Tumgik
#Mauaji
magaratimes · 2 years
Text
#VOA. | Wananchi DRC wataka UN kutangaza mauaji ya mara kwa mara kuwa ya kimbari
#VOA. | Wananchi DRC wataka UN kutangaza mauaji ya mara kwa mara kuwa ya kimbari
Akizungumuza na wanahabari akiwa katika eneo la makaburi ya watu 33 waliouawa kwa mapanga na visu mwaka 2014 Kaskazini Mashariki mwa mji wa Beni wakati wa kuadhimisha miaka minane tangu yaanze mauaji katikatika mwa Mji wa Beni Kivu kasakazini , Rachel Muvunga, mmoja wa wakaazi wa Beni ambao wamepoteza wanafamilia wao, aliomba Serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa UN kutangaza rasmi mauaji dhidi ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Text
Tumblr media Tumblr media
#HABARI:Mamlaka ya Marekani imethibitisha kuwa Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni Mgombea wa kiti cha Urais katika uchaguzi ujao, Donald Trump yuko salama kufuatia jaribio la mauaji, katika uwanja wake wa gofu wa Florida, na "mshukiwa wa tukio hilo "yuko kizuizini.
Kufuatia tukio hilo, Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, ambaye pia ni mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya DEMOCRATIC ameeleza kuwa, anashukuru Donald Trump, kwamba yupo salama.
"Nimesikitishwa sana na jaribio la mauaji la Rais wa zamani Trump leo," Harris alisema katika taarifa hiyo, iliyotolewa kupitia Ikulu ya White House.
Hii ni Mara ya pili jaribio la kumuua Donald Trump linafanyika.
1 note · View note
rwizakakiza · 16 days
Text
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO. (Part 17: KIBALI) Share a...
youtube
Somo: MAJIRA NA NYAKATI ZIMEBEBA MAISHA YAKO
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu 17:
‭""Kwa KILA JAMBO kuna MAJIRA yake, Na WAKATI kwa KILA KUSUDI chini ya mbingu""
.....Mhubiri 3:1.....
7. HITIMISHO.
Hapa tutaangalia mambo mawili yaani:- (Faida na namna bora ya kutambua majira na nyakati kwenye maisha yako yote)
7. 1. FAIDA /UMUHIMU WA MAJIRA NA NYAKATI.
Zipo faida nyingi, lakini sehemu hii tunaangalia faida kuu ya majira na nyakati kwenye maisha yako ambayo ni
KIBALI KWA MUNGU NA KWA WATU.
......Kibali ni upendeleo, kibali ni kupewa nafasi, kibali ni kukubalika kwa MUNGU na kwa watu. Kabla ya kupata kibali ipo NEEMA ya MUNGU kwanza inayokubeba, alafu ukifanya vizuri kupitia neema hiyo unapata kibali.
Wote mnaweza kuwa na huduma moja, lakini KINACHOWATOFAUTISHA ni BIDII /JUHUDI BINAFSI, unavyojibidiisha na kujitoa kwa ajili ya Neema MUNGU aliyokupa (Yaani huduma), Jitihada zako ndizo zinazojenga nafasi ndani ya moyo wa MUNGU au ndani ya mioyo ya watu, na Nafasi hiyo ndiyo kibali.
Mfano.
Kaini na Habili wote wawili, MUNGU aliwapa neema ya kumjua MUNGU na huduma yao kuu ilikuwa ni UTOAJI. Kilichotokea ni Habili kujiongeza /kujibidiisha /kufanya cha ziada. Ndio maana MUNGU alipomtokea Kaini alimuuliza ukijibidiisha /ukitenda mema hautapata kibali?. Lakini Kaini akaona Wivu na wivu ukajenga Chuki na Chuki ikazaa mauaji kwa nduguye.
......Je Kaini UKITENDA VYEMA, hutapata KIBALI? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
.....Mwanzo 4:7....
Wote mmebarikiwa kupata kazi, Je unatambua kwanini umebarikiwa? Je MUNGU aliyekubariki unatambua ndiye mwenye vyote?, hata ukimpa vyote ni vyake ila juhudi za KUMPENDA katika kile ninachokitoa ndizo zitanipatia kibali. Usimwonee mwingine wivu, bali Ongeza bidii katika kutenda.
Majira na nyakati zinakupatiaje kibali, Kumbuka majira na nyakati ni kutambua cha kutenda ndani ya muda sahihi kulingana na kusudi lililoko kwenye muda huo. Usipofanya kwa majira na nyakati sahihi utapata hasara.
Mfano
Ni wakati wa kuvuna, Wewe ndio unapanda, Wakati wa kufunga Wewe ni chakula muda wote, Mahitaji ya lazima kwenye familia unakimbilia kununua nguo, Wakati wa mshahara, Unafanya anasa na Matumizi yasiyo lazima, badala ya KUWEKEZA kwa ajili ya uzeeni, usiwasumbue watoto wako.
......Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.
......Hagai 1:6.....
Ukitambua uko kwenye majira na nyakati gani na unapaswa ufanye nini UTAPATA KIBALI KWA MUNGU, NA KWA WATU (Tena kwa watu wakuu yaani wenye vyeo, na wadhifa kubwa).
Mfano. YUSUFU
Yusufu alikuwa na ndoto na ili ikamilike ndoto yake, alitambua majira na nyakati cha kufanya, hakubaki na MALALAMIKO kwamba Kwanini ndugu zangu waliniuza kwa Wamisril?. Kwanini MUNGU ameniacha mpaka nikasingiziwa na mke wa Potifa kwamba nimebaka?. Siri ya Yusufu ni HAKULALAMIKA bali ALINYENYEKEA na unyenyekevu wake MUNGU akampenda akawa pamoja na Yusufu, hata kwenye Gereza, MUNGU akampa kibali.
.....‭BWANA akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza.
......Mwanzo 39:21....
Pamoja na kibali, Yusufu analenga kutimiza ndoto yake ambayo imempitisha kwenye majira hayo. Hivyo aliangalia ANAPOELEKEA hakuangalia ANAPOPITIA. Kupitia ROHO MTAKATIFU, Yusufu anajulishwa majira na nyakati zinazokuja juu ya nchi yote ya Misri kwa kutafsiri ndoto ya Farao ambayo hata wakuu wake hawakuelewa na hatimaye bidii ya kuangalia anapoelekea inamsaidia kumpa kibali kwa wakuu mpaka anapewa Uwaziri mkuu.
......Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye ROHO ya MUNGU ndani yake? Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe. Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
Mimi ni Farao, na bila amri yako (Yusufu), Mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri.
......Mwanzo 41:38 - 44.....
Ukielewa vizuri Habari ya majira na nyakati, utafika mahali ambapo hukutarajia. Watu wengi wanatamani kujua maisha yao ya kesho itakuwaje, Biashara /kazi zao zitakuwaje, Ndoa /familia zao zifanye nini nk. Majibu yote yapo kwenye majira na nyakati, ukitambua utapata kibali na kibali hicho kitakufikisha kwenye ndoto zako, Amina.
7. 2. NAMNA BORA YA KUTAMBUA MAJIRA NA NYAKATI MAISHA YAKO.
....Tutaendelea....
Rejea
So Pharaoh said to his servants, “Can we find a man like this [a man equal to Joseph], in whom is the DIVINE SPIRIT [of GOD]?”
......Genesis 41:38.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
+255 782 546 914
@2024 The year of my shining.
0 notes
chahali · 2 months
Text
0 notes
dreamstz1 · 3 months
Text
Ma-rc, Ma-dc anzisheni operesheni maalum za ulinzi – majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye ualbino. “Operesheni hizi zihusishe vikosi vya usalama ili kuhakikisha ulinzi wa watu wenye ualbino dhidi ya mashambulizi na vitisho hii ni kwa sababu katika kuzuia unyanyasaji na mauaji ya watu wenye ualbino, Mamlaka za Mikoa na Serikali za…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
gwase-92 · 1 year
Text
Mhubiri Ezekiel Odero ameachiliwa Huru Baada ya Mahakama kuona hakuna ushahidi Wa kutosha
Mhubiri Wa Injili ichini Kenya Mtumishi Ezekiel Odero achiliwa Huru na Mahakama baada ya kuonekana Hana hatia Mhubiri huyo alieshikwa baada ya tuhuma kua anashirikiana na mchungaji Makenzie mwenye alieshikwa Kwa mauaji yaliofanyika shaka Hola Waumini Wa Ezekiel wamemshukuru mwenyezi Mungu Kwa kuachiliwa Kwa mchungaji wao . Mchungaji Ezekiel akiwa Kwa Mahakama ya Shanzu .
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sfaburundi · 2 years
Text
Tumblr media
#VOA. | Wananchi DRC wataka UN kutangaza mauaji ya mara kwa mara kuwa ya kimbari https://sw.magaratimes.com/2022/10/17/voa-wananchi-drc-wataka-un-kutangaza-mauaji-ya-mara-kwa-mara-kuwa-ya-kimbari/?utm_source=dlvr.it&utm_medium=tumblr
0 notes
kahumba · 5 years
Audio
“Violence is one of the most fun things to watch.”
3 notes · View notes
mteulethebest · 4 years
Text
AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KUMUUA KAKA YAKE:
Katika hati ya maelezo ya onyo ya mshitakiwa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamhuri, Gladness Senya iliyotolewa na shahidi mmoja kati ya mashahidi kumi, mshtakiwa alibainisha kuwa alimuua ndugu yake huyo Julai 23, 2014 kwa maelekezo ya baba yake mzazi ikiwa ni imani za kishirikina 'NDAGU' au 'KAFARA' ya kutaka utajiri wapate mifugo mingi zaidi ndani ya familia yao.
Mahakama Kuu kanda ya Tabora imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa Ntuluwambula Ukenyenge almaarufu Abasi Charles Mkazi wa Kata ya Usinge wilayani Kaliua baada ya kutiwa hatiani kwa kumuua ndugu yake Masayu Salum na kisha kumfukia kwenye shimo. Katika hati ya maelezo ya onyo ya mshitakiwa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wakili upande wa Jamhuri, Gladness Senya iliyotolewa na shahidi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
samar-world-1 · 3 years
Text
أدعو شعوب العالم وقادته لمساندة الشعب الفلسطيني المسالم والمظلوم في قضيته المشروعة والعادلة من أجل استرداد حقه وأرضه ومقدساته.
أوقفوا القتل وادعموا صاحب الحق، وكفى الصمت والكيل بمكيالين إذا كنا نعمل حقًّا من أجل السلام.
أدعو الله أن يرحم شهداء فلسطين، وأن يتغمدهم بواسع رحمته ومغفرته.
------
I call on the world peoples and leaders to support the peaceful and oppressed Palestinian people in their legitimate and just cause towards recovering their right, their land and their sanctuaries. Stop the killing and support the due owners of the right. Abandon silence and double standard policies, if we are truly working for peace. I pray to Allah to have mercy on the martyrs of Palestine and to shower them with mercy and forgiveness.
------
Καλώ τους ανθρώπους και τους ηγέτες του κόσμου να υποστηρίξει τον ειρηνικό και καταπιεσμένο παλαιστινιακό λαό στον νόμιμο και δίκαιο ζήτημά του, προκειμένου να ανακτήσει το δικαίωμά του, τα εδάφη και τους ιερούς τόπους του. Σας καλώ να σταματήσετε τη δολοφονία και να υποστηρίξετε αυτόν που έχει αληθινά το δίκαιο στο μέρος του. Σας καλώ να μην συνεχίσετε τη σιωπή, εάν εργαζόμαστε πραγματικά για την ειρήνη.
Παρακαλώ τον Αλλάχ να ελεήσει τις ψυχές των αδικοχαμένων Παλαιστινίων και να τους δώσει συγχώρηση
------
Natoa wito kwa raia wote duniani pamoja viongozi kuungana na wananchi wa amani na wenye kudhulumiwa wa Palestina katika kadhia yao ya kisharia ili kurudisha haki yao ardhi yao na maeneo yao matakatifu, simamisheni mauaji na ninatoa wito kwa watu wa haki simamisheni ukimya na kupima mambo kwenye wizani mbili ikiwa kweli tunafanya kazi kwa ajili ya kusaka amani.
Namuomba Mwenyezi Mungu awarehemu mashahidi wa Palestina na awagandishe kwenye huruma yake na msahama wake.
------
د نرۍ له مشرانو او ولسونو څخه غواړم چې د فلسطيني مظلوم او سوله خوښوونکي ولس سره مرسته وکړي ترڅو خپله خاوره او حق لاسته راوړي، وژنه ودروئ د حق خاوندانو سره مرسته وکړئ چوپتيا نوره بس ده په دوو تلو باندې تلل بند کړئ او د سولي لپاره په ريښتيني ډول کار وکړئ، الله تعالی دي د فلسطين په ټولو شهيدانو رحم وکړي او پخپل پراخ رحمت سره دي دوی ته بخښنه وکړي
------
Ich plädiere an alle Völker und Staatsführer, das unterdrückte friedliche palästinensische Volk in seiner legitimen und gerechten Sache zur Wiederherstellung seiner Rechte, seines Landes und seiner heiligen Stätten zu unterstützen. Stoppt den Mord und unterstützt den Berechtigten! Genug mit dem Schweigen und der Doppelmoral, wenn wir wirklich für den Frieden agieren. Ich bete zu Allah, dass Er Sich der Märtyrer Palästinas erbarme. Mögen sie in Seiner Gnade und Seiner Vergebung sein.
-------
Rivolgo un appello ai popoli del mondo e ai loro leaders, a sostegno del popolo palestinese pacifico e oppresso nella sua causa legittima e giusta per il ripristino dei propri diritti e della propria terra e dei propri luoghi sacri; fermate le uccisioni e sostenete coloro che hanno diritto. Basta con il silenzio e il doppio standard, se vogliamo lavorare veramente per la pace. Imploro Allah di avere pietà dei martiri palestinesi e di effondere su di loro la Sua misericordia.
-------
Saya menyeru masyarakat dunia beserta para pemimpinnya: untuk mendukung rakyat Palestina yang hidup damai dan tengah terzalimi dalam permasalahannya yang legal dan adil untuk merebut kembali haknya, tanahnya dan tempat-tempat sucinya. Hentikanlah pembunuhan, dukunglah pihak yang benar, dan berhentilah untuk tetap diam dan menggunakan standar ganda jika kita benar-benar berbuat untuk perdamaian!.
Saya berdoa kepada Allah agar Ia Merahmati para syuhada Palestina dan Meliputi mereka dengan rahmat dan ampunan-Nya yang luas.
-------
پوری دنیا کے عوام اور حکام سے مطالبہ کرتا ہوں کہ وہ مظلوم اور پر امن فلسطینی عوام کا ساتھ ان کے بر حق اور منصفانہ مسئلے میں دے دیں کہ وہ اپنے حقوق، زمیں اور مقدس مقامات واپس لے سکیں۔
اگر ہم واقعی امن وسلامتی کے لئے کام کرنے کا دعوی کرتے ہیں تو:
قتل وغارت بند کرا دیں۔
حقدار کی مدد کریں۔
خاموشی چھوڑ دیں۔
اور دھری پالیسی چھوڑ دیں۔
میں اللہ سے دعا کرتا ہوں کہ فلسطینی شہیدوں کو اپنی رحمت میں جگہ دے۔ اور ان کی مغفرت کرے۔
-------
از همه ملت‌ها و رهبران جهان می‌خواهیم تا در قضیه‌ای شرعی و عادلانه ملت صلح‌جو و ستم‌دیده فلسطین بخاطر دوباره به دست آوردن حق و سرزمین و مقدسات‌شان در کنار آن‌ها بایستند و از آن‌ها پشتیبانی نمایند، و کشتار آن‌ها را توقف دهند و صاحب حق را یاری بخشند. واگر ما واقعاً می‌خواهیم برای صلح و آرامش جهانی کار و تلاش نماییم پس خاموشی و سیاست یک‌بام و دو هوا و استاندارد دوگانه بس است. از خداوند متعال می‌خواهیم تا شهدای ملت فلسطین را غریق رحمت خویش نموده مهربانی و مغفرت واسعه خود را شامل حال‌شان نماید.
-------
אני קורא לעמי העולם ומנהיגיהם לעזור בעם הפלסטיני החלוש במשפטו הלגילי והצודק למען להחזיר את זכותו, ארצו ומקדשיו, נא להפסיק את הרצח, לחזק את בעל הזכות, ולחדול מן השתיקה, אם היינו עושים באמת למען השלום
אני מתפלל אל אללה ומתחנן לו לרחם את הנהרגים על קידוש אללה ולהשפיע עליהם ברוב רחמיו וסליחותיו
------
J’appelle les peuples et dirigeants du monde à Soutenir le peuple palestinien pacifique et opprimé dans sa cause légitime et juste afin de recouvrer son droit, ses territoires et ses lieux sacrés.
Je les invite, aussi, à arrêter les massacres et soutenir le détenteur du droit et mettre fin au silence et au système de deux poids deux mesures si nous travaillons vraiment ensemble pour la paix.
Je prie Allah d’accorder miséricorde et pardon aux martyrs de Palestine.
------
Dünyanın insanlarını ve liderlerini şuna davet ediyorum: Eğer gerçekten barış istiyorsak savunmasız Filistin halkını kendi haklarını, topraklarını ve kutsallıklarını geri almak için meşru ve haklı davasında destekleyin, öldürmeyi durdurmaya çalışın, hak sahibi yanında durun ve artık sessiz kalmaktan vazgeçin!
Tüm Filistinli şehitlerimize Allah rahmet eylesin mekânları cennet olsun inşallah.
------
Exorto a todos los pueblos y los líderes del mundo a apoyar al pueblo palestino pacífico y oprimido en su causa legítima y justa para que recupere sus derechos, su territorio y sus lugares sagrados. Detened el asesinato y respaldad al pueblo palestino. Si trabajamos de verdad por la paz, basta de silencio y política de doble rasero. Pido a Al-lah que tenga gran misericordia y perdón con los mártires de Palestina.
------
Exorto a todos los pueblos y los líderes del mundo para apoyar al pueblo palestino, pacífico y oprimido, en su causa legítima y justa; a fin de recuperar su derecho, su territorio y sus lugares sagrados.
Detened el asesinato y respaldad al titular del derecho. Basta de silencio y doble rasero si realmente estamos trabajando por la paz.
Que Allah tenga piedad de los mártires de Palestina, y que les conceda su misericordia y perdón.
#الشيخ أحمد الطيب
الامام الأكبر للأزهر الشريف
1 note · View note
eledykisinga · 4 years
Photo
Tumblr media
Ligi kuu ya VodaCom Tanzania bara imeendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti hapa nchini, huko Simba SC ikifanya mauaji makubwa huko Arusha kwa kuichakaza Coast Union bao 7-0. https://www.instagram.com/p/CH23se-H-sV/?igshid=1vdn8cvnw9wvl
1 note · View note
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Hali ya hatari Sudan baada ya zaidi ya watu 200 kuuawa Blue Nile katika machafuko ya kikabila
#ParsToday. | Hali ya hatari Sudan baada ya zaidi ya watu 200 kuuawa Blue Nile katika machafuko ya kikabila
Viongozi wa Sudan walitangaza hali ya hatari jana Ijumaa baada ya kutokea mauaji ya zaidi ya watu 200 kutokana na mzozo wa kikabila katika jimbo la Blue Nile. Ahmed Al-Omda, gavana wa jimbo jimbo la Blue Nile amesema, hali hiyo ya hatari na ya dharura itatekelezwa katika eneo lote la Blue Nile kwa muda wa siku 30. Kabla ya hapo ilikuwa imetangazwa kuwa, watu wasiopungua 151 wameuawa nchini Sudan…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
pseudepigraphasblog · 4 years
Photo
Tumblr media
KWA UDI NA UVUMBA: PSEUDEPIGRAPHAS BLOG Mtu mmoja aliwahi kusema kuwa pesa ni zaidi ya kila kitu maishani. Ukiwa na pesa hakuna litakaloshindikana. Ni pesa hizo zinazoweza kuzua uhusiano mzuri kwa watu kama ambavyo pia zinavyoweza kusababisha maafa yasiyotarajiwa. Pesa ni sabuni ya roho na pia pesa huweza kuwa chachu ya matatizo. Katika riwaya hii ya aina yake, pesa zzimedhihirisha jinsi zinavyoweza kuwa chanzo cha furaha maishani au kero na mtafuruku katika jamii. ni kipi kilichojiri? Fuatilia mkasa huu mzito wenye mchanganyiko wa mapenzi, visasi na mauaji ya kikatili... https://www.instagram.com/p/B_JhIYypoia/?igshid=12l29hog8ooz8
1 note · View note
rwizakakiza · 1 year
Text
Tumaini Jipya, ndani ya YESU KRISTO
Ni
KUTENGENEZA NYUMBA YA SALA
(41)..."Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, NYUMBA YANGU itaitwa NYUMBA YA SALA kwa MATAIFA YOTE? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi"
>Kwenye andiko hili ipo maana mbili kuu ya maana ya Nyumba ya MUNGU (Sala) yaani:-
1. NYUMBA YA SALA KAMA JENGO
>Hili ni eneo lililotengwa na kujengwa kwa ajili ya ibada kwa MUNGU au sehemu ya kukutana na MUNGU (Hekalu au Kanisa)
>Kama eneo limetengwa kwa ajili ya ibada, Ukweli eneo hilo iwe ndani au nje ya eneo la Kanisa HAIRUSIWI kufanya biashara, kwa lugha nyingine biashara ya kuuza vitu na biashara nyingine ni kama..... Maseng'enyo,.... Umbea,.... Wivu..... Kiburi,.... Lugha chafu,....nk.
>Kwa sasa mambo hayo, maeneo ya Ibada kukuta yanaendelea sio jambo la kushangaza, na WANYANG’ANYI hapa ni wale wanaotenda hayo makosa tajwa hapo juu nk.
2. NYUMBA YA SALA KAMA MWILI
>Hii ni mwili wako, Ukweli ni kwamba mwili wako ulitengenezwa makusudi kama nyumba ya Sala au hekalu la MUNGU.
>Kwa masikitiko makubwa tumegeuza miili yetu kuwa mapango ya wanyang’anyi yaani..... Uzinzi/Uasherati,..... Matusi..... Ulevi,..... Utoaji mimba/Mauaji,.... Ulinzi wa kishetani /Irizi..... Kuabudu shetani,...... Ushoga....nk
>Unaweza kuona nyumba ya Sala tulivyoigeuza na kuibomoa
Leo MUNGU anachohitaji ni KUTENGENEZA NYUMBA YA SALA upya, ni kweli iliharibika, unayo nafasi ya kumkaribisha BWANA YESU apindue biashara na wanyang’anyi waliokaa ndani yako au kwenye kanisa.
>Unamkaribisha BWANA YESU KRISTO, kwa toba na Maungamo ya kina ili atengeneze kanisa lake na mwili wako kuwa nyumba yake ya Sala yaani kuwa Hekalu lake Takatifu, Amina.
Rejea
"LORD JESUS began to teach and say to them, “Is it not written, ‘My house shall be called a house of prayer for all the nations’? But you have made it a robbers’ den.”
Mark 11:17
Please SHARE and SUBSCRIBE
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
@2023 the greatest Glory for me.
0 notes
chahali · 2 months
Text
0 notes
habarizao · 6 years
Text
Houston: Mwanaume aliyetembea na suruali yake miguuni auawa na polisi Marekani
Houston: Mwanaume aliyetembea na suruali yake miguuni auawa na polisi Marekani
Afisa wa polisi nchini Marekani amempiga risasi na kumuua mtu ambaye hakuwa na silaha aliyekuwa akitembea barabarani huku suruali yake ikiwa miguuni. (more…)
View On WordPress
0 notes