Don't wanna be here? Send us removal request.
Photo

Happy Father's day https://www.instagram.com/p/CBsilAtDZ9Q/?igshid=1m18cns8ktqdo
0 notes
Photo

There is no room to be normal. 😘😘😍 https://www.instagram.com/p/CBqRKnLjQzI/?igshid=1kvth4stdwcw0
0 notes
Photo

Dah! nimeisha sukuma sana milango iliyoandikwa vuta.Mingine inafunguka na mingine ikakataa kufunguka ila yote tisa, kumi hakuna kukata tamaa. https://www.instagram.com/p/CBk-VkvjBsI/?igshid=f0n2km9wjtqr
0 notes
Photo

With the innocence siwezi harm kitu...😘😘 #Sanitize #trizahb https://www.instagram.com/p/CBYLcccj2kn/?igshid=17tvbi8y6afdc
0 notes
Photo

Leo nimekutana na ndugu yangu mmoja akaniomba hela akisema, "dadangu nakuona kwenye muziki unafanya vizuri,hizo nyimbo zako za gospel zinanitia nguvu sana nazipenda kweli. mziki wa gospel unakulipa sana." Akiongea,huku mimi nasmile tu.Alafu nikamshukuru na kumuuliza kama amewahi kudownload au kununua wimbo wangu wowote hata kama ni muito/Skiza tune.Ghafla kageuka kuwa kigugumizi. Dah!Trizah B anaimba gospel music. Mfano mkuu: Ukipost kwa social media sio kila mtu amereact kwa post ameisoma .Wengine wanareact tu ili uone mko pamoja au ili aonekane analike post zako. Sasa kwa hili,I would like to go to my YouTube channel and subscribe to my Channel coz New things are coming soon. Remember to always #Sanitize.😘😘 Link👉 or on my bio https://www.youtube.com/watch?v=DvyA7fCu0K4 (at JKIA Airport Hotel - Nairobi's Transit Court) https://www.instagram.com/p/CBN4yNbjFV-/?igshid=8yre7jt2ny4i
0 notes
Photo

Ni wazi kwamba sasa unaweza ukaufanya wimbo wako pendwa Wa #Chali kuwa kama muito kwenye simu yako.Ni rahisi Sms: 8824297 kwenda 15577 Huduma hii ni kwa wateja wa Vodacom Tz tu. #sanitize #trizahb https://www.instagram.com/p/CBLiMZ7j7a-/?igshid=a27iwbkhodxh
0 notes
Video
Mr.President tumekubali tu kuchukua hiyo thathe but hujatufanyia poa. Wakukura fare wamekura,Wa dryspelo wabaki tu hivo,wa kamunywetho waenderee tu shini ya mae. Aki a Ngai ....... #sanitize #trizahb #curfew https://www.instagram.com/p/CBG7mVGjC0z/?igshid=1rlhhj5m2sfxv
0 notes
Photo

Always remember to Sanitize in order to reduce spread of diseases. Hapa mimi nimesanitize nasubiri wa kusanitize .😂😂😂😂 #Sanitize #trizahb https://www.instagram.com/p/CA0JYmpj0Vo/?igshid=xsmk0mfrsf41
0 notes
Photo

Hapa nimejihami na vikorona vyangu kichwani. Unahisi nitoe wimbo unaohusu nini au wa aina ipi? https://www.instagram.com/p/CAqC-0gjCZO/?igshid=4wa9thkz7xps
0 notes
Video
instagram
#Repost @djmuta255 (@get_repost) ・・・ Kutoka Kenya huyu hapa @trizahb amekuwekea kwenye BIO yake #SINA TIME endelea kuenjoy #goodmusic🎶 @magicfmtanzania #achakujipunjaa #ckilizamagicfm Shukran shukran sana kwa support. Tz mambo ni moto fire. #trizahb #travel #music https://www.instagram.com/p/CAKk28MDt0L/?igshid=1b98q6elpa5d1
0 notes
Video
instagram
Tunakosana kidogo unaweka status.Lakini utajua hujua. #status #statuschallenge #trizahb #workout #actress #actinglife #film https://www.instagram.com/p/CAIHbz8j0b1/?igshid=pp8ucegeiwo
0 notes
Video
instagram
When you're crying but you don't want anyone to know that you're actually crying. #kenya #film #acting #cry #trynottocrychallenge https://www.instagram.com/p/CAFzf55jcf9/?igshid=1n2cld5l042yj
0 notes
Video
instagram
See my life. I'm now on tiktok as @trizahb . Njoo tucheke kidogo. https://www.instagram.com/p/B_-ahBpjxLb/?igshid=ie8atd6g6c9x
0 notes
Video
instagram
#Repost @samata_a (@get_repost) ・・・ Now Availlable on youtube.Link on @samata_a Bio or Watch it here👇 https://youtu.be/U1ehH7t9nG8 @eatvtz @eatv_tz @tvetanzania@itvtz @cloudstv @cloudsplus @startvhabari @startimestz @maishamagicbongo @maishamagiceast @channeltentz @sibukamedia @tbc_online @tbctaifa @wasafitv @capitaltvtz Kindly support this artist. #yotoyoto #music #coronavirus #dj #viral #tanzania #youtube #artistoninstagram #trizahb https://www.instagram.com/p/B_uS0OxD-MD/?igshid=52onyeujd4v5
0 notes
Video
instagram
Vitu vitamtam hivi.Watch it on youtube. Link on my bio. Can also be sent to your email.Kindly leave your email address behind. https://www.instagram.com/p/B_aW-vhjxmt/?igshid=1vcckimzcm09h
0 notes