Tumgik
#azamfc
sariaisrael · 21 days
Text
TUNAULIZA NA KUJIBU WENYEWE KUHUSU AZAM FC
Kuna wakati kila nikifumba macho yangu, masikio yangu huwa yanasikia sauti za majonzi lakini sina uhakika kama nyuso za hao watu huwa zina majonzi kama sauti zao zinavyokuwa na majonzi. Wengi wanatamani siku moja wasikie vigelele na siyo majonzi tena kwenye nyumba inayoitwa Azam FC. Wenye nyumba mpaka muda huu washavuka salama Misri ila safari yao ya kwenda Israel (Kanani) ina mashaka. Kila…
0 notes
dreamstz1 · 3 months
Text
Azam fc wamalizana na Prince Dube
MICHEZO: Taarifa Ya AzamFC imesema imeridhia maombi ya aliyekuwa Mshambuliaji Prince Dube ya kuvunja mkataba aliyoyatoa Machi 2024Hatua hiyo ni baada ya Dube kutimiza matakwa ya Kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkatabaAidha, kumekuwa na tetesi zinazomhusisha Dube kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu ya TanzaniaBara, Yanga SC, hivyo hiyo inaweza kuwa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
kalizetumedia · 3 years
Video
instagram
'UZI' MPYA AZAM FC: Kulekea msimu mpya wa ligi, Azam FC leo imetambulisha jezi mpya ambazo zitatumika kwa michezo ya nyumbani na ugenini. 'Uzi' upi umekuvutia zaidi? #AzamFC #Azam #JeziMpya #Jezi @azamfcofficial @zakazakazi @abdulkarim.amin https://www.instagram.com/p/CSzD-0BKP99/?utm_medium=tumblr
0 notes
babadupdates · 3 years
Video
Hivi ndivyo nembo mpya ya AzamFC ilivyozinduliwa na Waziri Innocent Bash...
0 notes
wincatcherses · 4 years
Text
Azam v Singida United Match Report, 07/05/2020, Ligi kuu Bara
Tumblr media
Azam FC 7-0 Singida United: Obrey llega a cuatro cuando los visitantes son golpeados en Chamazi Los anfitriones confirmaron el descenso del lado inferior con una actuación de siete estrellas para recuperar el segundo lugar en la tabla de la liga Azam FC derrotó a Singida United. 7-0 para reclamar la segunda posición en el registro de la Premier Premier League de Yanga SC. Obrey Chirwa anotó cuatro goles, Selemani Nado golpeó un aparato ortopédico y David Natley anotó un gol en propia meta para completar la ruta. Los campeones de 2014 necesitaron alrededor de 90 segundos para lograr el gol de apertura. Joseph Mahundi sacó lo mejor de sus marcadores antes de encontrar a Nado, quien dirigió el balón más allá del portero. El lado con base en Chimazi continuó presionando para lograr más objetivos con sus visitantes luchando por hacer frente. En numerosas ocasiones, Singida fue salvado por un mal acabado por parte de sus oponentes con el portero también haciendo su trabajo de manera efectiva. Sin embargo, después de un cuarto de hora, los anfitriones duplicaron la ventaja para alivio de sus entusiastas fanáticos. El zimbabuense Obrey Chirwa una vez más encontró a Nado en una buena posición, y el atacante completó su abrazadera. David Natley convirtió el balón en su propia red en el minuto 41 debido a la presión del lado hambriento de Azam, que está desesperado por terminar la temporada en un máximo después de ser eliminado de la Copa FA por el recién coronado campeón de la liga Simba SC. Segundos antes del descanso, Never Tigere logró crear una oportunidad para que Chirwa anotara el cuarto a favor de los anfitriones y se asegurara de que llegaran al descanso con una saludable ventaja de 4-0. El lado de abajo parecía perdido y luchó para elegir pases que fueron capitalizados por Azam. El zimbabuense de 26 años necesitó solo 10 minutos después del descanso para completar su aparato ortopédico, antes de anotar su tercero y el sexto del equipo en el minuto 56. Chirwa demostró ser un cuchillo caliente en mantequilla para la defensa del Singida United y no fue una sorpresa cuando completó su recorrido en el minuto 62. Tiempo completo: Azam FC 7-0 Singida pic.twitter.com/xzhyzbVgEo— Azam FC (@azamfc) 5 de julio de 2020 El resultado llevó a Azam a la segunda posición con 62 puntos, 18 menos que Wekundu wa Msimbazi, a quien se le impuso un empate sin goles del Ndanda FC en otro partido de la Liga Continental jugado el domingo. El artículo continúa abajo Las esperanzas de Singida de jugar en el nivel superior la próxima temporada casi se han ido. Con cinco rondas restantes, la cuenta más alta que pueden alcanzar es 30, lo que no los sacará de la zona de peligro. Por su parte, Azam esperará continuar con una racha ganadora en los juegos restantes para terminar segundo en la liga. Yanga SC, que también está interesado en terminar en la segunda posición, tuvo un empate sin goles por parte de Biashara Mara United y está un punto por detrás.
from Noticias Wincatchers https://noticias.wincatchers.com/2020/07/05/azam-v-singida-united-match-report-07-05-2020-ligi-kuu-bara/
0 notes
sariaisrael · 3 months
Text
CLASS OF 92 YA AZAM FC ILIPOTELEA WAPI?
Klabu ya Manchester United inajivunia kuwa ndio klabu ya soka yenye mataji mengi Zaidi miongoni mwa vilabu ambavyo vilivyoko nchini Englanda. Katika mataji ambayo iliyowahi kuyapata mengi ya mataji hayo waliyapata wakati kikosi hicho kikiwa chini ya kocha mkuu Sir Alex Ferguson. Kocha huyo ndiye kocha ambaye anayeongoza kwa kubeba mataji mengi duniani. Chini ya kocha huyo waliingia mara 4 kwenye…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
footballghana · 5 years
Text
Ghanaian connection fueling Azam’s continental quest
One of the good things with Tanzania giants, Azam, is the aspiration for talents from outside, especially from neighbouring countries and West Africa. After just 11-years in the Tanzania top flight, Azam has risen to become one of the giants of Tanzania, and third force besides Young Africans and Simba, largely due to their investment in youth players and infrastructure at their Chamazi complex.In recent past, the club has been attracted by players from Ghana, and most of them have played integral roles in the fortunes having established themselves as regulars and influential players in the squad. In the past four years, no less than seven players from the West African country have had varied spells with some leaving for pastures anew.Currently, Azam has three players from Ghana, goalkeeper Razack Abalora and defensive duo, Daniel Amoah and Yakubu Mohammed.FAINALI ASFC: Wachezaji wa @azamfc Razack Abalora na Bruce Kangwa baada ya mechi.FT: Lipuli FC 0-1 Azam FC.#AzamSports2 #SisiNiSoka #AzamSportsFederationCup #ASFCFinal #ASFCFinal2019 #AzamTVUpdates #AzamFC #LipuliFC #AzamLipuli #Lindi2019 #TukutaneIlulu #Ilulu #ASFC pic.twitter.com/t95hnqL93M— Azam TV (@azamtvtz) June 1, 2019 Abalora, who joined in 2017 from West African Football Academy and now first choice goalkeeper, is loving his spell with the Chamazi... source: https://footballghana.com/
0 notes
tabibutvonline-blog · 6 years
Video
Utamaduni wa klabu ya @simbasctanzania ni kuroga tu. #simbascvsazamfc @simbasctanzania @azamfc https://www.instagram.com/p/BuLxbqQgI8i/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=164syg64p1cie
0 notes
othmanmichuzi · 8 years
Photo
Tumblr media
#AzamFcVSMbeyaCity katika Uwanja wa #AzamComplax Jijini Dar. Mpaka dakika hii ni 0-0. Pichani ni Mshambuliaji wa #MbeyaCity Tito Okelo akiwania mpira wa juu na Beki wa #AzamFc Aggrey Moris (at Chamazi Complex)
0 notes
babadupdates · 3 years
Video
instagram
Simba sc yaichapa Azamfc yaifuata Yangasc Fainal Goli la Luis Miquissone | FULL-TIME 1-0 Comment Like Share Subscribe #BABADUPDATES (at Baba d updates) https://www.instagram.com/p/CQlo04pAn3b/?utm_medium=tumblr
0 notes
sariaisrael · 6 months
Text
VILABU VYETU VITAFUTE WAWEKEZAJI WA KIMATAIFA
Katika nchi ya England ambayo ndio yenye ligi kubwa na maarufu kuliko zote duniani zaidi ya asilimia 60 ya vilabu vya ligi hiyo kwa sasa vinamilikiwa na raia wa mataifa ya kigeni.. Soka la Tanzania kwa sasa limekuwa kubwa. Timu ya taifa ya Tanzania imeanza kuzoea kushiriki mashindano ya kimataifa. Hivi majuzi ilikuwa imetoka kushiriki mashindano ya AFCON yaliyokuwa yanafanyika nchini Ivory…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
othmanmichuzi · 8 years
Photo
Tumblr media
Mchezo kati ya #AzamFcVSMbeyaCity unaendelea hivi sasa katika Uwanja wa #AzamComplax matokeo mpaka muda huu ni 0-0 :pichani ni Kiungo wa #MbeyaCity, Hassan Mwasapile akiwania mpira na Beki wa AzamFc Shomari Kapombe. (at Chamazi Complex)
0 notes
sariaisrael · 7 months
Text
FEI TOTO NI YULE YULE WA JUZI, JANA NA LEO
Ananifurahisha mchezaji wa Azam FC anayeitwa Feisal Salum. Nasikia mashabiki zake wanamuita Fei Toto. Sijali! Katika jezi za Azam FC, Fei Toto ameanzia pale pale alipoishia alipokuwa katika jezi za Yanga SC. Vizuri. Mpaka Fei Toto anaamua kuachana na Yanga SC mwishoni mwa mwaka 2022 na kurudi kwao Zanzibar alikuwa katika kiwango bora.Binafsi nilijiapiza ule ndiyo ulikuwa msimu wake bora. Kumbe…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
sariaisrael · 1 year
Text
Simba kuna vita kali, msimu utawaka moto
Akiandika katika mitandao ya kijamii bilionea na mwekezaji wa Simba, Mohmammed Dewji amemsifu mlinda mlango kinda wa Simba Ali Salim HAWAKUFUNGA goli ndani ya dakika 90, lakini mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania, Simba wameonesha shauku kubwa na uzoefu katika mashindano ya Ngao ya Jamii. Mechi moja tu dhidi ya Singida FC imeonesha jinsi gani  Simba wanaweza kukabiliana na yeyote. Katika…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes