Tumgik
expesho · 2 years
Photo
Tumblr media
LIVE FIBER, LIVE WIRE, https://www.instagram.com/p/CWORoKaInNk/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 2 years
Photo
Tumblr media
THANK YOU JESUS... https://www.instagram.com/p/CWOIyBLI7mQ/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 2 years
Photo
Tumblr media
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
KAZI INAENDELEA https://www.instagram.com/p/CUvwqK8oz32/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
MAHAFALI MAHAFALI TAR 02/10. https://www.instagram.com/p/CUMnA0eoLNq/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
TAR 06 HADI 10 MWEZI WA 10, NDANI YA DAR ES SALAAM. CFAN CHINI YA DANIEL COLENDA MRITHI WA REINHARD BONNKE. WEWE UPOWAPI? KIMARA, KAWE, GONGO LA MBOTO, MBAGALA NA KIGAMBONI. USIPANGE KUKOSA, HUU NDIO MUDA WAKO, NJOO NA KIJIJI. HAKUNA KIINGILIO. IMANI, UPENDO, MIUJIZA. https://www.instagram.com/p/CUEoX0rIJEq/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
USIPANGE KUKOSA, NI MWEZI WA 10 TAR 06 HADI 10 WILAYA SITA KWA PAMOJA. https://www.instagram.com/p/CT45b8oocqb/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
Kitu kinakuwa dhambi pale ambapo hakiendelezi kusudi /Maono ya Mungu. Na maono ya Mungu ni uale aliyotueleza kwenye Neno lake na sio vinginevyo. https://www.instagram.com/p/CTfmglAoCJ9/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
HERO 1 Wafalme 2:2 [2]Mimi naenda njia ya ulimwengu wote; basi uwe hodari, ujionyeshe kuwa mwanamume; I go the way of all the earth: be thou strong therefore, and shew thyself a man; https://www.instagram.com/p/CTASjdeIBmM/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
JUMAPILI HII BCIC MBEZI BEACH https://www.instagram.com/p/CSy2H69oNWU/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
MATUKIO MENGINE NI ILI MUNGU ATUKUZWE. Mithali 21:1 [1]Moyo wa mfalme huwa katika mkono wa BWANA; Kama mifereji ya maji huugeuza po pote apendapo. Danieli 3:26-30 [26]Kisha Nebukadreza akaukaribia mdomo wa ile tanuru iliyokuwa inawaka moto. Akanena, akasema, Enyi Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watumishi wa Mungu Aliye juu, tokeni, mje huku. Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakatoka katika ule moto. [27]Na maamiri, na manaibu, na maliwali, na mawaziri, waliokuwa wamekusanyika pamoja, wakawaona watu hao, ya kuwa ule moto ulikuwa hauna nguvu juu ya miili yao, wala nywele za vichwa vyao hazikuteketea, wala suruali zao hazikubadilika, wala harufu ya moto haikuwapata hata kidogo. [28]Nebukadreza akanena, akasema, Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe. [29]Basi mimi naweka amri ya kuwa kila kabila ya watu, na kila taifa, na kila lugha, watakaonena neno lo lote lisilopasa juu ya huyo Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego, watakatwa vipande vipande, na nyumba zao zitafanywa jaa; kwa kuwa hakuna Mungu mwingine awezaye kuokoa namna hii. [30]Kisha mfalme akawakuza Shadraka, na Meshaki, na Abednego, katika wilaya ya Babeli. https://www.instagram.com/p/CRnwViuBR3b/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Video
AKILI ZA KUAZIMA https://www.instagram.com/p/CRf-3xfBJDm/?utm_medium=tumblr
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
1 Wathesalonike 5:17 [17]ombeni bila kukoma; Kuna vitu ni kwa uwezo wa Mungu tuu..... https://www.instagram.com/p/CRZo8K_BH90/?utm_medium=tumblr
0 notes