Tumgik
#outtacuriocity
novicbcvm-blog 7 years
Video
TUMIA BAHASHA! Ushawahi kabidhiwa pesa ndani ya bahasha? Vipi ulijisikiaje? Na uliyaonaje mazingira ya makabidhiano hayo? Au ushawahi mkabidhi mtu fedha kwa kutumia bahasha? Makabidhiano yaliendaje? Na alijisikiaje? Ukilinganisha na kukabidhiwa noti zikiwa zimekunjwa kunjwa? Vipi njia hii inafaa? Nahitaji jua maoni yako..... Karibu #Ustaarabu #Fedha #Pesa #OuttaCurioCity #Maarifa #WaNURU馃悵 #Inanihusu (at Korogwe)
0 notes
novicbcvm-blog 7 years
Video
#3 NAMNA SAHIHI YA KU-TAG. Tumia zaidi hashtags zinahusiana na Mada/post Husika badala ya ku-tag Acc za watu ambao hawata-respond. Natamani sikia toka kwako Je, clip hii ina msaada wowote kwako ama Kuna jambo ungependa changia Mada au maoni... Karibu #OuttaCurioCity #WaNURU馃悵 #Darasa #SocialNetworking #Instagram (at Usa, Arusha, Tanzania)
0 notes
novicbcvm-blog 7 years
Video
#2 MADHARA YA KU-TAG MA-STAR! Sio lazima mtu Maarufu, Bali yeyote ambaye hata-react(like ama comment) anaathiri visibility ya post Husika na Zijazo hivyo inaipunguza Hata ile 10% ya followers wako kufikiwa na posts zako mbeleni. Natamani sikia toka kwako Je, clip hii ina msaada wowote kwako ama Kuna jambo ungependa changia Mada au maoni... Karibu #OuttaCurioCity #WaNURU馃悵 #Darasa #SocialNetworking #Instagram (at Usa, Arusha, Tanzania)
0 notes
novicbcvm-blog 7 years
Video
FOLLOWERS WENGI ILA LIKES & COMMENTS CHACHE? Hii ni moja ya sababu kubwa, kwamba ni 10% pekee ya followers wako ndio huweza fikiwa na posts zako katika timelines zao. Swali ni Je unawaridhisha 10% hao? Natamani sikia toka kwako Je, clip hii ina msaada wowote kwako ama Kuna jambo ungependa changia Mada au maoni... Karibu #OuttaCurioCity #WaNURU馃悵 (at Usa, Arusha, Tanzania)
0 notes
novicbcvm-blog 7 years
Photo
Tumblr media
#OuttaCurioCity J4 ijayo hapa hapa #WaNURU馃悵 (at Usa, Arusha, Tanzania)
0 notes