vijanatutaongea
vijanatutaongea
Untitled
104 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
📍📍 *KILIMANJARO NA BBT.* *24.04.2023.* Katika kuelekea awamu ya Pili ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM-Taifa *Ndg Mohammed Ali Kawaida (MCC)* kutembelea na kukagua mradi wa *Boresha Kesho Iliyo Bora (BBT)* ambayo ni moja ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukifanya kilimo kuwa ni tija na mkombozi kwa vijana na Taifa kwa ujumla ili kuondokana na umasikini. Sasa ni zamu ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo Mwenyekiti kawaida anatarajia kutembelea mradi huo katika chuo cha mafunzo Mkoani hapo siku ya kesho *tarehe 25.04.2020,* na maandalzi ya kumpokea Mwenyekiti yamekamilika kwa asilimia 100% kwa kushirikiana na Ofisi ya Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa na viongozi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro. Maneno hayo yamesemwa na Katibu wa Idara hiyo ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa *Ndg Edina Lameck* leo katika Ofisi za CCM Mkoa baada ya kukutana na viongozi hao kwa maandalizi ya mapokezi ya Mwenyekiti siku ya kesho. #KaziIendelee. *Imetolewa na:* *Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa.* https://www.instagram.com/p/CrbvijGshPE/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
📍📍 ARUSHA 20.04.2023 *KATIBU IDARA YA UCHUMI NA FEDHA AHUDHURIA KAMBI YA UONGOZI KWA VIJANA* Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa, Ndg. Ali Rajab Issa ameambatana na Mjumbe wa Baraka Kuu la UVCCM-Taifa kutokea Tanga, Ndg. Biumrah Sekibobo katika kambi ya Uongozi kwa Vijana iliyoandaliwa na Mashirika ya USAID, Freedom House na International Republic Institute kwenye Chuo cha Ms TCDC Mkoani Arusha kuanzia Tarehe 19-21 April 2023. Kambi hii ni mahususi kabisa itakayowaongezea uwezo na tija Viongozi hawa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Imetolewa; Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa. #KulindaNaKuujengaUjamaa #SisinaMamaMleziWaWana #KaziIendelee #VijanaWaMama #MtumishiWenu https://www.instagram.com/p/CrQoftOs1tj/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LEO TAR: 20 APRIL 2023 https://www.instagram.com/p/CrPnd3Eond5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
KAWAIDA APOKELEWA KWA SHANGWE MOROGORO Picha na Matukio mbalimbali ya Mapokezi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM Taifa) Ndg. Mohamed Ali Kawaida (MCC). Komredi Kawaida amewasili Morogoro ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea na Kukagua Mradi wa Vijana wa (BBT) leo ni zamu ya cha BBT katika Kituo Atamizi cha Kidoma kilichopo Kata ya Mikumi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. Imetolewa Na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa. #KulindaNaKujengaUjamaa #AlipoMamaVijanaTupo #Kaziiendelee https://www.instagram.com/p/CrOGYjMsBlg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana Taifa (UvCcm) @comrade_kawaida akisikiliza kwa umakini mkubwa namna Bora ya uandaaji na upandaji mbegu za Parachichi katika Mradi wa BBT kenye kituo Cha MATI kilichopo UYOLE Mkoani MBEYA https://www.instagram.com/p/CrNfBhnsxmw/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Dodoma alikuwa hivi.. Ndg: @comrade_kawaida Amemaliza Ziara yake Jijini Dodoma siku ya Tar: 17/04/2023 na ujumbe was kwamba ("Ukitaka Utajiri utaupata SHAMBANI"). Na sasa ni Zanu ya Mbeya https://www.instagram.com/p/CrJkn5Msrmn/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
HODI HODI DODOMA Ni Ziara ya Mwenyekiti wa umoja wa Vijana Taifa ( UvCcm) @comrade_kawaida Jijini Dodoma kuhusu BBT. Kaa tayari https://www.instagram.com/p/CrG0IG0MmOc/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
NAFASI ZA KAZI Soma hapa👇 https://www.instagram.com/p/CrGMfcXsc32/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Tunafika kwa wakati https://www.instagram.com/p/CrEefXWMw9R/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Vijana tuchangamkie Fursa Mama yupo Kazini Soma hapa👇 https://tinyurl.com/2tbkvrzv https://www.instagram.com/p/Cq7lOFvMR52/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI https://www.instagram.com/p/Cq2kErYMbmG/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) TAIFA COMRADE MOHAMED KAWAIDA (MCC) AWAKEMEA WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UKOSEFU WA MAADILI Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM Tanzania *Mohamed Kawaida (MCC)* leo Tarehe 09 Aprili 2023 katika Mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika Afisi kuu za UVCCM Gymkhana Zanzibar amekemea vitendo vya ukosefu wa maadili na kusisitiza kuwa Taifa lolote ulimwenguni lina Maadili yake, Mile na desturi zake lakini Sheria zake ambazo Wananchi wake hawana budi kuzifuata. Hivyo amesema UVCCM Wanaungana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika Kukemea vitendo hivyo na kuwataka wote wanaoshiriki katika vitendo vya ukosefu wa maadili ya Kitanzania kuacha mara moja. "Taifa lolote lile ulimwenguni linakua na maadili yake lakini pia mila na desturi zake sambamba na hilo linakua na sheria zake, Niwaombe sana Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kwa wale wote wenye ukosefu wa maadili kuacha mara moja" alisema Mohamed Kawaida. "Sisi umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa hatuungi mkono vitendo hivyo, na Tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuwakemea wale wote wanaoshiriki kwa namna moja au nyingine katika Vitendo wa ukosefu wa maadili" *Mohamed Kawaida* Sanjari na hilo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi *Ndugu Mohamed Kawaida (MCC)* amewatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka Wakristo wote Tanzania na Duniani lakini pia Mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waisilam wote Tanzania na Duniani kwa ujumla. Lakini pia amewaomba Watanzania kutumia fursa ya sikukuu hizi za Pasaka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuendelea kuwaombea Dua Viongozi wetu pamoja na Umoja wetu na mshikamano wetu ambao Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hayati Komandoo Abeid Karume Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliouasisi kwa manufaa ya Vizazi vijavyo. https://www.instagram.com/p/Cq2j9u2MQfp/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
UTEUZI APRIL 03-2023 https://www.instagram.com/p/Cqml7HHsiJp/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
ASANTENI SANA @comrade_kawaida https://www.instagram.com/p/CqdppgWM2Zf/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 2 years ago
Photo
Tumblr media
TAARIFA KWA UMMA https://www.instagram.com/p/CqNUxqGspB7/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes