a Business, IT and Community Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.
Don't wanna be here? Send us removal request.
Text
25 Critical Steps to Start a New Business
25 Critical Steps to Start a New Business
Lemburis Kivuyo is a Business, IT and Community Related Project Consultant Do you want to start a new business? Consider these hints 25 critical steps to consider before starting a new venture Deciding to do business Analyzing your strengths and weaknesses Correcting your weaknesses by getting appropriates formal or informal training Analyzing business constraints Choosing the type of business…
View On WordPress
0 notes
Text
Small and Medium Enterprise (SME) in Tanzania
Small and Medium Enterprise (SME) in Tanzania
Small and Medium Enterprises or SME is a term usually used to stands for all business with the following attributes (ref. Tanzania SME Policy) Staff size of less than 100 or Turnover of less than TZS. 800m The policy further describe SME in a more detailed form Micro enterprise is businesses with less than 5 employees and operates with a turnover of less than TZS. 5M. The Small Enterprises are…

View On WordPress
0 notes
Text
Important Parts of the Business Plan
Important Parts of the Business Plan
This page will explain the important parts of the business plan for small and medium businesses. A business plan is detailed information that shows your business where it came from, where it will go, market conditions, industry, financial and business leadership. It is important to attract information providers such as bank loans and other financial institutions, investors and leaders of the…

View On WordPress
0 notes
Text
Jinsi ya Kuandika na Kutengeneza CV/Wasifu
Jinsi ya Kuandika na Kutengeneza CV/Wasifu
Uandishi wa CV unategemea sana secta husika, CV za wahandisi ni tofauti na za wanasheria au waalimu nk. Lakini CV zote zinafuata mlolongo huu hapa chini Kichwa cha habari -mfano CV au Resume Taarifa za mawasiliano -mfano simu ya kiganjani na barua pepe yaani email Taarifa binafsi – mfano jina, jinsia, umri, unakoishi, nk. Usiweke taarifa binafsi zitakazochochea ubaguzi kama dini yako, picha yako…

View On WordPress
0 notes
Text
How to Write a Company Profile
How to Write a Company Profile
Contacts: Name: Goodlove Herman Position: Director Email: [email protected] Website: Yourwebsite.com Phone: +255712356455 Postal Address: PO Box 10000, Arusha, Tanzania Location: Arusha Country: Tanzania Region: East Africa Legal Form and Owners put here the form of the company here; is it a private limited by share, guarantee, unlimited company or else (for privacy reasons get the written…
View On WordPress
0 notes
Text
Habari Njema Kwa Watanzania
Habari Njema Kwa Watanzania
Unaweza kutengenezewa website, nembo, mchanganuo wa biashara, (Business Plan), mpango mkakati (Strategic Plan), na kufundishiwa kamati, wafanyakazi nk juu ya uongozi na uendeshaji wa biashara na miradi simu 0774650100 au 0654650100

View On WordPress
0 notes
Text
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania iliyoratibiwa na Chama cha Watoa Huduma ya Utalii Tanzania TATO (Tanzania Association of Tour Operator) na kufaziliwa na benki ya CRDB yafanyika kwa mafanikio makubwa Arusha. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika hoteli ya SnowCrest inayotoa huduma yake pembeni kidogo mwa mji wa Arusha imejumuisha wadau zaidi ya 300 kutoka katika secta ya…

View On WordPress
0 notes
Text
Remote Sensing and GIS Expert in Tanzania
Remote Sensing and GIS Expert in Tanzania
Remote Sensing and GIS With background field of study in BSc. Geology, I can facilitate Remote Sensing and GIS for technical cadres and special need individuals or institution on crash or short term basis. Areas of expertise in RS Remote Sensing Concept Elements of Remote Sensing Electromagnetic Radiation Atmosphere and Earth Interactions Remote Sensing Sensors Microwave Radiation (A special…

View On WordPress
0 notes
Text
Mfano wa Dondoo Muhtasari wa Kikao au Mkutano
Mfano wa Dondoo Muhtasari wa Kikao au Mkutano
Ifuatayo hapa chini ni mfano wa uandishi wa dondoo za mkutano au kikao chochote. Maoni ya namna ya kuboresha yanakaribishwa Maelezo ya ziada TDG = Kifupi cha Tumaini Development Group 5 = mkutano wa 5 namba ya mwisho ya 1-10 ni namba ya agenda Ajenda namba 1, 2, 8, 9, 10 ni agenda za lazima kwenye kikao chochote Namba 8, 9 na 10 zinaweza kutofautiana lakina kichwa cha ajenda itakuwa ni ile…

View On WordPress
0 notes
Text
Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo
Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo
Elimu au mafunzo ya masoko kwa wafanya biashara wadogo ni muhimu sana kwani hiki kipengele wengi huwa hawaifuati na matokeo yake biashara nyingi zinakufa au kudumaa. Fuatilia makala hii na kama unaswali unaweza kutuandikia au kutoa maoni yako ili watembeleaji wengine wa haya makala wakushauri na kukupatia majibu Majadiliano: Mwezeshaji na wawezeshwaji Baadhi ya maswali muhimu kwenye mjadala…

View On WordPress
0 notes
Text
Jinsi ya Kuandika Minutes/Dondoo za Mkutano
Jinsi ya Kuandika Minutes/Dondoo za Mkutano
Kuandika dondoo za mkutano ni kazi rahisi kama kuna maandalizi ya kutosha lakini pia ni kazi ngumu kama hakuna maandalizi bayana kabla ya mkutano. Maandalizi kabla ya mkutano Hakikisha sehemu ya ukumbi wa mkutano una nyenzo zote wezeshi kwa ajili ya kuchukua dondoo Vifaa vyote vya kuchukulia dondoo zimewekwa tayari na zinafanya kazi kama vile kalamu, karatasi, computer/laptop, jenerata kama…

View On WordPress
0 notes
Text
Employee Income Contents to Determine PAYE Deduction
Employee Income Contents to Determine PAYE Deduction
What should be included in determining the employee income for P.A.Y.E deduction according to Tanzania taxation Law? The employment income includes; Payments of wages, salary, payment in lieu of leave, fees, commissions, bonuses, gratuity or any subsistence traveling entertainment or other allowance received in respect of employment or service rendered Payments providing any discharge or…

View On WordPress
0 notes
Text
Tanzania Employment and Labor Relations Act 2004
Tanzania Employment and Labor Relations Act 2004
It is true that the new Tanzania Employment and Labor Relations Act 2004 introduced a totally different system. Compared to the abolished legal framework the new law is less prescriptive and provides minimum requirements. This means that there is a much wider spectrum for employers and employees for negotiating the terms and conditions of employment and agreeing on standards. Likewise, the…

View On WordPress
0 notes
Text
Jinsi ya Kuandika Mtaala au Mitaala ya Vyuo vya Ufundi
Jinsi ya Kuandika Mtaala au Mitaala ya Vyuo vya Ufundi
Yafuatayo ahpa chini ni hatua muhimu 7 ambazo mtaalamu au mmiliki wa chuo cha ufundi nchini Tanzania atafuata ili kutengeneza mtaala wa kufundishia elimu ya ufundi kwa ngazi kuanzia cheti, diploma na kuendelea. Hatua na 1 Tayarisha vitu na watu watakaohusika katika mchakato mzima wa kutengeneza mtaala/mitaala husika. Mfano ungehitaji kutumia madodoso, basi andaa hayo madodoso na watu wa…

View On WordPress
0 notes
Text
Namna Bora ya Kuandika Katiba ya NGO, CBO au Kikundi Chochote
Namna Bora ya Kuandika Katiba ya NGO, CBO au Kikundi Chochote
Utangulizi Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini. Uandishi wa katiba halisi unaweza kubadilika kidogo kulingana na Aina ya Taasisi Malengo ya waanzilishi Aina ya Wanachama nk Sehemu muhimu za katiba Mwongozo huu ni kwa ajili ya kuunda katiba za NGO, CBO, Jumuiya…

View On WordPress
0 notes
Text
Kuandika Andiko la Mradi
Kuandika Andiko la Mradi
Utangulizi Uandishi wa andiko la mradi ni sanaa na ni utaalamu. Mwandishi wa andiko la mradi ni lazima awe na sanaa ya uandishi wa maandiko yenye kusomwa na watu na pia awe na elimu na uzoefu wa namna gani miradi ya kijamii inavyobuniwa, inavyopangiliwa, inavyotekelezwa, inavyosimamiwa, inavyotathminiwa na inavyohitimishwa. Maelezo haya ni muundo tu wa sehemu kuu za Andiko la Mradi Kasha la…

View On WordPress
0 notes