Tumgik
azmamponda · 4 years
Video
#fact @tonymkongo na @agent_bavo Kwa miaka mingi Watanzania tumekuwa Utamaduni wa kuto thamini Talent zetu, Watu wengi wana vipaji vikubwa sana, lakini Hawathaminiki, Na mara chache umuhimu wao huonekana wakisha kufa, Naamini tungekuwa na system bora Nchi yetu ingekuwa kiwanda cha uzalishaji wa Matajiri wakubwa sana, Mfano hii video kuna tofauti gani na mapigano ya kina @tonyjaaofficial au wakina @thescottadkins , ukitoa ubora wa production ya vifaa naamini tuna mastaa wengi sana.. Nafikiri mheshimiwa waziri mwenye dhamana @harrisonmwakyembe na naibu waziri @juliana_shonza wanafaa kuona namna ya kuboresha tasnia yetu ili wasanii wenye vipaji waanze kunufaika na vipaji vyao... #factsonly (at Kariakoo, Dar es Salaam) https://www.instagram.com/p/B_CjU6OgPVu/?igshid=1w471f48tkdzc
0 notes
azmamponda · 4 years
Photo
Tumblr media
NIAMBIE Ipi mistari yako pendwa kwenye wimbo wangu mpya wa #Fact ? Kutazama video you tube fuata Link kwenye bio yangu #factsonly Actor @dr.almasi_ Video by @director_didi and @director_florian Studio @aznas_studio @aznas_kariakoo @aznas_printing https://www.instagram.com/p/B-q4uuCgZP6/?igshid=1gxukj2tltawf
0 notes
azmamponda · 4 years
Video
Ofisini kwetu @aznas_studio or @aznas_kariakoo & @aznas_printing nikiwa na my brothers @belle9tz & @tonymkongo Video by @director_florian https://www.instagram.com/p/B-zcM2cAPi-/?igshid=13uunhx9yxjgw
0 notes
azmamponda · 4 years
Video
Nashukuru sana #fact iko namba 8 kwenye top ten ya star tv, tanx sana star wangu @dr.almasi_ kwa kazi nzuri Cc @bplus_benayzo @emmanuelsweta26 @habaristartv https://www.instagram.com/p/B-1C52ng8Gk/?igshid=kjst2suhw6vy
0 notes
azmamponda · 4 years
Video
#Reposted from @konki3master #KICHAAMSEMAKWELI .....@azmamponda HUYU NAE NI MSEMA UKWELI...#MAMBAZ4LIFE🐊🐊🐊🐊🐊 #WELIVINGOURLIFEMEN💯💥🎤🎶..HIKI NI BONGE YA NGOMA...KUIONA YOTE GUSA LINK KWENYE BIO YAKE🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊@basata.tanzania https://www.instagram.com/p/B-4CDn2ANgd/?igshid=puaweusaxsgn
0 notes
azmamponda · 4 years
Video
#Reposted from @konki3master #KICHAAMSEMAKWELI ...@azmamponda MLICHEKA NA KIMA....LEO WASANII MMEBAKI MAKAPI😁😁😁🐊🐊🐊🐊🐊....LEO MNACHUKIA....JE WAKATI HAWA MA CORONA WALITAKA KUMUMALIZA KISANII MLIJITOKEZA??? @diamondplatnumz ??????...MWAKA 2005 MLIAMBIWA NA HAWA #CORONA MSIKAE NA MIMI #MAMBA ....SOON NAONGEA🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊🐊 https://www.instagram.com/p/B-41iY4gnpF/?igshid=1sovohz070skn
1 note · View note
azmamponda · 4 years
Photo
Tumblr media
#Reposted from @haroun_tambwe Ulikuwa wakati mzuri Sana tulipopata wasaa wa kutembelewa pamoja na kufanya exclusive interview na moja Kati ya wasanii Bora wa Muziki wa Hip Hop wa muda wote @azmamponda na tulifanya #SongReview ya wimbo wake mpya unaoitwa #Fact ambao humo ndani amewachana mbali mbali full interview link kwenye bio ........cc my Family @mandy.nemes @amani_andrew_dawai @dar24news . https://www.instagram.com/p/B--HqQbAANI/?igshid=eveelz2d3g2d
0 notes
azmamponda · 4 years
Video
#Reposted from @maximumtvonline #MaximumUpdates |msanii wa hip hop hapa bongo #Mrlovestory @azmamponda leo hii katika mahojiano tuliyofanya nae amefunguka kwa upande wake kuhusu hali ya kisanaa na wasanii inavoendelea kwa sasa Kwenye line zake amemzungumzia msanii mwenzake wa hip hop @chidbenzichuma1 kuhusu kushuka kimuziki Pia amewazungumzia akina @amber_rutty1 Kuhusu kutrend baada ya kuvujisha picha za uchi Nikuombe utembelee YouTube channel yetu muda huu interview nimekuwekea tayari #MaximumTvOnline #OnYoutube #Subscribe #VibeOnTop (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/B-_oaKEgR7k/?igshid=cke0viabsgsb
0 notes
azmamponda · 4 years
Photo
Tumblr media
Niandikie mstari wako Konki, ambao unaupenda toka kwenye wimbo wangu wa #Fact Link iko kwenye bio yangu.... https://www.instagram.com/p/B_AmqDZg_wP/?igshid=1ef9zpv5ku8bc
0 notes
azmamponda · 6 years
Video
AFRICAN VIEW @azmamponda (at Africa/Nairobi)
0 notes
azmamponda · 6 years
Photo
Tumblr media
KISUMU SAVE THE DATE @fenal_ menal @thenaiboi @kush_tracey & @azmamponda (Tanzania) #SHUBILIGA feat @giladmillo Link at my bio... (at Nairobi, Kenya)
0 notes
azmamponda · 6 years
Photo
Tumblr media
Credit to from @megamixyaabood - @megamixyaabood hadi kikumi jioni ... leo tupo live na @azmamponda #twenzetuuuuuuu .......... ......... #2018aboodfmtzfimboooochapaaaaa - #regrann
0 notes
azmamponda · 6 years
Video
#Garagasha @azmamponda feat @izzo_biznesss @abelamusic and @jongwe___ follow link at my bio to watch #SHUBILIGA feat @giladmillo insta : @azmamponda twitter : @azmamponda fb page: Azma Mponda You tube : Azma Mponda #dance #dancer #dancing @top.tags #dancerecital #music #song #songs #toptags #talented #dancers #dancefloor #danceshoes #welovedancing #dancerlife #dancerslife #instadance #instamusic #livetodance #musicmakesmehappy #choreography #ilove #flexible #flexibility #lovetodance #dancelife #practice
0 notes
azmamponda · 6 years
Video
#Garagasha @azmamponda feat @izzo_biznesss @abelamusic and @jongwe___ follow link at my bio to watch #SHUBILIGA feat @giladmillo God nyt
0 notes
azmamponda · 6 years
Photo
Tumblr media
A lot of people dream about being successful but very few have the guts to sacrifice everything else to reach where they want to be and get what they really want. #Astaravaste feat @belle9tz #Garagasha feat @izzo_biznesss @abelamusic & @@jongwe__ #Shubiliga feat @giladmillo Follow Link at my bio, make surw u subscribe on you tube. #NewYearNewAzma
0 notes
azmamponda · 6 years
Video
Credit to from @mr.kesho - Official ntakupalOVE video.. hii apaa dondoka nayo!! Thanks for support...💝 Link kwa Bio @mr.kesho @director_eddy - #regrann My comment: Nimekuelewa sana kaka, endelea kufanya kazi poa tuu..
0 notes
azmamponda · 6 years
Photo
Tumblr media
Work hard for what you want because it won't come to you without a fight. You have to be strong and courageous and know that you can do anything you put your mind to. If somebody puts you down or criticizes you, just keep on believing in yourself and turn it into something positive.
0 notes