Tumgik
#maximumtvonline
azmamponda · 4 years
Video
#Reposted from @maximumtvonline #MaximumUpdates |msanii wa hip hop hapa bongo #Mrlovestory @azmamponda leo hii katika mahojiano tuliyofanya nae amefunguka kwa upande wake kuhusu hali ya kisanaa na wasanii inavoendelea kwa sasa Kwenye line zake amemzungumzia msanii mwenzake wa hip hop @chidbenzichuma1 kuhusu kushuka kimuziki Pia amewazungumzia akina @amber_rutty1 Kuhusu kutrend baada ya kuvujisha picha za uchi Nikuombe utembelee YouTube channel yetu muda huu interview nimekuwekea tayari #MaximumTvOnline #OnYoutube #Subscribe #VibeOnTop (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B-_oaKEgR7k/?igshid=cke0viabsgsb
0 notes