mwagilloh
mwagilloh
Mwagilloh Youths
4K posts
Don't wanna be here? Send us removal request.
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Kwenye ubora wake Niffer, chombo ya Patrick Kanumba. Patrick Kanumba ni mtoto wa Muigizaji wa siku nyingi wa Bongo muvi -Hidaya Njaidi. Wakati akifanya mahojiano na Chombo kimoja cha habari,Hidaya Njaidi alisema alisikia mwanae anatoka na Niffer akamtafuta Niffer akamuuliza unampango gani na mwanangu, Siku hizi bint akiwa na hela mama Mkwe anamfuata anamuuliza unampango gani na kijana wangu 😂 Mabint tafuteni hela mama wakwe sio wakorofi utatafutwa uulizwe unampango gani na mwanangu https://www.instagram.com/p/CpVadJNNldg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
MUME AMPA TALAKA MKE KISA MZURI SANA... Bwana mmoja raia wa Zimbabwe Arnold Masuka (40) ameacha watu vinywa wazi baada ya kuiambia Mahakama hamuhitaji tena mkewe Hilda Mleya (30) kwa sababu ni mzuri kupita kiasi. Arnold mbele ya Jaji Henry Chizvidzo ametoa malalamiko hayo ambapo amesema ametoa talaka kutokana na kukosa usingizi kabisa kwa uzuri wa mkewe. Anasema hali hiyo imemfanya imekuwa mbaya sana kwake kwani anaogopa hata kwenda kazini au kumuacha peke yake akiogopwa atawindwa na wanaume wengine. Jaji amesema hii ni mara yake ya kwanza kusikiliza kesi ya aina hiyo. #MYDSwahili https://www.instagram.com/p/CpVZw7RNDwt/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Marekani barani Afrika, Jenerali Michael Langley, akizungumzia mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya hivi karibuni kati ya Urusi, China na Afrika Kusini, akisema Marekani inatoa ushirikiano muhimu wa kiusalama kwa nchi za Afrika, lakini haiwezi kuwalazimisha kuchagua nchi zinazotaka kushirikiana nazo kijeshi. https://www.instagram.com/p/CpVP6JWNeQz/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Masingo Mama kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Dimpoz https://www.instagram.com/p/CpVPNXJtW8H/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Kwani Kundi la M23 halifanyi uhalifu Congo? Ila huyu kwakua kundi lake limepewa jina ambalo marekani hawataki Kusikia basi wanatoa ofa.. https://www.instagram.com/p/CpVIzpttWs0/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Aidha mtu awe 1. DOKTA 2. MWALIMU 3. MFAMASIA 4. MFUGAJI 5. MFANYA USAFI 7. BODA BODA 8. MAMA /BABA LISHE 9. MCHOMA VITUMBUA 10. MKULIMA WA BUSTANI Na Kadhalika ila KAZI ni KAZI Kikubwa iwe Ya HALALI Hakuna haja ya kudharauliana kisa mwingine anaingiza kipato kikubwa na mwingine anaingiza kipato kidogo sana Kwa Sababu kila Mtu anapambana kiasi anachoweza na alichojaaliwa kuitafuta Riziki ili apeleke mahitaji nyumbani familia ipate Kufurahi na iwe yenye amani. Hakuna mtu anapenda kuteseka au anaependa maisha ya hali duni. Bali Mungu anasema lau si kututofautishia hali za maisha,basi Dunia ingekua sehemu ngumu kuishi na pasingelikalika ALLAH awalipe kheri wote wanaopambana kuitafuta riziki ya halali. #Amiin# Share iwafikie wapambanaji wote kuwatia moyo na familia zao wawe na subira kamanda wao akitoka kuwatafutia. #MYDSwahili @mwagillohyouths https://www.instagram.com/p/CpVIRXStM75/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Ubalozi wa Urusi nchini Kenya walaani uungwaji mkono dhidi ya wapenzi wa jinsia moja lgbt Ubalozi wa Urusi nchini Kenya umekuwa ukionesha kuunga mkono msukumo wa viongozi wa eneo hilo kulaani kile wanachodai ni kukuza utamaduni wa LGBT. Hii inafuatia uamuzi wa wiki iliyopita wa Mahakama ya Juu ambao unaruhusu jumuiya ya wapenzi wa jinsia moja kusajili vikundi vya kushawishi nchini Kenya. Wafuasi hao wanasema majaji hao waliamini kuwa wanadai haki ya kujumuika kama inavyopewa raia wote, lakini uamuzi huo ulipata upinzani mkubwawapinzani, akiwemo Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, waliwashutumu majaji hao kwa kuendeleza maadili "yasiyo ya Kiafrika". Wengi walitafsiri tofauti hukumu hiyo na kuona ni kama kuipa jumuiya ya LGBT uhuru wa kufunga ndoa nchini Kenya. Moja ya ujumbe wa ubalozi huo ulisema: "Vladimir#Putin: "Kadri nitakavyokuwa rais, tutakuwa na ''baba'' na ''mama''". Mwingine akasema: "Magharibi taikuja kwa zaidi. Maadili ya kimapokeo yatalindwa, vinginevyo ubinadamu utaangamia." #MYDSwahili. Chanzo:BBC @mwagillohyouths https://www.instagram.com/p/CpVGvq-tbvG/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Inadaiwa jaamaa alikua anakaangia Chipis kisha anayaipua anapeleka kwenye Popcorn anakaangia hayo hayo dadeki. https://www.instagram.com/p/CpVEe62ttSR/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Boda boda sio ajira ni laana- Godbless Lema https://www.instagram.com/p/CpU8NHPNHEe/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Marekani imeidhinisha kuiuzia Taiwan silaha za thamani ya Dolla milloni 619 kwa ajili ya matumizi ya ndege zake za kivita aina ya F-16. https://www.instagram.com/p/CpTHeqjtSj6/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
"Mpaka sasa nimejenga Misikiti 11, Madrasa 20, Visima vya maji 10 nimechimba na ninasomesha watoto 300, kesho utanikutaje motoni?"- Dr.Kumbuka https://www.instagram.com/p/CpTEORzNq1_/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Video
Walio Nyuma ya Feisali wanamkosea sana, yaani mpaka wanamchukua mama yake wanamlisha maneno anaenda kuongea mambo ya ajabu mbele ya waandishi ambayo mpaka anaetazama anaona aibu. https://www.instagram.com/p/CpTBdn0hIgs/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
UFUNGUZI WA OFISI NA MAKAO MAKUU YA KAMATI YA AMANI NA MARIDHIANO TANZANIA. Mwenyekiti wa kamati ya Amani na Maridhiano Tanzania Dr Sheikh Alhaad Mussa Salim, Amefanya ufunguzi wa Ofisi na makao makuu ya kamati ya Amani na maridhiano Tanzania jana 01/02/2023 maeneo ya Samora kariakoo jijini Dar-es-salaam. Sheikh Alhaad Amesema ufunguzi wa ofisi hiyo unaenda sambamba na maadhimisho ya kuundwa kwa kamati hiyo inayo tambulika kama maridhiano day itakayo fanyika Dodoma tarehe 03/03/2023 siku ya ijumaa na mgeni rasmi atakuwa Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa pamoja na kuhadhimisha maridhiano day kutakuwa na mada mbalimbali zitakazo tolewa na viongozi,kupiga vita ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, na kukemea masuala ya ndoa za jinsia moja Kwaupande wake Sheikh Mkuu wa shia Sheikh hemedi jalala Amesema kuwa Misingi ya dini zote Imejengeka katika kuwalea watu katiaka maadili mema na kupingana na yale yote yanayo vunja utu wa mwanadam. Cheo Pekee alicho Baki nacho Sheikh Dr Alhad Mussa Salum ni uwenyekiti wa kamati ya maridhiano Hapo Awali alikua Sheikh Wa mkoa Wa Dar es salaam pia alikua Katibu wa Muandamo wa Mwezi. https://www.instagram.com/p/CpRl7H6NMUg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
mwagilloh · 2 years ago
Photo
Tumblr media
Msemaji Mstaafu wa Yanga HAJI MANARA amemjibu Mama wa Mchezaji Feisal Salum Feitoto baada ya kuwataka TFF watende Haki kwa Mwanae ! "Why leo ndio ionekane aliteseka sana ?! Aliteswa kwa njia gani ? Hakulipwa haki zake zipi za mkataba ? Aliwahi kudhulumiwa chochote alichostahili ?!" " Aliwahi kunyimwa chakula kambini ? au Bonus wanazopewa wengine ? Kuna mshahara wowote au hata posho yoyote aliyowahi kunyimwa ?!" "Na kwa nini hizi clips mara nyingi zinatembea Siku 1 kabla ya kesi Nini dhamira yake ?! " " Hivi baina ya pande mbili nani anastahili kulalamika na nani aliyemdhulumu mwenzie hiyo haki ?! " "Mungu tunayemlilia anazijua nafsi zetu na anatujua tuliyoyafanya,, tumlilie kwa misingi sahihi sio kutafuta huruma siku moja kabla ya hukumu..." " ...Ni kutoa shinikizo tu kwa mamlaka bila sababu na kuna watu (Jemedari Said) hii imekuwa desturi zao, ila ajue mwisho unakaribia tuache vyombo vifanye maamuzi yake bila shinikizo la huruma na kuonekana kuna mtu (Feisal) aliwahi kuteswa" "Unateswa vipi kwa Mkataba uliousaini mwenyewe ? Kisa una ofa nyingine ndio leo ionekane mtu aliteswa ?! Mungu gani tunayemlilia ?!" "Ittaqi lllah Ittaqi Illah,, Haki ina pande mbili" ©️ Haji Sunday Manara https://www.instagram.com/p/CpRktOBNI52/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes