Tumgik
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
chonde chonde kula huu ugali mwingine utakuuwa
stamina
2 notes · View notes
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
na mungu anatenda miujiza nuksi ,watoto kike weupee , wazazi weusi
nacha
2 notes · View notes
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Mrembo mwenye haiba usoni, Uzuri usio na kifani, Sauti yake ringtone, Haiwezi ntoa mchezoni,
mesen
2 notes · View notes
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Unaminyaminya nyanya unanunua biringanya
Rostam
1 note · View note
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Makachache wanatongoza bwana sio kitoto Simbali simbali  mara akifika ni chocho Utamu utamu mpaka akishtuka fofofo Si bwana atakuja kutuokoa tusiende kwa moto
Gnako
1 note · View note
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
wakipima tunavunja kilo
nikii wa pili
1 note · View note
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Mvuvi sio lazima uvue shati
Nay wa mitego
1 note · View note
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Mwendo wa chuma na checha Uoga akiteta, Nuna wacheke
nay wa mitego
0 notes
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Na utamu tobo we ni kutoboa Mashine haisagi na kukoboa Kisu cha kukata dodo nishakinoa Maana sitomaliza kwa kudonoa
nay wa mitego
1 note · View note
ukoo-flani-blog · 6 years
Quote
Vita vya bunduki we unakuja na upanga
nay wa mitego
2 notes · View notes