Tumgik
Photo
Tumblr media
EdiMubaraka tushereheke kwa Aman na Utulivu. https://www.instagram.com/p/B1DdWx9BPym/?igshid=1m90ihnk4d1ml
0 notes
Photo
Tumblr media
Waziri Mkuu Wa Uingereza ajiuzulu #ccMwananchi https://www.instagram.com/p/Bx10ScghIJp/?igshid=cuqiwjaqie84
0 notes
Photo
Tumblr media
In a world without human rights, we are all at risk. The outrageous abuses happening to someone else today could happen to you tomorrow. Join a movement of millions who protect the rights of people everywhere.
0 notes
Photo
Tumblr media
0 notes
Video
0 notes
Photo
Tumblr media
Matokeo ya muda ya kura ya maoni juu ya marekebisho ya katiba ilofanyika jana nchini Burundi, yaonesha kuwa kura ya 'Ndio' inaongoza katika mikoa mingi ya nchi hiyo. Hata kwenye eneo la vijijini mkoani Bujumbura ambalo linatambulika kuwa lenye wafuasi wengi kutoka muungano Amizero y Abarundi unaoongozwa na mpinzani Agathon Rwasa matokeo yamewashituwa wengi ambapo kura ya 'Ndio' inaongoza kwa asilimia 75. 7 huku kura ya 'Hapana' ikipata asilimia 17, 6. Katika mji mkuu Bujumbura licha ya kura ya 'Ndio' kutopata matokeo mazuri mno ambapo imepata asilimia 53. 09 huku waliopiga kura ya 'Hapana' wakikadiriwa kuwa asilimia 44. Una maoni gani kufuatia matokeo hayo? #ChazoDwSwahil
0 notes
Photo
Tumblr media
#Ramadhani@#Qareem
0 notes
Photo
Tumblr media
0 notes
Photo
Tumblr media
#Leo ni siku ya #Mama Dunia Muungu aawape umri mrefu #Mama zetu!
0 notes
Video
instagram
Sijui km ni kwel hayo maneno #Tusaidieane bas
0 notes
Text
Man
Uchaguz umemalza kinondoni na mshind tayar ameshapitikan
0 notes