Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo

Ijumaa Kuu Njema kwa Wakristu wote. https://www.instagram.com/p/CcW6_l1ojOD/?igshid=NGJjMDIxMWI=
2 notes
·
View notes
Photo

YOHANA 8: 3 -12 Maandiko yanasema hivi " Waandishi na mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. Wakamwambia ,Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. Basi katika torati , Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje? Nao wakasema neno hilo wakimjaribu,ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao walipozidi kumhoji ,alijiinua akawaambia, yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe. Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi. Nao waliposikia wakashitakiwa na dhamira zao, wakatoka mmoja mmoja ,wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati. Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke ,wako wapi wale washitaki wako? je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia? Akamwambia, Hakuna ,Bwana.Yesu akamwambia, wala mimi sikuhukumu. Enenda zako usitende zambi tena" (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CcUp77Ss_-l/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Video
When the battle is bigger than you, don’t fight it. Leave it to Almighty GOD. You will thank me better. Vita ikiwa kubwa kuliko wewe, usipigane mwenyewe. Mwachie Mwenye Enzi MUNGU. Utanishukuru baadae. #mtotowanesi (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/tv/CcMZr0UonM5/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Photo

Kweli Hii ni 4G? I doubt! https://www.instagram.com/p/CcLkYousoM3/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Photo

Tumshangilie! Kwa matawina vinubi. #mtotowanesi (at Jimbo Kuu Katoliki La Dodoma) https://www.instagram.com/p/CcKPDtmMKZU/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Photo

Ukiotesha mbegu ya mti wa Mwaloni (OAK TREE) kwenye chungu cha maua, mti utakaoota hauwezi kuwa mkubwa kama ambavyo mti wa Mwaloni unavyoweza kuwa mkubwa. Mazingira ya ukuaji wa mbegu ya Mwaloni, utafanya mbegu ichipue kulingana na mazingira ilipooteshwa. Kamwe haitaweza kuwa kama mbegu iliyochipua kwenye mazingira ya wazi na nafasi nzuri. Vivyo hivyo, ubora na uelewa wa mtu unategemea maisha yake, mazingira aliyokulia au kuwepo pamoja na watu waliomzunguka. Kama ni mwerevu, basi ameishi kwenye mazingira yaliyomfanya kuwa mwerevu. Kama si mwerevu basi hakika mazingira aliyoko au aliyoishi. yamechangia. Hata werevu wana mmoja mwerevu kuliko wengine kulingana na mazingira yao mmojammoja. Hata wajinga, wana bingwa wao ambae atakuwa anatofautiana na wenzake kulingana na mazingira yao.. Unaweza kuwa vizuri na mwerevu sana katika jambo fulani, ila mazingira uliyoko yakafanya ushindwe kuwa hodari katika kiwango cha juu zaidi kama ungekuwa kwenye mazingira bora zaidi. Unapaswa kufanya nini ili kuepuka kuendelea kuwa katika mazingira amabyo hayakupi nafasi nzuri? Wewe ni mbegu ya Mwaloni? Umepandwa wapi? Muulize Sir God! #mtotowanesi https://www.instagram.com/p/Cb8BHIBMEb8/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

Kivazi cha @idriselba leo kwrnye draw ya FIFA World Cup Qatar✅👏🏽👏🏽🎉🎉💯 (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Cb0JoulsxLb/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

Muda, ni jambo lisilo Na mzaha. Maisha ni mzunguko. #mtotowanesi (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/Cbym7d2I0x0/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

The worst thing you can do is ignore your feelings! https://www.instagram.com/p/CbxuhzZsOh6/?utm_medium=tumblr
0 notes
Video
Maisha yetu ni mafupi sana duniani. Ishi ukiwa tayari wakati wowote tunaondoka! Tuombe mwisho mwema! Hatujui saa wala muda! #mtotowanesi https://www.instagram.com/tv/CbtnzIRICUY/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

God, grant me the serenity to accept the things I cannot change, courage to change the things I can, and wisdom to know the difference. I submit myself to you. Your protection and guidance is all I seek. It is hard but I trust you! #mtotowanesi https://www.instagram.com/p/Cbtk5jKowLN/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

30 years??? (at Dodoma, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CbspPIXMOl2/?utm_medium=tumblr
0 notes
Video
Ulikuwa na huruma sana na mwenye kusamehe hasa ulipoombwa msamaha! #ripjpm tunakukumbuka! https://www.instagram.com/tv/CbMWjZPMP_2/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

Tunakukumbuka kama ulivyosema. #ripjpm https://www.instagram.com/p/CbMVI0AsMg2/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

Endelea kupumzika kwa amani JPM! #ripjpm https://www.instagram.com/p/CbMVCz_s8rL/?utm_medium=tumblr
0 notes
Video
Dada mkubwa siku zote hujitoa kwa wadogo zake bila kujali maumivu au kuchaguka. Endelea kupumzika kwa Amani Dada! I miss my big sister Maria! #mtotowanesi #missmysister https://www.instagram.com/tv/CbMP3kfIsOI/?utm_medium=tumblr
0 notes
Photo

TBT😭😭 Missing you my angels in Heaven! Mangowi and Maria my sister. The most caring human beings I was blessed to have. #ripmangowi #ripmaria #mtotowanesi https://www.instagram.com/p/CbL-xN4Iuti/?utm_medium=tumblr
0 notes