Don't wanna be here? Send us removal request.
Audio
(MariamMarzuq)
Ushairi unaelezea anayopitia mtoto aliyezaliwa na mzazi wake kuaga mda wa kujifungua kwake. Unaonyesha umuhimu wa mzazi wa kike katika jamii.
0 notes
Audio
(MariamMarzuq)
Shairi hili linaelezea namna mabanati wanavyotairishwa na wengi kubeba wana nje ya ndoa. Je, vizazi vijavyo vitaweza kurithi tamaduni zipi tutakazoziacha?
0 notes
Audio
(MariamMarzuq)
Shairi hili linagusia namna mapenzi yanavyomfunga macho insani hadi kuweka ugumu wa kubainisha kati ya ubaya wa anayempenda na uzuri wa ampendaye. Hivyobasi anaomba ushauri wa yupi anaweza kuwa naye maishani.
0 notes
Link
0 notes
Link
0 notes
Link
0 notes
Link
0 notes
Link
0 notes
Text
Tamthilia: Siri Za Darajani-00
Tamthilia: Siri Za Darajani-00
MTAA WA DARAJANI HISTORIA
Ni mtaa bunifu unaopatikana katikati ya Countymbili maarufu mashariki-kusini mwa Kenya: Mombasa na Kilifi. kihistoria, mtaa huo ulipewa jina la ‘Darajani’ tangu mwaka wa 1998 kutoka kwa neno ‘daraja’ ambapo mtaa huo ulitumiwa kama daraja kulingana na waliokuwa wakikwepa vita vikali vya kisiasa kutoka Kwale kuelekea Mombasa kutafuta amani. Wengi wao waliishia mtaani…
View On WordPress
#Darajani#Historia#Kenya#Kerekani#kilifi#Kiswahili#Kwale#Mariam Marzuq#Mombasa#Siri za Darajani#Tamthilia#Ufupisho#Yaliyomo
0 notes
Text
Shairi:Kamba Wa Likoni
Limeandikwa Na: Mariam Marzuq
Kamba hao kamba gani, Wa majini waliwao, Kamba wa barabarani, Fungupeni wauzwao, Kamba tanitia deni, Wanipige ngumi mbao, Kamba hasa wa likoni, Kiutamu wapikwao.
Kamba so ya kivukoni, Mnijuze mjuao, Kamba mvuviwe nani, Nelezeni wa mwambao, Kamba nakosa amani, Ja mbu waninyonyao, Kamba hasa wa likoni, Pweza mwanafunzi wao.
Kamba wale wa sokoni, Jokofuni waekwao, Kamba…
View On WordPress
0 notes
Text
Shairi: Kipi Tunapigania?
Limeandikwa Na: Mariam Marzuq
Mengi ametuachia, Si shamba wala si nyumba, Tena ameetuusia, Yasijeyakatukumba, Sasa yametufikia, Sote macho tumefumba, Sie wa mmoja baba, Kipi tunapigania?
Iwapo alitunzia, Mali zake kama mimba, Tunapaswa kufwatia, Kwa mikuki na kwa mwamba, Endapo tapuuzia, Tutabaki ombaomba, Sie wa mmoja baba, Kipi tunapigania?
Kisha bara kahamia, Mjini yalimkumba, Maisha kuyaanzia,…
View On WordPress
0 notes