Tumgik
#Rais wa Tanzania
dreamstz1 · 4 months
Text
Mh Rais wa Tanzania ashiriki mkutano wa kimataifa wa nishati salama ya kupikiaa
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan IEA Mh Rais Samia Suluhu Hassan ameyasema haya “Nimeshiriki mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu Nishati Safi ya Kupikia jijini Paris ulioandaliwa na Shirika la Nishati Duniani (IEA). Hii ni heshima kubwa kwa nchi yetu kutambulika kwa juhudi zetu katika eneo hili, na kupata nafasi ya kushiriki mjadala wa kimataifa kuhusu nishati safi ya kupikia ambapo…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Text
RAIS SAMIA SULUHU MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI TANZANIA . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Daktari Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Miaka 60 ya Jeshi la Polisi inayofanyika katika shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani Kilimanjaro septemba 17,2024.
Akitoa taarifa hiyo leo septemba 16,2024 Moshi Mkoani Kilimanjaro Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime amesema kuwa awali Jeshi hilo lilitoa taarifa kuhusiana na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania nakufanyika shughuli mbalimbali katika Mikoa na vikosi vya Jeshi hilo hapa nchini.
Pia amesisitiza kuwa maadhimisho hayo yataambatana na tuzo na zawadi kwa askari ambao wamelitumikia Jeshi la Polisi kabla na baada ya uhuru huku akiweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan.
Tumblr media
1 note · View note
chahali · 3 months
Text
0 notes
24newsworld · 4 months
Link
1 note · View note
thenewsbulletnetwork · 7 months
Text
0 notes
sariaisrael · 11 months
Text
Simba hao hapo, wanawinda dau la Rais Samia
Hakuna ubishi kuwa mashabiki wa soka la Tanzania wanao mchango wake kuwavutia vigogo wa CAF kuyafanya mashindano ya AFL kuzinduliwa jijini Dar es salaam. KWA mara nyingine tena klabu ya soka ya Simba inadhihirisha kuwa wao ni vinara linapofika suala la mashindano ya Kimataifa. Simba wanaingia uwanjani wikiendi hii kupepetana na miamba ya soka Afrika, klabu ya Al Ahly ya Misri. Takwimu zipo wazi…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
travelsafaris · 2 years
Photo
Tumblr media
*BUSH MEALS; breakfasts 🥞, lunch and dinners 🍽️ are some of our African safari and holiday signature experiences. Escape the routine of dinning under closed doors. Enjoying your breakfast or dinner under the bright, golden or star-studded skies of Africa will long last on your memories. Imagine enjoying your breakfast as you embrace the first rays ☀️ of the healthy African sun, or a lunch or dinner set in the wilderness as you witness the far-reaching beautiful plains at times characterized by wildlife 😋 Contact us to craft your dream East African holiday, carry the exclusive moments you will leave to tell, for a lifetime . ______________🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇷🇼🇷🇼_____________ 🌍 ATW Holidays Africa| Avens Travel World 🌐 www.safaris-travel.com | www.avenstravelworld.com 📩 [email protected] | [email protected] ☎️ Tel:+256-779698998 | +256-702443584 | WA: +256-773148649 _________________________________________________ . . 📸 @lemalacampslodges . . #explore #travel #tourism #atwholidaysafrica #avenstravelworld #neverstopexploring #neverstoptravelling #outdoors #wanderer #usa #canada #Netherlands #slovenia #finland #pic #picoftheday #goodvibes #adventure #Tanzania #Ngorongoro #memories #safari (at Ngorongoro Conservation Area) https://www.instagram.com/p/CqAOHm3M5Ab/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
serengeti-dc · 2 years
Photo
Tumblr media
RAIS SAMIA ATOA ZAWADI  ZA KRISMASI KWA WATOTO WA HOPE FOR GIRLS AND WOMEN WILAYANI SERENGETI   Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani ametoa zawadi za chakula kwa ajili ya sikukuu  ya Krismasi kwa Shirika la Hope for girls and women in Tanzania  lilipo wilayani Serengeti Mkoa wa Mara,likiwa ni Miongoni mwa shirika   yanayopambana dhidi ya vitendo vya  Ukatili na unyanyasi wa Kijinsia.  Akikabidhi  Zawadi hizo kwa niaba ya  Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleimani Mzee, Mkuu wa wilaya ya Serengeti Dkt.Vincent Mashinji amemshukuru Rais Samia  kwa kutoa zawadi hizo za chakula  katika wilaya ya Serengeti  katika  kituo cha hope. Dkt.Mashinji amekipongeza kituo hicho  salama kwa juhudi kubwa ya kuwalea watoto waliokimbia vitendo vya ukeketaji  na ukatili wa kinjisia ,amewataka viongozi wa kisiasa kuwa mstari wa mbele kukemea vitendo hivyo . Aidha,Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Serengeti Ndg.Gasper  Irigo ameungana na viongozi wengine Kumshukuru  Rais samia na kuahidi kushirikiana kwa ukaribu na vituo vyote vinavyolelea watoto yatima,wenye mazingira magumu na waliokimbia vitendo vya ukatili  na unyanyasi. Nae, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ameitaka jamii kwatunza  watoto  ili waweze kutimiza ndoto zao na  kuiomba serikali kuzidi kupambana  na wote wanaofanya vitendo vya kikatili na vya unyanyasi wa kijinsia hatua kali ziendelee kuchukuliwa dhidi yao. Kwa upande wa Mkurugenzi wa kituo hicho Rhobi Samweli amemshukuru  Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania  Dkt.Samia Suluhu Hassani kwa zawadi kubwa ya chakula kwa ajili ya watoto wa kituo hicho wapatao 90 waliokimbia  na kukutwa na matukio mbalimbali yakiwemo ukeketaji,vipigo,ndoa za utotoni,ubakaji na manyayaso na ameiomba serikali kuzidi kuwashika Mkono na kutunga sharia kali za kumlinda mtoto wa kike.   Huu ni Muendeleo wa Rais samia kuwagusa watoto wote  nchini Tanzania wenye mahitaji ya chakula katika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa tarehe 25 disemba  2022 duniani  kote.  @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano   https://www.instagram.com/p/CmmNSkoNiJg/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
offblogmedia · 2 years
Text
Watanzania, kwani Magufuli Aliwezaje?
Watanzania, kwani #Magufuli Aliwezaje?
John Pombe Joseph Magufuli (29 Oktoba 1959 – 17 Machi 2021) alikuwa rais wa tano wa Tanzania, akihudumu kuanzia 2015 hadi kifo chake mwaka 2021. Na, nimeenda makala hii fupi kujikumbukisha mambo machache kati ya mengi aliyokuwa akiyafanya wakati wa uongozi wake. Tanzania imeanza tena kuwa ya uchungu! Mambo hayaeleweki, shida za kijamii zinazidi kumzidia mtanzania. Hapo ndipo palipo nifanya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
magaratimes · 2 years
Text
#ParsToday. | Kenya na Tanzania zaazimia kuimarisha uhusiano katika safari ya Ruto
#ParsToday. | Kenya na Tanzania zaazimia kuimarisha uhusiano katika safari ya Ruto
Rais William Ruto wa Kenya leo ametembelea Tanzania na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Baada ya mazungumzo hayo, wawili hao wamehutubua waandishi habari Ikulu mjini Dar es Salaam na kubainisha nukta kadhaa muhimu.   Marais hao wametoa maagizo kwa mawaziri wa uwekezaji kuhakikisha wanaondoa vikwazo 14 vya biashara baina ya nchi hizo. Rais wa Kenya amesema yale…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
dreamstz1 · 2 months
Text
ZANZIBAR KUSHIRIKIANA NA WASANII KUTANGAZA VIVUTIO-DKT.MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kushirikiana na Wasanii kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii.Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipokutana na Mwanamuziki kizazi kipya Omary Ally Mwanga maarufu Marioo , Ikulu Zanzibar tarehe 22 Julai 2024.Aidha Rais Dkt.Mwinyi amempongeza Marioo kwa kazi nzuri ya kuitangaza Tanzania kupitia…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
Text
Tumblr media
UTEUZI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
Bi. Nenelwa Mwihambi ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mwihambi alikuwa Katibu wa Bunge; na
Bw. Baraka Ildephonce Leonard ameteuliwa kuwa Katibu wa Bunge. Bw. Leonard anachukua nafasi ya Bi. Mwihambi ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Viongozi walioteuliwa wataapishwa tarehe 19 Septemba, 2024 saa 09.00 alasiri, Ikulu – Dar es Salaam.
0 notes
kenyannewstrends · 3 years
Text
Tanzania yapata Suluhu na Mpango
Tanzania yapata Suluhu na Mpango
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa sasa na Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Dk Philip Mpango. Hii ni baada ya baada ya Bi Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais kufuatia kifo cha Dk John Pombe Magufuli. Kisha kuteuliwa kwa Makamu wa Rais mpya siku ya Jumanne. Wabunge wa Tanzania walikubali kwa kauli moja Dk Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais mpya wa nchi hiyo. Jina lake…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mrmrswales · 4 years
Quote
Ninatuma salaam zangu za pole kwa wananchi wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Magufuli. I send my condolences to the people of Tanzania following the death of President Magufuli.  I hugely enjoyed my visit to Tanzania in 2018, when I was warmly welcomed by the President. My thoughts are with his family and the people of Tanzania at this difficult time.
W
54 notes · View notes
eledykisinga · 4 years
Photo
Tumblr media
TANZIA Rais wa Tanzania 🇹🇿 Dr John Pombe Joseph Magufuli amefariki dunia. Mbele yako nyuma yetu Mungu akupe pumziko la milele ameni🙏🏾!! https://www.instagram.com/p/CMiI2HDHfn2/?igshid=1juprlht6j5ur
1 note · View note
sariaisrael · 1 year
Text
Presha mpya Yanga
Hata hivyo msimamo wa Feisal unajulikana kuwa hataki kurudi Yanga, lakini kwa agizo la Rais kuingilia mambo ya michezo maana yake hata upande wa Feisal unaingiwa na presha SIKU chache baada ya kukosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa bao la ugenini, Yanga wanaelekea kutawazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu 2022/2023 wakiwa na presha kubwa ndani nan je ya uwanja. Uhakika wa…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes