Tumgik
#luke‬ ‭19‬:‭1‬-‭10
walkswithmyfather · 1 year
Text
Tumblr media
“Are we seeking for salvation?”
“Then Jesus entered and passed through Jericho. Now behold, there was a man named Zacchaeus who was a chief tax collector, and he was rich. And he sought to see who Jesus was, but could not because of the crowd, for he was of short stature. So he ran ahead and climbed up into a sycamore tree to see Him, for He was going to pass that way. And when Jesus came to the place, He looked up and saw him, and said to him, “Zacchaeus, make haste and come down, for today I must stay at your house.” So he made haste and came down, and received Him joyfully. But when they saw it, they all complained, saying, “He has gone to be a guest with a man who is a sinner.” Then Zacchaeus stood and said to the Lord, “Look, Lord, I give half of my goods to the poor; and if I have taken anything from anyone by false accusation, I restore fourfold.” And Jesus said to him, “Today salvation has come to this house, because he also is a son of Abraham; for the Son of Man has come to seek and to save that which was lost.” —Luke‬ ‭19‬:‭1‬-‭10‬ ‭NKJV‬‬.
“Brothers and sisters in Christ, like Zacchaeus it’s time for us to get away from the crowds and to start humbly seeking to be in the presence of Jesus. Parable after parable, story after story; the entire Bible is about Jesus and has been written for us to see that we need to repent, and then to follow Christ obediently. For us to faithfully follow Jesus, we have got to be willing to die of the desires of our flesh, to confess our sins and to become a humble servant. Now while folks are gossiping, judging and worried about worldly things like why Jesus is going into the house of a known sinner; Zacchaeus is only worried about repenting in the presence of the Lord and the witness of others. He isn’t worried about the fact that he is short because he’s got working hand and feet and trees are tall. So what’s our excuse for not seeking Christ?
While Jesus is just joyful to be able to minister, love and welcome home a lost soul/prodigal son; who finally returned home to the Father. Because God says that He will prepare a table for us in the presence of our enemies, in we are in the right position… even if that position is alone in a tree. Once we have looked in the mirror and recognized the error of our ways like Zacchaeus, we have to go back to make peace and to amends as much as possible with all those who we have wronged. And then we must forgive others, as well as ourselves. And by this all people will know that we are disciples of Christ; because we seek His presence, we humbly make from for Him in our hearts and space for Him to come into our homes, to serve Him and to allow Him to dwell with us. If Christ returned today, would He be welcomed to be able to say; “Today salvation has come to this house, because he/she also is a son/daughter of Abraham; for the Son of Man has come to seek and to save that which was lost.” Salvation will come for those who faithfully seek the Lord, in Spirit and in truth without ceasing. In Jesus name, amen.”
From: “Taras Treads” (FB)
25 notes · View notes
rwizakakiza · 2 months
Text
Somo: ACHA VISINGIZIO, SIMAMA UBADILISHE MAISHA YAKO.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza?si=DDoZgDdxlif_X-nD
Sehemu I. (Utangulizi).
Watu wengi amekuwa duni kwa sababu ya kutoa sababu za kutetea (visingizio) Udhaifu wao, kwamba hawawezi kufanya jambo fulani kwa sababu fulani.
MUNGU alipokuumba alikuumba katika ukamilifu wote na akaweka kila unachohitaji ndani yako. Pamoja na uasi wa mwanadamu, MUNGU alimrudishia hiyo mamlaka (uwezo) ndani yake ili aendeleze kazi mbalimbali za uumbaji.
......YESU akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kama mwanga wa radi kutoka mbinguni!, Yeye ndiye adui, LAKINI TAMBUENI kuwa NIMEWAPA MAMLAKA ZAIDI YAKE. Nimewapa mamlaka ya kuponda nyoka na ng'e zake kwa miguu yenu. Hakuna kitakachowadhuru.
....Luka‬ ‭10:18‭-‬19‬ ‭(TKU‬‬) ....
Tafsiri hii imeelezea vizuri, ukirejea (Mwanzo 1:26), tuliumbwa tutawale (MAMLAKA), lakini baada ya kosa tulikabidhi mamlaka hiyo kwa shetani ndio maana YESU alimwita shetani (Mkuu wa ulimwengu), LAKINI kwa ujio wa YESU na kifo chake tukarudishiwa MAMLAKA ya utawala juu ya kila kitu.
Kama wewe ni Mkristo unayemwamini YESU KRISTO kweli hupaswi kuishi chini ya kongwa la utumwa wa kitu chochote, bali kumtumikia YESU KRISTO aliyekuokoa kwa njia kifo cha msalaba wake.
.....Katika ungwana huo KRISTO alituandika HURU; kwa hiyo SIMAMENI, wala MSINASWE TENA chini ya kongwa la utumwa.
.......Galatia ‭5:1‬.....
Andiko hili linatuonya tusiishi tena chini ya Utumwa wa shetani, maana alituweka huru. Lakini uhuru aliotupa YESU KRISTO lazima ufanye maamuzi binafsi ya kumpatia nafasi YESU KRISTO atawale maisha yako kama BWANA pekee na Mwokozi wa maisha yako.
Na hapo uhuru wa kutumia mamlaka hiyo ya kumpinga shetani na kumtii MUNGU inakuwezesha kuunda unachokitaka na kustawi kiroho na kimaisha.
ZINGATIO.
(shetani ana UWEZO, lakini MUNGU ana UWEZA).
>Shetani ni roho, hivyo naye ana UWEZO wa kukupatia vitu (shetani alipoondolewa mbinguni akuondolewa uwezo wake), lakini akikupatia vitu vyake, utavilipa kwa gharama yoyote.
>MUNGU ni Roho na ana UWEZA yaani yupo juu ya vyote, mwenye huruma, hadai malipo maana anajitosheleza, akikupatia vitu hategemei kukudai ila ana Dai moja tu HATAKI UFE UNGALI MWENYE DHAMBI, anataka Utubu uwe huru.
Baadhi ya Visingizio vinavyozuia kufanikiwa kwako.
.......Tutaendelea.......
Rejea
“Listen carefully: I have given you authority [that you now possess] to tread on serpents and scorpions, and [the ability to exercise authority] over all the power of the enemy (Satan); and nothing will [in any way] harm you".
......Luke‬ ‭10:19‬......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note · View note