#Web Pixer
Explore tagged Tumblr posts
Link
Katibu wa Mashindano ya Kombe la Mei Mosi Bw. Award Safari (wa pili kushoto) jana akiongea na wanamichezo awapo pichani kwenye uwanja wa Samora akitoa maelezo mbalimbali ya kuhusiani na mashindano hayo ambayo yameanza jana na ufunguzi utafanyika rasmi April 21 2018 . (Picha na Bahati Mollel-TAA). Baadhi ya wachezaji wa timu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakisikiliza kwa makini maelekezo mbalimbali yanayotolewa na viongozi wa kamati ya michuano ya Kombe la Mei Mosi katika kikao kilichofanyika jana kwenye uwanja wa Samora yakiwa ni maandalizi ya michuano hiyo iliyoanza Aprili 162018(Picha na Bahati Mollel-TAA) Afisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Iringa Bw. Mweri Kilimali (aliyesimama) akielezea kifungu namba 28 kinachohusiana na ubadhirifu wa mali za serikali kwa wachezaji wanaoshiriki mashindano ya Kombe la Mei Mosi yanayofanyika katika uwanja wa Samora. (Picha na Bahati Mollel-TAA). Wachezaji wa timu ya Uchukuzi wakisikiliza maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa Kamati ya Michuano ya Kombe la Mei Mosi katika kikao kilichofanyika jana kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa. Michuano hiyo itazinduliwa rasmi Aprili 21 2018 na Mkuu wa Mkoa Mhe. Amina Masenza. Na Bahati Mollel-TAA Iringa WACHEZAJI wanaoshiriki kwenye michuano ya Kombe la Mei Mosi inayoendelea kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa wametakiwa kuwa na nidhamu ndani na nje ya uwanja imeelezwa. Mjumbe wa Kamati ya michezo hiyo Bi. Joyce Benjamin amesisitiza wachezaji wote kuzingatia maadili ya utumishi wa umma kwa kuwa na nidhamu popote wanapokuwa kwenye mkoa wa Iringa ikiwemo ya kuvaa mavazi ya staa na kuwa na kauli nzuri kwa wachezaji wenzao viongozi na waamuzi. Bi. Bebnjamin amesema haipendezi na haileti sifa nzuri kwa wachezaji hao ambao timu zao zinatoka kwenye wizara na taasisi za umma kuonesha utovu wa nidhamu ambapo watakuwa wamekwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma. Haitapendeza kumuona mtumishi wa umma ambaye yupo hapa katika michezo amevaa nguo zisizokuwa na staa fupi za kuonesha maungo na za kubana na kuja nazo huku uwanjani au kutembea mitaani pia kutoa kauli chafu kwa wachezaji au viongozi wa timu yake au pinzani au kwa waamuzi hatutasita kumuandikia barua kali ya karipio na nakala kupelekwa kwa mwajiri wake ili amchukulie hatua zaidi za kinidhamu amesema Bi. Benjamin. Nayo taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) imesema itafanya ukaguzi wa wachezaji wanaoshiriki kwenye michuano hiyo ili kubaini wachezaji wasio waajiriwa wa serikali mamluki kwa kuwa sio sheria kutumiwa kwa wachezaji hao. Akizungumza jana na wachezaji waliowasili mkoani Iringa kwa ajili ya kushiriki kwenye michezo hiyo Afisa kutoka Takukuru Bw. Mweri Kilimali amesema endapo watabaini kuwepo kwa wachezaji hao watawachukulia sheria ikiwemo ya kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na kuingizia serikali hasara. Hawa wachezaji wanakuwa wakitumia rasilimali za serikali kwani wanakuwa wamelipiwa posho kutoka serikalini kutokana na taasisi au wizara iliyomsajili hivyo wote waliohusika akiwemo Afisa Utumishi watachukuliwa sheria kutokana na kuihujumu serikali na watafungwa kutokana na kosa hilo kwani wanakuwa wamekula njama ya kumsajili mtu ambaye sio mtumishi wa umma na kumlipa posho kutoka katika fungu la fedha za serikali amesema Bw. Kilimali. Bw. Kilimali amewataka viongozi wote wa michezo walioambana na timu zao kuhakikisha wanawasomea wachezaji kanuni hizo za mashindano na kuweka msisitizo kila wakati ili wasiende kinyume na kanukni hizo hivyo wasidhubutu kufanya kosa la kukiuka na kutumia madaraka yao vibaya na kusajili wachezaji wasiokuwa waajiriwa halali wa serikali kwa kuwa ni kosa lililopo chini ya kifungu namba 28 cha makosa ya ubadhirifu na watafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi kwa kuwa watakuwa wameiingizia serikali hasara. Naye Katibu Mkuu wa Kamati ya michezo ya Mei Mosi Bw. Award Safari amesema adhabu mbalimbali zitatolewa kwa watakaochezesha mamluki kwa mujibu wa kanuni za michezo hiyo namba 13.0 kipengele 13.1 ambapo kiongozi au viongozi watakaohusika kumsajili mamluki atafungiwa kwa kipindi cha miaka miwili huku mchezaji husika ataondolewa katika kituo cha mashindano na timu husika itapigwa faini ya sh. 500000. Bw. Award amesema adhabu nyingine ni timu husika iliyochezesha mamluki itanyanganywa ushindi endapo itakuwa imeshinda huku viongozi au kiongozi aliyehusika kusajili mamluki ataandikiwa barua na nakala yake itapelekwa kwa mwajiri wake ikionesha udanganyifu aliofanya na kuiingizia ofisi yake hasara. Ili kudhibiti mamluki lazima kila mwanamichezo atatakiwa kuwa na kitambulisho chake halisi cha kazi kadi ya bima ya afya kadi ya mfuko wa jamii na hati ya malipo ya mshahara yaani salary slips za miezi miwili ya Februari na Machi 2018 na vitatumika kama vielelezo endapo mchezaji yeyote atalalamikiwa kuwa ni mamluki amesema Award. Award amezitaja kanuni nyingine kuwa ni pamoja na usajili ni lazima wachezaji wote wajaze fomu maalumu zitakazotolewa na Kamati ya mashindano itakayokuwa na kmajina na picha yake halali; pia kanuni ya ushindi utatambulika kwa pointi magoli ya kufunga na kufungwa na tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa na endapo timu zitafungana kwa kila kitu basi utaratibu wa kurushwa shilingi utatumika.
1 note
·
View note
Link
This is a Prosthetic Nerf Gun Made with 3D PrintingParisian collective Hackerloop have made a custom non-lethal weapon with 3D printing; DIY prosthetic Nerf gun is triggered using electrodes that detect muscle activity. In the litany of crazy projects involving 3D printing this ranks somewhere. Make sure your Nerf war guns are 'easily identifiable' as toys .One of the guidelines asks participants not to carry a Nerf gun that is all black and "ensure your Nerf gun is easily identifiable as a toy gun and is primarily painted with fluorescent colors." "Remember the rules of Dart wars: if. This Custom-Made 1200-Round Triple Nerf Gun Is So Big It .There's no better example of bigger being better than this devastating 1200-round Nerf blaster made by combining three Rival Nemesis MXVII-10K blasters and a plastic storage container that serves as a massive ammo. Prior Lake-Savage school official calls for an end to Nerf WarsRampage a toy gun that shoots foam darts made by Nerf in an undated handout photo. In light of the shootings at Sandy Hook Elementary School foam-dart guns and their quasi-militaristic marketing have some parents. Toddlers can't be expected to grasp the complexity of war and Nerf Gun.I mean other than the legal guns owned by his father that he has very rarely ever laid eyes on he has a singular Nerf gun that can often be found on the top of our cupboards out of reach because his mean mummy hates. Stuff to do for Kids: April 10Nerf Wars: April 20 at JCCC. Children 5 to 9 meet from 5 to 7:15 p.m.; those 10 to 14 meet from 7:30 to 9:45 p.m. Cost is $10 per player. Archery: Offered to those 8 to 16. Class meets from 4:30 to 5:30 p.m. every TuesdayPN Studios. Henry Cavill posts moving tribute video to his shaved moustacheStudios: when the actor was required to return for Justice League reshoots Paramount insisted that the moustache that had been grown in the meantime for Cavill's role in Mission: Impossible Fallout could not be shaven. South Metro School Officials Warn Of Dangers Of 'Nerf Wars'(WCCO) School officials in Prior Lake are warning parents about the dangers associated with a game played with a Nerf gun. A Nerf War is when teams of students shoot foam darts to kill opponents on other teams in an. World's Largest Nerf Gun is So Dope!If you haven't seen the world's largest dart gun you're missing out! My son Evan and I frequently have Nerf gun battles around the house but if we had these things we'd have to play on a football field. The first video shows. Scientists have replaced a man's prosthetic arm with a Nerf gun Nerf War.Engaging in a Nerf war with others is a fun pastime in which I have myself indulged in the past. Granted I was a small child but it was fun nonetheless (much like everything was when we were children). However if you are. Viewpoint: It's about time DC's development wave hit Sursum .The Wharf was a dozen years from opening PN Hoffman wouldn't respond to the District's Southwest . It has left too many behind from west to east as affordable homes are replaced by $2500-a-month studios and rooftop. Nerf war at the YMCAThey brought their own Nerf guns from home but the YMCA supplied eye protection and foam bullets. Competitors came strapped with dart guns ranging in size from pistol to sniper rifle to a sort of chainsaw-gun hybrid. Savage Prior Lake police plead with students to end Nerf warPrior Lake High School students are in an ongoing Nerf war and the high school and police departments of Prior Lake and Savage are asking them . Nerf gun wars are becoming dangerous and student safety is top priority. 'Ready Aim and Shoot!' School Advertises Nerf Gun Fight .The startling and tone-deaf language appeared in a March 19 Facebook post with a link to tickets for a Nerf gun battle. The Parent Teacher Organization at Biltmore Preparatory Academy is hosting the "2nd Annual 'Snerf'. Kelsey Amy on her pivot from Penn State field hockey player to .We were assigned studio time and space within the college of fine arts and the rest of the students in the program pretty much lived in the studios. Those students were all close friends they all hung out with each other. Make sure your Nerf war guns are 'easily identifiable' as toys .One commenter said they saw 10 or 12 teens at a Redbank Road Walmart recently looking at Nerf guns. "Our officers are sometimes dispatched to potentially dangerous situations involving the dart wars / Nerf wars currently. Steven S. DeKnight interview: Pacific Rim Uprising sequels .She read it loved it and wanted to set it up with one of the studios to be my feature debut. My plan was always to do the small movie then a couple of medium movies then hopefully someone would be foolish enough to give.
1 note
·
View note
Photo
Third prize in the raffle I held on Instagram
6 notes
·
View notes
Photo
>press something to start
4 notes
·
View notes
Photo

Maaf langsung upload banyak, ada sedikit kurangnya di baju, ngeblur. Harus belajar lagi.
#pixel art#pixel_ig#pixel empire#web pixer#pixel dailies#pixel drawing#tales of vesperia#vespa#turgut uyar#uk
3 notes
·
View notes
Link
http://ift.tt/2t1i4fEBased in Luleå SwedenIce Musicis a frosty artistic project in which bundled up musicians celebrate the spirit of snowyLaplandwinters by playing on instruments handcrafted from blocks of ice FROM TUNESINDUSTRY BLOGSPOT
0 notes
Video
tumblr
Tunes Industry Blog Updates Web Pixer https://ift.tt/2GHdSOK
0 notes
Photo

Maaf lama ngepost, ada sedikit nih sekalian bikinin teman.
3 notes
·
View notes
Quote
Description: Description: Komodo Labuan Bajo Open Trip Badan otorita diminta percepat pengembangan pariwisata Labuan Bajo - ANTARA #Komodo #Labuan Bajo # Open Trip By Pinned to Komodo Labuan Bajo Open Trip on Pinterest Found on: https://ift.tt/2xwsQ5N By Pinned to Web Pixer on Pinterest Found on: https://ift.tt/2V86H6Q
http://indonesiakomodokita.blogspot.com/2020/04/tunes-industry-blog-updates-web-pixer_48.html
2 notes
·
View notes