asilizetu
asilizetu
AsiliZetu
147 posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
asilizetu · 6 years ago
Text
JINI WATOTO : KIUMBE HATARI ZAIDI
JINI WATOTO : KIUMBE HATARI ZAIDI
Tumblr media
Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa wanaokuja kwa njia ya kujifanya ni watoto.
Zipo dalili za wazi ambazo hujionyesha pindi jini huyu anapokuwa ameingia katika mwili wa mwanadamu. Dalili zenyewe ni kama vile zifuatazo :
(1). Kulia sana hasa…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
JE, BIKRA INATOKA KWA KIDOLE?
JE, BIKRA INATOKA KWA KIDOLE?
Tumblr media
Bikra ikoje? kwa kawaida mwili wa mwanamke umeundwa kwa mifumo mingi ikiwemo mfumo wa uzazi ambao kitaalam unajulikana kama “Female Reproductive System” ambapo kila mwanamke anapozaliwa kwa asili huwa anakuwa na utando maalum(Hymen), unaotenganisha mlango wa mji wa mimba(Uterasi) ambao kwa lugha sanifu tunaita BIKRA.
Utando huu huwa na aina mbalimbali za mionekano kutokana na maumbile ya…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
MATUNDA YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA
MATUNDA YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA HARAKA
Tumblr media
Jopo la wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua kwamba, endapo mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuimarisha nguvu za kiume kwa haraka zaidi. Baadhi ya matunda hayo ni :
(1). Ndizi :Ulaji wa ndizi mbivu husaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa kupitia madini yake ya Sucrose, Fructose na…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
HIVI NDIVYO UNAWEZA IFAHAMU NYOTA YAKO KAMA IMEIBIWA AU KUCHAFULIWA
HIVI NDIVYO UNAWEZA IFAHAMU NYOTA YAKO KAMA IMEIBIWA AU KUCHAFULIWA
Katika mada yetu ya leo tutaangazia baadhi ya mambo yanayoweza kuashiria kama nyota yako imeibiwa au kuchafuliwa.  Vipo vitu vingi vinavyochangia kuibiwa nyota yako na kupelekea kuharibiwa, kuchafuliwa na kufa kabisa.  Hivyo basi katika kulitambua hilo, tukaona ni vyema tukuorodheshee ili uweze kufahamu na kujtathimini upo katika kundi lipi kati ya haya.
 UZINZI : Vitabu vyote vya mafundisho ya…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
TAFSIRI YA KUOTA UNAENDESHWA KWENYE GARI
TAFSIRI YA KUOTA UNAENDESHWA KWENYE GARI
Hii ni moja ya ndoto mbaya inayoashiria kwamba kuna tatizo kubwa katika nyota yako, ikiwa na maana ya kutumika kwa nyota yako kichawi.  Maisha yako yanaongozwa na mtu mwingine kabisa kupitia kivuli chako na ndio mwenye uamuzi wa kukupeleka popote kule anapotaka yeye katika njia ya uharibifu.
Labda nikupe mfano mmoja juu ya ndoto hii, unaweza ukawa umepata kazi nzuri au umefungua biashara ambayo…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
JE, UMEKUWA NA KIU YA KUWA MAARUFU NA KUPENDWA AU KUPANDISHWA CHEO? PITIA HAPA
JE, UMEKUWA NA KIU YA KUWA MAARUFU NA KUPENDWA AU KUPANDISHWA CHEO? PITIA HAPA
Kila mtu amezaliwa na ndoto zake ambazo amekuwa akizitamani kabla ya kutoweka kwa pumzi yake ya mwisho awe amekwishatimiza.  Wapo wanaotamani kuwa watu maarufu kama vile wanasiasa, wanamuziki, wanamitindo, wachekeshaji n.k
Njia zote hizo mtu anaweza akafanikiwa kwa kutumia jitihada zake lakini huenda ikamchukua muda mrefu na akakumbana na vikwazo vya kila aina ambavyo vinaweza kumkatisha tamaa…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
KIFAHAMU KIPAJI CHAKO KUPITIA NYOTA YAKO
KIFAHAMU KIPAJI CHAKO KUPITIA NYOTA YAKO
Tumblr media
Sio rahisi kukifahamu kipaji chako kupitia nyota yako na ndio maana unaweza ukasikia watu wakisema mtu fulani amekufa na kipaji chake.  Kwenye nyota kuna faida nyingi za kuweza kujua kipaji chako na kuweza kukiendeleza.
Ili uweze kufanikiwa katika maisha inatakiwa uwe umeshakijua kipaji chako mapema, kwani unapochelewa kujua kipaji chako mapema unashindwa kujua ni kitu kipi unachoweza kukifanya…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
ZIJUE DALILI 10 ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
ZIJUE DALILI 10 ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
Tumblr media
Ifahamikie kwamba majini kama jinsi walivyo viumbe wengine, hutokea kutamani kuwa kwenye mahusiano ya mke au mme wa kibinadamu, hali hii hupelekea kumtafuta ampendae na kufunga ndoa wakati mwingine bila hata kufahamu.
ZIFUATAZO NI DALILI ZA MTU ALIYEOA AU KUOLEWA NA JINI
Unakuta mtu kachumbia au kachumbiwa alafu baada ya muda, anasema kwamba hamtaki mwenzie na hayupo tayari kuendelea na…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
Tumblr media
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuhusiana na wale watu ambao wamekuwa wakiota mambo au vitu vizuri kila mara, lakini ajabu vitu hivyo vimekuwa havitokea katika uhalisia wa maisha.
Kitu cha kwanza unachotakiwa utambue ni kwamba, kuna watu wenye uwezo wa kuyaona mambo mazuri unayoyaota na badala yake huyabatilisha, ili tu usiweze kufaidika nayo.  Mwisho wa siku unabaki njia panda na…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
JIHADHARI SANA NA PESA ZA KUOKOTA NJIANI
JIHADHARI SANA NA PESA ZA KUOKOTA NJIANI
Tumblr media
Unaweza ukajiuliza maswali machache ambayo hayahitaji hata nguvu kubwa kuweza kung’amua majibu yake, tuchukulie mfano uko kwenye matembezi yako ya kawaida, alafu ghafla njiani ukakuta hela ya noti au sarafu imeangushwa mbele yako, utafanya nini?.
Kitu cha kwanza unachotakiwa ujiulize ni kwamba, watu wangapi wamepita wakaiona hiyo hela na kuamua kuiacha? Je, Wewe ni nani hasa mpaka uokote? Je,…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
IFAHAMU DAWA YA KUMSHIKA MWANAUME KATIKA MAPENZI
IFAHAMU DAWA YA KUMSHIKA MWANAUME KATIKA MAPENZI
Wanawake wengi Duniani wamekuwa wakiangaika huku na kule, ili mradi waweze kupata utulivu katika ndoa ua mahusiano yao, hii inatokana na hulka ya wanaume wengi kuwa na tamaa hali inayopelekea kupungua kwa upendo.
Baada ya kupokea maombi mengi hasa ya kina mama wakilalamika kuhusu ndoa zao kupumulia Oksijeni, Dokta PANGA LA SHABAameweza kutumia muda wake mchache kuelezea japo kwa ufupi namna dawa…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
WAFAHAMU MAJINI HAWA WANAOTUMIKA KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA
WAFAHAMU MAJINI HAWA WANAOTUMIKA KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA
Tumblr media
Pata picha umefungua biashara yako nzuri tu,  lakini ajabu hupati wateja kama mwenzako wa pembeni ambaye umemzidi karibu kila kitu, hakika hutajisikia vizuri.  Sasa wacha nikuibie siri walau kiduchu tu.
Kwa kipindi kirefu idadi kubwa ya wafanyabiashara wamekuwa wakiwatumia majini hawa wawili ambao ni DAHANASHIYY na MAHAQALIYY wanaotokea huko katika bahari ya saba, walio katika kundi la majini…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
ZIJUE ISHARA ZA MIWASHO MWILINI MWAKO KINYOTA
ZIJUE ISHARA ZA MIWASHO MWILINI MWAKO KINYOTA
Tumblr media
Utakubaliana na mimi kwamba hakuna kiumbe hai ambacho hakijawahi kuwashwa, tukianzia kwetu sisi wanadamu hadi wanyama, ukiachilia mbali na miwasho ya mtu anayesumbiliwa na maradhi au kunguni, ipo yenye kutoa ishara mbalimbali kinyota kama vile :
(1). KIGANJA CHA KULIA : Hii ni ishara ya kupata pesa au kufanikiwa katika jambo fulani linalohusu masuala ya kipato.
(2). KIGANJA CHA KUSHOTO :Wanajimu…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
UJUE UTAJIRI WA KUTISHA WA KIJANA 'HUSHPUPPI' UNAOTIKISA AFRIKA
UJUE UTAJIRI WA KUTISHA WA KIJANA ‘HUSHPUPPI’ UNAOTIKISA AFRIKA
Dunia ya leo imebadilika sana, kuanzia katika mtindo wa maisha tunaotumia wanadamu kuishi hasa katika  karne ya 21, hiyo yote ni kutokana na kukuwa kwa  teknolojia na utandawazi sambamba kabisa na njia za mawasiliano na uchukuzi.
Tumblr media
Ray Hushpuppi akisoma jarida la Forbes ndani ya ndege yake ya kifahari anayomiliki aina ya Gulfstream 5 yenye uwezo wa kubeba abiria wachache ikiwa na kila kitu 
Ndio…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
IFAHAMU DAWA YA 'KAULI MOJA' NA KAZI ZAKE
IFAHAMU DAWA YA ‘KAULI MOJA’ NA KAZI ZAKE
Tumblr media
Wanakwambia kwamba “Kila shetani na mbuyu wake” halikadhalika vilevile katika upande wa dawa, kila dawa huwa na kazi yake maalum katika kutatua maradhi au changamoto anazopitia kiumbe hai yeyote.
Huenda ukawa umewahi kusikia kuwa zipo dawa za asili zenye uweze wa kukufanyia jambo lako lolote lile kwa wepesi bila kupingwa.  Basi nikujuze kwamba ‘KAULI MOJA’ ndio Baba lao na haina mpinzani.
Dawa…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI
IJUE MIUJIZA YA MTI ULIOPIGWA NA RADI
Tumblr media
Je, ulishawahi kuona mti uliopigwa na radi? Unafahamu kwamba una matumizi lukuki katika masuala ya tiba na kinga? Basi siku ya leo utaweza kufahamu japo kwa ufupi kuhusiana na mti ambao ulipata kuangukiwa au kupigwa na radi.
(1). MTU ALIYEPOOZA MIGUU/MWILI :Kuna wale watu ambao wamekumbwa na mitihani ya kupooza mwili au miguu, basi endapo mti huu ukaandaliwa kwa kufuata taratibu zote za kijadi,…
View On WordPress
0 notes
asilizetu · 6 years ago
Text
WAJUE MAJINI HATARI WANAOKUSUMBUA KUPITIA NYOTA YAKO
WAJUE MAJINI HATARI WANAOKUSUMBUA KUPITIA NYOTA YAKO
Tumblr media
Hii ni kwa wale ambao wanatawaliwa na sayari ya utwaridi ambayo hutawala siku ya jumaatano hii ni kwa watu wa nyota ya mapacha na mashuke.  watu hawa hutawaliwa sana na majini mchanganyiko lakini kiongozi wa majini hao wanao mtawala ni Bin daud.
Lakini wengi humtambua na kumuita Suleiman bin daudhilo sio jina lao fasaha ingawaje hata wao wengi anapokuwa bado mdogo hujiita hivyo. Jini huyu huwa…
View On WordPress
0 notes