Somo: ACHA VISINGIZIO, SIMAMA UBADILISHE MAISHA YAKO.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza?si=DDoZgDdxlif_X-nD
Sehemu VIII.
NAMNA YA KUSHINDA AU KUACHA VISINGIZIO.
1. TAMBUA THAMANI YAKO NA UWEZO ULIOMO NDANI YAKO.
.......Neno "THAMANI" lamaanisha "Ubora" au "Upekee" na "Kufaa zaidi". Na Neno "UWEZO" lamaanisha "Nguvu" na "mamlaka"
Kwa maana hiyo tunapozungumzia "Kutambua thamani yako na uwezo uliomo ndani yako" tunamaanisha "Kutambua Ubora na upekee wako unavyofaa, na nguvu ya mamlaka uliyonayo inavyoweza kugeuza hali ngumu kuwa rahisi au kuumba kitu kipya ambacho hakijatokea duniani, lakini unacho kwenye ufahamu wako".
Tatizo hutambui thamani yako ilivyo na uwezo uliomo ndani yako, na kutotambua thamani yako hakumaanishi thamani yako haipo, thamani yako ipo pale pale lakini kwa sababu hauitambui nayo haitakutambulisha. Angalia maandiko yasemavyo:-
......Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.
.......Ayubu 28:13......
Imeandikwa..... Mwanadamu hajui thamani yake.... Hayajasema.... Mwanadamu hana thamani.... Kumbe mwanadamu anayo thamani lakini hajitambuhi kama ana thamani na kama anatambua ni kiasi kidogo kuliko MUNGU anavyotambua thamani ya mtu aliyonayo. Thamani yako ndiyo inayotambulisha uwezo wako wa kubadilisha maisha yako.
Maandiko yanaendelea kusema...."Wala haionekani katika nchi ya walio hai".... Kama hautaitambua thamani na uwezo wako, HAKUNA mtu yeyote atakayeona na kutambua thamani na uwezo ulionao.
Kwa hiyo namna bora ya kushinda visingizio na kusimama imara ili kubadilisha maisha yako ni KUTAMBUA THAMANI yako (Yaani Ubora wako, Upekee wako, na kufaa kwako), Na KUTAMBUA UWEZO wako (yaani Mamlaka yako na nguvu iliyomo ndani yako).
MUNGU alikupa thamani ya kipekee na uwezo wa kipekee kuliko uumbaji mwingine, Sasa amua kudhiirisha thamani yako na uwezo wako ili maisha yako yabadilike, Amina.
2. Mwamini na mtegemee YESU kwa gharama yoyote.
.......Tutaendelea.......
Rejea
"Man does not know the value of it; Nor is it found in the land of the living.
.....Job 28:13.....
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note
·
View note
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @afyakiganjani @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi ni spear part za pellet Mashine, maalumu kabisa kwajili ya kutengenezea pellet.
Die ndio inayoweza kubadilisha ukubwa wa pellets unazo tengeneza, ukitaka ziwe nene au nyembamba unatumia Die za size tofauti.
Kila die ina vitundu vya ukubwa tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa pellet unaohitaji.
kwanini tutengeneze pellet za ukubwa tofauti?
Hii ni kwasababu kila mnyama/ndege anahitaji pellet ya ukubwa fulani kulingana na umri wake.
Wanyama/ndege wadogo wanahitaji pellets zenye sahizi ndogo, na wakubwa wanahitaji pellets zenye sahizi kubwa.
#diezapelletmashine #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #spearyapelletmachine #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
It is the truth only that can change us .We can never change the truth.
Ni ukweli pekee unaoweza kutubadilisha .Hatuwezi kamwe kubadilisha ukweli.
For more information contact
Ph: +91 79044-02887
www.kundaliniyoga.edu.in
#vewavethathiri #vewa #wavesofvethathiri #wcscaliyar
#Vethathirimaharishikundaliniyoga
#vethapearls
#VethathiriMaharishi
#vewainmultiplelanguage
#Divinerealization
#whoami
#learnyogaonline
#onlineyoga
#onlinemeditation
#worldpeace
#individualpeace
#familypeace
#mounam
#silence
#innertravel
#innerpeace
#Learnasanasonline
#Personalitydevelopment
#geneticimprits
#wisdom
#benifitsofblessings
0 notes
Upaukaji
Upaukaji ni matumizi ya kemikali kama vile hydroquinone, tretinoin, corticosteroids, n.k. kwenye ngozi. Ili kupunguza giza, matangazo ya ngozi, ishara za kuzeeka na kubadilika kwa ngozi. Kimsingi, mchakato huu unaweza kuagizwa na madaktari ikiwa wanahitaji kutokana na matatizo ya ngozi. Katika hali sawa na rangi ya rangi inayosababishwa na jua, matangazo ya ngozi au matatizo ya rangi, matumizi ya wakala wa ngozi ya ngozi inaweza kuwa sahihi kwa maoni ya madaktari wa kitaalam.
Lakini unapaswa kuwa makini sana kuhusu watoto na kutumia mawakala wa blekning kwa ngozi zao. Ngozi ya watoto ni nyeti sana na yenye maridadi, na uingiliaji mwingine wa kemikali kwenye ngozi yao unaweza kuwa na madhara makubwa. Aidha, matumizi ya nyenzo nyeupe kwa watoto hubeba hatari hatari kutokana na ukosefu wa maendeleo ya ngozi na usalama wa mfumo.
Kazi bora zaidi ya kupandikiza kaskazini mashariki mwa Tehran
Kazi bora ya kupandikiza kwa walinzi
Kazi bora ya kupandikiza huko Shamsabad
Kipandikizi bora cha kazi cha Narmak
Kazi bora ya kupandikiza katika Tehran Pars
Ikiwa una wasiwasi juu ya ngozi ya mtoto wako, ushauri bora ni kuona dermatologist ya watoto. Wanaweza kutathmini matatizo ya ngozi ya mtoto na kupendekeza njia salama na matibabu ya kutunza na kutibu ngozi ya watoto.
Njia na suluhisho zisizo za blekning zinaweza kutumika kusafisha meno, ambayo ni bora kwa usalama. Mbinu hizi ni pamoja na:
Kubadilisha tabia ya afya ya kinywa na meno: kusaga meno mara kwa mara na sahihi kwa mswaki na dawa ya meno, kutumia chini ya mkeka wa meno na kusafisha ulimi kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya asili ya meno.
Kula vyakula na vinywaji vyenye afya: Kula vyakula na vinywaji kama vile matunda na mboga zilizo na nyuzinyuzi nyingi, juisi za matunda, maziwa, mtindi, na vyakula ambavyo kwa asili hupunguza asidi ya tumbo vinaweza kusaidia kuhifadhi rangi ya meno. . polepole kamili
Matumizi ya uzi wa meno: Matumizi ya mara kwa mara na sahihi ya uzi wa meno husaidia kusafisha sehemu za kati ya meno na kuzuia mrundikano wa madoa kwenye meno.
Utumiaji mdogo wa vyakula vilivyobadilika rangi: Matumizi machache ya vitu kama vile kahawa, chai, nikotini na vinywaji vyenye kaboni inaweza kusaidia kuzuia kubadilika rangi kwa meno.
Kusafisha meno kitaalamu: Kusafisha meno mara kwa mara na kitaalamu na daktari wa meno kwa kutumia vifaa na teknolojia inayofaa kunaweza kusaidia kudumisha na kuboresha rangi ya meno.
Kuepukwa kwa mawakala weupe wa kinywa: Viungo katika baadhi ya mawakala weupe wa meno kama vile sodium bicarbonate na asidi ya matunda (kama vile limau) huharibu meno kwa muda mrefu.
Hatimaye, ni muhimu kutafuta ufumbuzi na matibabu salama ili kuhifadhi na kuboresha rangi ya meno. Kabla ya kuamua juu ya kufanya meno kuwa meupe, inashauriwa kushauriana na daktari wako wa meno ili kupata suluhisho bora kwa hali yako.
0 notes
KIVULI CHA ARSENE WENGER KINAVYOIONGOZA ARSENAL
Ujio wa Man City umefifisha nguvu ya Chelsea..Man Utd wanatumia gharama kubwa kusajili wachezaji pamoja na kubadilisha makocha bila kupata mafanikio yoyote…
KAMA hakueleweka basi sasa mashabiki na wapenda michezo wanalazimika kumwelewa aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kupitia viongozi wa sasa wa klabu hiyo. Watazame Edu Gaspar na Mikel Arteta wanavyoongoza Arsenal katika falsafa ya…
View On WordPress
0 notes
SAMSUNG GALAXY A11 INAUZWA MODEL NO SM - A115F/DS STORAGE 32GB RAM 2GB KUBADILISHANA INARUHUSIWA KUBADILISHA IMEFIKA HAPA HAPA OFCN IRINGA MJINI MITAA YA KATA YA KIHESA,MKIMBIZI NA MTWIVILA DODOMA ROAD E MWANG'INGO ZAHANATI KITUO UKITOKEA STAND YA ZAMANI PANDA GARI ZA KIHESA KILOLO WAAMBIE WAKUSHUSHIE ZAHANATI YA MWANG'INGO KWA ABUNERI MJASIRIAMALI UKISHUKA UKIULIZA MNYAKUGULA MNYAKUGUSA HATA KUKU ANAKULETA TUNA HUDUMA ZA KULIPA KWA SIMU PIA BILA TOZO LIPA KWA MPESA 5670336 LIPA KWA TIGO PESA 9063797 LIPA KWA AIRTEL MONEY 9063797 UKILIPA JINA LINAKUJA MNYAKUGULA MNYAKUGUSA KWA PICHA MAELEZO ZAIDI NIPIGIE MWENYEWE 0757510219 (at Mwang'ingo Kihesa) https://www.instagram.com/p/Crdk6-Do6JT/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Leo nakuombea, 🌕Mungu akufungulie mlango wa baraka, Mungu akubariki wewe na familia yako. "Amina" moja yenye Imani inaweza kubadilisha maisha Yako!! https://www.instagram.com/p/Cp7vJY9I0Rv/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
CHOZI LA FURAHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI. BAADA YA MIAKA 5 KWENYE NDOA BILA MTOTO. Ameuliza: Ndio tayari au sielewi? Yani Nimelia Doctor! Abeba Mimba Baada ya Miaka 5 Kwenye Ndoa Bila Mimba. Kifungo cha wanawake wengi kutokubeba Mimba ni Kutokuamini lishe yake ni chanzo cha tatizo. Fanya utafiti wako hata mdogo muulize mwanamke yeyote anayetafuta mtoto kama ameshawahi kubadilisha mfumo wake wa lishe tangu ahangaike. Hakuna! Ugumba ni tatizo la Lishe na Homoni Chakula unachokula ili kiweze kutumika na mwili wako unahitaji homoni zinazo ratibu matumizi ya chakula hicho. Homoni zinazo ratibu matumizi ya chakula hasa vyenye sukari nyingi huathiri homoni za uzazi pia zinazo husika na kukomaza mayai. Kutokuamini mchango wa lishe bora unapo tafuta mtoto ni kujichelewesha. Miaka 5 kwenye ndoa Bila Mimba na alikata tamaa Alifika clinic miezi 4 iliyopita akiwa na umri wa miaka 30 na kilo 79kg wakati kilo zake sahihi kiafya kulingana na urefu wake zilitakiwa kuwa 55-60. Tulifanya Full body checkup kuangalia changamoto gani inayo msibu hasa katika utendaji kazi wa ovari. Ndani ya masaa 24 tulimpatia majibu na kumuweka kwenye mpango mkakati wa miezi 4-6. Baada ya majibu nilimuahidi atafanikiwa ndani ya miezi 4 akizingatia masharti yangu yote Alianza rasmi matibabu kwetu tarehe 01.11.2022 na Ushuhuda wake ameutoa tarehe 07.03.2023. Piga hesabu je hayuko kwenye makadilio yangu? Naweza kumpa mtu makadilio kulingana na uzoefu wangu na vipimo alivyopima. Imani ndio inayo kuponya haijalishi umecheleweshewa kwa miaka mingapi. Wagonjwa wengi tunao wapokea wenye matatizo ya uzazi wanakuwa wamehangaika sana na wamepoteza pesa nyingi mno.Mbali na hivyo wameumizwa kimwili na kiakili. Hivyo imani katika huduma yenye teknolojia ndogo kama lishe bora. Yataka nguvu ya Mungu kuamini na kutekeleza. Kabla ya vipimo huwa nawagawa wanawake wenye matatizo ya uzazi katika makundi 6 kama ifuatavyo: 1.Mwanamke anayebeba Mimba inaharibika 2.Mwanamke ambaye habebi mimba ila ana hedhi mzunguko mzuri 3.Mwanamke ambaye habebi mimba na hedhi imevurugika ila hupata bila mpangilio 4.Mwanamke ambaye habebi mimba na (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CpkgRYZN8iz/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
MTAZAMO WANGU KWA MCHUNGAJI KIMARO.
Filemoni 111 ambaye zamani alikuwa hakufai, bali sasa akufaa sana, wewe na mimi pia;
Kimaro akiwa ni mchungaji mkongwe,alionyesha kushindwa kufanya kazi ya kichungaji.
Ktk mahubiri yake Kimaro alilalamika kuwa vijana wakikristo ni wezi na ni watu wasio aminika.
Kazi ya mchungaji ni kubadilisha na kutengeneza watu walioshindikana kuwa watu safi ila mchungaji Kimaro alishindwa kutengeneza vijana…
View On WordPress
0 notes
May I introduce: Kasharingo - alias Roho ya Kinga. He is one of my characters.
It is the very first peek into my story KUBADILISHA. I've been working on this for years.
And here it is.
Digital drawing by Nicolas Gabriel, sketch and idea by NM
0 notes
Somo: ACHA VISINGIZIO, SIMAMA UBADILISHE MAISHA YAKO.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
Https://youtube.com/@Rwizakakiza?si=DDoZgDdxlif_X-nD
Sehemu II. (VISINGIZIO).
BAADHI YA VISINGIZIO SITA (6) VINAVYOZUIA KUFANIKIWA KWAKO.
1. HALI DUNI KIMAISHA.
Kisingizio hiki kinaweza kuzuia mafanikio na Ustawi wako kwa sababu, kinaleta uhalisia wa maisha yako ulivyo na ulipotokea.
Hali duni kimaisha inaweza kuwa ni KUTOHESHEMIKA na UMASKINI ambapo ukitazama kwenu hakuna aliyefanikiwa kimaisha, kielimu, kiuchumi, na mengineyo mengi.
Ukitazama upande wako umeangaika kwa kufanya kila kazi na hata vibarua, muda wa kupumzika huna, Lakini hakuna mafanikio badala yake UMEJITWIKA MIZIGO YA MADENI kila mahali, unakopa hapa unarudisha hapa, mafanikio hakuna.
Kupitia hali unajenga imani ndani mwako kwamba MAISHA NDIO HAYA maana hata kwetu tuko hivyo hakuna aliyefanikiwa. Kinachotokea ni LAWAMA KWA WAZAZI, MALALAMIKO, MANG'UNIKO na VISINGIZIO vya hali unayoipitia.
......Malaika wa BWANA akatokea, Gidioni akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee SHUJAA. Gideoni akasema, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Ila sasa MUNGU ametutupa; BWANA akamtazama, akasema, ENENDA kwa UWEZO WAKO huu, UKAWAOKOE Israeli. Je! Si mimi ninayekutuma? Gidioni akasema, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? TAZAMA, JAMAA zangu ndio walio MASKINI SANA katika Manase, na MIMI ndimi NILIYE MDOGO katika nyumba ya Baba yangu.
.......Waamuzi 6:11-15......
MUNGU anamwona Gidioni ni SHUJAA na anaweza KUWAOKOA na kuwa msaada kwa Israel, lakini Gidioni haoni UWEZO ndani yake, bali anaona hali duni inayomzunguka yaani UMASKINI na KUTOHESHIMIWA kwenye familia na ukoo wake.
MUNGU alivyomtazama Gidioni anavyojiona akamwambia AENDE kwa UWEZO wake huo, kwa sababu ilikuwa vigumu kuondoa mtazama bila kuona uwezo ulio juu ya matatizo yake.
Acha kujiona huwezi, unaweza kubadilisha maisha yako na kufanikiwa, maana kuzaliwa katika hali duni haimaniishi huwezi kufanikiwa, Amina.
2. UWEZO HAFIFU.
.......Tutaendelea.......
Rejea
The LORD turned to Gidion and said, “Go in this STRENGTH of yours and SAVE Israel from the hand of Midian. Have I not sent you?”
.....Judges 6:14......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
1 note
·
View note
LEVELS 🤎🤍🪙EXTREME MIRA 55000 PER SQ M(HEAVY-DUTY FLOORING) MKEKA WA MBAO UNAIPA OFISI YAKO MUONEKANO WA DHAHABU🪙🪙 WAWEZA ONA JINSI ULIVYIOPENDEZESHA OFISI HII,AMBAPO HAPO AWALI KULIKUWA NA FLOOR YA TILES. WATALAAMU WETU WANAFIKA 🪖🦺 POPOTE PALE ULIPO NA KUBADILISHA MUONEKANO WA FLOOR YAKO NA MKEKA WA MBAO. NA BILA KUSAHAU OFA KABAMBE ZA BIDHAA ZETU BADO ZINAENDELEA,TUNASEMA UJANJA KUWAHI. KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NAO KWA NAMBA HIZI ☎️☎️0747753566 ☎️☎️0735282811(MWAI KIBAKI ROAD-KAWE, MBEZIYACHINI) @classic_finishestz MADALE BRANCH ☎️☎️0655819992 @classic_finishesbranch KARIAKOO FIKA MHD DUKA NAMBA 77 OPPOSITE NA CHINA PLAZA ☎️☎️0719363640 @mhd_quality_carpettz WAKALA WA MKEKA WA MBAO DODOMA, PIGA NAMBA HIZI. 👇🏾👇🏾👇🏾 ANAPATIKANA MTAA WA UHINDINI-NYERERE ROAD ☎️☎️0766484442 ☎️☎️0622596949 #mkekawambaotz (at FeedBack) https://www.instagram.com/p/CkAaZd7NmZx/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
TUNAUZA DIE KWAJILI YA PELLET MASHINE | SPEAR ZA PELLET MASHINE - DSM
Ukubwa wa DIE zilizopo ni 3mm, 4mm, 5mm na 6mm.
Call/Text/WhatsApp: +255 714 63 63 75
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @joackagrovet @afyakiganjani @joackanimalclinic @joackbagamoyo
Masaa ya kazi ni kuanzia Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku
Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.
Hizi ni spear part za pellet Mashine, maalumu kabisa kwajili ya kutengenezea pellet.
Die ndio inayoweza kubadilisha ukubwa wa pellets unazo tengeneza, ukitaka ziwe nene au nyembamba unatumia Die za size tofauti.
Kila die ina vitundu vya ukubwa tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa pellet unaohitaji.
kwanini tutengeneze pellet za ukubwa tofauti?
Hii ni kwasababu kila mnyama/ndege anahitaji pellet ya ukubwa fulani kulingana na umri wake.
Wanyama/ndege wadogo wanahitaji pellets zenye sahizi ndogo, na wakubwa wanahitaji pellets zenye sahizi kubwa.
#diezapelletmashine #pelletmachine #chakulachasungura #mashineyakutengenezapellet #vifaavyamifugo #spearyapelletmachine #mizaniyachakulachamifugo #mashineyapellets #mashinezachakulachakuku #rabbitpelletsmachine #pelletmachine #mashineyachakulachasungura #mashineyachakulachamifugo #chakulachakuku #poultryequipments #tunauzamshinezaufugaji
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 63 63 75 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac
Website link: https://joackcompany.business.site/
Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9
#joackcompany #joackagrovet #mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #tanzania🇹🇿 #ufugaji #kuku #dodoma #tanzania #ufugajiwakuku #daressalaam
JOACK COMPANY LTD | DSM & BAGAMOYO
0 notes
MTU WA UFUKWENI (20)
Jina: MTU WA UFUKWENI
Mwandishi: Andrew Mhina
SEHEMU YA ISHIRINI
ILIPOISHIA...
Mwisho wa yote akamwambia atafute wakili kwa sababu yeye pamoja na mali zote hizo hakuwahi kuweka wakili binafsi. Wakili atakayemweka amsimamie katika kubadilisha hati za umi
Jina: MTU WA UFUKWENIMwandishi: Andrew Mhina
SEHEMU YA ISHIRINIILIPOISHIA…
Mwisho wa yote akamwambia atafute wakili kwa sababu yeye pamoja na mali zote hizo hakuwahi kuweka wakili binafsi. Wakili atakayemweka amsimamie katika kubadilisha hati za umiliki wa mali zake, kutoka jina la Dr. Jackson Kigoi kwenda jina lake yaani Ramson. Hakujua aanzie wapi baada ya kuona mambo hayo.
KAMA UNASOMA…
View On WordPress
0 notes
UFAHAMU UGONJWA WA MAFUA YA KUKU KIUNDANI ZAIDI.
MAGONJWA YA KUKU/TIBA/KINGA.
Habari ya uzima ndugu mfugaji, ni matumaini yangu u mzima. Mimi ni mzima na leo tunaanza somo letu la magonjwa ya kuku, tutaongelea magonjwa ya kuku, dalili, tiba na chanjo endelea kuwa pamoja nasi.
FAIDA ZA KUZINGATIA TIBA/CHANJO.
•Hupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na maambukizi.
• Hulinda afya za kuku ambao hawajaambukizwa.
• Hupunguza kuenea kwa maambukizi kutoka kuku wagonjwa kwenda kuku wasio wagonjwa.
• Huwakinga wanadamu wasipate maambukizi kutoka kwa kuku wagonjwa.
• Huzalisha kuku na bidhaa zenye ubora wa juu ambazo hupata bei nzuri sokoni.
Hatua Za Tahadhari Za Kuzuia Kuingia Na Kuenea kwa Magonjwa Shambani.
1. Tenganisha ndege kufuatana na aina ya ndege na umri wao
2. Weka karantini kwa ndege/kuku wapya ili wachunguzwe kwa kipindi kisichopungua wiki mbili
kabla ya kuingizwa shambani au bandani.
3. Usiruhusu tabia ya kuchangia vifaa/vyombo kama vile makasha ya mayai, makreti ya kubebea kuku
kati ya shamba na shamba, n.k.
4. Wafanyakazi waanze kuwahudumia kuku wenye umri mdogo kabla ya wale wenye umri mkubwa.
5. Usiruhusu watoto kucheza na kuku.
6. Jaribu kuzuia idadi ya wageni wanaoingia shambani/bandani.
7. Weka utaratibu wa kuangamiza mizoga ya kuku.
8. Anzisha programu jumuishi ya kudhibiti wadudu/wanyama waharibifu.
9. Panga utaratibu mzuri wa kuwapa kuku huduma ya maji na kufanya usafi.
10. Panga utaratibu mzuri wa kuzoa taka na mizoga ya kuku.
11. Panga utaratibu mzuri wa kusafisha banda na kupulizia dawa.
12. Vifaa visafishwe na kuwekwa dawa ya kuua vijidudu kabla ya kuingizwa shambani.
13. Hakikisha magari yanapoingia shambani yanapita katika kidimbwi chenye dawa ya kuua vimelea
vya magonjwa.
14. Hakikisha mfanyakazi anabadilisha viatu/mabuti kabla ya kuingia katika kila banda
15. Weka taratibu nzuri za kuingia shambani, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha usafi wa viatu na mikono;
au wageni na wafanyakazi kubadilisha nguo/viatu na kuvaa mabuti.
Ugonjwa ni nini?
Ugonjwa ni mabadiliko kutoka katika afya ya kawaida ya mnyama/kuku. Hali hii hutokea pale
vimelea au vijidudu vinapoingia mwili wa mnyama, kwa kula vyakula vyenye sumu, au inapotokea kuna uhaba wa
lishe au madini mwilini.
Tofauti za muonekano kati ya kuku mwenye afya na kuku mgonjwa
Kuku mwenye afya nzuri :
_Macho na sura angavu
_Hupenda kula na kunywa maji
_Pua zilizo safi, upanga na undu mwekundu, manyoya
laini na yaliyopangika vizuri
_Hupumua kwa utulivu
_Sehemu ya kutolea haja huwa kavu
_Kinyesi kikavu
_Hutaga mayai kawaida .
Kuku asiye na afya nzuri (mgonjwa)
_Huonekana mchovu na dhaifu
_Hula na kunywa kidogo au zaidi ya kawaida
_Hutoa kamasi puani, ute na matongotongo; manyoya
yaliyovurugika
_Hupumua kwa shida na kwa sauti
_Sehemu ya kutolea haja inakuwa na unyevunyevu na
kinyesi kuganda
_Huharisha, mharo/kinyesi huwa na damu , kijani, cheupe, njano, kijivu au kuwa minyoo Nk
_Hutaga mayai machache au husimama kutaga kabisa
_Huwa na tabia ya kujitenga na wenzake katika kundi.
MAGONJWA YA KUKU.
Tuanze Na Mgonjwa Muhimu Yanayosababishwa Na Bakteria.
1. MAFUA YA KUKU
( infectious coryza)
MAELEZO
Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na
bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum).
Ugonjwa huu hushambulia kuku aina zote. Na usipo kuwa
makini kwenye usafi wa banda na vyombo , kuruhusu watu kuingia ovyo bandani au kuku wa jirani kuja kuingia
kwenye banda lako; ugonjwa huu unaweza shambulia kuku wako kwa kila wiki.
DALILI ZA UGONJWA HUU =
_Kuvimba uso chini na nyuma ya macho.
_Kupumua kwa shida na kukoroma
_Kutoka makamasi puani,
_ Mdomoni kuwa na hali ya mterezo
_Macho kuvimba
_Kushindwa kula.
_Kupiga chafya , macho kuonekana kama yanatoka
machozi
JINSI UGONJWA UNAVYOENEA:
_Ugonjwa huu huenea kutokana kuku mmoja kwenda kwa
kuku mwingine, au kutoka banda moja kwenda banda
lingine.
_Chanzo cha maambukizi ni maji na chakula kilicho
chafuliwa na kinyesi cha kuku Mgonjwa.
_Ugonjwa huu uneea na kuambukizwa kwa mfumo wa
hewa pale kuku wanapopiga chafya.
UNASHAURIWA
Pindi ugonjwa unapo ingia bandani kwako wale kuku
watakao onesha dalili za ugonjwa huu , watenge kisha
wape tiba kuku wako wote; unatakiwa kuwatenga kwa ajili
ya kupunguza maambukizi bandani.
DALILI ZA MZOGA UKIUPASUA
Usaha mweupe hadi njano huonekana kwenye macho na
ndani ya pua
#MATIBABU
Zipo dawa nyingi za kutibu ugonjwa huu antibiotic/ sulfa.
Hizi ni baadhi tu.
Fluban
Flutan
Ganadexil
Tylodox
Teramycin.
Trimazine nk
:Tumia fluban,flutan kwa Kuku wanaooneshadalili za mafua bila vifo.
Tumia Ganadexil,tylodox kwa Kuku wenye mafua ambao
kuna vifo vimetokea
The post UFAHAMU UGONJWA WA MAFUA YA KUKU KIUNDANI ZAIDI. appeared first on Kilimo Tanzania.
from WordPress https://bit.ly/3rpxI56
via IFTTT
0 notes