Tumgik
#0686979377
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
Chest Freezer Ni freezer nzuri sana ya kisasa. Freezer hii inachaguzi mbili unaweza ukaiwasha na kuchagua kugandisha tu pia unaweza kuwasha na kuchagua fridge Yani kugandisha na kupoza. Usipitwe na mzigo huu mpya wa Ramadan si wakukisa kabisa. Inafaa Kwa matumizi ya nyumbani na biashara pia. Ni mpya Litre 116 Brand Meck Bei 500,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaB0fpt8nU/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
Induction Cooker one plate Ni jiko la kisasa la umeme.Jiko hili surface yake ni matilio ya kioo na sehemu ya kubonyezea ni touch. Ni imara na rahisi kutumia hata ukimaliza kutumia kama limeangukia vyakula unasafisha Kwa wepesi kabisa. Unaweza tumia claypot,ceramic,glass, copper,cast iron, stainless steel,normal steel na aluminium non stick ni matilio ya vyombo ambavyo vinaweza kutumika kwenye jiko hili. Unatumia ofisini,nyumbani na sehemu yako ya biashara pia, kasehemu kadogo sana kamemeguka. Watts 2000 Brand Khind Bei 90,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaBYOxtoIi/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
Air Cooler Ni fan ya kuleta upepo wa ubaridi. Ukiwa na hii air cooler joto utalisikia Kwa jirani. Ni nzuri na inaubaridi wa kutosha kama Ac. Inavichupa vyake ambavyo unaweza vigandisha ili kupata ubaridi zaidi na zaidi. Inasehemu ya kuswing,inatimer,inaspeed zaidi na inasehemu ya cooling na fan. Watts 90 Brand Alphafan Up to 15 hours continuous cooling Bei 300,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaA8UytcM7/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
Air fryer Oven 22 liters Ni friyer ambayo ni oven pia. Unachoma nyama,kuku,samaki,miskaki pia unaoka keki,mikate,vireja,biskuti n.k pia unapika chipsi bila mafuta. Ni mpya jamani na inapatikana Kwa Bei cheeee... Watts 1650 Brand Meck Bei 285,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqaAP82Npz0/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
BBQ COOKER Hii ni jiko ya kuchoma au kupika Kwa mafuta kidogo sana. Pia unaweza kutosta mkate,kuchoma nyama,kuku,samaki n.k. Wale wapenzi wa BBQ huna haja tena kwenda kwenye migahawa njoo ujinunulie kipindi hiki kuelekea sikukuu ya pasaka na Eid ufurahie na familia pamoja na marafiki nyumbani. Zipo mbili zimetumika. Watts1900 Brand Pensonic Bei 250,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqZ_vNstrwd/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 1 year
Photo
Tumblr media
Glass Gas Stove Ni jiko la kioo Kwa kutumia gasi. Kama unavyoliona mteja wangu jiko lina foka linaita na kuvutia hasa ulinunua na kuliweka jikoni kwako. Matilio yake ni kioo tena kioo kizito kabisa. Unaunganisha na gesi yako kisha nakutumia ni plate mbili kama ulionavyo kwenye picha. Pendezesha jiko lako na kulifanya lionekana la kishua na bidhaa kutoka kwetu. Wahi zipo chache Brand Meck Bei 150,000 Tupo Mikocheni B Mwai Kibaki Road jirani ya Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CqZ-n0zNdr2/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Photo
Tumblr media
Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road karibu na Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/Co1VexLtTvB/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Photo
Tumblr media
Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road karibu na Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/Co1VQOwNpDX/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Photo
Tumblr media
Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road karibu na Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/Co1U926N7Hh/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Text
Vacuum Cleaner
Vacuum Cleaner Hii inavuta mavumbi kwenye carpet, mazulia, madirisha ya wavu inafilter na tank la kuhifadhia mavumbi kwa mda litakapo jaa unafungua na kwenda kutupa ni nzur sana na powerful Watts 1800 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Text
Waffle Maker
Waffle Maker Kwa bei ya ofa tuendele kuweka oda Tengeneza waffles ukiwa nyumban kwa ajili ya familia yako wafanye wanao kuwa na furaha asubuh wanapo amka na kukuta delicious food mezan kila wakipendacho watoto ni muhimu sana kwa familia Watts 1400 Brand milla home from Germany #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibak Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Text
Electric Table Grill
Electric Table Grill Grill ambayo ni rahis kuitumia, unaweza kuchoma nyama, samaki, kuku pia hii grill unaweza kufanya toast ya mkate kwa haraka bila kupoteza mda ni nzur sana ni mpya kabisa lakin imevunjika kwenye mkono wake Brand Raven Watts 900 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Text
Air Fryer
Air fryer unatumia kupika chips, kuchoma, nyama bila ya kuweka mafuta, pia unaweza kubak cake kwenye hii air fryer ni nzur sana, kwa bei rahisi zaid Wahi haraka air fryer ni chache sana Air fryer ni mpya kabisa Watts 2400 Lita 6 Brand Silver Crest #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania#afroboel…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrotalia-stock · 2 years
Text
Friji Side by Side American
Friji Side by Side American
OFA OFA OFA PUNGUZO KUBWA BEI LA MWEZ WA KWANZA AMERICAN DOUBLE DOOR FRIJI Friji ya milango miwili wa kushoto ni friji kwa ajili ya kupooza na kulia ni kwa ajili ya kugandisha pia ina water dispenser.ipo moja tu hii Brand Siemens Bei ya ofa 1,200,000 Bei ya awali 2,000,000 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibak Road karibu na Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
afrotalia-stock · 3 years
Photo
Tumblr media
YOUGHUT MAKER. Hii unatengeneza mwenyewe ,unachemasha maziwa yako fresh, unaacha yapoe,kisha weka kwenye vikopo vyake utaweka na fleva kama unapenda vanilla au stoberry. Ni nzur sana ns rahisi kuitumia Ni mpya Brand kalorik Watts 150 Bei 100000 Tupo mikocheni b mwaikibaki road karibu na nakiete pharmacy #0686979377 #0746500055 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz https://www.instagram.com/p/CPCl8cpozBt/?utm_medium=tumblr
3 notes · View notes
afrotalia-stock · 4 years
Photo
Tumblr media
Veggie bullet inakatakata mboga mboga na matunda kwa style tofauti tofauti 120,000 Tupo mikochen b mwaikibaki road karibu na Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania https://www.instagram.com/p/CAuTko6oDi4/?igshid=ni4qkk09khwi
1 note · View note