Tumgik
Photo
Tumblr media
Kukosa Uvumilivu kwa Wana wa Mungu husababisha kukosa Baraka zao! ".....Maana Mungu si dhalimu hata aisahau kazi yenu, na pendo lile mlilolidhihirisha kwa jina lake, kwa kuwa mmewahudumia watakatifu, na hata hivi sasa mngali mkiwahudumia....." Waebrania 6:9-15 Nakutamkia Roho ya Uvumilivu ya Kiungu ikujilie ili uyafikie maono yako katika Jina la Yesu Kristo! @chief_prophet_suguye @wrmtv #sundayservice #bible #wrm_tv #startimes_119 #azam #word (at Kivule Matembele Ya Pili) https://www.instagram.com/p/CIdGbJVnfag/?igshid=16nv8p98g0woc
0 notes
Video
Luka 19:13 “Akaita watu kumi katika watumwa wake, akawapa mafungu kumi ya fedha, akawaambia, Fanyeni biashara hata nitakapokuja.” Hakika hii ni nafasi adhimu kwa wafanyabiashara na wafanyakazi wote kupiga hatua kwasababu Kila aina ya ubaya unaofanya kazi au biashara zako kudumaa inakwenda kuachia biashara zako. Sehemu ni moja tu ni ndani ya kanisa la WRM Kivule Matembele ya pili Jijini Dar Es Salaam Tanzania, Jumamosi hii kuanzia saa 2:00 asubuhi. WATU WOTE MNAKARIBISHWA NI BURE KABISA HAKUNA KIINGILIO. (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDeRryelP5z/?igshid=r4zm4ppr9jhr
0 notes
Photo
Tumblr media
Mheshimiwa Mbunge viti maaalum mkoa wa Mbeya @sophiahebron aliungana pamoja nasi katika Ibada ya siku ya leo. Hakika ni jambo jema kupata viongozi wanaoutafuta uso wa Bwana. #chief_prophet_suguye #wrm_redio #wrm_tv https://www.instagram.com/p/CDHSH-lpvSo/?igshid=1jwrws49tvy0z
0 notes
Photo
Tumblr media
NABII: Naona Adui amekama kizazi chenu shetani hataki ukoo wenu ukue na anamtumia mtu wa karibu kwenu ambae mnachangia damu na ni mtu mzima. Baba: Ni kweli Nabii Mtu huyo ni Mama yangu Mzazi. NABII: Namuona anatumiwa na ibilisi kuvurunga kizazi chenu mapito mnayopitia kama familia ni makubwa hakuna awezae kuwakomboa ila Mungu wa Mbinguni Peke yake , watoto wenu wanapozaliwa huwa lazima ahusike usiku huja na kugusa vichwa vyao na kuchukua nyota pamoja na kujiungamanisha na watoto hao . Ninaona yale maagano ya kichawi yanakatika kwake saivi ninatamka popote alipo kila kilichoshikilia maisha yake yakwenu pamoja na watoto wenu kisambaratike katika jina la Yesu Kristo. Ninakupa zabibu hizi hakikisha ndugu zako wanakula watoto wenu pamoja na mama yenu mzazi. POPOTE ULIPO KILA UCHAWI UNAOFATILIA MAISHA YAKO NA WATOTO WAKO USHIKE MOTO UTEKETEE KATIKA JINA LA YESU KRISTO... #chief_prophet_suguye #wrm_redio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHRMJSp6VJ/?igshid=1tm8xhqsrsmje
0 notes
Photo
Tumblr media
Nakiona Cheo kinakuja kwako pamoja na Kupandishwa mshahara lakini Bwana ananiambia Haya yote ni Mungu anakujibu Ujue kuwa Mfungo uliokua unafanya wa Maombi leo amekujibu, Utukufu wako unakuja Bwana anataka ujiandae uwe tayari. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHI79TpYWY/?igshid=15j167kwfdq6k
0 notes
Photo
Tumblr media
UNABII: Naona kuna mwanamke ulikua nae wakati mnafanya tendo la ndoa alichukua majimaji yako na kupeleka kwa mganga ambako alikusudia kukuloga ili usimuache lakini alichokifanya mganga ni kuchukua nyota yako ya mafanikio na tangia hapo maisha yako yamebadilika Umekua Haukai na fedha kama ilivyokua mwanzo kila fedha unayoipata imekua ni kwaajili ya kutibu familia hakuna kitu unafanya kwaajili ya mafanikio. UMEFIKA MAHALI HAPA LEO BWANA ANAKUFUNGUA NA KUKUPONYA NYOTA YAKO INARUDI KATIKA JINA LA YESU KRISTO.. JIUNGAMANISHE.. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHIbWDpkds/?igshid=4bmgap1fduo5
0 notes
Photo
Tumblr media
Maelfu ya Watu waliohudhuria Ibada ya Kupokea Maji yaliyo Hai wakipokea Maji yao kutoka kwa Nabii wa Bwana . MUNGU WANGU AKAUTUNZE MUUJIZA WAKO ULIOUPATA SIKU YA LEO KATIKA JINA LA YESU KRISTO. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHFwcPJnDc/?igshid=1w31m0yb4f13e
0 notes
Photo
Tumblr media
Baba maji haya ni kazi ya mikono yako kwa maji haya kila atakayrpita kuchukua jambo jipya likatendeke kwenye maisha yake. Bwana kama ulivyoniagiza kwa mzigo nifanye kitu hiki bila kuangalia gharama bali mzigo wa Uzima na Baraka za watu kupitia kisima hiki LEO BWANA NAOMBA UWABARIKI WATU WAKO SAWASAWA NA IMANI ZAO KATIKA JINA LA YESU KRISTO. JIUNGAMANISHE.. #chief_prophet_suguye #wrm_redio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHEvwIJGOi/?igshid=1buk7mhno0q9
0 notes
Photo
Tumblr media
Mkono wa Bwana wenye Nguvu ukayaguse maisha yako na Kukuponya lisiwepo lakushindikana kwako . Jinsi Baba huyu kutoka ZAMBIA alivyopokea Nguvu ya Mungu ikawe nawe kwako katika jina la Yesu Kristo. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHDSHlJDT2/?igshid=11a2zkyg2tva
0 notes
Photo
Tumblr media
BWANA AKUBARIKI AKUINUE ...POPOTE UTAKAPOTOKA NA KUINGIA MKONO HODARI WA BWANA UKAWE PAMOJA NAWE. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv https://www.instagram.com/p/CDHCpmxJrz9/?igshid=112mna1dfrjg2
0 notes
Photo
Tumblr media
ADUI MWARIBIFU WA KAZI ZA MIKONO YAKO ASIPATE KIBALI MBELE ZAKO KATIKA JINA LA YESU KRISTO.. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv https://www.instagram.com/p/CDHBrzJp9Yr/?igshid=10k9ucbi4gmpt
0 notes
Photo
Tumblr media
Bwana AKUTETEE MBELE YA WATESI WAKO. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDHBhQkJDVD/?igshid=10d6qrnb3g8uh
0 notes
Photo
Tumblr media
WALIO KATIKA KRISTO HAWAISHI KWA MASHAKA , KWAKUA WANA IMANI NA MUNGU WAO. Mwamini Mungu wa Mbinguni leo yeye hakuna asiloliweza kwako. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDGw4Wnpddc/?igshid=170qi1alwefsc
0 notes
Photo
Tumblr media
Iwe Adui anataka ama Hataki MAFANIKIO kwetu ni LAZIMA. Adui hataweza zuia FURAHA yako katika jina la Yesu Kristo. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDGvDfApokI/?igshid=o0rtn3bm1mx4
0 notes
Photo
Tumblr media
LEO UKATOKE KWENYE VIWANGO VYAKUWA WA KAWAIDA UKAINGIE KWENYE VIWANGO AMBAVYO SI VYA KAWAIDA KATIKA KILA UFANYALO... #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDGtp7HJ-dk/?igshid=1e9v9hg211ld5
0 notes
Photo
Tumblr media
MIKONO YAKO IKAPOKEE BARAKA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA JINA LA YESU KRISTO... #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDGtO0_pPG_/?igshid=9p9khpqmqcva
0 notes
Photo
Tumblr media
VIFUNGO VYA KUZIMU LEO VIKAKUACHIE KINABII KWA JINA LA YESU.. #chief_prophet_suguye #wrm_radio #wrm_tv (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CDGtCImpmsX/?igshid=8yd6vis216w6
0 notes