawachafui nyumba wanajua wapi pa kujisaidia na wapi ni pakupumzika.
Paka hawapendi kujichafua miili yao ni kati ya wanyama wasafi sana na wanapenda raha.
#paka #cats #pakawakizungu #pakawakisasa #pakawamanyoya #persian #persiancats #ufugajiwapaka #pets #domesticcats #animalsclinic #hospitaliyawanyama #vetdoctor #doctorofanimals #pakachotara
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #mifugo #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #dodoma #wauzajiwapaka #masaki #mikocheni #msasani
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
Tumblr media
0 notes
mwanagenzi · 1 year
Text
Litende Hilo Litende
Litende lililo jema, kwa hilo ufurahie, Litende linalovuma, bidii sana utie, Litende kama huduma, watu wote uwambie, Litende hilo litende! Litende la kuswifiwa, tena wingi wa nidhamu, Litende kufahamiwa, liwapo hilo muhimu, Litende utatendewa, kisasi kingali humu, Litende hilo litende! Litende likunasuwe, tena kwa mema matendo, Litende ulitatuwe, usiselee u kando, Litende tulitambuwe, hata kama…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
joackanimalclinic · 2 months
Text
ANIMALS ARE SENTIENT BEING | WANYAMA NI VIUMBE WENYE HISIA
Kama ilivyo kwa binadamu wanyama ni viumbe vinavyo upendo, na wanajua kama unaupendo nao au la.
Wanyama nao wanahisia kama ilivyo kwa binadamu, wanahisi maumivu kama tunavyohisi sisi.
Kama ilivyo kwa binadamu, tunahitaji mahitaji muhimu hivyo hivyo kwa wanyama, wanahitaji kula na sehemu nzuri ya kulala pia.
Zipo sheria nyingi zinazo linda haki za wanyama, wanyama wana haki kama ilivyo kwetu, hawapaswi kuteseka kwa jambo lolote la maumivu au njaa.
Unaweza kufungwa jela kisheria kabisa, hasa kama utakiuka haki za wanyama au kuwatendea ukatili.
Ni kinyume na sheria kama utakaa na mnyama alafu haumjali yaani haumpi mahitaji yake muhimu.
Tunaamini mtu yeyote aliye na upendo kwa wanyama na kuwajali, basi mtu huyu atakuwa na upendo kwa watu pia.
JOACK Animal Clinic ni waamini katika haki za wanyama, na lengo letu kuu kama wataalamu wa mifugo ni kuhakikisha tunawapunguzia maumivu na mateso wanyama wote wenye changamoto bila kujali maslai binafsi.
Endelea kufatilia zaidi page zetu, ili uweze kujifunza zaidi kuhusu wanyama.
#upendokwawanyama #animalsaresentient #hakizawanyama #animaltreatment #animalwelfare #daktariwambwa #hospitaliyawanyama #veternarian #matibabuyambwa #animaldoctor #kutembeleawafugaji #uchunguziwavifokwakuku
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/WAduXTp3sNw
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #tanzania🇹🇿 #paka #mbwa #tibayambwa #dogclinic #catclinic #dodoma #madawayamifugo #kituochaafyayamifugo
JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
0 notes
joackagrovet · 2 months
Text
Tumblr media
NUVAN 500EC | SUMU YA KUPULIZA KWAJILI YA KUUWA WADUDU MAJUMBANI
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
NUVAN 500EC ni kiuadudu kinachoangamiza upesi wadudu kwenye maghala ya vyakula na pia huangamiza mende, mbu, inzi, na kunguni kwenye majumba.
Hii NUVAN ndio kiboko ya wadudu wote warukae na watambaao kwenye maghaka ya chakula na majumbani.
Hii simu imekua ikifanya vizuri sana kwa miaka mingi, watu wamekuwa wakiitumia sana kwenye furmigation.
Nuvan 500EC utaipata JOACK COMPANY LTD katika ujazo tofauti tofauti, kwa bei ya jumla na rejareja.
Hayo ni machache tu, endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi .....
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Matibabu ya Mifugo follow @joackanimalclinic
#NUVAN500EC #NUVAN #kiuadudu #sumuyambu #sumuyamende #sumuyawadudu #pesticide #dudukiller #sumuyambu
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackagrovet #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #ufugajiwakuku  #dawazamifugo #dawazakilimo  #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
rwizakakiza · 20 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 16: MWAMUZI WA MWIS...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 16:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
6. AINA 2 ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
6. 2. MAJIRA NA NYAKATI ZA MUNGU
Haya ni majira na nyakati ambazo mwamuzi wa mwisho ni MUNGU ingawa hata kama mwanadamu atashirikishwa na MUNGU bado maamuzi ya mwisho ni ya MUNGU mwenyewe.
Mwamuzi wa mwisho kwenye majira na nyakati ni MUNGU pekee. Hata kama giza au watu au mamlaka au adui amekuamria Mabaya yaje juu yako, LAKINI YUPO MUNGU MWAMUZI WA MWISHO ANASEMA....
(i). HAUTAKUFA BALI UTAISHI.
MUNGU hataki mtu yeyote afe kabla ya majira na nyakati zake, maana akifa kabla ya wakati wake, kuna makusudi ya MUNGU hayatimiza, hutakuwa na kusimulia, Tambua majira na nyakati za MUNGU kwenye maisha yako. Yupo Roho Mtakatifu afunuaye mambo yajayo, ana uwezo wa kukwambia lini utaondoka, ukiwa na uhakika huo hata kama Ikitokea leo mtu anakwambia utakufa, Wewe kwa uhakika utamwambia.....
......Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
.....Zaburi 118:17.....
(ii). HAUTAKUWA TASA BALI UTAZAA WATOTO.
Ni kweli wewe ni tasa kwa kila kitu hakuna unachozalisha iwe ni mali au vitu au watoto hata ukizalisha vinakufa. Lakini yapo majira na nyakati za MUNGU ambazo ndio leo, MUNGU anasema hivi...
.....Hapatakuwa na mwenye KUHARIBU MIMBA , wala ALIYE TASA, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako NITAITIMIZA.
.......Kutoka 23:26......
Ni Ahadi ya MUNGU ujenge nyumba Ukae ndani yake, Na ndani ya nyumba uwe na Uzalishaji na kula matunda ya uzalishaji wako, ambaye hujaoa au kuolewa chukua hatua ya imani. Leo ni wakati wako wa kudai haki yako majira na nyakati za MUNGU kwako zimefika, MUNGU anasema......
......JENGENI nyumba, MKAKAE ndani yake, KAPANDENI bustani, MKALE MATUNDA yake; OENI wake, MKAZAE wana na binti; KAWAOZENI wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, WAZAE wana na binti; MKAONGEZEKE huko wala MSIPUNGUE.
......Yeremia 29:5-6.....
(iii). HAUTAKUWA MASKINI, BALI TAJIRI.
Ni kweli ulizaliwa kwenye umaskini mpaka sasa wewe ni maskini lakini haimaanishi utaendelea kuwa maskini. Ongeza bidii katika kutenda kazi iliyo halali na huku ukikumbuka Neno hili kwamba....
.......Umejua neema ya BWANA wetu YESU KRISTO, jinsi alivyokuwa MASKINI kwa ajili yako, ingawa alikuwa TAJIRI, ili kwamba WEWE UPATE kuwa TAJIRI kwa umaskini wake.
.......2 Korintho 8:9.......
Unavyoendelea kujibidiisha katika utendaji MUNGU anaachilia NGUVU YA UTAJIRI ndani yako, Sasa ni nyakati na Majira ya kuaga umaskini umefika Ongeza bidii, ila usimsahau BWANA YESU.
.......Hapo usiseme moyoni mwako, NGUVU ZANGU na UWEZO wa MKONO wangu ndio ULIONIPATIA UTAJIRI huo. Bali utamkumbuka BWANA, MUNGU wako, maana NDIYE akupaye NGUVU za KUPATA UTAJIRI; ili alifanye imara AGANO lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
......Kum 8:17-18.....
(iv). SITAKUACHA KAMWE.
Ni kweli umeachwa, unateseka, unanyanyaswa na umetengwa mpaka unaona dunia imekuacha na MUNGU hakukumbuki, Yote hayo yalikuwa ni majira na nyakati tu, kuanzia leo ni wakati wako wa kukumbuka hata na wale waliokusahau na MUNGU Hawezi kukuacha na hatakuacha kamwe nawe usimwache upo kiganjani mwake.
.....Wewe umesema, "YEHOVA AMENIACHA, BWANA AMENISAHAU. Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, HAWA WAWEZA KUSAHAU, lakini MIMI SITAKUSAHAU WEWE. Tazama, NIMEKUCHORA katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima.
......Isaya 49:14-16......
(v). NJOO ULIVYO NA DHAMBI ZAKO.
Ni ukweli usiopingika kwamba wewe ni mdhambi na watu wote tunajua wewe ni mdhambi na MUNGU anajua wewe ni mdhambi, Lakini leo majira na wakati wa MUNGU umefika, MUNGU anakuita njoo....
.....Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zako zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Kama UKIKUBALI na KUTII leo utakula mema ya nchi".
......Isaya 1:18-19.....
Sisi tumekuona huwezi kusamehewa lakini kumbuka mwamuzi wa mwisho ni MUNGU, leo ni majira na wakati wa MUNGU kwa ajili yako kubadilika ili kuishi na MUNGU upya.
(vi). WEWE NI WATHAMANI, NA MWENYE HESHIMA.
Ni kweli umekosa heshima, huthaminiwi, hupendwi na hukumbukwi tena. Lakini haimaanishi MUNGU hakuoendi. MUNGU anakupenda sana sana kwa sababu wewe ni wa THAMANI kubwa kwake na mwenye heshima kubwa kwa MUNGU. Ni majira na nyakati za MUNGU kutambulisha heshima na thamani yako kwa ulimwengu maana anakupenda, nawe jipende na ujithamini na kujiheshimu.
......Kwa kuwa wewe ni wa THAMANI machoni pangu, na mwenye KUHESHIMIWA , nami NIMEKUPENDA; kwa sababu hiyo NITATOA watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
......Isaya 43:4....
(vii). ULIYECHOKA NA KUKATA TAMAA NJOO.
Maisha yamekuchosha, watu wamekuchosha, kazi imekuchosha, Huduma imekuchosha, familia imekuchosha, maneno yamekuchosha, Magonjwa, taabu na mateso vimekuchosha na kadhalika, Ni kweli umechoka na umekata tamaa. Leo Neno moja tu la YESU mtwike hayo yote yalikuchosha na YESU atakupumzisha ili upate raha nafsini mwako. BWANA YESU anasema hivi....
.......Njoni kwangu, ninyi nyote MSUMBUKAO na wenye KULEMEWA na MIZIGO, nami NITAWAPUMZISHA. Jitieni NIRA yangu, MJIFUNZE kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi MTAPATA RAHA NAFSINI mwenu".
...... Mathayo 11:28-29.....
(viii). MWENYE AIBU, WEWE NI JASIRI NA HODARI.
Kuna mambo ukiyatazama unaona aibu inakujia, Mengine ukiyasema ni aibu, imekuwa ni siri yako mwenyewe lakini yamegeuka kuwa mateso kwa sasa. Mwingine hadhi yako uliyonayo na kufanya kitu cha kawaida unaona ni aibu, Umefirisika unawaza watu watanionaje watanicheka. Wengine ni aibu ya kuachwa, kusimama mbele za watu, nk. Umekuwa mtumwa wa aibu kumbuka YESU aliidharau aibu, akajivika ujasiri na Uhodari akashinda. Ni majira na nyakati za MUNGU kuondolewa aibu yako, kubali na chukua hatua uwe shujaa, aibu itakufedhehesha kwa muda lakini utapata heshima ya kudumu.
.......Tukimtazama YESU, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya FURAHA iliyowekwa mbele yake ALIUSTAHIMILI MSALABA na KUIDHARAHU AIBU, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha MUNGU.
.....Ebrania 12:2....
(ix). ULIYESHINDWA, INUKA ANZA UPYA.
Naongea na wewe uliyekata tamaa kwa sababu UMESHINDWA kufikia malengo yako. Kila ukipanga unashinwa, kila mipango haikamiliki, masomo umeishia katikati, Biashara ni hasara unatamani uachane nayo, Mahusiano unaona hayana mwelekeo, mwenzi wako humwelewi unatamani mwachane. Majira na wakati wa MUNGU umefika inuka tena upya mara pili ule (Neno la MUNGU la leo hii) songa mbele mpaka ufike kwenye mafanikio yako (mlima Horebu) yapo mema mbele usikate tamaa.
......Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, INUKA, ULE; maana SAFARI hii ni KUBWA MNO kwako. Akainuka, akala, akanywa, AKAENDA katika NGUVU za CHAKULA hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa MUNGU.
.....1Falme 19:7-8.....
(x). USIOGOPE.
Kuweza kutimiza vyema majira na nyakati za MUNGU ONDOA HOFU ya kesho yako. (iwe ni kifo, Magonjwa, madeni, vitisho, mateso, aibu, kufeli, kuzomewa, kuachwa, nk), usiogope shikamana na MUNGU mwenye hatima na maamuzi ya mwisho kwenye maisha yako yote.
.....USIOGOPE, kwa maana Mimi MUNGU ni pamoja nawe; USIFADHAIKE, kwa maana mimi ni MUNGU wako; NITAKUTIA NGUVU, naam, NITAKUSAIDIA, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu".
.....Isaya 41:10.....
Ni swala la majira na wakati wa MUNGU tu, Wewe sio wa kawaida, Yupo mwaamuzi wa mwisho, MUNGU ambaye hashindwi na chochote, ndiye mwenye hatima yako, mwamini YESU ili kitu au mwanadamu yeyote asikupangie hatima yako, usipomwamini YESU KRISTO mwenye hatima ya maisha yako, utapangiwa majira na nyakati za kuishi.
Hitimisho.
....Tutaendelea....
Rejea
“Indeed, I have inscribed [a picture of] you on the palms of My hands; Your city walls [Zion] are continually before Me".
.......Isaiah 49:16.......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
joackcompanytz · 2 months
Text
Tumblr media
DRIVER 500EC | SUMU YA KUPULIZA KWAJILI YA KUUWA WADUDU MAJUMBANI
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm).
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo
DRIVER 500EC ni kiuadudu kinachoangamiza upesi wadudu kwenye maghala ya vyakula na pia huangamiza mende, mbu, inzi, na kunguni kwenye majumba.
Hii DRIVER ndio kiboko ya wadudu wote warukae na watambaao kwenye maghaka ya chakula na majumbani.
Hii simu imekua ikifanya vizuri sana kwa miaka mingi, watu wamekuwa wakiitumia sana kwenye furmigation.
DRIVER 500EC utaipata JOACK COMPANY LTD katika ujazo tofauti tofauti, kwa bei ya jumla na rejareja.
Hayo ni machache tu, endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi .....
Adress: P. O. Box 67414, Tegeta, DSM
Kuhusu kilimo follow @kilimo_tz
Kuhusu mifugo follow @mifugo_tz
Kuhusu kampuni follow @joackcompany
Matibabu ya Mifugo follow @joackanimalclinic
#DRIVER500EC #DRIVER #kiuadudu #sumuyambu #sumuyamende #sumuyawadudu #pesticide #dudukiller #sumuyambu
Office zetu zipo @TegetaWazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackagrovet #mifugotz #kilimotz #mifugo #kilimo #kilimobiashara #ufugaji #ufugajiwakuku  #dawazamifugo #dawazakilimo  #dodoma #morogoro #mwanza #tanzania #arusha #kilimanjaro #tanzania🇹🇿
JOACK Company LTD| DSM & BAGAMOYO
0 notes
mateoshija · 9 months
Text
Bwana ametamalaki,
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie, Visiwa vingi na vifurahi.Mawingu na giza vyamzunguka, Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.Moto hutangulia mbele zake, Nao huwateketeza watesi wake pande zote.Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka.Milima iliyeyuka kama nta mbele za Bwana, Mbele za Bwana wa dunia yote.Mbingu zimetangaza haki yake, Na watu wote wameuona utukufu…
View On WordPress
0 notes
mnaasilveira · 9 months
Text
Kuzuia Vifo vya Onyo
______________________________________________________________ Mwangaza wa Dhamiri utatokea kwa watu wote wa umri wa kufikiri bila kujali dini zao. Manukuu mawili muhimu ya makala ya Vifo vya Onyo: Wengine wataugua na kushtushwa sana na jinsi dhambi zao zitakavyofunuliwa hivi kwamba wataanguka na kufa kabla ya kupata nafasi ya kuomba msamaha. Yesu sasa anauliza kila mtu kuombea roho hizo…
View On WordPress
0 notes