Soma habari mbambali za teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
Ongeza Ulinzi Kwenye Simu ya Android kwa Njia Hizi
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android na kwa namna moja ama nyingine ungependa kuimarisha ulinzi wa simu yako basi unasoma makala sahihi. Kupitia kwenye makala hii na kuhakikishia utaweza kufurahia app hizi kwa asilimia 100. Kumbuka apps hizi zote ni nzuri kwa ulinzi wa simu yako na unaweza kulinda simu yako kwa namna [鈥
Soma Zaidi : Ongeza Ulinzi Kwenye Simu ya Android kwa Njia Hizi
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/linda-simu-yako-ya-android/
0 notes
Text
Tengeneza Video za Mitandao ya Kijamii Bila Kuwa na Ujuzi
Ukweli ni kwamba kwa sasa video zinayo nafasi kubwa sana pengine kuliko blogs, vitabu pamoja na magazeti au majarida mbalimbali ambayo yanakuwa kwenye mfumo wa maandishi. Hii inasababishwa na urahisi wa kuangalia video na kuweza kujifuza kwa haraka kuliko kusoma maandishi mengi ambayo sio watu wote ambao wanapenda sana siku hizi. Kuliona hili leo nimekuleta [鈥
Soma Zaidi : Tengeneza Video za Mitandao ya Kijamii Bila Kuwa na Ujuzi
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/video-za-mitandao-ya-kijamii/
0 notes
Text
Download Nyimbo Mpya MP3 na MP4 (2021) Njia Bora
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kusikiliza na kudownload nyimbo mpya za MP3 na MP4 kwa urahisi kupitia simu yako ya Android, basi njia hii ni bora sana kwako, njia hii ni bora pengine kuliko njia nyingine zote ambazo tumewahi kuzionyesha hapa. Njia hii ni rahisi na ya haraka na utaweza kudownload nyimbo [鈥
Soma Zaidi : Download Nyimbo Mpya MP3 na MP4 (2021) Njia Bora
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/nyimbo-mpya-mp3-na-mp4/
0 notes
Text
Jinsi ya Kuzuia Bando Kuisha Kwa Haraka (Android)
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la bei ya bando na hii imefanya watu kushindwa kufanya mambo mbalimbali mtandaoni kama walivyokuwa wanafanya hawali. Kuliona hili leo nimekutea njia bora ambayo inaweza kukusaidia kuzuia bando lako kuisha kwa haraka. Njia hii ni bora na nauhakika itakusaidia sana hasa kama umekuwa ukikumbana na tatizo la bando kuisha bila [鈥
Soma Zaidi : Jinsi ya Kuzuia Bando Kuisha Kwa Haraka (Android)
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/zuia-bando-kuisha-haraka/
0 notes
Text
Fuatilia Michezo Yote Tanzania na Duniani kwa Urahisi
Najua wewe ni mpenzi wa habari za michezo ndio maana unasoma makala hii kwa sasa, kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia ambayo na uhakika kwa asilimia 100 utaipenda sana na utaendelea kuitumia kila siku kuanzia siku ya leo. Njia hii itakusaidia kupata taarifa za michezo yote duniani ikiwa pamoja na michezo pendwa ya mpira wa [鈥
Soma Zaidi : Fuatilia Michezo Yote Tanzania na Duniani kwa Urahisi
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/michezo-tanzania/
0 notes
Text
LG Yatangaza Rasmi Kusitisha Biashara ya Smartphone
Kampuni ya LG hivi karibuni imetangaza kuwa inajitoa rasmi kwenye biashara ya smartphone duniani kote, kwa mujibu wa tovuti ya LG kampuni hiyo inatarajia kusitisha biashara yake ya smartphone kuanzia聽 mwaka huu huku ikitangaza kuwa bidhaa zilizopo sokoni zitaendelea kuuzwa hadi hapo stock itakapo kwisha. LG inasema katika tangazo lake, lililo chapishwa kwenye tovuti ya [鈥
Soma Zaidi : LG Yatangaza Rasmi Kusitisha Biashara ya Smartphone
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/lg-yasitisha-biashara-ya-smartphone/
0 notes
Text
TECNO Kuzindua Simu Mpya ya Tecno Spark 7 Mwezi Huu
Kampuni ya TECNO hivi karibuni inategemea kuzindua simu mpya ya Tecno Spark 7 huko nchini India, simu hii inategemewa kufuata nyayo za Tecno Spark 6 ambayo haiku zinduliwa kwa hapa Tanzania. Kwa mujibu wa tovuti ya GSMArena, simu hiyo mpya inatarajiwa kuzinduliwa huko nchini India wiki hii siku ya tarehe 9 mwezi huu, kwa mujibu [鈥
Soma Zaidi : TECNO Kuzindua Simu Mpya ya Tecno Spark 7 Mwezi Huu
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/tecno-spark-7-hivi-karibuni/
0 notes
Text
Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka)
Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #21, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako. Kwa siku ya leo nimekuletea movie mbili kwa kuwa leo ni siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. [鈥
Soma Zaidi : Sunday Movie #21 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili (Pasaka)
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/sunday-movie-21/
0 notes
Text
Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako bila kutumia programu yoyote. Njia hii ni rahisi sana na uhitaji kuwa na ujuzi wowote bali unacho hitaji ni kuwa na simu yako au kuwa na kompyuta. [鈥
Soma Zaidi : Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/kuondoa-background/
0 notes
Text
Jinsi ya Kudownload Game za Kompyuta (EPIC Games) Bure
Kama wewe ni mpenzi wa game za kompyuta basi najua unatumiaga muda mwingi sana kutafuta games za bure za kucheza kwenye kompyuta yako. Lakini kuanzia sasa huna haja ya kuendelea kuangaika tena kwani kupitia makala hii nitakuonyesha jinsi rahisi ya kudownload games za kompyuta za Epic Games bure kabisa. Njia hii ni rahisi na ni [鈥
Soma Zaidi : Jinsi ya Kudownload Game za Kompyuta (EPIC Games) Bure
source https://www.tanzaniatech.one/2021/04/games-za-kompyuta/
0 notes
Text
Hizi Hapa Shortcuts za Windows Ambazo Ulikuwa Huzijui
Pamoja na kuwa kwa sasa kila kitu kinaweza kufanyika kwenye simu lakini ni wazi kuwa bado kompyuta zinazo nafasi yake kwa kiasi chake. Kuliona hili leo nimekuletea makala hii fupi ya shortcuts za windows ambazo unaweza kutumia kwenye kompyuta yako. Inawezekana kwa namna moja ama nyingine ulikuwa hujui kuhusu shortcuts hizi hivyo ningependa usome makala [鈥
Soma Zaidi : Hizi Hapa Shortcuts za Windows Ambazo Ulikuwa Huzijui
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/shortcuts-za-windows/
0 notes
Text
Jinsi ya kutengeneza Video Bora za YouTube Kwa Kutumia Simu
Ni wazi kuwa dunia kwa sasa inaamia kiganjani, japo kuwa bado kuna uwezekano wa kompyuta kuendelea kuhitajika lakini ni wazi kwa simu kwa sasa zimekuwa zikifanya kila kitu ambacho zamani kilikuwa kunafanywa na kompyuta. Kuliona hili leo nimekuandalia makala ambayo itakupa maelezo ya tofauti ya jinsi ya kutengeneza video bora kwa kutumia simu yako ya [鈥
Soma Zaidi : Jinsi ya kutengeneza Video Bora za YouTube Kwa Kutumia Simu
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/kutengeneza-video-za-youtube-kwa-kupitia-simu/
0 notes
Text
Fahamu Sehemu Zote Mtu Alizopita kwa Kutumia Android
Ni wazi kuwa kuna wakati unatokea mtu unataka kujua sehemu zote mtu alizopitwa kwa siku nzima, iwe ulipoteza kitu kwenye safari yako ya siku hiyo au unatafuta sehemu ambayo ulipita mara moja na umesahau jinsi ya kufikia sehemu hiyo. Matatizo hayo na mengine mengi unaweza kuyatatua kwa kutumia njia hii rahisi ambayo itakusaidia sana kujua [鈥
Soma Zaidi : Fahamu Sehemu Zote Mtu Alizopita kwa Kutumia Android
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/sehemu-mtu-alizopita/
0 notes
Text
Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku
Ni wazi kuwa kama wewe ni msomaji wa Tanzania tech lazima unajua kuhusu njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni, kama tayari unajua njia zote hizo sasa ni wakati wa kuongeza njia nyingine ambayo inaweza kusaidia kutengeneza pesa mtandaoni hadi dollar $10 kila siku. Kumbuka njia hii kama zilivyo njia nyingine za kutengeneza pesa mtandaoni sio [鈥
Soma Zaidi : Tengeneza Pesa Mtandaoni Angalau Dollar $10 Kila Siku
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/pesa-mtandaoni-10-kila-siku/
0 notes
Text
Sunday Movie #20 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili
Habari na karibu kwenye kipengele cha sunday Movie #20, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya jumapili hapo nyumbani kwako. Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri sana ambayo unaweza kufurahia kuangalia siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer kupitia hapo chini. Kumbuka link za kupakua movie hizi zinaweza kuondolewa [鈥
Soma Zaidi : Sunday Movie #20 : Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/sunday-movie-20/
0 notes
Text
Fanya Mambo Kwa Haraka kwa Kugusa Nyuma ya Simu Yako
Ni wazi kuwa teknolojia inakuwa kwa kasi sana, pamoja na kuwa tayari teknolojia inarahisha mambo lakini bado yapo mambo ambayo ni muhimu kufahamu ili kuweza kurahisha matumizi ya simu yako hasa kama wewe ni mpenzi wa teknolojia hasa kipengele hichi cha maujanja. Kuliona hilo leo nuletea njia mpya kabisa ya kuweza kuwasha baadhi ya programu [鈥
Soma Zaidi : Fanya Mambo Kwa Haraka kwa Kugusa Nyuma ya Simu Yako
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/taptap-fanya-mengi/
0 notes
Text
Jinsi ya Kudownload Video Kutoka Mtandao Wowote
Ukweli ni kwamba kila mtu anapenda kuangalia video mpya, lakini kuna baadhi ya watu ambao wanapenda video zaidi kiasi cha kutaka kubaki na video nayo kwenye vifaa vyao. Kama wewe ni mmoja wa watu hawo basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha apps nzuri za Android ambazo unaweza kutumia ku-download [鈥
Soma Zaidi : Jinsi ya Kudownload Video Kutoka Mtandao Wowote
source https://www.tanzaniatech.one/2021/03/kudownload-video/
0 notes