Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA KIWANJA NCHINI TANZANIA: Mwongozo wa Kisheria
Na Richard Kalokola — LegalJamii Blog Utangulizi Katika harakati za kumiliki ardhi au kujenga makazi bora, hatua ya kununua kiwanja ni uamuzi mkubwa unaohitaji uangalifu wa hali ya juu. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine nyingi, ina mifumo na taratibu madhubuti za kisheria zinazosimamia umiliki wa ardhi. Bahati mbaya, changamoto za migogoro ya ardhi zimekuwa ni jambo la kawaida, mara nyingi…
View On WordPress
0 notes
Text
MAHAKAMA ZA WATOTO NCHINI TANZANIA: Ufafanuzi wa Kina Kuhusu Utaratibu, Sheria Husika, na Uwezekano wa Mtoto Kuwajibika kwa Jinai au Madai
Na Richard Kalokola — LegalJamii Blog Tuwalinde watoto UtanguliziKatika jamii yoyote ile, watoto ni kundi muhimu linalopaswa kulindwa na kuendelezwa kwa uangalifu mkubwa. Watoto, kutokana na hali yao ya umri na kutokukomaa kifikra, wanahitaji mfumo wa haki unaolinda maslahi yao, lakini pia kuwaelekeza wanapokosea. Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayozingatia utawala wa sheria na…

View On WordPress
0 notes
Text
UTAWALA WA SHERIA NA UONGOZI THABITI: Nguzo za Uchumi Unaokua kwa Kasi — Somo kwa Tanzania na Afrika🌍
Na Richard Kalokola — LegalJamii BlogUtanguliziKatika harakati za kujenga taifa lenye uchumi thabiti na unaokua kwa kasi, mambo mengi huonwa kama msingi: uwekezaji wa ndani na nje, miundombinu bora, elimu ya kisasa, au sera nzuri za kiuchumi. Hata hivyo, kuna nguzo mbili ambazo mara nyingi hazipewi uzito unaostahili lakini ndizo msingi wa mafanikio ya taifa lolote: Utawala wa sheria na Uongozi…
View On WordPress
0 notes
Text
SHERIA ZA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 2.
MASHTAKA YA KINDOA(MATRIMONIAL LITIGATION). Hizi ni taratibu ambapo upande mmoja wa ndoa awe mume ama mke, anakuwa na kesi dhidi ya upande mwingine kuhusu suala la kindoa. Taasisi kubwa mbili zenye mamlaka ya kusikiliza mashtaka ya kindoa katika hatua tofauti ni:- Mabaraza ya usuluhishi wa ndoa. (Marriage conciliatory boards) na, Mahakama. Mamlaka ya Mahakama(Jurisdiction of Courts). Katika…

View On WordPress
0 notes
Text
SHERIA ZA NDOA TANZANIA- SEHEMU YA 1.
Je! kijana utaoa/kuolewa lini? MAANA YA FAMILIA. Familia ni dhana pana sana yenye tafsiri tofauti tofauti kulingana na mazingira, lakini katika tafsiri ya msingi familia ni muunganiko wa watu, ambao wanahusiana kwa damu, ndoa au kuasiliwa. Familia ni kundi la watu wanaohusiana kwa damu, ndoa, au uhusiano wa kulea, wanaoishi pamoja au kushirikiana kwa namna fulani katika maisha yao. Kwa…

View On WordPress
0 notes
Text
Learn more on Litigation and argumentation skills; watch Section 375 and get inspired. The entire scope of how Justice and Law can confict.
Law & Justice
0 notes
Text
How to write an effective case summary.
Are you having troubles on how to write a case summary, which is a concise summary of a judicial decision from a case law authority. A case summary helps in understanding the decision, the legal principles involved, and the reasoning behind the court’s ruling.
View On WordPress
0 notes
Text
THE CONCEPT OF BILL OF COSTS IN CIVIL CASES.
(Costs to follow the events) Under the normal circumstances when the civil case is determined to it’s finality, the words “With costs” or “Costs to follow the event” are normally seen at the end of the judgement or ruling. The winner of the case is entitled to costs of prosecuting the case. These are costs incurred in prosecuting the case which includes the instruction Fee to defend or…

View On WordPress
0 notes
Text
Why Criminal Cases Are Normally Prosecuted by the State in Tanzania.
INTRODUCTIONIn Tanzania, as in many other jurisdictions, criminal cases are typically prosecuted by the state rather than by private individuals. This practice is rooted in legal, historical, and practical reasons that ensure justice is served fairly and consistently. The state, through the Office of the Director of Public Prosecutions (DPP), assumes the responsibility of prosecuting criminal…

View On WordPress
0 notes
Text
THE EVOLUTION AND LEGACY OF CHIEFS IN TANZANIA.
Traditional chieftaincy in Tanzania has undergone significant transformations, evolving from a central institution in pre-colonial and colonial governance to a more symbolic role in contemporary society. This essay explores the historical trajectory of chiefs in Tanzania, examining their roles, the impact of colonial and post-colonial policies, and their enduring influence in modern…

View On WordPress
0 notes
Text
PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES IN TANZANIA.
The very rationale behind probate and administration of Estates emanate from the fact that one day we will die or be incapacitated in the course of our daily life, however we may wish to tell and instruct on how our properties (Estates) should be dealt with. It is in that aspect that the Laws of Tanzania regarding probate and administration of Estates lay down procedures on how to go about in…

View On WordPress
0 notes
Text
HISTORIA YA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MABADILIKO YAKE MBALIMBALI.
Kwa tafsiri nzuri na itakayoeleweka Zaidi “KATIBA” Ni Sheria mama ama Sheria kuu iwe katika Nchi ama taasisi Fulani. Katiba katika Muktadha wa Nchi Ni Sheria mama ambayo huweka misingi mikuu ya kisheria katika Nchi. Katiba huweka miongozo ambayo hufafanuliwa Zaidi katika Sheria nyingine zitakazotungwa na Bunge ama zitakazotungwa Kwa utaratibu mwingine ulioelekezwa na Bunge. Kwanini Sheria…

View On WordPress
0 notes
Text
The Journey Begins
Thanks for joining LegalJamii! This site aims at upholding and promoting legal awareness among the community/Society. As we are of the view that it is of great essence that the society understands the rules, principles and regulations that governs their daily conducts, in order to avoid unnecessary Claims. This further culminates from the phrase “ubi societas, ibi jus” translates from Latin to…

View On WordPress
0 notes
Text
As a lawyer, I am aspiring to advance through the ranks in a law firm, specialize in a particular area of law, become a partner, or even venture into politics or academia.
Daily writing promptWhat is your career plan?View all responses
View On WordPress
0 notes
Text
UHURU WA MAHAKAMA (INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY) 💼
Uhuru wa Mahakama ni moja ya msingi mkubwa na muhimu katika kudumisha utawala wa sheria, haki na demokrasia. Mahakama huru ni nguzo inayosimamia haki, usawa, na utawala bora katika jamii. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa uhuru wa mahakama, changamoto zinazoweza kujitokeza, na jinsi ya kuhakikisha uhuru huo unadumishwa. Kwa Mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 ibara ya 107A (1)…

View On WordPress
0 notes
Text
Tanzania's Legal Framework: A Comprehensive Overview
Tanzania, located in East Africa, is a nation known for its diverse culture, stunning landscapes, and rich history. At the heart of its governance and society lies a robust legal framework that guides the country’s political, social, and economic systems. This article explores the legal framework of Tanzania, shedding light on its historical development, key components, and its role in shaping…

View On WordPress
0 notes
Text
The Prerogative of mercy in Tanzania
In the United Republic of Tanzania, one of the most significant and compassionate powers vested in the President is the prerogative of mercy. This constitutional authority allows the President to exercise clemency, compassion, and forgiveness, mitigating or relieving the punishment of individuals convicted of various offenses. The prerogative of mercy reflects the nation’s commitment to justice,…

View On WordPress
0 notes