Tumgik
#ndoto
wamathai · 1 year
Text
Safaricom Foundation to invest Ksh. 170 Million in community projects
Safaricom Foundation has announced an investment of KES 170 million to fund community projects which are set to benefit over 1.6 million Kenyans countrywide. The fund will be channeled through programs in areas of health, education, and economic empowerment under the Foundation’s sustainable philanthropy programs namely Ndoto Zetu, Pamoja, and Usamaria. Ndoto Zetu, which is now entering its fifth…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 1 year
Text
Ugonjwa sugu wapona kwa uwezo wa Mungu mmoja
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Text
Anthem of the Savannah (Swahili/English)
Shujaa / Hero Unasafirini kwa matakwa ya watu wako / You embark on a pilgrimage, for the wishes of the people Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa / You choose to battle, to earn a glorious name Mwishowe mnaunguweni tena majivuni / In the end, you rekindle in ashes because of a dream Mwishowe mnaunguweni tena majivuni / In the end, you rekindle in ashes because of a dream Ukuu ukuu / Glory, oh glory Kwa wanao ona yajayo / To those who look into the future Tutaimba wimbo wa mwanga moto, usiku wa gize (Mwanga na moto wetu) / Song of the light, fire of the night (Light and fire, the light and fire bestowed to us) Matakwa ya watu wako / For the wishes of the people Unachagya vita kwa jina la / For the name of a great hero Shujaa Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto / In the end, you burn to cinders for a dream Mwishowe unaunguwa tena majivuni / In the end, you rekindle in ashes because of a dream Unasafirini kwa matakwa ya watu wako / You embark on a pilgrimage, for the wishes of the people Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa / You choose to battle, to earn a glorious name Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto / In the end, you burn to cinders for a dream Mwishowe unaunguwa tena majivuni / In the end, you rekindle in ashes because of a dream Unasafirini kwa matakwa ya watu wako / You embark on a pilgrimage, for the wishes of the people Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa / You choose to battle, to earn a glorious name Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto / In the end, you burn to cinders for a dream Mwishowe unaunguwa tena majivuni / In the end, you rekindle in ashes because of a dream Utukufu / Glorious A shujaa / Ah, hero Geuka kama alfajiri / Rise like the dawn!
6 notes · View notes
tangleoflies · 10 months
Text
Tumblr media
Shiba (satisfied/full) is a fairly large leopon and King Ndoto's bodyguard, or he was before he abandoned his post to hunt whatever and whoever he wanted. With King Ndoto's sudden dissappearace, Shiba was free to terrorise wherever he roamed.
Yeaaaaah mans no longer related to his old og inspiration
3 notes · View notes
sn9999s · 1 year
Text
Tumblr media
Mtu yeyote anaweza kuinuka na kuwa nyota. Jivunje kutoka kifungoni, uwe mwepesi na mpendwa. Na kila mtu ajue hili! Furaha ni kuwa upendo!
Msichana Maria aliamka akiwa na furaha.Nilikuwa na ndoto kuhusu mapenzi.Na furaha ilikuwa hapa nilipoamka.Ilikuwa katika kila kitu.Asubuhi angani,kwa hamu ya kwenda matembezini.Maria mwenyewe. Alifurahi sana kuhusu hilo, alicheka na kukimbia kumfanya kila mtu unayekutana naye njiani afurahi! Furaha ni upendo.
2 notes · View notes
hollandorks · 2 years
Text
find ch 30 of motn from Bruce's POV here!
tags pt 3 under the cut!
@uncle-eggy @goldbvtton  
@rockagurl
@anightflower @binxy  @m1am0r
@random-fangirl001  @koi-reznikoff  
@mellarkberries
@taylordrunkonwhiskey @frodobo  
@lorosette @tshuuls @fa-headhoncho
@moon-enthusiast  @ninjarose23  
@siriuslydestiny
@starshipvelociraptor @ladylokilaufeyson5
@rexorangecouny  @crackchaiice @quiakk  
@heavenscars @marchingicenotes7  
@hazel-light @itszzmoon @normatural  
@plaidstiel-wormstache
@tembo-ndoto @that-girl-named-alex
@lokigoeschoki  @tojisprincess @parzival3
@svechnibrock @potato-girl99981
@anotherr-fine-mess  @three30pie
@undergroundpersephone
@lovers-liability @thirstylion @shimmeringgrim
@jjeans36 @anon-cat-posts @ms-dont-care
@marvelbros-oneshots @beautifulmagicbelieverblog
3 notes · View notes
bigcatrescue · 2 years
Text
Tumblr media
S.A.V.E. Award January 2022 was awarded to Jeff Lovering
Conservation Project - Lions, Cheetahs, Caracals & more
WHAT Is The Milgis Trust? Milgis Trust is a nonprofit organization founded in 2004 with the aims of protecting wildlife, habitat and local people in a very remote part of Northern Kenya. Matthews Range, Ndoto Mountains and Karisia Hills, spreading out towards Oldonyo Mara, Mount Nyiru and Mount Kulal; the trust covers approximately 8,000 sq kms and supports a diverse range of flora and fauna and the pastoral livelihoods of several different nomadic tribes including the Samburu, Turkana and Rendille.
The Milgis ecosystem is host to an extraordinary variety of wildlife because of the variation of unique habitats from the desert sands to the mountains and thick rainforests. This promotes incredible diversity and is why the Milgis has such a wide array of species, some being endemic to the area. Amongst this wildlife is wild cats including Lions, Leopards, Cheetah, and Caracal.
Poaching, hunting, and land degradation are all immediate threats to the Milgis ecosystem and the trust is working to combat them. By employing responsible people to be scouts and wildlife rangers, from within local communities, they become responsible for making sure wildlife and the environment are kept intact and not irresponsibly abused. They are responsible for Anti-poaching initiatives, Animal rescues, mitigating human-animal conflict, and acting as a liaison between the Milgis Trust and their communities. In turn the healthy ecosystem is to the benefit of all that depends upon it. A large part of the trust’s conservation strategy is the implementation of projects which help the communities with some of their challenges. They have managed to get people to understand that by caring for the environment, ecotourism will increase in the area creating income for the people as well as allowing the Milgis to implement the health, education, and veterinary aid for livestock and water projects.
Read more about their work here: https://www.milgistrust.com/
WHAT Is The S.A.V.E Award? Big Cat Rescue acknowledges our amazing volunteers each month by making a SAVE Award to a conservation project in their name, in addition to all of the other exotic cat conservation projects we fund. SAVE stands for Scratch’s Award of Volunteer Excellence, in memory of a beloved 30-year-old cougar named Scratch.
3 notes · View notes
rwizakakiza · 21 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 17: KIBALI) Share a...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 17:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
7. HITIMISHO.
Hapa tutaangalia mambo mawili yaani:- (Faida na namna bora ya kutambua majira na nyakati kwenye maisha yako yote)
7. 1. FAIDA /UMUHIMU WA MAJIRA NA NYAKATI.
Zipo faida nyingi, lakini sehemu hii tunaangalia faida kuu ya majira na nyakati kwenye maisha yako ambayo ni
KIBALI KWA MUNGU NA KWA WATU.
......Kibali ni upendeleo, kibali ni kupewa nafasi, kibali ni kukubalika kwa MUNGU na kwa watu. Kabla ya kupata kibali ipo NEEMA ya MUNGU kwanza inayokubeba, alafu ukifanya vizuri kupitia neema hiyo unapata kibali.
Wote mnaweza kuwa na huduma moja, lakini KINACHOWATOFAUTISHA ni BIDII /JUHUDI BINAFSI, unavyojibidiisha na kujitoa kwa ajili ya Neema MUNGU aliyokupa (Yaani huduma), Jitihada zako ndizo zinazojenga nafasi ndani ya moyo wa MUNGU au ndani ya mioyo ya watu, na Nafasi hiyo ndiyo kibali.
Mfano.
Kaini na Habili wote wawili, MUNGU aliwapa neema ya kumjua MUNGU na huduma yao kuu ilikuwa ni UTOAJI. Kilichotokea ni Habili kujiongeza /kujibidiisha /kufanya cha ziada. Ndio maana MUNGU alipomtokea Kaini alimuuliza ukijibidiisha /ukitenda mema hautapata kibali?. Lakini Kaini akaona Wivu na wivu ukajenga Chuki na Chuki ikazaa mauaji kwa nduguye.
......Je Kaini UKITENDA VYEMA, hutapata KIBALI? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
.....Mwanzo 4:7....
Wote mmebarikiwa kupata kazi, Je unatambua kwanini umebarikiwa? Je MUNGU aliyekubariki unatambua ndiye mwenye vyote?, hata ukimpa vyote ni vyake ila juhudi za KUMPENDA katika kile ninachokitoa ndizo zitanipatia kibali. Usimwonee mwingine wivu, bali Ongeza bidii katika kutenda.
Majira na nyakati zinakupatiaje kibali, Kumbuka majira na nyakati ni kutambua cha kutenda ndani ya muda sahihi kulingana na kusudi lililoko kwenye muda huo. Usipofanya kwa majira na nyakati sahihi utapata hasara.
Mfano
Ni wakati wa kuvuna, Wewe ndio unapanda, Wakati wa kufunga Wewe ni chakula muda wote, Mahitaji ya lazima kwenye familia unakimbilia kununua nguo, Wakati wa mshahara, Unafanya anasa na Matumizi yasiyo lazima, badala ya KUWEKEZA kwa ajili ya uzeeni, usiwasumbue watoto wako.
......Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
......Hagai 1:6.....
Ukitambua uko kwenye majira na nyakati gani na unapaswa ufanye nini UTAPATA KIBALI KWA MUNGU, NA KWA WATU (Tena kwa watu wakuu yaani wenye vyeo, na wadhifa kubwa).
Mfano. YUSUFU
Yusufu alikuwa na ndoto na ili ikamilike ndoto yake, alitambua majira na nyakati cha kufanya, hakubaki na MALALAMIKO kwamba Kwanini ndugu zangu waliniuza kwa Wamisril?. Kwanini MUNGU ameniacha mpaka nikasingiziwa na mke wa Potifa kwamba nimebaka?. Siri ya Yusufu ni HAKULALAMIKA bali ALINYENYEKEA na unyenyekevu wake MUNGU akampenda akawa pamoja na Yusufu, hata kwenye Gereza, MUNGU akampa kibali.
.....‭BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.
......Mwanzo 39:21....
Pamoja na kibali, Yusufu analenga kutimiza ndoto yake ambayo imempitisha kwenye majira hayo. Hivyo aliangalia ANAPOELEKEA hakuangalia ANAPOPITIA. Kupitia ROHO MTAKATIFU, Yusufu anajulishwa majira na nyakati zinazokuja juu ya nchi yote ya Misri kwa kutafsiri ndoto ya Farao ambayo hata wakuu wake hawakuelewa na hatimaye bidii ya kuangalia anapoelekea inamsaidia kumpa kibali kwa wakuu mpaka anapewa Uwaziri mkuu.
......Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye ROHO ya MUNGU ndani yake? Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe. Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Mimi ni Farao, na bila amri yako (Yusufu), Mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
......Mwanzo 41:38 - 44.....
Ukielewa vizuri Habari ya majira na nyakati, utafika mahali ambapo hukutarajia. Watu wengi wanatamani kujua maisha yao ya kesho itakuwaje, Biashara /kazi zao zitakuwaje, Ndoa /familia zao zifanye nini nk. Majibu yote yapo kwenye majira na nyakati, ukitambua utapata kibali na kibali hicho kitakufikisha kwenye ndoto zako, Amina.
7. 2. NAMNA BORA YA KUTAMBUA MAJIRA NA NYAKATI MAISHA YAKO.
....Tutaendelea....
Rejea
So Pharaoh said to his servants, “Can we find a man like this [a man equal to Joseph], in whom is the DIVINE SPIRIT [of GOD]?”
......Genesis 41:38.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
christophe76460 · 23 days
Text
Tumblr media
OFFRANDE DU SOIR ( shalom)
Pesaka ata merci na nzambe oyo abateli yo journée mobimba 🙏🙏🙏
MESSAGE DU SOIR :
Lorsque Moïse entrait dans la tente d'assignation pour parler avec l'Éternel,il entendait la voix,qui lui parler du haut du propitiatoire place sur l'arche du témoignage, entre deux chérubins.Et il parlait avec l'Éternel : Nombres :7/89: Nb! Esengeli butu nioso avant ya kolala sambelaka batu ebele même avant ya kolala basambelaka te, yeba k na nzela ya losambo nde okolota ba ndoto malamu,ba ndoto ya victoire,pe okoyoka même nzambe kolobela yo
Tika butu ya lelo ; oyoka se mongongo na nzambe, nzambe alongola,mingongo nioso ya mabe oyo eyaka kotungisa yo na kombo na YESU MASIYA. Bon sommeil à tous. Votre humble serviteur la sentinelle de l'Éternel
0 notes
joackanimalclinic · 3 months
Text
UTARATIBU WA CHANJO KWA KUKU NA NDEGE WENGINE.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
Imeandaliwa na @joackanimalclinic
CHANJO ni sehemu ya vimelea au vimelea vya magonjwa vilivyo pungzwa nguvu ambavyo hupewa kiumbe hai ili aweze kutengeneza kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa flani, sawa sawa kabisa na kopi kimelea hicho.
Changamoto ya magonjwa imewarudisha nyuma wafugaji wengi kiuchumi na wapo wengine walio katatamaa hadi tamaa ya kufuga.
Wafugaji wengi hupata changamoto hizi kwasababu ya kutopata muongozo sahihi juu ya ufugaji na mbinu mbalimbali za kukabiliana na magonjwa.
Utaratibu wa chanjo ni kati ya mbinu mojawapo ya kukabiliana magonjwa
Ili kudhibiti baadhi ya magonjwa ni lazima kuzingatia chanjo.
Utaratibu wa #chanjo huwa unategemea aina ya #ndege unaowafuga na mazingira (epidemiology) unayo fugia.
Ni lazima tutambue ratiba ya chanjo sio msaafu, huwa inabadilika kutokana na mazingira, aina ya ndege na hali zao za kiafya.
Lakini pia, ni muhimu kutambua kwamba chanjo pekee haiwezi kufanikisha zoezi la kupambana na #magonjwa, ni lazima mfugaji azingatie taratibu nyingine za ufugaji kama atavyo elekezwa na wataalamu.
Wafugaji wanatakiwa kuchagua watu sahihi wa kuwaongoza kwenye ufugaji, wengi wameshindwa kufanikiwa kwasababu ya kukosa muongozo mzuri.
@joackcompany inautaratibu mzuri wa kuwaongoza wafugaji na kuhakikisha wanafanikisha ndoto zao ata kama yupo mbali.
Endelea kufatilia page zetu ili uweze kujifunza zaidi, kwa maswali unaweza wasilina nasi.
#chanjozakuku #ratibayachanjo #dawayaminyoo #utaratibuwachanjo #vidongevyapaka #dawazaminyoo #gumboro #chanjoyamdondo #kideri
Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha TWIGACEMENT, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
#joackcompany #mifugo #kilimo #mdondo #mifugotz #kilimochakisasa #ufugaji #ufugajiwambwa #animalhospital #tanzania🇹🇿 #tanzania #dodoma #daressalaam #matibabuyamifugo #chanjozamifugo #madawayamifugo #matibuyakuku
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
wamathai · 2 years
Text
Safaricom Foundation donates furniture worth Ksh. 1.7 Million to students in Kiambu, Nyeri and Kirinyaga counties
Safaricom Foundation donates furniture worth Ksh. 1.7 Million to students in Kiambu, Nyeri and Kirinyaga counties
Safaricom Foundation under their Ndoto Zetu initiative has donated furniture worth KES 1.7 million to benefit 500 students from Kiambu, Nyeri and Kirinyaga counties which has boosted learning in the schools. In Nyeri County, Nyakinyua Primary School in Rware, Mere Secondary School in Kabaru and Kirinyaga Primary School in Naromoru were some of the schools that benefitted from desks, which…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
tibaherbs · 1 year
Text
Ndoto ni ujumbe wa uhakika maishani
Afya yako muhimu sana
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
emunenen · 3 months
Link
How a Mkokoteni gift from ‘Safaricom Ndoto Zetu’ saved this man’s life and gave him hope for the future
0 notes
mwandishiaslam · 4 months
Text
Njia za Kumtuliza Mwanaume na Kudumisha Amani na Furaha Ndani ya Mahusiano
Njia za kumroga mwanaume atulie kwenye mahusiano. Ni ndoto ya kila mmoja kuona ndoa yake inakuwa na amani nafuraha huku uaminifu ukiwa ndio mzizi wake. Dhana nyingi huelezea kuwa mwanaumendio huwa msaliti mkubwa linapokuja suala la mahusiano. Lakini dhana kama hiyosi sahihi, kwani usaliti ni hulka ya mtu husika. Lakini pia kwa asilimia kubwa,usaliti huwa unachangiwa na watu wenyewe walio katika…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
atasafarishop · 5 months
Text
11 April 2024
youtube
Hadithi za ndoto ya Ukweli kuhusu Maisha
0 notes
hypnotk69 · 9 months
Text
0 notes