Tumgik
#Kuaga
dakotayounger · 2 years
Audio
0 notes
chaotickingdomtree · 8 days
Text
0 notes
rwizakakiza · 22 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 16: MWAMUZI WA MWIS...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 16:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
6. AINA 2 ZA MAJIRA NA NYAKATI KATIKA MAISHA YAKO.
6. 2. MAJIRA NA NYAKATI ZA MUNGU
Haya ni majira na nyakati ambazo mwamuzi wa mwisho ni MUNGU ingawa hata kama mwanadamu atashirikishwa na MUNGU bado maamuzi ya mwisho ni ya MUNGU mwenyewe.
Mwamuzi wa mwisho kwenye majira na nyakati ni MUNGU pekee. Hata kama giza au watu au mamlaka au adui amekuamria Mabaya yaje juu yako, LAKINI YUPO MUNGU MWAMUZI WA MWISHO ANASEMA....
(i). HAUTAKUFA BALI UTAISHI.
MUNGU hataki mtu yeyote afe kabla ya majira na nyakati zake, maana akifa kabla ya wakati wake, kuna makusudi ya MUNGU hayatimiza, hutakuwa na kusimulia, Tambua majira na nyakati za MUNGU kwenye maisha yako. Yupo Roho Mtakatifu afunuaye mambo yajayo, ana uwezo wa kukwambia lini utaondoka, ukiwa na uhakika huo hata kama Ikitokea leo mtu anakwambia utakufa, Wewe kwa uhakika utamwambia.....
......Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
.....Zaburi 118:17.....
(ii). HAUTAKUWA TASA BALI UTAZAA WATOTO.
Ni kweli wewe ni tasa kwa kila kitu hakuna unachozalisha iwe ni mali au vitu au watoto hata ukizalisha vinakufa. Lakini yapo majira na nyakati za MUNGU ambazo ndio leo, MUNGU anasema hivi...
.....Hapatakuwa na mwenye KUHARIBU MIMBA , wala ALIYE TASA, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako NITAITIMIZA.
.......Kutoka 23:26......
Ni Ahadi ya MUNGU ujenge nyumba Ukae ndani yake, Na ndani ya nyumba uwe na Uzalishaji na kula matunda ya uzalishaji wako, ambaye hujaoa au kuolewa chukua hatua ya imani. Leo ni wakati wako wa kudai haki yako majira na nyakati za MUNGU kwako zimefika, MUNGU anasema......
......JENGENI nyumba, MKAKAE ndani yake, KAPANDENI bustani, MKALE MATUNDA yake; OENI wake, MKAZAE wana na binti; KAWAOZENI wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, WAZAE wana na binti; MKAONGEZEKE huko wala MSIPUNGUE.
......Yeremia 29:5-6.....
(iii). HAUTAKUWA MASKINI, BALI TAJIRI.
Ni kweli ulizaliwa kwenye umaskini mpaka sasa wewe ni maskini lakini haimaanishi utaendelea kuwa maskini. Ongeza bidii katika kutenda kazi iliyo halali na huku ukikumbuka Neno hili kwamba....
.......Umejua neema ya BWANA wetu YESU KRISTO, jinsi alivyokuwa MASKINI kwa ajili yako, ingawa alikuwa TAJIRI, ili kwamba WEWE UPATE kuwa TAJIRI kwa umaskini wake.
.......2 Korintho 8:9.......
Unavyoendelea kujibidiisha katika utendaji MUNGU anaachilia NGUVU YA UTAJIRI ndani yako, Sasa ni nyakati na Majira ya kuaga umaskini umefika Ongeza bidii, ila usimsahau BWANA YESU.
.......Hapo usiseme moyoni mwako, NGUVU ZANGU na UWEZO wa MKONO wangu ndio ULIONIPATIA UTAJIRI huo. Bali utamkumbuka BWANA, MUNGU wako, maana NDIYE akupaye NGUVU za KUPATA UTAJIRI; ili alifanye imara AGANO lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
......Kum 8:17-18.....
(iv). SITAKUACHA KAMWE.
Ni kweli umeachwa, unateseka, unanyanyaswa na umetengwa mpaka unaona dunia imekuacha na MUNGU hakukumbuki, Yote hayo yalikuwa ni majira na nyakati tu, kuanzia leo ni wakati wako wa kukumbuka hata na wale waliokusahau na MUNGU Hawezi kukuacha na hatakuacha kamwe nawe usimwache upo kiganjani mwake.
.....Wewe umesema, "YEHOVA AMENIACHA, BWANA AMENISAHAU. Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, HAWA WAWEZA KUSAHAU, lakini MIMI SITAKUSAHAU WEWE. Tazama, NIMEKUCHORA katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima.
......Isaya 49:14-16......
(v). NJOO ULIVYO NA DHAMBI ZAKO.
Ni ukweli usiopingika kwamba wewe ni mdhambi na watu wote tunajua wewe ni mdhambi na MUNGU anajua wewe ni mdhambi, Lakini leo majira na wakati wa MUNGU umefika, MUNGU anakuita njoo....
.....Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zako zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Kama UKIKUBALI na KUTII leo utakula mema ya nchi".
......Isaya 1:18-19.....
Sisi tumekuona huwezi kusamehewa lakini kumbuka mwamuzi wa mwisho ni MUNGU, leo ni majira na wakati wa MUNGU kwa ajili yako kubadilika ili kuishi na MUNGU upya.
(vi). WEWE NI WATHAMANI, NA MWENYE HESHIMA.
Ni kweli umekosa heshima, huthaminiwi, hupendwi na hukumbukwi tena. Lakini haimaanishi MUNGU hakuoendi. MUNGU anakupenda sana sana kwa sababu wewe ni wa THAMANI kubwa kwake na mwenye heshima kubwa kwa MUNGU. Ni majira na nyakati za MUNGU kutambulisha heshima na thamani yako kwa ulimwengu maana anakupenda, nawe jipende na ujithamini na kujiheshimu.
......Kwa kuwa wewe ni wa THAMANI machoni pangu, na mwenye KUHESHIMIWA , nami NIMEKUPENDA; kwa sababu hiyo NITATOA watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
......Isaya 43:4....
(vii). ULIYECHOKA NA KUKATA TAMAA NJOO.
Maisha yamekuchosha, watu wamekuchosha, kazi imekuchosha, Huduma imekuchosha, familia imekuchosha, maneno yamekuchosha, Magonjwa, taabu na mateso vimekuchosha na kadhalika, Ni kweli umechoka na umekata tamaa. Leo Neno moja tu la YESU mtwike hayo yote yalikuchosha na YESU atakupumzisha ili upate raha nafsini mwako. BWANA YESU anasema hivi....
.......Njoni kwangu, ninyi nyote MSUMBUKAO na wenye KULEMEWA na MIZIGO, nami NITAWAPUMZISHA. Jitieni NIRA yangu, MJIFUNZE kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi MTAPATA RAHA NAFSINI mwenu".
...... Mathayo 11:28-29.....
(viii). MWENYE AIBU, WEWE NI JASIRI NA HODARI.
Kuna mambo ukiyatazama unaona aibu inakujia, Mengine ukiyasema ni aibu, imekuwa ni siri yako mwenyewe lakini yamegeuka kuwa mateso kwa sasa. Mwingine hadhi yako uliyonayo na kufanya kitu cha kawaida unaona ni aibu, Umefirisika unawaza watu watanionaje watanicheka. Wengine ni aibu ya kuachwa, kusimama mbele za watu, nk. Umekuwa mtumwa wa aibu kumbuka YESU aliidharau aibu, akajivika ujasiri na Uhodari akashinda. Ni majira na nyakati za MUNGU kuondolewa aibu yako, kubali na chukua hatua uwe shujaa, aibu itakufedhehesha kwa muda lakini utapata heshima ya kudumu.
.......Tukimtazama YESU, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya FURAHA iliyowekwa mbele yake ALIUSTAHIMILI MSALABA na KUIDHARAHU AIBU, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha MUNGU.
.....Ebrania 12:2....
(ix). ULIYESHINDWA, INUKA ANZA UPYA.
Naongea na wewe uliyekata tamaa kwa sababu UMESHINDWA kufikia malengo yako. Kila ukipanga unashinwa, kila mipango haikamiliki, masomo umeishia katikati, Biashara ni hasara unatamani uachane nayo, Mahusiano unaona hayana mwelekeo, mwenzi wako humwelewi unatamani mwachane. Majira na wakati wa MUNGU umefika inuka tena upya mara pili ule (Neno la MUNGU la leo hii) songa mbele mpaka ufike kwenye mafanikio yako (mlima Horebu) yapo mema mbele usikate tamaa.
......Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, INUKA, ULE; maana SAFARI hii ni KUBWA MNO kwako. Akainuka, akala, akanywa, AKAENDA katika NGUVU za CHAKULA hicho siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa MUNGU.
.....1Falme 19:7-8.....
(x). USIOGOPE.
Kuweza kutimiza vyema majira na nyakati za MUNGU ONDOA HOFU ya kesho yako. (iwe ni kifo, Magonjwa, madeni, vitisho, mateso, aibu, kufeli, kuzomewa, kuachwa, nk), usiogope shikamana na MUNGU mwenye hatima na maamuzi ya mwisho kwenye maisha yako yote.
.....USIOGOPE, kwa maana Mimi MUNGU ni pamoja nawe; USIFADHAIKE, kwa maana mimi ni MUNGU wako; NITAKUTIA NGUVU, naam, NITAKUSAIDIA, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu".
.....Isaya 41:10.....
Ni swala la majira na wakati wa MUNGU tu, Wewe sio wa kawaida, Yupo mwaamuzi wa mwisho, MUNGU ambaye hashindwi na chochote, ndiye mwenye hatima yako, mwamini YESU ili kitu au mwanadamu yeyote asikupangie hatima yako, usipomwamini YESU KRISTO mwenye hatima ya maisha yako, utapangiwa majira na nyakati za kuishi.
Hitimisho.
....Tutaendelea....
Rejea
“Indeed, I have inscribed [a picture of] you on the palms of My hands; Your city walls [Zion] are continually before Me".
.......Isaiah 49:16.......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
the-goth-catte · 1 year
Text
[ BLACK MASS @ PANDEMONIO || 0 1 . 0 8 . 2 3 ]
Siouxsie and the Banshees - The Passenger VNV Nation vs Daft Punk - When Will We Get Lucky in the Future Dead When I Found Her - Magic Dance Blutengel - Save Our Souls L’ame Immortelle - Tiefster Winter ES23 - Erase My Heart Grendel - Deep Waters Faderhead - Noise Voices Noise Silence NamNamBulu - Forgiving (ft SITD) Front 242 - Masterhit (Dominatrix Remix) Siouxsie and the Banshees - Cities in Dust (Dusted off Recreation) Tiesto - 10:35 (ft Tate McRae) Pierce Fulton - Kuaga (Yotto Remix) Charming Horses - Don’t Want No Scrubs Joel Corry & Becky Hill - History 3LAU ft Xira - Tokyo (Le Youth Remix) Tiesto & Charli XCX - Hot In It James Hype, Miggy Dela Rosa - Ferrari (Brendel Mix) David Guerra - I’m Good New Order x Depeche Mode x Daft Punk - Better Blue Master People Joy Division - Love Will Tear Us Apart (vs TEE) Apoptyma Berzerk - Unicorn (Fairlight Children mix) And One - Get You Closer (Extended Club Mix) Massive Ego - My Religion is Dark Necessary Response - Forever KMFDM - Megalomaniac Rankka - Satisfaction 3TEETH - You Spin Me Round Ashbury Heights - Science Pretentious, Moi? - Witchouse 69 Eyes - Gothic Girl HIM - Wings of a Butterfly Pixel Grip - ALPHAPUSSY Aesthetic Perfection - Rhythm + Control SITD - God’s Blessing Combichrist - This Shit Will Fuck You Up (Metalmorphosis Mix) Project Pitchfork - Timekiller (DJ Engel Industrial Mix) Siouxsie and the Banshees vs The Revolting Cocks - Happy House of the Horny Soft Cell - Tainted Love (DJ Hell Remix) Depeche Mode - Behind the Wheel KMFDM - Juke Joint Jezebel HEALTH - Blue Monday Suicide Commando - Hellraiser (Agonoize Remix) William Control - The Monster Celldweller - Heart On (Aesthetic Perfection mix) Faderhead - From His Broken Bones Covenant - Dead Stars (Club Mix) VNV Nation - Genesis Icon of Coil - Android Accessory - Ruff Fuxxx
0 notes
rusocialpod · 1 year
Photo
Tumblr media
How Did YouTube Start? YouTube is a vibrant, thriving community that has taken over a lot of the internet's video sector. In this video we'll take a look at how large the website really is and how it started. Soundtrack: TAPES - Tried To Indian Wells - After the Match (Kyson Remix) Pierce Fulton – Kuaga Dinka - Faces Of Bengalia (Original Mix) [Unreleased Digital] D' SOUND - Talkin' Talk S A L O N & C O U G H - p a r a g o n b o y Owen - Too Many Moons Joe Hertz - Tears » Google + | http://www.google.com/+coldfustion » Facebook | https://www.facebook.com/ColdFusionTV » Patreon | https://www.patreon.com/ColdFusion_TV » My music | http://burnwater.bandcamp.com or » http://www.soundcloud.com/burnwater » Collection of music used in videos: https://www.youtube.com/watch?v=YOrJJKW31OA Editing website: www.cfnstudios.com ColdfusTion Android Launcher: https://play.google.com/store/apps/details?id=nqr.coldfustion.com&hl=en » Twitter | @Coldfustion
0 notes
beautifult999 · 2 years
Text
0 notes
zephilinecom · 2 years
Text
MUUZA CHIPS (11)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Sarah aliendelea kuaga kila mara kana kwamba chidi alitakiwa kufanya kitu kama mwanaume lakini chidi hakuwa akilifahamu hilo, hivyo alibaki kuwa kimya muda wote, "chidi jamani, m
Jina: MUUZA CHIPSMwandishi: MoonBoy SEHEMU YA KUMI NA MOJAILIPOISHIA… Sarah aliendelea kuaga kila mara kana kwamba chidi alitakiwa kufanya kitu kama mwanaume lakini chidi hakuwa akilifahamu hilo, hivyo alibaki kuwa kimya muda wote, “chidi jamani, mi naondoka eti huna la kuniambia” Chidi bado alikuwa mzito kujua ishu inayomfanya sarah aage age kila mara, “sarah, we nenda tu, kama ni pesa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
speedkiran · 3 years
Link
Pierce Fulton - Pierce Fulton - Kuaga (Lost Time)
1 note · View note
Text
When your friend is in a fandom you don't know about and you see a post from them like:
Xedrucki is the gurguradful of Helopquerfu and Flarhedfu can't hujiklomp no matter how metrigobolope. Is fequembuary garf nooble? Lorp de necross lur te fehbedren agahabada qued de munu. Lepugx xe cuerdqu xezmu kedxu lei argu!!!! Perdixu pomaray quaz kuaga fu nala?! Hugu bejeurx qeugh blurph!! I mean, that's just my hot take 😳
3 notes · View notes
outroshooky · 5 years
Text
⤷ list ten songs you’ve been listening to and tag ten people / indirectly tagged by the love of my life @texnesmith, so here goes!
bye bye my blue (cover) / woozi (svt)
everything i wanted / billie eilish
firestone / kygo, conrad sewell
gotta be a reason / alec benjamin
half the man (remake) / avicii
kuaga (lost time) / pierce fulton
lean on me / seventeen
stargazing / kygo
suga’s interlude / halsey, bts
00:00 / bts
⤷ i’m gonna tag @ayixha, @softguks, @guksheart, @yoonsgiggle, @gukgalore, @berrieseok, @hereisleo, @introshadows, @candiedmingyu, and whoever else wants to do this!
6 notes · View notes
grumblesandmumbles · 5 years
Text
Playlist Ask Meme
The rules of the game: you can usually tell a lot about a person by the type of music they listen to! Put your favorite playlist on shuffle and list the first 10 songs, then tag 10 people. No skipping! 
I used the dance playlist I have that I listen to when I work on How Deep Is Your Love aka my DJ MIckey/Dancer Ian AU.
Pierce Fulton - Kuaga
Above & Beyond - Making Plans
Armin van Buuren - Another You
JYYE - Stop and Listen (ft. Jex)
Markus Schulz - Destiny
ARTY - Daydreams (ft. Cimo Frankel)
Modjo - Lady (Hear Me Tonight)
Lewis Capaldi - Hold Me While You Wait (Steve Void Remix)
Above & Beyond - Cold Feet
Sonny Fodera - Into You
Thanks for the tag @thevioletjones
I’ll tag @technotrousers @jellovich @damnnmilkovich @beckyharvey29 @wehangout @southernfriedblondebitch @fiona-fififi @biblionerd07 @the-rat-wins and @bisexualcaravaggio
8 notes · View notes
sinmusica · 7 years
Audio
"Kuaga (Lost Time) - Leon Lour Remix" por Pierce Fulton
1 note · View note
chaotickingdomtree · 1 month
Text
0 notes
tabibutvonline-blog · 6 years
Video
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Magufuli Akiwa Na Rais mstaafu Mh Jakaya Kikwete wakitoka kuaga mwili wa marehemu Ruge Mutahaba viwanja vya Karimjee #riprugemutahaba #tabibutvupdate https://www.instagram.com/p/BugFJ11Djlx/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1omjujxi7r19y
1 note · View note
babadupdates · 2 years
Video
#HOTUBA YA WAZIRI AWESO KENYE GHAFLA YA KUAGA BIDI YA WAKURUGENZI YA 8 N...
0 notes
rusocialpod · 1 year
Photo
Tumblr media
How Did YouTube Start? YouTube is a vibrant, thriving community that has taken over a lot of the internet's video sector. In this video we'll take a look at how large the website really is and how it started. Soundtrack: TAPES - Tried To Indian Wells - After the Match (Kyson Remix) Pierce Fulton – Kuaga Dinka - Faces Of Bengalia (Original Mix) [Unreleased Digital] D' SOUND - Talkin' Talk S A L O N & C O U G H - p a r a g o n b o y Owen - Too Many Moons Joe Hertz - Tears » Google + | http://www.google.com/+coldfustion » Facebook | https://www.facebook.com/ColdFusionTV » Patreon | https://www.patreon.com/ColdFusion_TV » My music | http://burnwater.bandcamp.com or » http://www.soundcloud.com/burnwater » Collection of music used in videos: https://www.youtube.com/watch?v=YOrJJKW31OA Editing website: www.cfnstudios.com ColdfusTion Android Launcher: https://play.google.com/store/apps/details?id=nqr.coldfustion.com&hl=en » Twitter | @Coldfustion
0 notes